-
Endelea Kupambania Ndoto Na Lengo Lako
Kama una lengo na ndoto kubwa ambayo unaifanyia kazi. Endelea kupambania ndoto yako na lengo lako kila siku. Usirudi nyuma kwa kuanza kujilinganisha na watu wengine. Sikiliza kila siku jiboreshe wewe mwenyewe.Jifanyie tathimini kila mara kuangalia umatoka wapi, uko waapi unaelekea wapi. Jisukume kila mara kufanya zaidi. Ila usijilinganishe na MTU mwingine. Hakuna mtu mwingine…
-
Hiki kitu ndicho kinafanya watu wanakuchukulia poa
Umewahi kujiuliza kwa Nini watu wengi wanakuchukulia poa. Kuna sababu nyingi zinaweza kuwa zinasababisha hiki ila sababu ya kuu unaweza kuwa Ni wewe umewafanya wakuchukulie poa. Inawezekana kuna kipindi ulitakiwa kutoa huduma fulani kwao ila hiyo huduma hukuitoa vizuri. Inawezekana ulijishusha viwango kwa kutaka kupata kitu fulani wakati hukupaswa kujishusha Na pengine inawezekana ni kwa…
-
Vitu vizuri huchukua muda
Mfano hupandi mti wa mwembe leo naa kuvuna kesho. Hapana.Unachukua muda. Utamwagilia mbeguUtapalilia kuondoa majani ili mhegu iweze kuendelea kukua. Ila walau haitachukua siku moja wala siku mbili. Itachukua muda. Kwa miembe ya kisasa inachukua siyo chini ya miaka mitatu na nusu. Kwa miembe ya kawaida inachukua miaka Saba na zaidi. Inashangaza kuona watu wako…
-
Fanya Hiki Unapokuwa Huna Kitu
Kama huna kitu chochote kile Cha kupoteza basi pambana. Pambania ndoto na malengo yako kila siku na kila Mara bila kurudi nyuma. Maana huna kitu chochote cha kupoteza.Huna helaHuna ujuziHuna konekisheni Hivyo njia pekee ya wewe kutoboa ni Kuendelea kupambana bila ya kurudi nyuma hata kidogo. Ipambanie ndoto yako mpaaka uifikie. Nakushauri Sana usome hiki…
-
Zawadi Tano Nzuri Unazoweza Kutoa Kwa Uwapendao
Mara kwa mara huwa tunapenda Kutoa zawadi za gharama kubwa ili kuwaonesha watu Kuwa tunawapenda. Zawadi kama gari ndio zinaonekana zawadi zenye maana kubwa Sana.. Leo hii ningependa nikuoneshe zawadi Tano Nzuri ambazo unaweza kutoa kwa watu zikawa na maana kubwa Sana. Zinaweza zisionekane za thamani machoni pa watu ila aliyepewa zawadi husika akiichukua na…
-
Mfuatilie huyu jamaa kwa mwezi mmoja tu, wewe mwenyewe utaniambia utakachoona
Tunaishi katika dunia ambapo watu wanapenda kufuatilia sana maisha ya watu wengine. MTU anaweza kushinda mtandaoni akifuatilia maisha ya watu mbalimbaliWasaniiWachumba fulaniWachungaji n.k. Ila Kuna jamaa mmoja ambaye umekuwa unasahau kufuatilia. Na jamaa huyu siyo mwingine bali ni wewe mwenyewe. Rafiki yangu, kwa kitu chochote kile unachofanya. Penda Sana kujifuatilia wewe mwenyewe zaidi ya unavyofiatilia…
-
Vitu Vitano Unavyopaswa Kutembea Navyo Kila Mahali
Ni vitu gani huwa unaambatana Navyo kila mahali unapoenda. Je, ni simu, kitabu au Nini? Leo hii ninakuletea orodha ya vitu Vitano Unavyopaswa kuambatana Navyo kila mahali na ubora Ni kuwa havina gharama ya ziada kuvifanya Kujiamini. Jiamini kwenye kila kitu unachofanya. Kama unafanya kitu ambacho hakikufanyi ujiamini, basi hapo kuna mawili. Achana nacho usikifanye…
-
Je, bado na wewe ni mshamba wa fursa?
