-
Umuhimu Wa KUWEKEZA Kwenye Hisa
Kwa Tanzania kumekuwepo na hiki Kitu kinaitwa Vicoba na michezo. Wengi wamekuwa wanaweka fedha zao kwenye hii michezo, ambapo muda mwingine wanalizwa kwa kutopewa fedha zao. Na muda mwingine wanaweka fedha kwa pamoja BAADAYE zinaibiwa na mtu mmoja, wahusika walio wengi wanaishia kulia. Nadhani huku ni kuangamia kwa kukosa maarifa. Hivi wewe ushawahi kusikia kitu…
-
Kama Unataka Kubadili Dunia Fanya Haya Hapa
Unaendeleaje rafiki yangu Nimekutana na watu wengi wanaopenda kubadili dunia. Hata hivyo, cha kushangaza wamekuwa hawachukui hatua. siku leo, nimeona siyo vibaya, ngoja nikuandalie kitu kuhusu mabadiliko, kama unataka kubadili dunia fuatilia haya mafunzo. 1. Kama unataka kubadili dunia, tandika kitanda chako vizuri.(KITABU) Huu ni uchambuzi wa kitabu cha Make Your Bed kilichoandikwa na William…
-
Je, Viwanja Vya Zama Hizi Vimehamia Mtandaoni
Leo nimeona nifunguke mambo ya muhimu sana baada ya kuona kwamba dunia inazidi kubadilika kwa Kasi sana wakati Watanzania wenzangu wakiwa wanaendelea kuishi kama vile hakuna kinachotokea. Zamani ilikuwa kwamba mtu akiwa na mashamba makubwa au viwanja basi alikuwa anahesabika kuwa ana utajiri mkubwa sana. ila siku hizi hali inaonekana kama imebadilika. Nadhani wewe mwenyewe…
-
Kwa Nini Mpaka Sasa hivi huanzishi biashara yako?
Ngoja kwanza! Si ulisema mwaka 2020 kwamba utaanzisha biashara? Ilikuwaje? Nakumbuka mwaka 2021 ulisema ndio mwaka wako wa kufanya makubwa! Uliishia wapi? Mbona hilo wazo lako la kuanzisha biashara unarudia kulisema kila mwaka huku ukiwa huchukui hatua? Siku ya leo nataka nikudadavulie vitu vinavyokuzuia wewe kuanzisha biashara yako mwaka hadi mwaka na hatua unazoweza kuchukua.…
-
Dhana Ya Riba Mkusanyiko Kwenye Kipaji
Hakikisha unasoma: Kipaji Ni Nini? Mwanasayansi Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema “riba mkusanyiko (compound interest) ni moja kati ya maajabu saba ya dunia”. Dhana ya riba mkusanyiko imejengwa kwenye msingi kwamba vitu vidogo vidogo vidogo vinapokusanywa kwa pamoja kwa kipindi kirefu, basi inafikia hatua ambapo vitu hivyo vinatengeneza kitu kikubwa. Ukitaka kunielewa vizuri zaidi nikupe…
-
Mafanikio Sio Ajali
Mafanikio siyo kitu kinachotokea mara moja kama ajali, bali ni kitu ambacho kinatokea kwa kuandaliwa kila siku. Kwa hiyo mafanikio yako unapaswa kuyaandaa kila siku. Usisubiri ije itokee siku moja ambapo utaamka ukiwa umefanikiwa. Ishi kila siku yako kwa mafanikio. Maana mkusanyiko wa siku moja moja ndio unaleta mafanikio makubwa. Soma zaidi: Nguvu Ya Riba…
-
Tai Anatufundisha Somo Hili Kubwa Kuhusu Maisha Ya Mafanikio

Siku ya leo nataka tujifunze kutoka kwa tai. Kuna mengi ya kujifunza Kutoka kwa tai ila kwa leo acha twende na hili. Tai akitaka kumla nyoka anamnyanyua kwa nguvu na kwa spidi kali ambayo nyoka hawezi kuhimili mpaka juu, Kisha anamwachia. Nyoka akiwa bado hajaelewa kinachoendelea tai anamdaka haraka kabla hajadondoka chini na kupanda naye…
-
Amsha Uungu Ulio Ndani Yako: Siri Kuu Ya Mafanikio Kutoka Kwa Socrates
Socrates anaaminika kuwa miongoni mwa watu waliokuwa na busara katika ugiriki yote katika nyakati zake. Kipindi hicho kijana mmoja alimfuata kumwomba ushauri wa namna ya kufanikiwa. Kwa busara Socrates akamwambia njoo siku fulani. Yule kijana akawa kweli ametokea siku hiyo ili aambiwe siri ya mafanikio. Nadhani yule kijana alikuwa anataka njia ya mkato ya…
-
Kinachokukwamisha Wewe Kuandika Kitabu Chako Ni Hiki..
