Category: Uncategorized

  • Sababu Tano Kwa Nini Unakutana na Vikwazo na Changamoto

      Binafsi sio mpenzi wa kuangalia tamthiliya, ila kipindi nipo sekondari nilisoma sana vitabu vya tamthiliya . Kwenye vitabu hivi huwa kuna mhusika mkuu. Mhusika mkuu huwa anakutana na changamoto, kuna wakati anaweza kupigwa kiasi kila mtu akadhani amekata roho, kumbe bado yu hai. Kuna wakati mpaka anaweza kutupwa  kwenye maeneo ya hatari ila baadaye…

  • Jiandae kufanikiwa

      Mafanikio hayatakuja kwako Kama ambavyo jua linawaka kwa kila mtu, badala yake wewe unapaswa kujiandaa kwa ajili ya kufanikiwa. Tengeneza mazingira yanayovuta mafanikio kuja kwako. 1. Anza kuishi tabia za kitajiri kama kuweka kuweka akiba, kuamka mapema, kufanya tahajudi (meditation), kuweka malengo na Kuyafanyia kazi 2. Fanya kazi kwa bidii maana mafanikio halisi hayaji…

  • VIDEO: FUNZO KUBWA KUTOKA KAMPUNI YA SPACEX KUHUSU NAMNA YA KUFANYIA KAZI NDOTO ZAKO

      kampuni ya SpaceX ni moja ya kampuni yenye NDOTO ya kufanya watu wawe na makazi kwenye sayari tofauti. Hii ndiyo ndoto ta mwanzilishi wake #ElonMusk na wafanyakazi wote wa kampuni hiyo. Kampuni hii imekuwa na ndoto hii tangu ilipoanzishwa mpaka leo hi. ndiyo maana nasema lazima hapa Kuna kitu kikubwa Cha kujifunza.  Fuatilia someone…

  • Maeneo Matano Yanayopoteza Fedha Zako Na Jinsi Unavyoweza Kuipata Fedha Hii Kwa Ajili Ya Akiba

    Kuna vitu ambavyo unafanya au kununua na vitu hivyo vinakupelekea wewe kupoteza fedha ambayo ingekuwa msaada kwako. Sasa siku ya leo ningependa kukueleza vitu vitano vinavyokufanya wewe upoteze fedha. Fedha hii inaweza kuwa kianzio kwako kwenye masuala mazima ya kuweka akiba. MOJA, KUNUNUA au KULIPIA VITU UNAVYOWEZA KUFANYAKuna vitu ambavyo wewe mwenyewe unaweza kufanya kwa…

  • Ushauri wa Aliko Dangote Kwa Kijana Anayetaka Kuanzisha Biashara

    Aliko Dangote ni tajiri namba moja kwenye bara zima la Afrika, kitu kikubwa ambacho kimemfanya yeye kuwa tajiri mkubwa ni biashara zake anazofanya. Amekuwa akifanya biashara tangu miaka ya 70 mpaka leo. Ameanzia chini (SIFURI) mpaka ameweza kufikia mafanikio makubwa (KILELENI). Hivyo, ni wazi kuwa lazima  atakuwa na busara za kumwaga kwako na kwangu linapokuja…

  • Aina 5 Za Nidhamu Unazopaswa Kuwa Nazo

    Siku siyo nyingi sana niliakuandikia makala maalumu kukueleza maana halisi ya nidhamu. Kama hukubahatika kufuatilia makala hii basi ni muhimu kwako kuhakikisha kwamba unabonyeza HAPA ili kuifuatilia makala hii kwanza.   Sasa baada ya wewe kuwa umeijua maana halisi ya nidhamu, siku ya leo ningependa ufahamu aina tano za nidhamu unazopaswa kuwa nazo ili kuweza…

  • Sababu tano kwa nini hufanikiwi

      Unaendeleaje rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine mpya na ya kipekee sana. Siku ya leo ninaenda kukushirikisha sababu tano, kwa nini wewe hapo hufanikiwi. Kwenye kila sababu tunaenda kuona ni kitu gani ambacho wewe unaweza kufanya ili na wewe uweze kuingia kwenye orodha ya watu ambao wamefanikiwa. Hivyo, kaa mkao wa kula…

