-
Kitu Muhimu Unachopaswa Kufahamu Kabla ya Kuvuna Mafanikio yoyote
Leo nimekumbuka moja ya usemi muhimu sana. Usemi huu ni kuwa huwezi kula kabla ya kulipa gharama. Eneo pekee unapoweza kula na kunywa bila kulipa gharama ni mgahawani. Hapa unaweza kuagiza chochote unachotaka, ukala na kushiba na kisha ukalipia. Ila kwenye maisha ya kawaida, ukitaka kula vinono sharti ukubali kuvigharamikia. Kuthibitisha hili wahenga wetu waliweka…
-
Kitabu Cha KIPAJI NI DHAHABU
Ukiongea na watu kuhusu Kipaji utasikia watu wanakwambiaKipaji hakilipi bongoTafuta ajira maana kipaji hakina kitu chochoteNgoja nisome kwanza, Mambo ya kipaji yatafuata baadaye. Inaonekana dhana ya kipaji umekuwa haifahamiki kwa watu wengi. Ndio maana kitabu hiki kimekuja ili kukuelewesha kuhusu Kipaji Chako na namna ambavyo unaweza kukutumia kipaji chako kwa manufaa. Kwenye kurasa za kitabu…
-
Kitu Cha Kufanya Unapokuwa Huoni Mafanikio Ya Haraka
Endelea kuweka juhudi, hakuna kitu chochote ambacho unafanya ambacho kinapotea bure.Baadhi ya vitu unaweza usione matokeo Sasa Hivi.Ila kadiri unavyoendelea KUWEKA juhudi matokeo utayaona. Watu wengi huwa wanakata tamaa mapema pale wanapoanza kufanyia kazi kitu.Ila Cha kufahamu I kubwa haupaswi kurudi nyuma. Endelea KUWEKA juhudi kila Mara.Kadiri unavyoweka juhudi, Ndivyo unakuwa unazidi kuikaribia ndoto yako.…
-
Kifanye Leo hata kwa udogo
Kama hukuweza kufanya kitu ulichopanga kufanya Jana, Basi amua kukifanya leo. Ukiendelea kuhairisha kwa siku nyingi hicho kitu hutakaa ukifanye.Ni Bora ukifanye Leo hata Kama utakaofanya kwa udogo. Kila la kheri
-
Kitu Kimoja kinachokwamisha mafanikio ya watu wengi
Kuna watu huwa wanapokeaa mafunzo kutoka kwangu kwa njia ya barua pepe. Kila siku huwa nawatumia ujumbe mmoja ulioshiba. Sasa juzi niliwatumia ujumbe mmoja kuhusu fursa. Kila aliyesoma huo ujumbe alionekana ameguswa na ule ujumbe kwa namna yake. Kitu ambacho kimenifanya nikae tena Leo kuandika ujumbe mwingine. Leo nitakushirikisha ule ujumbe niliowatumia, lakini kwanza nataka…
-
Uchambuzi Wa Kitabu Cha The 5Am Club: (Mambo 304 niliyojifunza kutoka kwenye hiki kitabu)
Kitabu: 5 AM CLUB; Own Your Morning Eleveti Your LifeMwandishi: Robin SharmaMchambuzi: Hillary MrossoSimu: 255 683 862 481 UTANGULIZI; The 5 AM CLUB, imiliki asubuhi yako, uyaboreshe maisha yako. Ni moja ya vitabu bora sana katika zama hizi. Ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa juu sana, kila sentensi kwenye kitabu hiki ina ujumbe mkubwa. Mwandishi…
-
KITABU CHA DIAMOND: AKILI YA DIAMOND
Habari ya upande wa huko rafiki yangu. Nimeandaa kitabu kizuri kinacjoitwa Akili Ya Diamond. Kitabu hiki Cha kipekee kimelenga kukuonesha wewe namna ambavyo unaweza kugundua kipaji chako, kukinoa na kukiendeleza huku tukipata masomo na mafunzo kutoka kwa Diamond Platnumz lwaa namna alivyofanyia kazi kipaji chake. Kitabu hiki kitaanza kupatikana kuanzia tarehe 1.8.2022 Je, ungependa kupata…
