Category: Uncategorized

  • Hii Ndio Sifa Unayopaswa Kuiepuka

    Hapa duniani kuna watu wenye sifa na mbali mbali. Sifa hizi zinaweza kuwa zinatokana na kazi ambayo mtu anafanya, sifa hii pia inaweza kuwa inatokana na cheo cha mtu. Pengine sifa ya mtu inaweza kuwa inatokana na marafiki ambao ameshikana nao. Lakini ukweli ni kwamba walau kila mtu ana sifa fulani. Mwalimu wangu wa kiswahili…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-97 tatizo unaogopa vitu vitakavyokufanya ukue

    Kuna vitu vingi sana ambavyo vimekuzunguka na vipo kwa ajili yakukufanya wewe ukue.Watu waliokuzunguka wapo kwa ajili ya kukufanya wewe ukue, japokuwa wanaweza kuwa wanafanya kitu ambacho wewe hupendezwi nacho.Acha waendelee kufanya kile wanachopaswa kufanya. Wakati wewe ukiendelea na shughuli zako. Inawezekana wana kitu ndani yao wanafanya ambacho wanafanya japo hakikupendezi, ila ni kitu bora…

  • NAAM! KIPENGA KIMEPULIZWA 2023!

    Duniani hapa kumeshuhudiwa mitanange mingi sana ya mpira tangu dunia imekuwepo mpaka leo hii unaposoma makala haya. Mitanange hii si ya mipira ya ligi kuu ya vodacom au ligi kuu ya ulaya tu bali pia kuna mitanange ya michezo mingine ya maisha. Kuna mechi ambazo huwa zikichezwa, kwa hakika huwa zinavutia sana. Sio tu kwamba…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA -81 tatizo haujawa mwekezaji

    . Hivi ushawahi kujiuliza ni kitu gani kampuni inahitaji ili kukua?Kama hujawahi kujiuliza swali kama hili hapa, ebu kaa chini na ujaribu kujiuliza swali hili hapa muhimu sana. Utagundua kwamba ili ukue unahitaji kuwa na watu. Ni watu ndio ambao wanakubeba. Ni watu wenye uwezo wa kukusimamisha. Ni watu wenye uwezo wa kukuangusha. Je, unajua…

  • Hivi Ndivyo Vitu Vitatu (03) Ambavyo Watu Hudharau Sana.

    Kuna vitu ambavyo huwa vinapendwa sana na watu wengi sana. Huku kukiwa na vingine havipendwi na kudharauliwa. Mfano unakuta vijana wengi sana wanapenda kuangalia mpira na kuhukumu wachezaji ambao wao (vijana) wanasema hawachezi vizuri japokuwa wao hawataki kuingia uwanjani kucheza. Na pengine mwingine ukimwambia aingie uwanjani acheze atakwambia mimi muda Wangu wa kucheza tayari umepita…

  • Kifanye Kwa Ubora Zaidi

    Kila siku inapoanza tunaenda kujishughulisha na kazi au shughuli fulani. Hii ndio kusema kwamba kila mtu walau kwa siku kuna shughuli fulani ambayo yeye lazima aifanye. Hata kama ni ndogo kiasi gami lakini lazima ifanyike. Kinachotokea watu wengi wanajaribu kufanya kazi badala ya kufanya kazi haswa. Matokeo yake ni  kwamba kazi nyingi sana ambazo watu…

  • Maajabu ya kitabu cha barabara ya mafanikio.

    Kitabu cha barabara ya mafanikio kinazidi kupamba moto na kuwafikia watu wengi zaidi. Huku kila mtu ambayo anakisoma anakuja na ushuhuda wake. Kila mtu anasema ni kwa jinsi gani Kitabu kile hakimwacha jinsi alivyo. Kama hawa wamesoma na kunufaika wewe umesubiri nini? Jipatie na wewe hapo nakala ya Kitabu hiki cha karne hii ya 21.…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA- 78 tatizo unahairisha kuishi

    Watu wengi sana wanahairisha kuishi kila kunapokucha. Anasema kwamba atafanya kazi fulani kesho. Ataishi maisha fulani kesho,Ataanza kula vizuri kesho akipata kazi nzuri.Ataanza kuongea na watu vizuri kesho….orodha ya namna hii ni kubwa kiasi kwamba siwezi kuimaliza hapa. Je, na wewe mmoja wapo?Kwanza kabisa naomba tufahamu kwamba kesho sio siku.(Rweyongeza, 2017)Pili tunapaswa kufahamu kwamba muda…

  • Hatua Sita Za Kujenga Maisha Ya Kuigwa.

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa Makala kutoka katika blogu hii ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kubwa sana kuhakikisha kwamba umeweza kufikia mafanikio makubwa sana. Ndani ya siku hii ya leo tujifunze hatua sita ambazo zitatufanya sisi tuishi maisha…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-70 Tatizo ni hujaandika kile unachotegemea kutoka kwa watu

    Je, ni mara ngapi umeaachia watu kazi na unakuta kwamba ile kazi uliyokuwa umewaachia  hawajaifanya? Je, ni mara ngapi kazi ambayo ulikuwa unategemea kuwa imefanyika umekuta hijafanyika? Je, unajua kwa nini? Bila shaka hapa utaniambia kwamba watu ambao nawaaambia huwa hawanisikilizi. Badala yake wao huwa wanawafanya kazi zao ambazo wanapenda kufanya. Ngoja nikwambie kitu cha…

