-
Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu
Najua! Unaanza kujiuliza inawezekanaje kupata laki tano ndani ya dakika 5 tena kwa kutoa elfu tano tu? Huu si mchezo wa upatu huu? Sasa naomba ukae chini ili niweze kukueleza hapa. Kwanza fahamu kuwa huu siyo mchezo wa upatu. Bali unaenda kutoa shilingi elfu tano na kupata kitu chenye thamani ya laki tano na…
-
Njia Tano Za Kujitofautisha Mwenyewe Kwenye Kile Unachofanya
Tunaishi katika dunia ambapo watu wengi wanapenda ufanye mambo kwa namna ya kawaida. Upate metokeo ya kawaida na kuishi maisha ya kawaida. Hata kama utasema kwamba hutaki maisha ya aina hii, utajikuta kwamba unalazimika kuishi maisha ya kawaida kwa sababu kila mtu kwenye jamii anafanya hivyo. Na ikumbukwe kuwa watu waliokuzunguka wana nguvu kubwa ya…
-
KAMA UNAFIKIRI KILA KITU KILISHAANDIKWA, FIKIRI TENA (SABABU 18 Kwa Nini Tunaandika Vitabu na Tutaendelea Kuandika Vitabu, Na Kwa Nini Wewe Unapaswa Kuandika Cha Kwako)
Ok! Juzi kuna mtu alinifuata inbox kwangu na kuandika ujumbe mfupi unaosema kila kitu kilishaandikwa. Nilishangaa kidogo kuuona ujumbe huu, ila baadaye nikakumbuka kuwa kwenye group mijawapo la whatsap Kuna mtu ambaye alikuwa ameuliza swali linalosema Jamani habari za humu, Hivi mimi nitakuwa mwandishi kamili lini Kujibu swali niliandika kwa kifupi mno nikisema,…
-
Sababu 5 kwa nini unashindwa kufanikisha malengo unayoweka
Najua. Umekuwa unaweka malengo mara kwa mara ila unashindwa kuyatimiza. Zifuatazo ni sababu tano (05) zinazokukwamisha wewe kutimiza malengo yako. Sitaishia tu kukuonesha sababu hizi bali pia nitakueleza kiundani namna ya kuepukana na sababu hizi ili uweze kufanikisha malengo yako.. Moja, NI KWA SABABU UNAWEKA MALENGO MENGI KWA WAKATI MMOJA. Una Mambo mengi ambayo ungependa…
-
Hii Ndiyo Maana Halisi Ya Nidhamu
Hivi ukisikia mtu anasema mtu fulani ana nidhamu au hana nidhamu anakuwa anamaanisha nini? Je, wewe una una nidhamu? Au ndio ulishasahau mambo ya kuwa na nidhamu tangu ulipohitimu shule? Siku ya leo naomba ufahamu kwamba nidhamu, ni pale unapoamua kufanya kitu kwa utaratibu fulani na ukakifanya bila kuacha. Umeamua kuwa kila siku utaamka alfajiri…
-
Huyu ndiye mtu anayeweza kukusaidia kufanikisha malengo yako
Umewahi kujiuliza, “ni mtu gani ambaye anaweza kunisaidia mimi kufanikisha malengo yangu?” Siku ya leo ningependa nikwambie kuwa mtu pekee anayeweza kukusaidia wewe kufanikisha malengo yako ni wewe mwenyewe. Na unaweza kufanikisha hili kwa; 1. Kwanza kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili lengo litimie. Usiweke lengo na kusubiri tu bila ya kulifanyia kazi.…
-
MAISHA NI WAJIBU WAKO
Kuna watu wanashangaza kweli. Mwaka 2015 walikuwa wanasema maisha ni magumu, hawana mtaji, ajira hazipo n.k. Mwaka 2020 bado walikuwa wanasema mambo yaleyale. Cha ajabu zaidi ni kwamba 2025 watakuwa watu walewale bado watakuwa wanasema yale ya 2015. Sasa kwa nini? Je. Wewe ni mmoja wao. Unapaswa kubadilika mara moja. 1. Fahamu kuwa maisha ni…
-
Mambo Matano Unayopaswa Kufahamu Ili Utengeneze Marafiki Wazuri Na Wa kudumu
Marafiki ni watu wa muhimu Sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Wanatusaudia kufanya mambo mengi Sana. Imegundulika pia kuwa marafiki wazuri ni chanzo cha furaha miongoni mwa watu. Huku marafiki wabaya wakiwa ni chanzo cha huzuni na karaha. Siyo Hilo tu marafiki wazuri wanaweza kukufanya usonge mbele na kufanikisha malengo yako au la urudi…
-
Jinsi Ya Kuondokana Na Hofu Ya Kuongea Mbele Ya Watu (How To Overcome The Fear Of Public Speaking)