Kama Kuna kitu watu wamekuwa wanasema kwamba halijakaa sawa ni mfumo wa elimu. Umekuwa unalalamikiwa kwaKukaririsha watu vituKutokujjenga watu wenye ujuziKutokuwaandaa wahitimu kwa ajili ya maisha baada ya chuo n.k. Kwenye hili naweza kusema kuwa Kuna kitu kimoja watu huwa wanakisahau. Kitu hiki ni namna mfumo wa elimu unavyozuia watu kutumia uwezo wao mkubwa wa…
-
AMSHA UUNGU ULIO NDANI YAKO: Sifa 3 Za Kimungu Unazopaswa Kuzitumia Kuanzia Leo
Mwaka 2017 nilipata kusoma kitabu cha FROM VICTIM TO VICTOR. Nilipata kujifunza mengi sana Kutoka kwenye kitabu hiki kuliko unavyoweza kufikiria. Kitabu hiki kilichoandikwa na Mzimbabwe Joseph C. Musharika kina mafunzo mengi ambayo na wewe yanaweza kubadilisha maisha yako. Mwandishi amezaliwa katika familia ya kikristo kama ilivyo asilimia kubwa ya Waafrika. Kalelewa na kupewa…
-
Karibu kwenye Duka La Mtandaoni La Songa Mbele
Kuna msemo mmoja wa kilatini unasema kwamba furahi na wanaofurahi, huzunika na wanaohuzunika. Sasa leo hii siyo kwamba nahuzunika bali nina furaha na mimi nimeona nikukaribishe wewe ili nikumegee hii furaha. Si unajua hivi vitu vinaambukizwa? Furaha yangu ni kutangaza duka la mtandaoni ambapo wewe au mtu yeyote anaweza kuingia na kununua bidhaa itakayokuwa inapatikana…
-
Ninahitaji Watu 10 Nami Nitawafanya Kuwa Waandishi Wabobevu Ndani Ya Siku 30
Mwishoni mwa mwaka 2019 nilianzisha darasa maalumu la kufundisha uandishi. Ambapo katika darasa hili nilikuwa nafundisha mbinu za kiuandishi kwa mtu ambaye hajawahi kuandika kabisa au ambaye tayari ameanza kuandika ila hajaweza kubobea na kujenga nidhamu inayostahili katika uandishi. Katika darasa hili tulijifunza mbinu mbalimbali za kiuandishi na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi. Kwa…
-
Njia 7 Rahisi Za Kujenga Tabia Zitakazodumu
Katika familia au maeneo yaliyo mengi muda wa kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana au cha jioni unajulikana, muda huo ukifika unakuta majukumu yaliyokuwa yanafanyika yanahairishwa kwa ajili tu ya kukamilisha jukumu la kupata chakula kwa wakati husika. Ukifika muda wa chakula hakuna mtu anayejiuliza mara mbili tatu kwamba aende kula muda huo au la…
-
MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA
Kama kuna shida ambayo inawakabili vijana walio wengi kwenye ulimwengu wa leo basi ni kitu kinachoitwa mtaji. Mtaji limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi na hata watu wazima, hata hivyo nipende kusema kwamba hakuna sifa yoyote kwenye kutokuwa na mtaji. Kuna watu ambao kila mwaka wanalalamika kwamba hawana mtaji, unaweza kukuta kwamba mtu…
-
Hiki Kitu Nilichoambiwa Kuhusu Wewe Ni Cha Kweli?
