-
Tai Anatufundisha Somo Hili Kubwa Kuhusu Maisha Ya Mafanikio

Siku ya leo nataka tujifunze kutoka kwa tai. Kuna mengi ya kujifunza Kutoka kwa tai ila kwa leo acha twende na hili. Tai akitaka kumla nyoka anamnyanyua kwa nguvu na kwa spidi kali ambayo nyoka hawezi kuhimili mpaka juu, Kisha anamwachia. Nyoka akiwa bado hajaelewa kinachoendelea tai anamdaka haraka kabla hajadondoka chini na kupanda naye…
-
Amsha Uungu Ulio Ndani Yako: Siri Kuu Ya Mafanikio Kutoka Kwa Socrates
Socrates anaaminika kuwa miongoni mwa watu waliokuwa na busara katika ugiriki yote katika nyakati zake. Kipindi hicho kijana mmoja alimfuata kumwomba ushauri wa namna ya kufanikiwa. Kwa busara Socrates akamwambia njoo siku fulani. Yule kijana akawa kweli ametokea siku hiyo ili aambiwe siri ya mafanikio. Nadhani yule kijana alikuwa anataka njia ya mkato ya…
-
Kinachokukwamisha Wewe Kuandika Kitabu Chako Ni Hiki..
Kama Kuna kitu watu wamekuwa wanasema kwamba halijakaa sawa ni mfumo wa elimu. Umekuwa unalalamikiwa kwaKukaririsha watu vituKutokujjenga watu wenye ujuziKutokuwaandaa wahitimu kwa ajili ya maisha baada ya chuo n.k. Kwenye hili naweza kusema kuwa Kuna kitu kimoja watu huwa wanakisahau. Kitu hiki ni namna mfumo wa elimu unavyozuia watu kutumia uwezo wao mkubwa wa…
-
AMSHA UUNGU ULIO NDANI YAKO: Sifa 3 Za Kimungu Unazopaswa Kuzitumia Kuanzia Leo
Mwaka 2017 nilipata kusoma kitabu cha FROM VICTIM TO VICTOR. Nilipata kujifunza mengi sana Kutoka kwenye kitabu hiki kuliko unavyoweza kufikiria. Kitabu hiki kilichoandikwa na Mzimbabwe Joseph C. Musharika kina mafunzo mengi ambayo na wewe yanaweza kubadilisha maisha yako. Mwandishi amezaliwa katika familia ya kikristo kama ilivyo asilimia kubwa ya Waafrika. Kalelewa na kupewa…
-
Karibu kwenye Duka La Mtandaoni La Songa Mbele
Kuna msemo mmoja wa kilatini unasema kwamba furahi na wanaofurahi, huzunika na wanaohuzunika. Sasa leo hii siyo kwamba nahuzunika bali nina furaha na mimi nimeona nikukaribishe wewe ili nikumegee hii furaha. Si unajua hivi vitu vinaambukizwa? Furaha yangu ni kutangaza duka la mtandaoni ambapo wewe au mtu yeyote anaweza kuingia na kununua bidhaa itakayokuwa inapatikana…
-
Ninahitaji Watu 10 Nami Nitawafanya Kuwa Waandishi Wabobevu Ndani Ya Siku 30
Mwishoni mwa mwaka 2019 nilianzisha darasa maalumu la kufundisha uandishi. Ambapo katika darasa hili nilikuwa nafundisha mbinu za kiuandishi kwa mtu ambaye hajawahi kuandika kabisa au ambaye tayari ameanza kuandika ila hajaweza kubobea na kujenga nidhamu inayostahili katika uandishi. Katika darasa hili tulijifunza mbinu mbalimbali za kiuandishi na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi. Kwa…
-
Njia 7 Rahisi Za Kujenga Tabia Zitakazodumu
Katika familia au maeneo yaliyo mengi muda wa kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana au cha jioni unajulikana, muda huo ukifika unakuta majukumu yaliyokuwa yanafanyika yanahairishwa kwa ajili tu ya kukamilisha jukumu la kupata chakula kwa wakati husika. Ukifika muda wa chakula hakuna mtu anayejiuliza mara mbili tatu kwamba aende kula muda huo au la…
-
MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA
Kama kuna shida ambayo inawakabili vijana walio wengi kwenye ulimwengu wa leo basi ni kitu kinachoitwa mtaji. Mtaji limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi na hata watu wazima, hata hivyo nipende kusema kwamba hakuna sifa yoyote kwenye kutokuwa na mtaji. Kuna watu ambao kila mwaka wanalalamika kwamba hawana mtaji, unaweza kukuta kwamba mtu…
-
Hiki Kitu Nilichoambiwa Kuhusu Wewe Ni Cha Kweli?
