Category: Uncategorized

  • AMSHA UUNGU ULIO NDANI YAKO: Sifa 3 Za Kimungu Unazopaswa Kuzitumia Kuanzia Leo

      Mwaka 2017 nilipata kusoma kitabu cha FROM VICTIM TO VICTOR. Nilipata kujifunza mengi sana Kutoka kwenye kitabu hiki kuliko unavyoweza kufikiria. Kitabu hiki kilichoandikwa na Mzimbabwe Joseph C. Musharika kina mafunzo mengi ambayo na wewe yanaweza kubadilisha maisha yako. Mwandishi amezaliwa katika familia ya kikristo kama ilivyo asilimia kubwa ya Waafrika. Kalelewa na kupewa…

  • Karibu kwenye Duka La Mtandaoni La Songa Mbele

    Kuna msemo mmoja wa kilatini unasema kwamba furahi na wanaofurahi, huzunika na wanaohuzunika. Sasa leo hii siyo kwamba nahuzunika bali nina furaha na mimi nimeona nikukaribishe wewe ili nikumegee hii furaha. Si unajua hivi vitu vinaambukizwa? Furaha yangu ni kutangaza duka la mtandaoni ambapo wewe au mtu yeyote anaweza kuingia na kununua bidhaa itakayokuwa inapatikana…

  • Ninahitaji Watu 10 Nami Nitawafanya Kuwa Waandishi Wabobevu Ndani Ya Siku 30

    Mwishoni mwa mwaka 2019 nilianzisha darasa maalumu la kufundisha uandishi. Ambapo katika darasa hili nilikuwa nafundisha mbinu za kiuandishi kwa mtu ambaye hajawahi kuandika kabisa au ambaye tayari ameanza kuandika ila hajaweza kubobea na kujenga nidhamu inayostahili katika uandishi. Katika darasa hili tulijifunza mbinu mbalimbali za kiuandishi na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi. Kwa…

  • Njia 7 Rahisi Za Kujenga Tabia Zitakazodumu

    Katika familia au maeneo yaliyo mengi muda wa kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana au cha jioni unajulikana, muda huo ukifika unakuta majukumu yaliyokuwa yanafanyika yanahairishwa kwa ajili tu ya kukamilisha jukumu la kupata chakula kwa wakati husika. Ukifika muda wa chakula hakuna mtu  anayejiuliza mara mbili tatu kwamba aende kula muda huo au la…

  • MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA

    Kama kuna shida ambayo inawakabili vijana walio wengi kwenye ulimwengu wa leo basi ni kitu kinachoitwa mtaji. Mtaji limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi na hata watu wazima, hata hivyo nipende kusema kwamba hakuna sifa yoyote kwenye kutokuwa na mtaji. Kuna watu ambao kila mwaka wanalalamika kwamba hawana mtaji, unaweza kukuta kwamba mtu…

  • Hiki Kitu Nilichoambiwa Kuhusu Wewe Ni Cha Kweli?

    Hivi ni kitu gani huwa kinakupa furaha na kupata hali ya ukamilifu kwenye maisha yako?Mwaka 2013 chuo kikuu cha North Carolina kwa ushirikiano na watafiti wa UCLA. Walifanya utafiti na kugundua kuwa moja ya kitu kinachowafanya watu furaha ni ile hali ta kukamilisha jukumu au kitu ambacho mtu amekuwa anatamani kufanya kwa siku nyingi. Looh,…

  • Jinsi ya kufanyia wazo majaribio kwenye soko

    Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu ya shahada ya kilimo cha bustani, nilikuwa napenda sana kupiga hesabu za mazao mbalimbali ya kilimo na baadhi ya rafiki zangu kwa wakati huo. Kila tulipokuwa tukikaa na kupiga hesabu za zao fulani, ilikuwa inaonekana faida tu, tena faida kubwa sana. Nakumbuka kwa mfano siku moja tulipiga…

  • Kama kweli umejitoa na unataka kujifunza kwa kina kuhusu uandishi, BASI SOMA HAPA

    Mwaka 2016 nilipoanza kuandika ulikuwa ni mwaka ambao niliamua na kujitoa kuwa ninaenda kujifunza kwa kina kabisa kuhusu uandishi. Tokea mwaka huo nimejifunza na kusoma vitabu vingi kuhusu uandishi. Nimesoma makala za kutosha kuhusu uandishi. Siyo hilo tu, nimefanyia kazi vitu vingi nilivyosoma na kuviweka katika matendo kwa kuandika vitabu 17 makala zaidi ya elfu…

  • Kama upo chuoni na una mpango wa kujiariri; fanya hivi. Mwongozo kujiajiri baada ya kumaliza chuo

    Nakumbuka nikiwa kidato Cha tano nilitamka kauli ambayo mpaka leo hii imekuwa mwongozo mkubwa kwangu; nilisema kwamba; kwa vyovyote vile kazi yoyote ile nitakayoifanya maishani mwangu nitahakikisha naifanya kwa ubora na watu nitakaokuwa nawahudumia watafurahia. Kipindi hicho nilikuwa na ndoto za kuja kuwa daktari wa binadamu au mwalimu. Si unajua ukisoma PCB unakuwa na mikogo…

  • KWA NINI UNAPASWA KUHUDHURIA DARASA RASMI YA UANDISHI 2022

    Jana nilitangaza rasmi kuwa kutakuwa na kozi ya uandishi kwa mwaka huu 2022 ambayo inaenda kuanza tarehe 16 machi, kozi hii itakafanyika kwa njia ya mtandao. Kutangazwa kwa kozi hiyo ni kiashiria kuwa unapaswa kuwahi nafasi yako mapema. Hii kozi hii ya uandishi. Ni kozi ya kipekee sana ambayo huwezi kupata sehemu yoyote mtandaoni. Nasema…