Hivi ni kitu gani huwa kinakupa furaha na kupata hali ya ukamilifu kwenye maisha yako?Mwaka 2013 chuo kikuu cha North Carolina kwa ushirikiano na watafiti wa UCLA. Walifanya utafiti na kugundua kuwa moja ya kitu kinachowafanya watu furaha ni ile hali ta kukamilisha jukumu au kitu ambacho mtu amekuwa anatamani kufanya kwa siku nyingi. Looh,…
-
Jinsi ya kufanyia wazo majaribio kwenye soko
Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu ya shahada ya kilimo cha bustani, nilikuwa napenda sana kupiga hesabu za mazao mbalimbali ya kilimo na baadhi ya rafiki zangu kwa wakati huo. Kila tulipokuwa tukikaa na kupiga hesabu za zao fulani, ilikuwa inaonekana faida tu, tena faida kubwa sana. Nakumbuka kwa mfano siku moja tulipiga…
-
Kama kweli umejitoa na unataka kujifunza kwa kina kuhusu uandishi, BASI SOMA HAPA
Mwaka 2016 nilipoanza kuandika ulikuwa ni mwaka ambao niliamua na kujitoa kuwa ninaenda kujifunza kwa kina kabisa kuhusu uandishi. Tokea mwaka huo nimejifunza na kusoma vitabu vingi kuhusu uandishi. Nimesoma makala za kutosha kuhusu uandishi. Siyo hilo tu, nimefanyia kazi vitu vingi nilivyosoma na kuviweka katika matendo kwa kuandika vitabu 17 makala zaidi ya elfu…
-
Kama upo chuoni na una mpango wa kujiariri; fanya hivi. Mwongozo kujiajiri baada ya kumaliza chuo
Nakumbuka nikiwa kidato Cha tano nilitamka kauli ambayo mpaka leo hii imekuwa mwongozo mkubwa kwangu; nilisema kwamba; kwa vyovyote vile kazi yoyote ile nitakayoifanya maishani mwangu nitahakikisha naifanya kwa ubora na watu nitakaokuwa nawahudumia watafurahia. Kipindi hicho nilikuwa na ndoto za kuja kuwa daktari wa binadamu au mwalimu. Si unajua ukisoma PCB unakuwa na mikogo…
-
KWA NINI UNAPASWA KUHUDHURIA DARASA RASMI YA UANDISHI 2022
Jana nilitangaza rasmi kuwa kutakuwa na kozi ya uandishi kwa mwaka huu 2022 ambayo inaenda kuanza tarehe 16 machi, kozi hii itakafanyika kwa njia ya mtandao. Kutangazwa kwa kozi hiyo ni kiashiria kuwa unapaswa kuwahi nafasi yako mapema. Hii kozi hii ya uandishi. Ni kozi ya kipekee sana ambayo huwezi kupata sehemu yoyote mtandaoni. Nasema…
-
Karibu Kwenye Darasa Rasmi La Uandishi Mwaka 2022
Tangu mwaka 2019 nimekuwa naendesha darasa la uandishi ambapo huwa ninakaa na watu watano na kuwafundisha uandishi kwa kina. Darasa hili la kipekee ambalo huwa naliendesha kwa watu wachache tu, huwa linafanyika kwa njia ya mtandao, huku nikiwa na lengo la kuwafundisha na kuwanoa hao watu wachache na kuwafanya waandishi wabobevu. Kila mwaka darasa hili…
