Category: Uncategorized

  • FAIDA ZA KUANDIKA AMBAZO UNAENDA KUZIPATA MARA MOJA

    #GodiusRweyongeza#kuandika #faidazakuandika #songambele Moja ya yabia muhimuambayo unapaswa kuwa nayo ni tabia ya kuandika na kutunza kumbukumbu. Kila unapoamka asubuhiandika malengo yako ya siku husika Kila jioni andika jinsisiku yako ilivyokwenda na mambo muhimu ambayo umejifunza ndani ya siku husika. Hikini kitu ambacho unaweza kufanya hata kama sio mwandishi wa vitabu. Pamoja nafaida nyingi za…

  • Mmepata Bure, Toeni Bure; Vitu Vitatu Ambavyo Kama Utavitumia Kwa Umakini Wa Hali Ya Juu Vitaweza Kukufanikisha Kwa Viwango Vya Juu Sana

      Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya keipkee. Siku ya leo napenda nikushirikishe vitu vitatu ambavyo wewe hapo umepata bure na unapaswa kuvitumia sana. Ubora wa vitu hivi vitatu ambavyo nitakushirikisha hapa sio kwamba unaweza kuvitumia vikaisha. Ubora wake ni kuwa kadri unavyovitumia ndivyo vinazidi kuimarika zaidi. Hivyo usiogope kuvitumia Vitu…

  • Jinsi Ya Kuanza Upya Baada Ya Kuwa Umekosea

     rafiki yangu siku ya leo nimekuandalia video nzuri kkkuhusu jinsi ambavyo unaweza kuanza upya hata baada ya kuwa umekosea. karibu sana uweze kujifunza. usisahau KUSUBSCRIBE

  • Aina Mbili Za Hamasa Na Jinsi Ya Kuzitumia Kwa Manufaa

    Hivi unaposikia watu wanazugumzia juu ya hamasa unaelewa nini? je, ni kitu gani ambacho kinakuja kwenye akili yako? Leo ningependa nikwambie aina mbili za hamasa na jinsi ambavyo unaweza kuzitumia zote. Aina ya kwanza ni HAMASA YA KUEPUKA KITU. Hii ni ile nguvu ambayo inamuskuma mtu kufanya kitu ili aepukane na kitu fulani. Mfano mwajiriwa…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kumiliki Kampuni Kubwa Kama CRDB, VODACOM, TBL Na Nyinginezo Kwa Mtaji Wa Elfu Kumi Tu

      Pata nakala ya kitabu hiki kwa shilingi elfu 10 tu popote ulipo nchini. tuwasiliane kwa 0755848391 Hivi umewahi kujiuliza kuwa kwa mtaji wangu huu mdogo naweza kutoboa kweli na kufanya mambo makubwa. au umekuwa unakwama katika kukuza mtaji wako kwa siku sasa na unapenda kukuza mtaji wako. Au kwa mfano umewahi kuwa na wazo…

  • Imegundulika: Hili Ni Kundi La Watu Wachache Wanaoitawala Dunia Kisirisiri, Utaratibu Wa Kujiunga Nao Pia Umefichuka

      Tangu enzi na enzi, asilimia kidogo ya watu wamekuwa wanaiongoza dunia. Watu hawa wamekuwa wanaiongoza dunia kwenye masuala ya uchumi, siasa, biashara, vipaji n.k. na watu ninaowaongelea hapa ni wale ambao wanaonekana kula mema ya nchi. Ukipita mtaani utasikia mtu anasema, aiseeh fulani ana nyota, wewe acha tu.   Watu hawa wamekuwa wakionekana kama…

  • Hili Ni Kosa Ambalo Linagharimu Maisha Ya Watu Walio Wengi

    Ukitaka kutuma ujumbe mfupi kwa rafiki yako, huwezi kuandika herufi zote za kishwahili kuanzia A mpaka Z na kumwacha rafiki yako ajitugie ujumbe mwenyewe. Au huwezi kuandika maneno tu kutoka kwenye kamusi bila mpangilio maalumu na kutuma kama ujumbe. Ni lazima utatengeneza sentensi inayoeleweka na kuituma ili aisome na kukupa jibu kulingana na sentensi uliyotuma.…