Hivi ni kitu gani huwa kinakupa furaha na kupata hali ya ukamilifu kwenye maisha yako?Mwaka 2013 chuo kikuu cha North Carolina kwa ushirikiano na watafiti wa UCLA. Walifanya utafiti na kugundua kuwa moja ya kitu kinachowafanya watu furaha ni ile hali ta kukamilisha jukumu au kitu ambacho mtu amekuwa anatamani kufanya kwa siku nyingi. Looh,…
-
Jinsi ya kufanyia wazo majaribio kwenye soko
Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu ya shahada ya kilimo cha bustani, nilikuwa napenda sana kupiga hesabu za mazao mbalimbali ya kilimo na baadhi ya rafiki zangu kwa wakati huo. Kila tulipokuwa tukikaa na kupiga hesabu za zao fulani, ilikuwa inaonekana faida tu, tena faida kubwa sana. Nakumbuka kwa mfano siku moja tulipiga…
-
Kama kweli umejitoa na unataka kujifunza kwa kina kuhusu uandishi, BASI SOMA HAPA
Mwaka 2016 nilipoanza kuandika ulikuwa ni mwaka ambao niliamua na kujitoa kuwa ninaenda kujifunza kwa kina kabisa kuhusu uandishi. Tokea mwaka huo nimejifunza na kusoma vitabu vingi kuhusu uandishi. Nimesoma makala za kutosha kuhusu uandishi. Siyo hilo tu, nimefanyia kazi vitu vingi nilivyosoma na kuviweka katika matendo kwa kuandika vitabu 17 makala zaidi ya elfu…
-
Kama upo chuoni na una mpango wa kujiariri; fanya hivi. Mwongozo kujiajiri baada ya kumaliza chuo
Nakumbuka nikiwa kidato Cha tano nilitamka kauli ambayo mpaka leo hii imekuwa mwongozo mkubwa kwangu; nilisema kwamba; kwa vyovyote vile kazi yoyote ile nitakayoifanya maishani mwangu nitahakikisha naifanya kwa ubora na watu nitakaokuwa nawahudumia watafurahia. Kipindi hicho nilikuwa na ndoto za kuja kuwa daktari wa binadamu au mwalimu. Si unajua ukisoma PCB unakuwa na mikogo…
-
KWA NINI UNAPASWA KUHUDHURIA DARASA RASMI YA UANDISHI 2022
Jana nilitangaza rasmi kuwa kutakuwa na kozi ya uandishi kwa mwaka huu 2022 ambayo inaenda kuanza tarehe 16 machi, kozi hii itakafanyika kwa njia ya mtandao. Kutangazwa kwa kozi hiyo ni kiashiria kuwa unapaswa kuwahi nafasi yako mapema. Hii kozi hii ya uandishi. Ni kozi ya kipekee sana ambayo huwezi kupata sehemu yoyote mtandaoni. Nasema…
-
Karibu Kwenye Darasa Rasmi La Uandishi Mwaka 2022
Tangu mwaka 2019 nimekuwa naendesha darasa la uandishi ambapo huwa ninakaa na watu watano na kuwafundisha uandishi kwa kina. Darasa hili la kipekee ambalo huwa naliendesha kwa watu wachache tu, huwa linafanyika kwa njia ya mtandao, huku nikiwa na lengo la kuwafundisha na kuwanoa hao watu wachache na kuwafanya waandishi wabobevu. Kila mwaka darasa hili…
-
Hiki Kitu Ndicho Chanzo Cha Mafanikio Yote
Mwaka 1937 ni mwaka muhimu sana kwenye ulimwengu wa mafanikio. Ni mwaka ambao kitabu cha THINK AND GROW RICH kilichapwa baada ya miaka mingi ya utafiti. Kwenye kitabu hiki mwandishi ameeleza mbinu za mafanikio ambazo ziliwapa utajiri mkubwa sana matajiri wa wakati huo. Hapa wanaongelewa watu kama kama akina Rockefeller ambaye mpaka leo hii amebaki…
-
Hatua muhimu ambazo wazo lako litapitia kabla ya kuonekana kwenye uhalisia
Niseme, nisiseme! Wazo linazaliwa, linakua na muda mwingine kuzeeka mpaka kufa! Kwa hiyo wazo ni kama mtoto, linabebwa kama mimba. Hiki ni kipindi ambacho linakuwa kichwani mwa mtu. Linazaliwa hapa ni pale ambapo linaanza kufanyiwa kazi, linakua, hapa ni pale linapozidi kufanyiwa kazi na kuzidi kuleta matokeo kwa aliyekuwa na wazo na jamii, wazo linazeeka…
-
Kitu Gani Haswa Kinahitajika Ili Kufanikisha Wazo Lako
Mwaka 1908 ni mwaka wa kihistoria maana ndio mwaka ambao gari la kwanza lilitengenezwa na kampuni ya Ford ambayo ilianzishwa mwaka 1903, Gari hilo liliipa jina kampuni ya Ford na kuifanya itengeneze fedha za kutosha, kiasi kwamba watu wengi wakawa wanatamani kuanzisha biashara kampuni nyingine ambazo zingezalisha magari. Ukiangalia kwenye mtandao wa google, kampuni zilizoanzishwa…
-
Hizi Hapa Ni Sababu Za Kwa Nini Unapaswa Kufanyia Wazo Lako Mwaka Huu Na Sio Kusubiri
Natumai kwamba unaendelea vyema. Ni takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikiandika makala kuhusu wazo la biashara. Kila siku tumekuwa tunapata makala moja iliyojishosheleza na yenye ujumbe uliokamilika. Sasa leo nimerudi tena kwa lengo la kukueleza kwa nini unapaswa kufanyia wazo lako la biashara mwaka huu na sio mwaka mwingine. Najua kwamba ninachoenda kuandika hapa ni…
-
WAZO LA BIASHARA AINA HII LAHUWEZI KULIPATA
Kuna mtu unaweza kumkuta anatafuta wazo la biashara ambalo halijawahi kufanyika, kitu ambacho hakijawahi kuonekana
-
Kwani wewe unasemaje?
Habari ya leo, Mwezi wa tisa mwaka 2016, nilianza kuandika makala kwenye blog ya songambele na baada ya hapo niliendelea mbele zaidi na kuandika vitabu, nikaandika magazetini, nikatoa mada kwenye redio na runinga na hata kuandaa mafunzo kwenye YouTube. Kwangu hizi zote zimekuwa ni tuzo za hatua ya kwanza niliyochukua na kuanza kuandika mwaka 2016.…
