Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Vitu Viwili Vya Kushangaza Kuhusu Warren Buffet. Angekuwa Tanzania Watu Wangesema Ametoa Kafara Au Basi Watu Wangesingizia Majini

    Katika bara la Afrika kuna tabia moja ya kipekee sana. Tabia hii imejengwa kwenye msingi kwamba, anayemiliki kitu cha bei ghali basi yeye ndiye, anachukuliwa kama tajiri. Kwa mfano, kama wewe unamiliki nyumba ya bei ghali sana basi wewe ndiye mtu tajiri sana kuliko wote. Hiyo ndio imani ya waafrika walio wengi. Kwa hiyo imani…

  • Kitu Kimoja Cha Kishujaa Unachoweza Kufaya Kwa Dakika Moja Kikawa Na Manufaa Maisha Yako Yote

    Rafiki yangu, hongera sana kwa nafasi hii nyingine ya kipekee sana. Bila shaka siku ya leo ni siku yako ya kipekee sana. Ujue shujaa ni mtu ambaye anaheshimika sana kwenye jamii zetu. Lakini siku hizi jinsi ushujaa unavyopatikana ni tofauti kabisa na zamani. Wakati zamani ulihitajika tu uende vitani upigane na kulifanya taifa lako au…

  • Siri Muhimu Ya Mauzo Kutoka Kwa Tony Robins

    Naandika makala hii ikiwa ni usiku saa 2 kasoro dakika tatu sasa ya tarehe 21//2/2020. sijajua wewe makala hii unaisoma muda gani na siku gani. Nimeamua niandike makala hii baada ya kuwa nimetoka kufanya mauzo sehemu. Hivyo wakati narudi njiani ndio nikakumbuka kauli mojawapo ya Tony Robins. Hivyo nikaona wazi kwamba kuna somo kubwa sana…

  • Mambo Saba (07) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Hauna Cha Kufanya

    Huwa inatokea kwa watu wengi mara nyingi, ambapo wanajikuta kwamba hawana kitu cha kufanya. Kitu hiki huwa kinawafanya watu wengi kuanza kuzunguka huku na kule wakisema kwamba wanapoteza muda. Sasa siku ya leo napenda nikwambie vitu vitano ambavyo utapaswa kufaya pale ambapo utakuwa unaona kwamba hauna kitu cha kufanya. KWANZA, SOMA KITABU Ukijikkuta katika mazingira…

  • Kitu Kimoja Kitakachotokea Endapo Utakuwa Mlalamikaji

    Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya leo na ya kipekee sana. Kama umekuwa mtu wa kulalamika leo kuna vitu viwili ambavyo huwa vinatokea pale mtu anapolalamika. Kwanza kabisa unapolalamika unakuwa unawaonesha watu wengine fursa ambazo wewe mwenyewe umeshindwa kuzitatua. Hivyo watu wengine wanaweza kutatua kurekebisha hicho kitu ambacho wewe mwenyewe unalalamikia. Ni wazi…

  • Kubali Kulipa Gharama Ili Uzifikie Ndoto zako

    LIPA GHARAMA Ili kweza kufikia mafanikio makubwa kwenye kutimiza ndoto zako basi moja ya kitu ambacho utapaswa kufanya ni kulipa gharama. Hii haijalishi kwamba wewe ni ndoto yako ni kuwa baba bora au mama  bora, au iwe ni kufikia viwango vya juu katika mchezo fulani. Kwa vyovyote vile gharama bado haitaepukiki Na hapa ninapozungumzia gharama…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kutoa Hotuba Yako Kwa Watu Kama Vile Uko Mbele Ya Mkutano Wa Umoja Wa Mataifa.

    Mikutano ya umoja wa mataifa ni mikutano yenye watu kutoka kila nchi.  Hivi kwa mfano leo hii ukiambiwa umepewa nafasi ya kwenda kuongea mbele ya mkutano mmojawapo wa umoja huu wa mataifa, utafanyaje? Je, unaweza kwenda au kukataa? Je, kama utaamua kwenda nini unapaswa kuzingatia? Na Je, badala ya umoja wa mataifa ukiambiwa kuna kikundi…

  • Vitu Vitatu (03)) Ambavyo Vinahitaji Kuboreshwa Kila Siku

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema “maadui wa taifa letu ni watatu, umasikini, ujinga na maradhi. Vitu hivi vitatu umasikini, ujinga na maradhi ni vitu ambavyo kila mtu anapaswa kujiepusha navyo kwa kipindi chote anachoishi hapa duniani. UJINGA.  Huu ndio chanzo cha vitu vingine vyote. Ujinga huleta umasikini. Ujinga huleta pia maradhi. Kama hauna elimu nzuri ya…

  • A NOTE FROM SONGAMBELE; MITANDAO YA KIJAMII

    mitandao ya kijamii haupo kwa ajili ya wewe kuwaambia watu kwamba leo ulipata wakati mbaya wakati  unasafiri kufika nyumbani.Wala haipo kwa ajili ya wewe kuwapa taarifa kwamba leo umekula nini? Au kifungua kinywa chako kilikuwaje? Mitandao hii IPO kukuunganisha na watu kibiashara ili mfanye biashara na kukuinua kukutoa hapo ulipo kwenda hatua ya ziada. Je,…

X