  • Vitu Vitano vya kuepuka ili uweze kufikia malengo yako

      Ni wazi kuwa furaha ya mtu yeyote anayeweka malengo ni kuona yanakamilika. Kama umeweka malengo yako kwa kufuata VIGEZO sahihi na kuepuka HAYA ni wazi kuwa malengo yako yatatimia. Hata hivyo, malengo yako yanaweza yasitimie kutokana na wewe kuendekeza vijitabia vingine vya kukukwamisha. Hivyo, hapa chini kuna vijitabia vitano unavyopaswa kuepuka baada ya kuweka…

  • Njia Tano Za Kuyafanyia Kazi Malengo Yanayojirudia Kila Mwaka

    Kuna malengo ambayo huwa yanajirudia kila mwaka. Yaani, utakuta kuwa kila mwaka lengo hilohilo linajirudia na linapaswa kufanyika. Na tena unaweza kukuta lengo la aina hii linahitaji fedha. Zifuatazo ni njia tano za kufanyia kazi malengo Yanayojirudia kila mwaka. Kwanza, yafahamu malengo yenyewe Yanayojirudia kila mwaka. Kama Ni kusafiri kwenda kuwaona wazazi, kupanda miti, kuchapa…

  • Sababu Tano Kwa Nini Afrika Ndiyo Eneo Pekee Unapoweza Kutengeneza Mabilioni ya Fedha Zaidi Ya Eneo Jingine Hapa Duniani

      Kabla ya julai 2016, nilikuwa napenda sana kufuatilia taarifa ya habari. Na mara kwa mara nilipokuwa nikisikiliza taarifa ya habari nilisikia  wakitangaza kuwa kuna watu wamekamatwa wakijaribu kuingia Ulaya kinyume na utaratibu au pengine walisema kuna maelfu wameaga dunia baharini  wakati wanavuka kuingia Ulaya. Wote hawa walikuwa wanaenda huko ili kutafuta maisha mazuri au…

  • Njia 5 Za Kuifanya Fedha Ikufuate

      Kuna watu wana tabia ambazo kwa vyovyote vile zinaendelea kuvuta fedha kwao. Na wengine kwa tabia yao, hata iweje Ni LAZIMA tu fedha iwakimbie. Umewahi  kujiuliza Ni kwa jinsi gani unaweza kufanya fedha ivutike kwako mara kwa mara. Zifuatazo Ni njia tano za kuivuta fedha kwako. 1. TOA THAMANI KUBWA KWA WATU. Labda kwanza…

  • Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu

      Najua! Unaanza kujiuliza inawezekanaje kupata laki tano ndani ya dakika 5 tena kwa kutoa elfu tano tu? Huu si mchezo wa upatu huu? Sasa naomba ukae chini ili niweze kukueleza hapa. Kwanza fahamu kuwa huu siyo mchezo wa upatu. Bali unaenda kutoa shilingi elfu tano na kupata kitu chenye thamani ya laki tano na…

  • Njia Tano Za Kujitofautisha Mwenyewe Kwenye Kile Unachofanya

    Tunaishi katika dunia ambapo watu wengi wanapenda ufanye mambo kwa namna ya kawaida. Upate metokeo ya kawaida na kuishi maisha ya kawaida. Hata kama utasema kwamba hutaki maisha ya aina hii, utajikuta kwamba unalazimika kuishi maisha ya kawaida kwa sababu kila mtu kwenye jamii anafanya hivyo. Na ikumbukwe kuwa watu waliokuzunguka wana nguvu kubwa ya…

  • KAMA UNAFIKIRI KILA KITU KILISHAANDIKWA, FIKIRI TENA (SABABU 18 Kwa Nini Tunaandika Vitabu na Tutaendelea Kuandika Vitabu, Na Kwa Nini Wewe Unapaswa Kuandika Cha Kwako)

