Category: Uncategorized

  • Tabia Tano Unazopaswa Kujijengea Ili Ufanikiwe Mara Kumi Zaidi

    Siku ya leo ninakuletea tabia Tano muhimu ambazo unapaswa kujenga ili uweze kufanikiwa mara kumi zaidi kwenye maisha. 1. Kujiamini Kuna watu wengi  wasiojiamini. Unakuta mtu hata anashindwa kutoa hoja yake mbele ya watu kwa sababu ya kutojiamimi. Wewe jiamini. Unapoongea na watu jiamini. Unapoongea na watu kwenye simu, jiamini. Unapokuwa unatembea njiani, jiamini. 2.…

  • Kitu Muhimu Ambacho Hupaswi Kukosa Kufanya

    Kuna kitu muhimu ambacho hupaswi Kukosa Kufanya kila siku. Kitu hiki ni kujipa muda wa kuwa na wewe. Yaani, kuwa peke yako. Ujue mara nyingi huwa tunatoa muda wetu kwa wengi ila sisi tunajisahau. Tunatoa muda kwa familia, kazi, biashara, mitandao n.k. ila unakuta kuwa sisi wenyewe tunajisahau. Hivyo basi kuanzia leo usijisahau. Tenga muda…

  • Jinsi Vitu Vidogo Vinavyoweza Kukupa Vikubwa (Mfano Kutoka KWENYE Biblia) Sehemu ya kwanza

      Hapa tunaenda kuona mifano ya nguvu ya vitu vidogo katika kufanya mambo makubwa kutoka kwenye Biblia. Kwenye Biblia kuna mifano mingi ya watu ambao walitumia vitu vidogo katika kufanya makubwana kwa kuanzia kabisa ni Mungu mwenyewe. Katika uumbaji tunaona Mungu anatumia kitu kidogo na kisichokuwana tahamani; ila yeye anakipa thamani kubwa sana. anatumia mavumbi…

  • Tabia Muhimu Ya Kimafanikio Unayopaswa Kuijenga wakati unatimiza majukumu ya siku

    Siku ya leo, nimeona nikudokeze tabia muhimu ambayo unapaswa kuijenga kadiri unavyokuwa unaiendea siku yako. Na tabia hii siyo nyingine, bali ni tabia ya kufanya na kukamilisha majukumu yenye umuhimu mkubwa zaidi kwanza kabla ya kufanyia kazi majukumu mengineyo. Ukianza kufanyia kazi majukumu yenye umuhimu mkubwa zaidi, hata luda wako ukiisha bila ya kufanya kazi…

  • Nguvu Ya Hatua Ndogondogo Kuelekea Mafanikio Makubwa

      Hatua ndogo ndogo unazochukua kila siku ndizo zitakupa mafanikio makubwa. Usidharau hatua hizi hapa, kadiri utakavtoendelea kupiga hatua hizi ndivyo utajikuta kwamba unazidi kusonga mbele na kufanya makubwa zaidi. Kila la kheri.

  • Kitu Muhimu Kinachokwamisha Wafanyabiashara na watu binafsi katika kufikia malengo yao

      Katika harakati za kukuza biashara na uchumi binafsi kuna kitu ambacho kinawakwamisha wafanyiashara na watu binafsi kufikia malengo yao. Kitu hiki ni kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja kwa matarajio ya kufanikiwa haraka. Mambo mengi kwa wakati mmoja yanakupoteza. Ndio maana wahenga walishasema kuwa, miluzi mingi ilimpoteza mbwa. Kama unataka kufanikiwa basi chagua kitu…

  • Watu wawili unaopaswa kujenga nao urafiki

      Kuna watu wawili ambao ukijenga nao urafiki hawatakuangusha. Moja ni VITABUJenga urafiki na vitabu. Ukiwa na shida ukiongea na kitabu (unaongea na kitabu kwa kukisoma) utapata wazo jipya la kukusaidia. Utaondoa msongo n.k.Kama hauna wazo lolote le kufanyia kazi na kuboresha kazi, biashara au mahusiano, kitabu kina uwezo wa kukusaidia.Kitabu ni rafiki ambaye hswezi…

