Author: Godius Rweyongeza

  • Njia Ya Kutumia Kumfanya Mtu Afanye Kile Unachotaka

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blog ya SONGA MBELE imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kuelekea mafanikio.  Karibu sana katika makala ya leo Njia moja ambayo unaweza ambayo unaweza kuitumia chini ya jua na kufanya mtu afanye kitu chochote. Njia ambayo inaweza kukusaidia kushurikiana na wafanyakazi wako vizuri. Njia ambayo itakufanya kushirikianana wanafunzi…

  • Je Wewe Ni Kiongozi Au Mfuasi?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blog ya SONGA MBELE imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kuelekea mafanikio. Karibu sana katika makala ya leo.Uongozi ni sanaa ya ushawishi na kuhamasisha watu kufanya zaidi ya kile amabacho wamewahi kufikria katika harakati za kufikia mafanikio Hii siku zote haina chochote cha kufanya na haiendani na hadhi…

  • Kama Rasilimali Zipo Tatizo Ni Nini?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blog ya SONGA MBELE imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kuelekea mafanikio. Karibu sana katika makala ya leo.Habari za kuhusu kuendelea na  kukua kwa uchumi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla  ni jambo ambalo limekuwa linazungumziwa kwa muda mrefu sasa. Wanasiasa, watalii, wanauchumi wasomi  na watu wengine wengi…

  • Tabia Ya Wanadamu Ambayo Wewe Unapaswa Kuiepuka

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blog ya SONGA MBELE imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kuelekea mafanikio. Karibu sana katika makala ya leo. Kwa kawaida wanadamu huwa tuna mtazamo tofauti kuhusu jambo moja. Wakati katika jambo fulani kuna kundi la watu wanaunaona uzuri katika jambo hilo hilo kuna watu wanauona ubaya. Wakati kuna…

  • Je, hadhi ni nini?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Imani yangu unaendelea vyema katika hatua kuelekea na kufikia mafaninkio. Karibu sana katika makala yetu ya leo. Hadhi  ni nafasi ambayo mtu anayo. Katika makala ya leo tutajikita katika hadhi ya kijamii. Hadhi ya kijamii ni nafasi ambayo mtu anayo katika jamii.  Mfano Yakobo an…

  • Je, Kupenda Pesa Ni Chanzo Cha Maovu?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blog ya SONGAMBELE; karibu sana katika Makala yetu ya leo ambapo tunaenda kuona kama kupenda pesa ni chanzo cha maovu. Hapa tutaona vipengele muhimu vinavyotuonesha kuhusu kile tunachoenda kujadiliana. Wiki iliyopita tulijadili kuhusu suala zima la pesa ni nini?  Kama hukusoma Makala ya wiki iliyopita unaweza kubonyeza…

  • Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Umasikini Wa Kipesa.

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji waSONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendeleavyema katika hatua ya kutafuta na kuelekeamafanikio.Karibu sana katika makala yetu yaleo. Je, nawezaje kuondokana na umaskini wa kipesa? Je nawezaje kuingiza pesa kwenye mzunguko ikawa msaada mkubwa kwangu? Siku zote pesa haionekani kutosha. Kuongezeka kwa mshahara hakuonekani kuondoa matatizo ambayo mtu…

  • Pesa ni nini?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Pesa ni kitu ambacho kimekuwa kikizungumuziwa sana. Tofauti na raslimali nyinginezo ambazo unaweza kuzingumuzia  (ardhi, muda, maji, madini, nguvu, hewa ) pesa peke yake ndiyo raslimali ambayo…

  • Hili Ni Jambo Linalokuzuia Kufika Unapotaka

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Sio jambo la kushangaza sana kusikia mtu anasema “amekwama”. Mtu aliyekwama anapoteza mwelekeo, yupo njia panda na hajui afanye nini? Je wewe umewahi kuwa katika hali…

  • Niambie Rafiki Zako Nikwambie Tabia Zako

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Hivi umewahi kufikiri ulimwengu bila marafiki utakuwaje? Bila shaka ungekuwa mbaya sana!! Moja sifa ya binadamu ni kujamiiana na watu na kutengeneza marafiki. Katika suala zima la kupata…