        Ok! Juzi kuna mtu alinifuata inbox kwangu na kuandika ujumbe mfupi unaosema kila kitu kilishaandikwa. Nilishangaa kidogo kuuona ujumbe huu, ila baadaye nikakumbuka kuwa kwenye group mijawapo la whatsap Kuna mtu ambaye alikuwa ameuliza swali linalosema Jamani habari za humu,  Hivi mimi nitakuwa mwandishi kamili lini Kujibu swali niliandika kwa kifupi mno nikisema,…

  • Sababu 5 kwa nini unashindwa kufanikisha malengo unayoweka

    Najua. Umekuwa unaweka malengo mara kwa mara ila unashindwa kuyatimiza. Zifuatazo ni sababu tano (05) zinazokukwamisha wewe kutimiza malengo yako. Sitaishia tu kukuonesha sababu hizi bali pia nitakueleza kiundani namna ya kuepukana na sababu hizi ili uweze kufanikisha malengo yako.. Moja, NI KWA SABABU UNAWEKA MALENGO MENGI KWA WAKATI MMOJA. Una Mambo mengi ambayo ungependa…

  • Hii Ndiyo Maana Halisi Ya Nidhamu

    Hivi ukisikia mtu anasema mtu fulani ana nidhamu au hana nidhamu anakuwa anamaanisha nini? Je, wewe una una nidhamu? Au ndio ulishasahau mambo ya kuwa na nidhamu tangu ulipohitimu shule? Siku ya leo naomba ufahamu kwamba nidhamu, ni pale unapoamua kufanya kitu kwa utaratibu fulani na ukakifanya bila kuacha. Umeamua kuwa kila siku utaamka alfajiri…

  • Huyu ndiye mtu anayeweza kukusaidia kufanikisha malengo yako

      Umewahi kujiuliza, “ni mtu gani ambaye anaweza kunisaidia mimi kufanikisha malengo yangu?” Siku ya leo ningependa nikwambie kuwa mtu pekee anayeweza kukusaidia wewe kufanikisha malengo yako ni wewe mwenyewe. Na unaweza kufanikisha hili kwa; 1. Kwanza kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili lengo litimie. Usiweke lengo na kusubiri tu bila ya kulifanyia kazi.…

  • MAISHA NI WAJIBU WAKO

     Kuna watu wanashangaza kweli. Mwaka 2015 walikuwa wanasema maisha ni magumu, hawana mtaji, ajira hazipo n.k. Mwaka 2020 bado walikuwa wanasema mambo yaleyale.  Cha ajabu zaidi ni kwamba 2025 watakuwa watu walewale bado watakuwa wanasema yale ya 2015.  Sasa kwa nini? Je. Wewe ni mmoja wao. Unapaswa kubadilika mara moja. 1. Fahamu kuwa maisha ni…

  • Mambo Matano Unayopaswa Kufahamu Ili Utengeneze Marafiki Wazuri Na Wa kudumu

    Marafiki ni watu wa muhimu Sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Wanatusaudia kufanya mambo mengi Sana. Imegundulika pia kuwa marafiki wazuri ni chanzo cha furaha miongoni mwa watu. Huku marafiki wabaya wakiwa ni chanzo cha huzuni na karaha. Siyo Hilo tu marafiki wazuri wanaweza kukufanya usonge mbele na kufanikisha malengo yako au la urudi…

  • Jinsi Ya Kuondokana Na Hofu Ya Kuongea Mbele Ya Watu (How To Overcome The Fear Of Public Speaking)

      Hivi ni kitu gani ambacho wewe huwa unaogopa sana?  Watu wote huwa Wana kiwango fulani cha uoga kwenye vitu mbalimbali japo uoga hutofautiana. Hata hivyo, kuna kitu kimoja ambacho kinaonekana Kuogopwa Na watu Wengi. Kitu hiki hapa ni kuongea mbele ya watu. Huu ndio uoga unaowakumba watu wengi sana pengine na wewe ukiwa mmoja…

X