-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-5 (Mwanzo Wa Hisa)
Utajiri wa mataifa Ukurasa wa 50-53 Mwanzo wa Hisa Kadri ninavyoendelea kusoma kitabu hiki hapa, ninaendelea kugundua jinsi ambavyo mataifa yaliweza kujitengenezea utajiri na kufika yalipo. Kuna vitu vingi sana vya kujifunza kwenye kitabu hiki hapa. Moja ya maswali ambayo nilikuwa najiuliza hivi hisa zilianzaje?Maana sasa hivi utasikia watu wanasema, nimenunua hisa za Vodacom. Au…
-
Kitu Kimoja Ambacho Utakipata Endapo Itasoma Kitabu Kimoja Kati Ya hivi Hapa
Habari ya leo rafiki yangu. Hongera kabisa kwa nafasi hii ya kipekee sana ya leo. Leo ni tarehe 23 oktoba 2018 mpaka sasa ninapoandika makala haya, zimebaki siku 69 mwaka huu kuisha. Kama mwaka huu uliweka malengo ya kufanya kitu, basi sasa umefika wakati wa kujiuliza umefikia wapi kwenye kuyatimiza malengo yako?? Sasa leo naomba…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-4 (Kupanda Na Kushuka Kwa Thamani Ya Pesa-2)
Utajiri wa Mataifa Ukurasa 47-50 Kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa. Imani yangu kwamba unaendelea kufuatilia kwa umakini chambuzi hizi hapa, tangu tumeanza mpaka hapa tulipo. Bado tunazidi kusonga mbele mpaka kieleweke. Soma Zaidi: THE WEALTH OF NATIONS-3 (kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa) “Kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa hufuata kanuni…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS:-3 Kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa
Utajiri wa Mataifa Ukurasa wa 37-47 Kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa Jana tuliona historia ya pesa ilivyoanza na tukaishia kuzungumzia kitu kinachojulikana kama thamani.Nilisema kwamba thamani ya kitu hutofautiana na leo tunaenda kuona vitu viwili vya awali vinavyofanya pesa iwe na thamani ya juu au chini. Soma Zaidi: UCHAMBUZI WA KITABU; WEALTH OF…
-
Maeneo Matatu Unayoweza Kuwekeza Kama Hauna Pesa/Mtaji
Moja kati ya vilio vya watu wengi linapokuja suala la kuazisha biashara, basi ni kilio cha MTAJI. Utasikia watu wanasema, ningependa kuanzisha biashara fulani ila mtaji.Ningependa kuwekeza sehemu fulani ila mtaji sina. Kitabu Hiki Kipo Kwa Ajili YakoTsh.5,000/- Kama wewe kilio chako kimekuwa hiki kwa siku sasa, naomba nikwambie kwamba kuna maeneo matatu ambayo unaweza…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-2
Ukurasa wa 27-37 Utajiri Wa Mataifa “Katika miaka ya zamani, tunakuta kwamba vitu vilipewa thamani kulingana na idadi ya ng’ombe, mfano silaha ya kujikinga wakati wa vita (armour) iliyokuwa inatoka maeneo ya Diomede, ilikuwa sawa na ng’ombe tisa. Wakati silaha hiyo hiyo kutoka maeneo ya Glaucus ilikuwa ni sawa na ng’ombe mia. Chumvi ilikuwa ni…
-
UCHAMBUZI WA KITABU: THE WEALTH OF NATIONS Utajiri Wa Mataifa
Ukurasa 17-27 Habari ya siku hii njema rafiki yangu. Kuna nyakati huwa zinakufanya unakuwa na maswali mengi sana na pengine hupati kabisa majibu ya maswali haya.Mimi ni miongoni mwa watu wenye maswali mengi sana ambayo huwa najiuliza ila kadri ninavyosoma vitabu ninapata majibu na kunufaika na majibu hayo.Mfano baada ya kukua na kuona jinsi watu…
-
IFAHAMU NGUVU YA KUTOA NA JINSI UNAVYOWEZA KUITUMIA KWA MANUFAA YAKO
Moja kati ya kitu ambacho kimezoeleka sana miongoni mwa watu ni kupokea. Kila iitwayo leo, mtu anapenda kupewa na kupewa na kupewa. Hivi kwa mfano sasa hivi ukikutana na mheshimiwa Raisi Magufuli, kitu gani kitakuja kwako kwanza?Je, utafikiri kwamba akupe mtaji wa kuanza biashara?Au utafikiri juu ya kukusaidia kupata ajira?Je, utapenda akupe gari zuri la…
-
YAH: ZAWADI YA SIKU YA WASICHANA DUNIANI
Jana tarehe 11 oktoba ilikuwa siku ya WASICHANA DUNIANI. Dunia nzima imekuwa mstari wa mbele siku ya jana kusherehekea sikukuu hii. Sikukuu hii ikianza kushrehekewa mwaka 2012. Na sasa inasherehekewa takribani dunia nzima.Siku hii inafamika kama INTERNATIONAL DAY OF GIRLS au siku ya kimataifa ya wasichana. Sasa kama sehemu ya kusheherekea siku hii. Zawadi ilitoloewa…
-
Kama Furaha Yako Inatokana na Kitu Hiki Hapa, Basi Jua Kwamba Sio Furaha Ya Kweli
Rafiki yangu, hongera sana. Leo ni siku njema sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii.Ni siku ya kipekee sana kwetu kuchukua hatua kubwa sana.Ni siku ya kipekee kuongeza mtandao wa watu wanaotufahamu.Ni siku ya kipekee kwetu kutimiza malengo yetu.Ni siku ya kipekee kwetu kuimarisha akili zetu na kujenga akili zetu kwa namna ya upekee sana. Yaani…