  • Hili Ni Eneo Muhimu Ambapo Unapaswa Kuelekeza Bajeti Yako Kwa Miezi Sita Ijayo

      Rafiki yangu, bila shaka umewahi kusikia kuwa serikali imebadilisha bajeti yake na kuielekeza sehemu nyingine.  Na mara nyingi huwa unakuta kuwa hili linafanyika mara baada ya kutokea kitu fulani cha dharula ambacho hapo awali hakikuwa kwenye bajeti husika ya serikali.   Sasa leo hii ningependa na wewe ufanye kitu kama hiki hapa. Hiyo fedha…

  • SIMAMA KWA MIGUU YAKO MIWILI

      Leo rafiki yangu nimeamua kuongea na vijana wa kitanzania.  Makala ya leo inawalenga zaidi hasa wanachuo, wahitimu wa chuo na vijana wengine ambao bado wanakaa nyumbani. Sasa labda tujiulize kusimama kwa miguu miwili ndio nini? KUSIMAMA kwa miguu miwili maana yake kuamua kutimiza malengo yako wewe kama wewe bila kusubiri wazazi, walezi au serikali.…

  • Kubali Kuwa umekosea, jisamehe kisha SONGAMBELE

    Rafiki yangu kukosea ni sehemu ya maisha. Unaweza Kuwa umezaliwa kwenye jamii ambayo inapenda ukamilifu. Hilo lisikutishe unapoksea. Hata hivyo hakuna yeyote atakayekuua. Hivyo jitoe kufantia kazi Ndoto na malengo yako. Kitu kikubwa kwenye kukosea ni Kuwa 1. Unapaswa kujifunza somo 2. Kuchukua hatua 3. Kuendelea mbele.

  • Hii Ndiyo Idadi Ya Kurasa Za Kitabu Ambazo Unaweza Kuandika Kwa Siku Za Mwaka Zilizobaki

    Rafiki yangu, bila shaka siku ya leo unaendelea vyema kabisa. siku ya leo nimeandaa makala kwa ajili ya wale ambao kazi zao zinawabana sana kiasi kwamba hawapati muda wa kukaa chini na kuandika japo wangependa kuandika na wanajisikia kwamba wana kitu cha kuandika.   Kwanza nipende kusema kwamba hicho kitu ambacho unaona kwamba unacho, hakikisha…

  • NINAONA KITU NDANI YAKO

      KUNA BAADHI YA WATU WALIKUWA HAWAJIELEWI KWENYE  HATUA FULANI KWENYE MAISHA. Ninaposema kwamba walikuwa wahajielewi ninamaanisha kwamba hawakuwa na kitu kikubwa cha kufanya na maisha yao. Yaani, wao walikuw wanaishi tu ilimradi wamekula, wamekunywa na kufanya kazi. maisha yao yalikuwa yakiendelea hivyo hivyo mpaka pale ambapo alitokea mtu ambaye aliona kitu kikubwa ndani yao.…

  • Mambo Kumi Na Moja (11) Ambayo Watu Waliofanikiwa Hawachoki Kufanya

    Rafiki yangu karibu sana kwenye makala ya siku ya leo. Na leo, nimeona nikushirikishe mambo ambayo watu waliofanikiwa hawachoki kufanya; 1. hawachoki kujifunza na kusoma vitabu. 2. hawachoki kufanyia kazi kile ambacho wamejifunza. 3. hawachoki kutafuta ushauri wa kitaalamu au ushauri wa watu waliofanikiwa. 4. hawachoki kuuliza maswali sahihi. 5. hawachoki kujituma. 6. hawachoki kulipa…

  • Siku 100 Za Kwanza Za Mwaka 2020 Zimeisha: Mambo 100 Unayoweza Kufanyia Kazi Kwa Siku 266 Zilizobaki