  • Karibu Kwenye Darasa Rasmi La Uandishi Mwaka 2022

    Tangu mwaka 2019 nimekuwa naendesha darasa la uandishi ambapo huwa ninakaa na watu watano na kuwafundisha uandishi kwa kina. Darasa hili la kipekee ambalo huwa naliendesha kwa watu wachache tu, huwa linafanyika kwa njia ya mtandao, huku nikiwa na lengo la kuwafundisha na kuwanoa hao watu wachache na kuwafanya waandishi wabobevu. Kila mwaka darasa hili…

  •  Hiki Kitu Ndicho Chanzo Cha Mafanikio Yote

    Mwaka 1937 ni mwaka muhimu sana kwenye ulimwengu wa mafanikio.  Ni mwaka ambao kitabu cha THINK AND GROW RICH kilichapwa baada ya miaka mingi ya utafiti. Kwenye kitabu hiki mwandishi ameeleza mbinu za mafanikio ambazo ziliwapa utajiri mkubwa sana matajiri wa wakati huo.  Hapa wanaongelewa watu kama kama akina Rockefeller ambaye  mpaka leo hii amebaki…

  • Hatua muhimu ambazo wazo lako litapitia kabla ya kuonekana kwenye uhalisia

    Niseme, nisiseme! Wazo linazaliwa, linakua na muda mwingine kuzeeka mpaka kufa! Kwa hiyo wazo ni kama mtoto, linabebwa kama mimba. Hiki ni kipindi ambacho linakuwa kichwani mwa mtu. Linazaliwa hapa ni pale ambapo linaanza kufanyiwa kazi, linakua, hapa ni pale linapozidi kufanyiwa kazi na kuzidi kuleta matokeo kwa aliyekuwa na wazo na jamii, wazo linazeeka…

  • Kitu Gani Haswa Kinahitajika Ili Kufanikisha Wazo Lako

    Mwaka 1908 ni mwaka wa kihistoria maana ndio mwaka ambao gari la kwanza lilitengenezwa na kampuni ya Ford ambayo ilianzishwa mwaka 1903, Gari hilo liliipa jina kampuni ya Ford na kuifanya itengeneze fedha za kutosha, kiasi kwamba watu wengi wakawa wanatamani kuanzisha biashara kampuni nyingine ambazo zingezalisha magari. Ukiangalia kwenye mtandao wa google, kampuni zilizoanzishwa…

  • WAZO LA BIASHARA AINA HII LAHUWEZI KULIPATA

    Kuna mtu unaweza kumkuta anatafuta wazo la biashara ambalo halijawahi kufanyika, kitu ambacho hakijawahi kuonekana

  • Kwani wewe unasemaje?

    Habari ya leo, Mwezi wa tisa mwaka 2016, nilianza kuandika makala kwenye blog ya songambele na baada ya hapo niliendelea mbele zaidi na kuandika vitabu, nikaandika magazetini, nikatoa mada kwenye redio na runinga na hata kuandaa mafunzo kwenye YouTube. Kwangu hizi zote zimekuwa ni tuzo za hatua ya kwanza niliyochukua na kuanza kuandika mwaka 2016.…

  • Mambo MATATU USIYOYAFAHAMU KUHUSU KIPAJI

      Kwanza ni kwamba, KIPAJI hakiazimwi kama nguo. Ni kitu ambacho unazaliwa nacho. Pili, kwa kuwa kipaji tunazaliwa nacho hivyo hukilipii gharama yoyote kuwa nacho. Kitu hicho kinafanya kipaji kuwa na bei rahisi sana kuliko chumvi, pengine ndio maana watu wengine hata hawakithamini wala kukipa kipaumbele maishani mwao. Tatu, kipaji huwezi kukitumia ukakimaliza. Kadiri unavyokitumia…

  • Kitu Kimoja Cha Kufahamu Kuhusu Umaskini Na Utajiri

    Kuna kitu kimoja ambacho leo ninataka ukifahamu kuhusu utajiri na umasikini. Kitu hiki ni kwamba maskini wapo siku zote, ila kazana usiwe mmoja wao. Kwenye kila jamii unakuta kuna watu wachache wenye utajiri mkubwa   ukilinganisha na wengine wengi. Sasa lengo lako linapaswa kuwa ni wewe kuingia kwenye wale wachache ambao wana utajiri mkubwa. Utajiri ni…

  • Sababu 03 Kwa Nini Mwezi Januari Unakuwa Mgumu Kwako

    Januari ni mwezi wa kwanza wa kila mwaka. Mwezi unaofuata mara tu baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Mwezi wenyewe wa januari unaanza kwa shamrashamra za kuushangilia mwaka. Ni mwezi ambapo watu wanakuwa wamejichana na kula bata siku chache kabla, huku wakiwa wametumia hata fedha ambazo hawakupaswa kutumia, kitu kinachowafanya waanze mwaka wakiwa wamefuria.…

  • Mwaka Mpya Mambo Mapya: Kauli Inayopoteza Watu Wengi Na Kuwafanya Washindwe Kupiga Hatua Kila Mwaka

      Kauli ya mwak mpya na mambo mapya si kauli ngeni masikioni mwa watu. kila mwaka mpya unapoanza huwa unasikia watu wakiisema kauli hii tena kwa kujidai. Binafsi naiipenda pia kuauli hii, japo kuna watu ambao wanaitafsiri vibaya na hivyo kuitumia ndivyo sivyo.   Unakuta mtu kila mwaka mpya unapoanza yeye anakazana kuhakikisha kwamba anaanza…

X