  • Hii Ni Sentensi Iliyonichekesha

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kuelekea na kufikia mafanikio. Karibu sana kwenye makala yetu ya leo. Jana nilikuwa nasoma kitabu cha FROM VICTIM TO VICTOR ambacho kimeandikwa na mwandishi Joseph Chabalika Mushalika. Kuna mambo mengi sana nimepata kujifunza ila kwa leo ningependa…

  • Mambo Matano (05) Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Jambo Lolote

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua kutekeleza na kufikia malengo yako ili uweze kufikia mafanikio. Karibu sana katika mada yetu ya leo. Katika mada yetu ya leo tutaanza kwa kuona stori nzuri kutoka kwenye Biblia (kitabu cha mwanzo 11:1-5)Nchi yote ilikuwa na lugha…

  • Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo – 2

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG, ni imani yangu unaendelea vyema katika harakati za kuelekea mafanikio. Karibu sana katika makala yetu ya leo.  Makala yetu ya leo ni mwendelezo wa makala ya wiki iliyopita, kama hukusoma makala ya wiki iliyopita unaweza kuisoma HAPA Basi siku zikaendelea na hatimaye mtotoakapata kazi na…

  • Huu Ni Ugonjwa Hatari Unaokusumba Sana

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa mtandao wa SONGA MBELE. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kufikia malengo yako na mafanikio. Karibu sana katika makala yangu ya leo Kuna ugonjwa mmoja ambao huwa unasumbua watu wengi sana. Ukiongea na watu kumi basi utagundua kati ya hao kumi, saba mpaka tisa wana…

  • Hili Ndilo Duka Lako Lenye Kila Kitu.

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema ili kufikia mafanikio na kuwa na maisha bora. Karibu sana katika makala yetu ya leo.Leo tunaenda kuona duka lako lenye  kila kitu. Duka hili unaweza kulitumia kila siku popote pale ulipo na kukusaidia kufikia hatua kubwa ya mafanikio. Soma zaidi hapa: Hii Ndiyo Maabara…

  • Huu Ndio Ujumbe Aliouandika Raisi Wa Marekani

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio na karibu sana katika makala yetu ya leo. Katika makala yetu ya leo tunaenda kuona ujumbe mzuri ambao tunaweza kuupata kutoka kwa rais wa Marekani  Mheshimiwa Donald Trump. Ujumbe huu ameuandika katika vitabu vyake vingi sana vikiwemo vitabu…

  • Matendo Hutibu Uoga

    Moja kati ya vitu ambavyo husumbua sana akili za watu ni uoga. Uoga upo na unasumbua san akili za watu uoga unaweza kukufanya ushindwe kuchukua hatua fulani. Uoga ambao watu wengi wanao ni wa kisaikolojia.  Uoga, hofu, mvutano vyote hutoka kwenye mawazo hasi. Uoga si kitu kizuri cha kukumbatia hata kidogo. Uoga ni adui nambari…

  • Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo

    Habari ya leo rafiki yangu na ndugu yangu naamini unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Ni kawaida sana mtu akikua huwa anaanza kujivunia mambo makubwa sana aliyoyafanya akiwa mdogo au katika enzi za ujana wake. Utasikia mtu anakwambia nilipokuwa mdogo nilikuwa nacheza mpira wa miguu vizuri sana, yaani kama ningekosa basi siku hiyo mechi…

  • Utavuna Ulichopanda; Hii ndiyo Sheria Kuu Ya Asili

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika kupiga hatua ili uweze kufikia mafanikio. karibu sana katika makala yangu ya leo ambapo tunaenda kujifunza sheria moja kuu ya asili. Watu wengi wamekuwa na imani  kwamba baadhi ya mambo ambayo hutokea, basi hutokea kwa bahati tu.Hakuna kitu (kiwe kizuri au kibaya) ambacho…

  • Hii ndiyo Maabara Pekee Ambayo Kila Mtu Anayo

    Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Leo hii tunaenda kuangalia maabara pekee ambayo kila binadamu anayo, kila sehemu na anaweza kutembea nayo popote pale aendepo Maabara ni sehemu ambapo wanasayansi hufanya majaribio ya kusanyansi. Hivyo maabara ipo kwa ajili ya watu kufanya utafiti…

X