  • USIOGOPE KUSHINDWA

      Kushindwa ni moja ya jambo ambalo lipo katika njia ya kuelekea katika mfanikio. Bila shaka utakuwa umesikia mara nyingi sana maneno kama wewe ni mshindi, umezaliwa mshindi, na maneno mengine mengi sana. Haya maneno yapo sahihi kwa asilimia kubwa sana. Ila mbali na kwamba kweli wewe umezaliwa mshindi na umezaliwa kushinda bado katika njia…

  • Nguzo Tano Za Masoko

    Moja kati ya somo la muhimu sana ambalo mjasiliamali anahitaji kuhakikisha kwamba amelifahamu kwa undani na kujifunza somo hilo ni kuuza.  Maana mara nyingi sana watu huwa wanaweka nguvu nyingi sana katika kuhakikisha kwamba wameweza kuzalisha bidhaa mpya. Lakini hata kama utazalisha bidhaa mpya ambayo ni nzuri kiasi gani, bila kuiuza bidhaa hiyo basi jua…

  • Haya Ndio Maneno Yanayotumiwa Na Watu Kujifariji Linapokuja Suala La Pesa

    Nimegundua kwamba mtu anapokuwa hana kitu anatafuta njia ya kuonesha kwamba yeye yupo sahihi kwa asilimia 100%. Yaani yeye kushindwa kukipata kwake ana kutumia kama nafasi yake kuonekana kwaba yeye ni mtu ambaye yuko sahihi kwa asilimia mia moja. Mfano unakuta wavulana hawajui kujieleza basi wanachukua nafasi kujionesha kwamba wako sahihi. Unakuta wanatumia maneno kama…

  • Je, kuna haja ya kuogopa hatari?

    Miongoni mwa vitu ambavyo watu huwa hawapendi ni tendo la kufanya kosa. Watu wengi sana huwa hawapendi kufanya makosa wala kusikia kwamba wao wameshiriki katika kufanya makosa hayo. Ndio maana asilimia kubwa sana ya watu wengi sana huwa hawaweki malengo katika maisha yao kwa sababu tu  kwamba wanaogopa pale ambapo hawatatayatimiza itakuwaje. Lakini pia inakuwa…

  • Huu Ndio Uhuni Hatari Unaofanyika Duniani

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala ya SONGA MBELE BLOG. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi ili kuhakikisha unaongeza ufanisi katika kazi zako. Katika dunia hii kuna uhuni mkubwa sana ambao huwa unafanyika kila siku. Uhuni huu umekuwa ukifanywa na watu bila…

  • Kanuni Tatu Ambazo Unahitaji Kuzifahamu Ili Uweze Kufanya Makubwa Mishani Mwako

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana kuhakikishakwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana. Kanuni za mafanikio sio kwamba zimebadilika. Bado ziko vile vile kama ambavyo zimekuwa kwa miaka mingi sana ambayo…

  • Haya Ndio Maji Safi Ya Kumumwagia Mtu Siku Ya Kuzaliwa

    Habari ya leo Rafiki yangu.Kwa siku sasa nimekuwa nashuhudia watu mbalimbali wakishiriki katika kushangilia siku za kuzaliwa.Watu wamekuwa na utaratibu wa kumumwagia maji mtu ambaye anasheherekea siku yake ya kuzaliwa kwake.Sijajua utaratibu huu umetokea wapi ila walau ninachojua ni kwamba watu wameupokea na wameukumbatia sana utaratibu huu.Utaratibu mpaka sasa umekuwa sehemu ya pili ya maisha…

  • Maswali Muhimu Ya Kujiuliza Kabla Kuingia Katika Uasiliamali

    Ujasiliamali sio tu suala la lelemama kwamba unalala usiku na kuamka asubuhi ukisema mimi ni mjasiliamali. Ujasiliamali unapitia hatua. Ukiingia katika ujasiliamali kichwa kichwa unaweza kukata tamaa sana na pengine kuamua kuacha kabisa suala  huku ukisema kwamba mimi siwezi kuwa mjasiliamali. Kuna watu wengi wameingia katika ujasiliamali wakitegemea kwamba uujasiliamali uwe wenye manufaa makubwa sana…

  • Fursa Tano (05) Ambazo Unaweza Kuzifanyia Kazi Katika Kilimo Cha Bustani Leo

    Kilimo Cha bustani ni sekta ambayo inakua na kuongezeka wigo wake kila kukicha. Watu wengi sana kwa sasa wamekuwa wakijihusisha na kilimo hiki. Mazao yake sasa yamepata soko kubwa sio tu kwa ndani ya nchi yetu, lakini pia nje ya nchi yetu Kutokana na hizo fursa zinazozidi kujitokeza, na kutokana na ukweli kwamba watu bado…

  • Kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “A” Wanawafanyia Kazi Wanafunzi Wanaopata ‘C’, Na kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “B” Wanaifanyia Kazi Serikali

    Kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “A” Wanawafanyia Kazi Wanafunzi Wanaopata ‘C’, Na kwa Nini  Wanafunzi Wanaopata “B” Wanaifanyia Kazi Serikali (Why A Student Work For C Students, And B students Work For Government). Ulikuwa mwezi wa tano mwaka huu 2017. Nikiwa katika viwanja vya freedom square katika chuo kikuu cha SUA. Hapo nilikiwa namsikiliza Joel Arthur…

X