Kila mara huwa wanakuja watu kwa kusema kwamba kitu fulani kinalipa ukilinganisha na kitu kingine. hiki kitu ndio kinanifanya leo hii intake kukuuliza, hivi na wewe bado ni mshamba wa fursa. Hkauna fursa moja ambayo unaweza kusema kwamba inalipa zaidi kuliko nyingine. Kila ulimwona mjomba amenunua gari kupitia fursa fulani, haimaanishi kwamba na wewe ukimbilioe…
-
Njia Nane Zitakazokuwezesha Wewe Kulipwa Mara Mbili Mpaka Mara Kumi Zaidi
Moja ya tamanio la watu wengi ni kulipwa kiwango kikubwa kuliko ambavyo wanalipwa sasa hivi au kupata kipato kikubwa zaidi ya wanavyopata sasa. Nina hakika hata wewe ungependa kulipwa zaidi ya unavyolipwa sasa, pengine ungependa kupata kipato mara mbili mpaka mara tatu zaidi ya unavyopata sasa hivi, si ndio? sasa kwenye andiko la siku ya…
-
Hii Ndiyo Sheri Ambayo Itakusaidia Wewe Kupata Chochote Kile Unchotaka
Profesa mmoja alifanya kijiutafiti chake binafsi. Zilikuwa ni nyakati za krismasi, hivyo alichofanya ilikuwa ni kuandika kadi za krismasi kwa watu ambao walikuw hawamjui huku akiwatakia kheri ya krismasi. Profesa akakaa huku akisubiria majibu. Baadaye alikuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu walijinu kwa kushukuru kwa kadi ile ya krismasi ambayo alitoa na , ila…
-
Nguvu ya uvumilivu
Kuna ndugu mmoja alianzisha biashara huku akitegemea kwamba watu wangemiminika kwenye biashara yake siku ya kwanza. Ila watu hawakumiminika kama alivyokuwa anatarajia. Siku ya kwanza alitokea mtu mmoja wa kuuliza kuhusiana na biashara yake na kile ambacho anafanya. siku ya pili watu kadha wa kadha pia walipitia na kuangalia kuuliza uliza ila hawakununua. Siku ya…
-
Vitu Vitano Vitakvyokuwezesha Kupata Maisha Ambayo Umekuwa Unatamani
Siku ya leo kuna vitu vitano ambavyo naamini kwamba ukivifanyia kazi, unaenda kuwa na maisha ambayo umekuwa ukiyatamani kwa siku nyingi. Kilichokukwamisha wewe kuweza kupata maisha unayoyataka ni kwa sababu hujafanyia kazi hivi vitu vitano hapa. Kitu Cha Kwanza Ni Kujua Watu Wanataka Nini. Ukijua watu wanataka nini, wewe pia utaweza kupata kitu chochote…
-
Fanya vitu vichache kwanza
Kuku anapoatamia mayai anasahau mpaka kula ili tu hakikishe lengo lake la kuatamia na kupata vifaranga linatimia. Wewe pia kuna vitu unapaswa kuachana navyo sasa hivi li uweze kufika kule unapotaka kwenda Siyo lazima ukimbizane na kila kitu sasa hivi. Fanya vitu vichache ambavyo vitekupelekea kwenye lengo na ndoto yako badala ya kukimbizana na kila…
-
Hatua Nane Za Kuwa Mwandishi Mbobevu
Leo nataka nikupe hatua nane za kuwa mwandish mbobevu. 1. Andika 2. Kila 3. Siku 3. Hata 4. Kama 5. Ni 6. Sentensi 7. Moja 8. Tu. Rafiki yangu unakwama wapi kwenye kuandika. Naamini kwa siku huwezi kukosa hata dakika tano tu za kuanadika hata kama unaandika kitu kidogo. Unahitaji kuandika kila siku kwa sababu…
