Author: Godius Rweyongeza

  • Matendo Hutibu Uoga

    Moja kati ya vitu ambavyo husumbua sana akili za watu ni uoga. Uoga upo na unasumbua san akili za watu uoga unaweza kukufanya ushindwe kuchukua hatua fulani. Uoga ambao watu wengi wanao ni wa kisaikolojia.  Uoga, hofu, mvutano vyote hutoka kwenye mawazo hasi. Uoga si kitu kizuri cha kukumbatia hata kidogo. Uoga ni adui nambari…

  • Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo

    Habari ya leo rafiki yangu na ndugu yangu naamini unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Ni kawaida sana mtu akikua huwa anaanza kujivunia mambo makubwa sana aliyoyafanya akiwa mdogo au katika enzi za ujana wake. Utasikia mtu anakwambia nilipokuwa mdogo nilikuwa nacheza mpira wa miguu vizuri sana, yaani kama ningekosa basi siku hiyo mechi…

  • Utavuna Ulichopanda; Hii ndiyo Sheria Kuu Ya Asili

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika kupiga hatua ili uweze kufikia mafanikio. karibu sana katika makala yangu ya leo ambapo tunaenda kujifunza sheria moja kuu ya asili. Watu wengi wamekuwa na imani  kwamba baadhi ya mambo ambayo hutokea, basi hutokea kwa bahati tu.Hakuna kitu (kiwe kizuri au kibaya) ambacho…

  • Hii ndiyo Maabara Pekee Ambayo Kila Mtu Anayo

    Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Leo hii tunaenda kuangalia maabara pekee ambayo kila binadamu anayo, kila sehemu na anaweza kutembea nayo popote pale aendepo Maabara ni sehemu ambapo wanasayansi hufanya majaribio ya kusanyansi. Hivyo maabara ipo kwa ajili ya watu kufanya utafiti…

  • Vitabu Vitatu Vya Kusoma Kabla Mwaka Huu Haujaisha

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu yangu. Ni imani yangu unaendelea vyema katika safari yako ya kuelekea mafanikio.Leo nataka nikushirikishe vitabu vitatu ambavyo vitakusaidia kupiga hatua kubwa sana ili uweze kufikia mafanikio. Vitabu hivi vimewasaidia watu wengi sana nikiwemo mimi. Naamini vitakusaidia na wewe kama utaamua kuvisoma. Jitahidi sana usome vitabu hivi kabla ya…

  • Mbinu Za Kukusaidia Kufikia Ndoto Yako Kabla Mwaka Haujaisha

    Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu.  Leo ni siku nyingine mpya ambapo kama kawaida yetu tunaenda kuitumia siku ya leo vizuri katika kuongeza maarifa na kufanya kazi zetu vizuri ili kuweza kufikia mafanikio. Leo pia ni siku ambayo tumeuanza mwezi mpya na mwaka wetu unakaribia ukingoni. Swali la kujiuliza Je, mipango yako uliyoiweka…

  • Je, wewe Una Matamanio Au Ndoto?

    Kwa kawaida kila mtu huwa ana kuna vitu vuzuri ambavyo angependa kuvifikia maishani mwake. Ni mafanikio ambayo hupenda kuyafikia. Mambo yote ambayo binadamu hufikria huweza kuwekwa katika makundi mawili. # Kundi la kwanza ni matamanioHili ni kundi ambalo mtu huwa anataka kuwa mtu fulani au kufikia mafanikio fulani bila kuweka juhudi. Ebu tuchukulie mtu anataka kuwa…

  • Je Shule na Maisha Vinaendana?

    Habari za leo rafiki na msomaji wa SONGA MBELE BLOGNi imani yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio ambayo umeipanga.Leo tunaenda kuona mambo fulani ambayo huwa tunajifunza shuleni lakini katika hali halisi ya maisha huwa ni tofauti. Kwa kawaida watu wengi sana wana mtazamo kwamba wasome au wasomeshe watoto, katika shule nzuri, wapate maksi nzuri…

  • Hili ni Kosa Amabalo Watumiaji Wengi wa Mtandao Hufanya

    Habari za leo msomaji wa SONGA MBELE BLOGNi imani yangu unaendelea vyema kupiga hatua na kuweza kufikia mafanikio. Hongera sana kwa siku njema ya leo na karibu sana katika somo la leo. Ni ukweli kwamba watu wengi hupenda kushinda katika mitandao ya kijamii wakichati na kubadilishana mawazo na marafiki zao. Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya…

  • Mambo Ya Kufanya Kabla na Baada ya Semina

    Kwa kawaida katika semina huwa tunapata nafasi ya kuungana na kukutana na watu wengi sana. Watu waliotoka maeneo mbalimbali na kila mtu akiwa na shughuli zake anazofanya. Utakutana na watu waliovaa vuzuri na kupendeza na wengine wakiwa wamevaa kawaida. Je, wewe utaongea na akina nani? Je, utawaambia nini hawa? Hapa ndipo walipo marafiki zako wapya…

  • Hili ni Jambo la Pekee Ambalo Huwezi Kuliepuka

    Habari za leo ndugu msomaji wa SONGAMBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio. Leo hii tunaenda kujifunza jambo la muhimu na pekee sana ambalo huwezi kuliepuka. Jambo hili utapaswa kulifanya kila siku ili maisha yako yaweze kufikia mafanikio.Je jambo lenyewe ni lipi? Soma; Ukweli Kuhusu Safari ya Mafanikio Jambo lenyewe ni mabadiliko.…

  • Hiki Ndicho Kitu Ambacho Wewe Unacho, Peke Yako.

    Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa najiuliza swali “ kwa nini  mambo mapya yanazidi kugundulika kila siku?Sikuwahi kupata jibu zuri la mambo haya mpaka pale nikipomaliza kidato cha sita, ndipo nilipokuja kugundua jambo hili. Swali jingine nililokuwa nikijiuliza ni  “ je, kuna uwezekano wa kugundua mambo mapya kila siku”.  Ni mara myingi sana mimi na rafiki zangu…

  • Maneno ya Kuepuka Kuongea Kila Siku.

    Unapohitaji kupata kitu ambacho hakimo kwenye bajeti usiseme “siwezi kupata hicho”Watoto wako wanpohitaji kwenda kucheza na kujumuika na wenzao usiwaambie “sina uwezo”Mke wako anapotaka vazi zuri usimwambie “ hatuna uwezo.” Usiwe na mtazamo huu wa uhaba Badala yake ukihitaji kitu kizuri jisemee  “ nitakipata “Hata kama hauna pesa karibu ya kununua kile unachohitaji. Angalia kwanza…

  • Ifahamu Tofauti Kati Yako na Huyu.

    Matokeo yako ya sasa hayana cha kufanya na maisha yako ya baadae.Hivi kama wewe kwa sasa ni maskini ni kweli kwamba wewe utaendelea kuwa maskini?Hivi kama wewe unaingiza elfu kumi kwa siku ni kweli kwamba utaendelea kuwa unaingiza elfu kumi. Soma;Ijue Siri YaBabiloni kuwa mji tajiri kuliko yote duniani Hapa jibu la haraka ni hapana.…

  • Je, Unafahamu Una Uwezo Sawa na Hawa Watu?

    Nashangazwa sana na uwezo wa binadamu. Huwezi kusema huyu atakuja kuwa hivi kwa sababu ya kumwangalia machoni. Kuna watu wengi sana wamefikia mafanikio kwa kutokea sehemu ambazo hazitegemewi. Wengine hukumbana na majanga au hatari kubwa sana lakini bado huweza kufikia mafanikio makubwa sana. Wapo waliozaliwa wakiwa na udhaifu fulani lakini bado wameweza kufikia mafanikio makubwa!…

  • Zifahamu Faida za Kuwa na Biashara Yako Mwenyewe

    Je, umeshawahi kufikria juu ya kuwa na biashara yako mwenyewe. Je, unajua ni faida gani utazipata pale utakapokuwa na biashara yako mwenyewe?Karibu ndugu msomaji wa songa mbele blog ili kwa pamoja tuweze kujifunza faida utakazozipata pale utakapokuwa na biashara yako mwenyewe. 1.  Wewe ndio mwongozajiUnapokuwa na biashara zako wewe ndio unakuwa kiongozi wa biashara yako…

  • Je, Unaijua Kauli Haribifu Kwenye Maisha Yako?

    Hii ni kauli moja ambayo watu wengi sana hupenda kuitumia.  Kauli hii watu wengi sana hupenda kuitumia sana hasa pale mtu anapoogopa atafanya jambo na atashindwa. Kauli hii ni mbaya sana maana husababisha watu kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.Je kauli hii ni ipi?Kauli ye hewe ni hii hapa  “itakuwaje”?Watu wengi sana hupenda kusema  itakuwaje…

  • Ijue Siku Rafiki Kwako

    Leo ni siku nzuriLeo ndio rafiki yakoLeo ishakuwaLeo ndo muda pekee ulionao Kama leo ndo ingekuwa siku pekee ya kuishi duniani ungeitumiaje? Leo ni muhimuMara nyingi tunaisahau leo. Hatuishi leo. Hatuthamini muda tulionao leo, na kufikiri tunasubiri mpaka kesho.Hata hivyo kesho huwa haifiki.Kesho hutupa matumaini.Lakini leo yako inaonekana katika kile tunachokifanya. Leo ndo rafiki yakoKesho…

  • Unahitaji Kufanya Haya Kila siku.

    Katika safari ya kuekekea mafanikio kuna mambo ambayo unahitaji kufanya kila siku ili uweze kufikia kila siku kwenye njia ya mafanikio.Mambo hayo nitayaekekeza hapa chini kama ifuatavyo. 1. Kusoma vitabu.Siku bila kusoma lazima ujisikie mnyonge. Hii ni kwa sababu unakosa maarifa mengi sana kutokana na kutosoma vitabu. Ili tuweze kukuza maarifa ya akili zetu tunahitaji…

  • Tabia Tano(05) Zitakazokufanya uwe na Maisha ya Furaha

    Sote tunahitaji kuwa na maisha bora na  furaha kwenye maisha yetu. Lakini  huwa tunakutana na vikwazo na matukio ambayo hutufanya tusiwe na furaha.Mambo hayo yanaweza kuwa kushughulika na watu wabaya, kufanya kazi maeneo tusiyoyataka na mipango kutokamilika. Hayo na mengine mengi huweza kutuondolea furaha, kuridhika na kuharibu mtazamo wa akili  zetu Kuna uzoefu mbaya wa…

X