-
Vitu vitano vya kujiepusha navyo ili ufike mbali
1. Jiepushe na vileoHivi vitachukua muda wako mwingina fedha lakini havitakufanya upige hatua yoyote kubwa kimaisha. 2. Jiepushe Kuwa bize na kila kitu.Yaani, hiki unafanya. Kile unafanya. Unapambana na kila kitu. Hapana, sililiza rafiki yangu, wekeza nguvu yako kwenye vitu vichache ambavyo unaweza kufanya kwa ubora wa hali ya juu sana. Kisha vifanye kwa ubora…
-
Mwaka Huu Ni Wangu Kufanya Makubwa

Kila mwanzoni mwa mwaka watu wengi huwa wanaweka malengo makubwa ya kufanyia kazi. utasikia mtu anasema kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa kufanya makubwa. utasikia mwingine anasema kwamba mwaka huu lazima tu nifanye makubwa. ila sasa cha kushangaza Unakuta kwamba siku zinakuwa zinazidi kupita kiasi kwamba inafikia hatua huyo mtu anashindwa kufanyia kazi lengo…
-
Njia pekee ya itakayokuhakikishia wewe kupata matokeo ya tofauti
Siku za nyuma niliandika makala niliyoipa kichwa cha Kama Unataka Mali: Maeneo Matano Unapoweza Kupata Mali Halali… Kwenye makala hii nilieleza mbinu mpya za kupata Mali. Najua kwamba wengi tulisoma shairi la kama mnataka Mali mtazipata shambani, Ila sasa je, siku hizi na zama hizi tunazoishi, bado tunapaswa kutegemea Mali kutoka shambani? Hapo ndipo nilikueleza hizo…
-
Endelea Kupambania Ndoto Na Lengo Lako
Kama una lengo na ndoto kubwa ambayo unaifanyia kazi. Endelea kupambania ndoto yako na lengo lako kila siku. Usirudi nyuma kwa kuanza kujilinganisha na watu wengine. Sikiliza kila siku jiboreshe wewe mwenyewe.Jifanyie tathimini kila mara kuangalia umatoka wapi, uko waapi unaelekea wapi. Jisukume kila mara kufanya zaidi. Ila usijilinganishe na MTU mwingine. Hakuna mtu mwingine…
-
Hiki kitu ndicho kinafanya watu wanakuchukulia poa
Umewahi kujiuliza kwa Nini watu wengi wanakuchukulia poa. Kuna sababu nyingi zinaweza kuwa zinasababisha hiki ila sababu ya kuu unaweza kuwa Ni wewe umewafanya wakuchukulie poa. Inawezekana kuna kipindi ulitakiwa kutoa huduma fulani kwao ila hiyo huduma hukuitoa vizuri. Inawezekana ulijishusha viwango kwa kutaka kupata kitu fulani wakati hukupaswa kujishusha Na pengine inawezekana ni kwa…
-
Vitu vizuri huchukua muda
Mfano hupandi mti wa mwembe leo naa kuvuna kesho. Hapana.Unachukua muda. Utamwagilia mbeguUtapalilia kuondoa majani ili mhegu iweze kuendelea kukua. Ila walau haitachukua siku moja wala siku mbili. Itachukua muda. Kwa miembe ya kisasa inachukua siyo chini ya miaka mitatu na nusu. Kwa miembe ya kawaida inachukua miaka Saba na zaidi. Inashangaza kuona watu wako…
-
Fanya Hiki Unapokuwa Huna Kitu