-
Usiache Kufanya Mazuri Kwa Sababu Umezungukwa Na Watu Wanafanya Mabaya
Kama umezungukwa na watu ambao wanafanya vitu ndivyo sivyo. Usikubali kuachana na tabia yako nzuri na kuanza kufanya vitu ambavyo havieleweki. Mara zote na sehemu zote hakikisha kwamba unafanya mazuri hata kama umezungukwa na watu ambao wanafanya vitu vibaya.. Usikubali kuwa sehemu ya kuendeleza ubaya. Badala yake sambaza upendo wa kufanya mazuri. Unaweza usione matokeo…
-
Hivi Ndivyo Na Wewe Unaweza Kuandika Kitabu Historia Ya Maisha Yako Kama Sugu
Miongoni mwa watanzania ambao wameandiaka vitabu vya historia ya maisha yao ni Sugu. Kitabu chake kinaeleza historia ya maisha yake kuanzia alipozaliwa mpaka anaingia bungeni mwaka 2010. Kina mambo mengi mzuri na ya kujifunza kwelikweli. Nashauri kama hujasoma kitabu cha Sugu, kinachoitwa Maisha na muziki ukisome. Utajifunza mengi sana ndani ya hiki kitabu. Tunaweza pia…
-
Maswali Yanaoulizwa Mara Kwa Mara Kuhusu Semina Ya Uwekezaji Kwenye Hisa
Unaendeleaje mwekezji siku ya leo ningependa kujibu maswali ambayo watu wamekuwa wanauliza mara kwa mara kuhusu semina ya uwekezaji kwenye hisa? 1. Semina itaendeshwa wapi? Semina itaendeshwa kwa njia ya mtandao kupitia kundi maalumu la whatasap. Na inaenda kudumu kwa siku 10 mfululizo. Yaani, kuuanzia tarehe 1.8.2022 mpaka tarehe 10.8.2022 2.Je, atakayehudhuria semina atajifunza vitu gani…
-
Hivi Ndivyo Elfu moja inaweza kukusaidia kuhudhuria semina ya uwekezaji kwenye hisa
Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. Mimi kwa upande mwingine huku naendelea vizuri kabisa. Wiki ilyopita nilitangaza juu ya uwepo wa semina ya uwekezaji kwenye hisa. Semina hii ya kipekee itaendeshwa kwa njia ya mtandao wa whatsap kupitia kundi maalumu la semina. Itadumu kwa siku 10 na kila siku itakuwa ni siku ya mafunzo kwako. Baada…
-
Vitu Viwili Ambavyo Havitapitwa na wakati kwenye zama hizi
Tuna facebook, twitter na mitandao mingine ya kijamii. Kila mtu anakazana sana kuhakikisha kwamba kwenye hii mitandao anakuwa na wafuasi wengi Hata hivyo, ukweli ni kwamba hii mitandao huimiliki wewe. Muda wowote ule wanaomiliki hii mitandao wanaweza kufanya chochote na watu wazuri wanaofuatilia kazi zako wakashindwa kuziona tena. Hii ni mbaya sana. Instagram wanaweza kukufungia…
-
KITABU CHA MY STORY kipo, hivi ndivyo unaweza kukipata
Rafiki yangu mpendwa unaendeleaje. Kwenye mojawapo ya makala ambazo nimewahi kuandika hapa siku za nyuma nilieleza kuwa nina kitabu cha MY STORY cha Mohmmed Ibn Sasa watu wengi wamekuw wananiomba niwatumie hiki kitabu, leo nimeona nikwambie kwamba unaweza kupata hiki kitabu. Kama utakaitaka basi nitumie ujumbe kwa njiaa ya baruapepe ili nikutumie. Baruapepe yangu ni…