  • Raha Kubwa Ya Kutatua CHANGAMOTO Ni Hii Hapa

     Kadiri unavyotatua CHANGAMOTO moja na kusonga mbele ndivyo unavyozidi kuwa imara zaidi na zaidi.  Washindi wanalijua hili ndio maana wakikutana na CHANGAMOTO hawazikwepi badala yake wanatumia hizo hizo CHANGAMOTO kusonga mbele zaidi. CHANGAMOTO, VIKWAZO au matatizo huwaimarisha baadhi ya watu, huku WENGINE vikiwabomoa. Jifunze namna bora ya kukabiliana na kila CHANGAMOTO inayokuja kwako kupitia kitabu…

  • HIKI NDIO KIPIMO KIZURI CHA UKOMAVU, NA KIASHIRIA KUWA UTAFANIKIWA SANA

      Moja ya kipimo Cha ukomavu ni uwezo wa wewe kushughulika na matatizo, CHANGAMOTO na vikwazo unavyokumbana navyo. Hiki ni kitu muhimu sana kwenye maisha. Maana siku zote, ushindi mkubwa hutanguliwa na vikwazo. Hata hivyo, washindi wanajua siku zote kuwa kushindwa au kuanguka siyo kitu ambacho KINAPASWA kuwakwamisha badala yake kikitokea ndio inakuwa chachu yao…

  • Mwandishi Anapaswa kutumia Muda Gani Kuandika Kitabu Na Kukikamilisha?

     Muda unategemea na topic unayoandikia. Inategemea pia unaandika hiyo topic kama nani? 👉mtafiti 👉MBOBEVU 👉mtaalamu 👉mwanafunzi  👉au unashirikisha UZOEFU wako. Ila kwa vyovyote vile  kitu muhimu ambacho mwandishi yeyote yule atapaswa kufanya ni utafiti juu ya kile anachoandikia. Hii haijalishi wewe Ni mbobevu au una uzoefu mkubwa. Utapaswa kufanya utafiti juu ya mada yako. Na…

  • Weka Kazi

      Unapokuwa na fikra za kufanyia kazi kitu, kifanye. Usisubiri mpaka mambo  mengine yote eti yakae sawa. Usisubiri eti uwe na kompyuta ili uandike. Usisubiri ununue gitaa ili uanze kuimba. Wala usisubiri uwe bilionea ili uweke akiba.  Weka kazi, anza na  kidogo, Kisha hicho kidogo endelea kukikuza ili kiwe kikubwa zaidi. Nakushukuru sana kwa kuweza…

  • Kitu Muhimu Unachopaswa kupigania Mara Zote

    Rafiki yangu, nakusalimia. Na leo nimeona nikukumbushe kuwa unapaswa kujenga utaratibu wa kuutafuta ukweli kwenye jambo husika. Siyo tu uwe mtu wa kumezeshwa na kukubali kila kitu, wakati wengine wanasema hivyo vitu kwa hila ili wakuhadae. Kwa hiyo basi mara zote nenda hatua ya ziada katika kuutafuta ukweli, maana pia imeandikwa kuwa ukweli utakuweka huru.…

  • Hatua Tano Za Kupata Bahati

      Siku ya leo napenda kukueleza hatua tano za wewe kupata bahati kwenye maisha. Kwanza, unahitaji kujua unahitaji kupata bahati kwenye eneo gani. Pili,  unahitaji kujiandaa na hata kuanza kufanya hicho kitu. Bahati hutokea pale ambapo fursa hukutana na maandalizi. Tatu, unahitaji kuwa mvumilivu. Siyo unatangatanga huku na kule na kukimbilia kila fursa inayokuja kwako.…