      Tarehe 1.1.2020 dunia nzima ilishangilia mwaka mpya. Shangwe kutoka kila kona ya dunia zilitawala. Kuna watu siku iliyotangulia tarehe 1 hawakulala wakiusubiri mwaka mpya ufike. Kuna watu walikuwa na mipango mikubwa sana ya kufanya mwanzoni mwa  mwaka huu. Kuna watu ambao siku ya mwaka mpya ilipofika walijiambia kwamba haiwezi kupita hivi hivi tu, lazima…

  • Tofauti 15 Kati Ya Matajiri Na Masikini Ambazo Zitakuacha Mdomo Wazi

    Unaendeleaje rafiki yangu, bila shaka siku ya leo imekuwa ni siku bora sana.  Leo nimeona nikuletee tofauti 12 zilizopo kati ya matajiri na masikini. Hizi tofauti zitakuacha mdomo wazi kabisa.  kuna vitu ambavyo pengine umezoea vinafanywa wengi na hivyo vinaonekana ni sahihi. Ila ukweli ni kwamba wingi wa watu haumaanishi usahihi wa kitu. Hivyo watu…

  • Nakala Ya Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Sasa Inatolewa Bure

    Habari ya siku ya leo rafiki. Leo nimeleta kwako zawadi ambayo unaweza kuisoma na kuitumia ndani ya kipindi hiki ambacho cha mpito. Bado utaweza kuendelea kuitumia baada ya kipindi hiki kuisha na utaweza kuitumia maisha yako yote. Na zawadi hii sio nyingine bali ni kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni (hardcopy).   Hata hivyo nimeona…

  • Huyu Ni Mtu Ambaye Unapaswa Kushindana Naye Kila Siku

    Rafiki yangu bila shaka siku ya leo imekuwa ni siku bora sana kwako. Karibu sana katika makala ya siku hii ambapo ninaenda kukwambia mtu ambaye unapaswa kushindana naye kila siku. Kama kwenye maisha yako utapaswa kuanzisha mashindano ya kuona ni mtu gani ni bora, mtu gani anafanya vizuri zaidi ya mwingine, mtu gani anaingiza kipato…

  • Jifunze Ujuzi Huu Mmoja Tu, Utakufaa Maisha Yako Yote

    Ebu fikiria kama ndani ukijifunza ujuzi wako mmoja tu ambao hakuna mtu mwingine ataweza kukuibia ujuzi huu  maisha yako yote. Ujuzi ambao utaweza kuendelea kuwa nao utakusaidia miaka na miaka. Ujuzi ambao utakuwa nao nyakati zote bila kujali hali ya hewa au mazingira. Ebu fikiria ujifunze ujuzi huu sasa hivi ikiwa ni mwishoni mwa mwezi…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kusoma Vitabu Vingi Kwa Muda Mchache

    Siku si nyingi sana niliandika makala iliyokuwa inaeleza jinsi ambavyo nimeweza kusoma vitabu tisa kwa kipindi cha wiki moja na nusu.  Moja ya swali ambalo watu waliniuliza ni swali la je, nimewezaje kusoma vitabu vy te hivyo kwa kipindi kifupi hivyo?  Inawezekana wewe pia ukawa unajiuliza swali hili hapa. hivi inawezekanaje kusoma vitabu vingi kwa…

  • Vikwazo Kama Hiki Hapa Huwa Vinatokea Kukuimarisha Sio Kukuangusha

    Moja ya kitu ambacho ambacho kimekuwa gumzo na bado kinaendelea kuwa gumzo ni virusi vya korona. Kila mtu amekuwa kila mtu amekuwa akiongea na kutazama  kwa jicho la tofauti na huku wengi wakifikiri kwamba uwepo wa virusi hivi ndio mwisho wa dunia. Siku ya leo nataka niokuoneshe jinsi vikwazo kama Corona ambavyo vipo kukuimarisha wewe…

X