Kama huna kitu chochote kile Cha kupoteza basi pambana. Pambania ndoto na malengo yako kila siku na kila Mara bila kurudi nyuma. Maana huna kitu chochote cha kupoteza.Huna helaHuna ujuziHuna konekisheni Hivyo njia pekee ya wewe kutoboa ni Kuendelea kupambana bila ya kurudi nyuma hata kidogo. Ipambanie ndoto yako mpaaka uifikie. Nakushauri Sana usome hiki…
-
Zawadi Tano Nzuri Unazoweza Kutoa Kwa Uwapendao
Mara kwa mara huwa tunapenda Kutoa zawadi za gharama kubwa ili kuwaonesha watu Kuwa tunawapenda. Zawadi kama gari ndio zinaonekana zawadi zenye maana kubwa Sana.. Leo hii ningependa nikuoneshe zawadi Tano Nzuri ambazo unaweza kutoa kwa watu zikawa na maana kubwa Sana. Zinaweza zisionekane za thamani machoni pa watu ila aliyepewa zawadi husika akiichukua na…
-
Mfuatilie huyu jamaa kwa mwezi mmoja tu, wewe mwenyewe utaniambia utakachoona
Tunaishi katika dunia ambapo watu wanapenda kufuatilia sana maisha ya watu wengine. MTU anaweza kushinda mtandaoni akifuatilia maisha ya watu mbalimbaliWasaniiWachumba fulaniWachungaji n.k. Ila Kuna jamaa mmoja ambaye umekuwa unasahau kufuatilia. Na jamaa huyu siyo mwingine bali ni wewe mwenyewe. Rafiki yangu, kwa kitu chochote kile unachofanya. Penda Sana kujifuatilia wewe mwenyewe zaidi ya unavyofiatilia…
-
Vitu Vitano Unavyopaswa Kutembea Navyo Kila Mahali
Ni vitu gani huwa unaambatana Navyo kila mahali unapoenda. Je, ni simu, kitabu au Nini? Leo hii ninakuletea orodha ya vitu Vitano Unavyopaswa kuambatana Navyo kila mahali na ubora Ni kuwa havina gharama ya ziada kuvifanya Kujiamini. Jiamini kwenye kila kitu unachofanya. Kama unafanya kitu ambacho hakikufanyi ujiamini, basi hapo kuna mawili. Achana nacho usikifanye…
-
Je, bado na wewe ni mshamba wa fursa?
Kila mara huwa wanakuja watu kwa kusema kwamba kitu fulani kinalipa ukilinganisha na kitu kingine. hiki kitu ndio kinanifanya leo hii intake kukuuliza, hivi na wewe bado ni mshamba wa fursa. Hkauna fursa moja ambayo unaweza kusema kwamba inalipa zaidi kuliko nyingine. Kila ulimwona mjomba amenunua gari kupitia fursa fulani, haimaanishi kwamba na wewe ukimbilioe…
-
Njia Nane Zitakazokuwezesha Wewe Kulipwa Mara Mbili Mpaka Mara Kumi Zaidi
Moja ya tamanio la watu wengi ni kulipwa kiwango kikubwa kuliko ambavyo wanalipwa sasa hivi au kupata kipato kikubwa zaidi ya wanavyopata sasa. Nina hakika hata wewe ungependa kulipwa zaidi ya unavyolipwa sasa, pengine ungependa kupata kipato mara mbili mpaka mara tatu zaidi ya unavyopata sasa hivi, si ndio? sasa kwenye andiko la siku ya…
-
Hii Ndiyo Sheri Ambayo Itakusaidia Wewe Kupata Chochote Kile Unchotaka
Profesa mmoja alifanya kijiutafiti chake binafsi. Zilikuwa ni nyakati za krismasi, hivyo alichofanya ilikuwa ni kuandika kadi za krismasi kwa watu ambao walikuw hawamjui huku akiwatakia kheri ya krismasi. Profesa akakaa huku akisubiria majibu. Baadaye alikuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu walijinu kwa kushukuru kwa kadi ile ya krismasi ambayo alitoa na , ila…