  • Kosa linalowakwamisha Wengi Hili Hapa

      Kosa kubwa linalowakwamisha wengi ni kulimbikiza kazi ambazo wanapaswa kufanya. Hili kosa linakugharimu sana. Kama kuna kazi ambayo unapaswa kuifanya, ifanye na itekeleze kwa wakati. achana na mambo ya kulimbikiza kazi. Kila la kheri Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel…

  • Kitu Gani Hufanya Uwekezaji Kuwa Mzuri? (What Makes A Good Investment?) By Mo Dewji

     Hivi ni kitu gani kinafanya uwekezaji kuwa mzuri? ni kitu gani ambacho kinapaswa kukusuma wewe kukimbilia uwekezaji fulani?  Siku ya leo tunaenda kujifunza kutoka wa Mo Dewji kuhusu uwekezaji bora. Mo Dewji ni bilionea kwa thamani za fedha za kimarekani hivyo ni wazi kuwa ana busara za kutosha kuhusu uwekezaji na tunaweza kujifunza kutoka kwake…

  • Ujumbe muhimu kwa kijana anayetaka kufanikiwa (Vitu Vinne Vya Kuzingatia)

      Siku ya Leo Nina ujumbe kwako kijana unayetaka kufanikiwa. Moja, jua haswa nini unahitaji maishani. Pili, chukua hatua sahihi kuelekea kile unachotaka. Haitoshi tu kujua unachotaka, bali pia unapaswa kuchukua hatua hata kama ni ndogo sana.  Ikumbukwe kuwa ukihitaji kuhamisha mlima, anza kwa kuondoa jiwe moja. Tatu,  wasaidie watu kupata wanachotaka. Tayari umejua unachotaka,…

  • JIHAMASIHE MWENYEWE

      Kila mara jihamasishe MWENYEWE kufanya kazi au kitu fulani. Usisubiri mpaka hamasa itokee ndio ufanye kitu. Kuna siku nyingine unakuwa hauna hamasa ila bado unapaswa kukifanya HICHO kitu. Moja kati ya kazi yako kubwa kujihamasisha mwwnyewe.  1. Jihamasishe MWENYEWE kwa kuandika malengo yako kila siku na kujikumbusha kwa nini wewe unapaswa Kuyafikia. 2. Jihamasishe…

  • Nenda Viwango Vingine Wewe

    Leo asubuhi nimeamka na kusikiliza wimbo wa William Yilima. Wimbo huu unaitwa Hii siyo ndoto yangu, Naupenda wimbo huu maana mtunzi anataja baadhi ya vitu ambavyo siyo ndoto yake na hivyo ameamua na kuazimia kuwa hivyo vitu siyo ndoto yake. Badala yake ameamua kwenda viwango vingine Mtunzi anaanza kwa kusema kwamba hii siyo ndoto yangu……

  • HUWEZI KUMKODISHA MTU WA KUKUPIGIA PUSH UP

      Kuna vitu katika maisha huwezi kutafuta mtu wa kukusaidia wewe kuvifanya Ni LAZIMA tu uvifanye mwenyewe.Huwezi kukodisha mtu wa kuweka Malengo kwa ajili yako.Huwezi kukodisha mtu wa kula kwa niaba yakoHuwezi kukodisha mtu wa kupenda kwa niaba yakoHuwezi kukodisha mtu wa kupiga push-ups kwa noaba yako. Ni lazina tu wewe upige push-ups zako. Kwa…

  • GODIUS RWEYONGEZA Books

    GODIUS RWEYONGEZA   Ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali ambaye amejikita katika kuhakikisha anatimiza  kusudi lake la kuwafanya watu wawe na maisha bora na  kupiga hatua kubwa kimaisha kupitia kazi zake. Amekuwa akifanya hivi kupitia maandishi yake, semina na  mafunzo anayotoa kwa watu na taasisi mbalimbali. Mtandao wake wa SONGA MBELE umeweza kuwasaidia wengi kubadili maisha…

X