-
Hii Ndiyo Sehemu Unayoweza Kukimbilia Pale unaposhindwa Kutimiza Malengo Yako
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo ni tarehe 10 ya mwezi wa 10, 2018. Zikiwa zimebaki siku 82 tu, mwaka huu kuisha. Kama mwaka huu ulikuwa umeweka malengo makubwa sana sasa umefika wakati wa wewe kujiuliza ni wapi umeweza kufika katika suala zima la kutimiza malengo yako ya mwaka huu.…
-
Hii Ni Njia Rahisi Ya Kuhairisha Kitu Ulichopanga Kufanya
Naam, leo ni siku nyingine ambapo tunaenda kufanya mambo mengine,Makubwa kwa makuvwa zaidi pengine,Ili tuendelee kutengeneza kesho bora nyingineItakayopendeza sana zaidi ya leo. Hongera sana rafiki kwa siku hii bora. Kuna mtu kila siku utamkuta anasema, kesho nitafanya hiki.Ukikutana naye baada ya siku na kumuuliza, vipi tayari umeshafanya shughuli yako, utasikia anasema, yaani nilikwama kidogo…
-
Hatua Nne za Ukuaji Katika Uongozi
Kwa kawaida kila kitu huwa kina wakati wake. Kuna wakati wa kupanda wa kupanda na wakati wa kuvuna. Katika maeneo yote ya maisha, yaani afya ya mwili, afya ya akili, afya ya roho, pesa, mahusiano na jamii pamoja na mahusiano na familia.Huwezi kuwa kwenye kipindi kimoja kwa wakati mmoja.Huwezi kuwa kuwa unapanda, unapalilia na kuvuna…
-
Kama Una Tabia Hii, Jua Kwamba Unakosa Kitu Hiki
Kuna kitu huwa kinanishangaza, mtu anakuwa na pesa ila anasema ngoja niiweke weke tu kwenye nguo. Au vitabu vyangu.Siku nikikutana nayo na sina pesa pesa nitafurahi. Mtu anaweka pesa yake ovyo ovyo, eti siku akivaa nguo akakutana nayo bahati mbaya basi atafurahi.Au anasubiri siku akipigika ndio anaanza kufurumusha nguo zake aangalie kama kuna pesa. Je,…
-
Ukisikia Fulani Ni Kiongozi, Basi Jua Anafanya Hivi
Hongera sana rafiki kwa siku hii njema sana ya leo.Leo ni jumamosi ya tarehe 06 oktoba 2018.Ni siku ya kipekee sana ambayo unapaswa kuitumia kuhakikisha unaweza kufikia ndoto zako. Kwa sasa hivi nafundisha sana masomo ya uongozi, na makala zangu nyingi zijazo mbali na kwamba nitaongelea vitu vingine lakini suala la uongozi nitaliongelea kwa undani…
-
Unapaswa Kuwa Na Uwezo Wa kutenganisha Kitu Hiki Na Biashara Yako
Rafiki yangu, hongera sana kwa nafasi nyingine ya kuishi. Leo hii ni siku ya kipekee sana.Swali la kwanza unalopaswa kujiuliza siku ya leo?Nimepewa uhai tena ili nifanye nini? Swali la pili je, nitafanya nini leo kitakachoongeza thamani kwa watu, ndani ya siku ya leo? Kumbuka kwamba kila siku ni siku yako wewe kukua na kuhakikisha…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-011
“Kama mabadiliko pekee unayosheherekea kwenye maisha yako ni sherehe ya kuzaliwa, basi bado hujaanza kuishi” Rafiki, naomba nikuulize swali, hivi ni lini watu walikaa na kushangilia mafanikio na mabadiliko yaliyokuwa yametokea kwenye maisha yako? Je, ni siku ile ulipofanya sherehe ya kuzaliwa? “Kama mabadiliko pekee unayosheherekea kwenye maiaha yako ni sherehe ya kuzaliwa, basi bado…
-
Kitu Hiki Ndicho Kinapaswa Kukusukuma Kuwa Kiongozi
Kwanza kabisa napenda nikwambie kwamba wewe ni kiongozi. Haijalishi kwamba unafanya kazi ya kufagia, au wewe unadeki ofisi fulani. Wewe ni kiongozi. Ufahamu Ufalme Wa Mteja Na Jinsi Ya KumhudumiaMwananchi, septemba 27 2018 Haijalishi unafundisha wanafunzi wa awali tena chini ya uongozi wa mtu fulani. WEWE NI KIONGOZI Haijalishi wewe ni mjasiliamali, umeajiriwa, umejiajiri, umefukuzwa…
-
Nnavyoiona Miaka Mitano Ijayo Na Jinsi Utakavyoachwa Nyuma
Kwanza kabisa nashukuru sana uwepo wa elimu hii ambayo tunaendelea kuipata kutoka walimu na watu mbali mbali wanaojitoa kila siku kuhakikisha wanakupa wewe maarifa ya kukutosha. Kwa hakika inatia moyo. Maarifa yanayotolewa na yanayopatikana kwenye blogu ya SONGA MBELE, yana lengo la kukuelimisha wewe, kukuamusha na kukusaidia ili ufanye makubwa. Lakini kikubwa ni kwamba wewe…
-
Hivi Ndivyo Unapaswa Kuishi Maisha Yako
Sasa hivi tunaishi katika ulimwengu ambao ni rahisi sana kupeleka kifaa kwenye mwezi kuliko ilivyo rahisi kumtmbelea rafiki yako.Tupo kwenye ulimwengu ambao ni rahisi sana kuongea na watu wa mbali tukawasahau watu wetu wa karibu.Tupo kwenye ulimwengu ambao ni rahisi sana ku kuchati na kuzurura kwenye mitandao ila kujikuta tunasahau kazi zetu. Wakati haya yote…
