Author: Godius Rweyongeza

  • Miaka 20 Iliyopita Miaka 20 Ijayo

    Tupo katika dunia ambayo mambo yake yanabadilika kila siku asubuhi mchana na jioni. Kutokana na  mabadiliko hayo basi sisi wenyewe tunahitaji kubadilika. Maana ni asili kwamba vitu lazima vibadilike. Miaka 20 iliyopita intaneti ilitumika kwa ajili ya kutuma na kupokea e-mail lakini leo mambo yamebadilika. Miaka 20 kujifunza ilikulazimu uende darasani ukamsikilize mwalimu, leo hii…

  • Ifahamu Tofauti Kati Ya Kupenda Na Kupata

    Habari za leo na ndugu msomaji wa blogu ya songa mbele karibu sana katika makala ya leo ili tupate kujifunza kitu kipya cha kutufanya tusonge mbele Mara nyingi watu wanachanganya kati ya kupenda na kupata kitu. Kupenda kitu ni tofauti sana na kupata. Mfano mtu akisema napenda kupata gari ni tofauti kabisa na kupata gari…

  • Vunja Pingu Hizi

    Watu wengi wanatumia muda mwingi sana katika mitandao ya kijamii. Kati ya masaa nane ya kazi basi unakuta anatumia masaa matatu mpaka manne kwenye facebook.Kati ya masaaa kumi ya kuwa darasani ya mwanafunzi wa chuo basi matano anayatumia katika mtandao. Baada ya hapo mtu anatumia muda uliobaki katika kuangalia tv na kuangalia filamu. Wanavutiwa sana…

  • Kuwa Na Sababu

    Kila kitu ambacho kipo lazima kuna sababu ya kitu kile kuwepo na kitu chochote ambacho kinafanyika lazima kuna sababu ya kitu kile kufanyika. Lazima kuna sababu ya wewe kufanya kitu kile ambacho unafanya sasa hivi. Kama unanona unafanya kitu bila ya kuwa na sababu basi nakushauri acha kufanya sasa na anza tena Acha ili uweke…

  • Watu Sita Waliokuzunguka

    Wewe ni tofauti na mtu mwingine yule kwa wastani wa watu sita waliokuzunguka.  Kwa lugha nyingine naweza kusema kwamba maisha yako ni wastani wa maisha ya watu sita waliokuzunguka. Tabia zako, kipato chako, na matendo yako yote ni sawa na kuchukua wastani wa wa tabia, matendo, na kipato cha watu sita waliokuzunguka. Kumbe kama umezungukwa…

  • Yaboreshe Mazingira Yako Fanya zaidi.

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu ya songa mbele. Karibu sana katika makala ya leo. Kila mtu kakulia katika mazingira tofauti  na ya mwenzake. Mazingira haya ni kuanzia nyumbani, shuleni na jamii kwa ujumla. Kama umekulia kwenye mazingira linapotumika jembe la mkono basi utakuwa na utaalamu na ujuzi wa kulitumia jembe la…

  • Wiki Moja Bila Habari

    Tupo katika ulimwengu ambapo habari zinasambaa kwa kasi kubwa sana. Tupo katika ulimwengu ambapo habari inaweza kuizunguka dunia nzima ndani ya dakika tano jambo ambalo halikuwahi kutokea miaka ishirini iliyopita. Gazeti lenye habari hasi linauza sana kuliko gazeti lenye habari chanya, au gazeti lenye historia ya mtu maarufu sana Gazeti lenye habari inayoeleza janga fulani…

  • Hili Hapa Jambo La kuogopa

    Muda  ambao mtu anaupoteza akiwa na hasira,Nguvu ambayo mtu anaipoteza akiwa na hasira, kupiga majungu na kuwachukia watu unatosha sana kumfanya kuwa tajiri katika maisha yake yote. Nwanadamu anapoteza robo tatu ya maisha yake yote bila kufanya kitu.Napolleon HillKatika maisha yangu sijawahi kusikia kwamba mtu kafaidika kutokana na hasira. Sijawahi kusikia kwamba hasira imezalisha kitu…

  • Vutia Kwako Tabia Hizi.

    Habari za leo rafiki na ndugu yanguKaribu sana katika makala ya leo. Ili kufikia mafanikio na kufikia sehemu ambayo inaonekana iko juu sana katika ulimwengu wa mafaniko unahitaji kuwekeza sana kwa kuweka nguvu, muda, lakini pia kutafuta watu sahihi wa kwenda nao kwenda kwenye mafanikio na kuhakikisha wamekufikisha kule ambapo wewe unataka kufika. Huwezi kutoka…

  • Utumie muda wako wa safari vizuri

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za SONGA MBELE karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadilisha mtazamo wako na mwelekeo wako kiujumla na kukufanya kuwa mtu mpya kabisa. Kitu ambacho kitakusogeza sana karibu sana na mafanikio. Kujifunza kila siku ni njia nzuri ya kukufanya uzidi kusonga…

  • Ubongo Ni Bustani

    Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80) lakini…

  • Mambo muhimu kuhusu muda.

    Kwa siku mwanadamu ana masaaa 24. Wengine wanyatumia masaa 24 kufanya mambo makubwa wakati wengine wanafanya mambo ya kawaida sana (mambi ya mazoea). Wakati unahangaika kufanya jambo fulani hakuna anayejihangaisha na wewe lakini ukishafanikisha wataanza kijitokeza watu na kuanza kuonesha kupendezwa na kile unachofanya. Watu wanachoangalia   ni je, wewe umeweza kufanya? Je kazi muhimu umeweza…

  • Kama Unapanga Kufanya Jambo Rahisi Maisha Yako Yatakuwa Magumu Kama Unapanga Kufanya Jambo Gumu Maisha Yako Yatakuwa Rahisi

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako penswa ya songa   mbele karibu sana katika Makala ya leo ambapo tunaenda kujfunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu. Kujjifunza ni kitu ambacho hatupaswi kuschoka kufanya kila siku na tunapasa tufanye hivi maisha yetu yote, hujaishi leo kama hujajifunza kitu kipya leo. Mara…

  • Hakuna Kitu Chenye Maana Isipokuwa Tafsiri Binafsi

    Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80)…

  • Kama Utashindwa Ni Juu Yako Na Kama utashinda Ni juu yako

     Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80) lakini…

  • Lifahamu Kusudi Lako

    Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80)…

  • Kama Utashindwa ni juu yako Na kama Utashinda Ni Juu Yako

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu Mara nyingi likitokea kosa lolote mtu atamtafuta mtu wa kulalamikia. Hivi ulishawahi kugundua kwamba ukimunyooshea mtu kidole kimoja…

  • Kuwa Mkarimu

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu Mara nyingi huwa watu wanaamini kwamba mtu unapaswa kuishi maisha kiasi kwamba ukifa utokee kwenye ukurasa wa mbele…

  • Vipaumbele vyako ni vipi?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu  Katika maisha tuna mambo mengi sana ya kufanya. Yote kwa pamoja ni mambo yanyotuelekezaa kwenye mafanikio. Ila ingawa…

  • Jambo Linalokuzia Kufikia Mafanikio.

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu    Kadri unavyojitahidi kujikwamua ili uweze kupiga hatua kubwa sana ya mafanikio, yapo mambo yanayo jitokeza kukuzuia kufikia…

X