Hivi ni kitu gani ambacho wewe huwa unaogopa sana? Watu wote huwa Wana kiwango fulani cha uoga kwenye vitu mbalimbali japo uoga hutofautiana. Hata hivyo, kuna kitu kimoja ambacho kinaonekana Kuogopwa Na watu Wengi. Kitu hiki hapa ni kuongea mbele ya watu. Huu ndio uoga unaowakumba watu wengi sana pengine na wewe ukiwa mmoja…
-
SABABU 2 kwa Nini kila ukipata fedha unasahau mipango yako yote
Kuna watu wengi ambao wasipokuwa na fedha wanakuwa na mipango lukuki, ila siku wakipara hiyo fedha, mipango yao inayeyuka kwanza, halafu ndipo wanakuja kuikumbuka baadaye sana baada ya kuwa wametumia fedha zikaisha. Sasa zifuatazo happy chini ni sababu 2 za kwa nini kila ukipara fedha mipango yako inateyuka kwanza 1. Hauna malengo madhubutiKinachokupelekea wewe…
-
Kanuni kuu ya mafanikio iliyojificha
Kwenye mafanikio kuna kanuni moja ambayo imejificha ambayo watu wengi hawaonekani kuijua wala kuitumia. Kanuni hii inaitwa kanuni ya 80/20. Hii ni kanuni muhimu inayoweza kukupa mafanikio makubwa wewe na mtu yeyote atakayeitumia. Ebu ifuatilie hapa
-
4. THE FOUR AGREEMENTS book review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA
Karibu sana kwenye uchambuzi wa kitabu cha Four Agreements kilichoandikwa na Don Miguel Ruiz. Hiki ni kitabu bora kinachoeleza maagano manne ambayo huwa yanafanyika maishani. Watu wengi hufanya maagano haya bila kujua na huwa yanawaumiza sana. Mwandishi anaanza kitabu hiki hapa kwa kueleza domestication kubwa ambayo imewahi kufanyika hapa duniani. Itakushangaza sana, siyo ya wanyama…
-
2. MAKE YOUR BED review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA
Ni wazi kuwa watu wengi wnapenda kufanya mambo mengi kwenye hii dunia. wanataka kuleta mabadiliko na wengine wana ndoto kubwa sana. ila kitu ambacho watu wengi wamekuwa hawajui ni jinsi gani unaweza kufanya mabadiliko kenye maisha yako. kwenye uchambuzi wa kitabu cha leo tunaenda kuona vitu tisa kutoka kwenye kitabu hiki cha MAKE YOUR BED.…
-
Nguvu kubwa iliyonyuma ya kupanga
Kupanga ni kitu muhimu sana kwa ajili ya mafanikio yako na kesho yako bora. Kupanga ni kuileta kesho yako hapa ili uweze kufanya kitu leo keo cha kukupeleka kwenye kesho yako. Kitu muhimu unachopaswa kufanya siku ya leo ni kuhakikisha una mpango mwaka, mwezi na wa wiki hii. Halafu mipango yako ya kila siku…
-
Nguvu ya lengo moja kuelekea mafanikio makubwa
Kama unataka kuwa na maisha bora na yenye maana, anza kwa kuwa na lengo ambalo unaenda kufanyia kazi maishani mwako. Kuwa na lengo tu kunaweza kukufanya ubadili tabia zako na mambo mengine yote. Kutakufanya upangilie ratiba zako upya. Kutakufanya ubadili namna ya unavyonunua vitu na kutumia fedha zako n.k. Kitu hiki kitalaamu kinaitwa Diderot effect.…
-
Ujumbe Muhimu Watu Ambao Wanahitaji Kutoka Kwako
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Kuna kitu kimoja ambacho watu wanahitaji kutoka kwako rafiki yangu. Na kitu hiki hapa ni ujumbe wa matumaini. Watu wanahitaji sana ujumbe wa matumaini kutoka kwako. Ujue tunaishi kwenye ulimwengu ambapo watu wanakatishwa tamaa sana, taarifa za habari nyingi zinaoneshwa katika namna ya kukatisha…
-
Kitu muhimu kitakachokutofautisha wewe na watu wa kawaida
Kuna vitu ambavyo watu waliofanikiwa na watu waliobobea huwa wanafanya ila watu wa kawaida huwa hawavifanyi. Mojawapo ya kitu hicho ni kufanya kazi kila siku bila kujali kitu gani ambacho kinatokea. Ujue kila mtu anaweza kufanya kitu chochotge kwa kujiskikia kisha akaacha, ila watu waliofanikiwa hawafanyi vitu kwa kujisikia au kutojisikia. Bali wanafanya kwa…
-
Hii Ni Zawadi Ambayo Inadumu Milele
Siku ya leo napenda tu kukwambia zawadi moja ya kipekee ambayo najua unayo ila pengine umekuwa hauitumii vyema. ni zawadi ya familia. familia ni zawadi ambayo unayo na inadumu milele. hivyo, ni jukumu lako kuhakikisha kwamba unaitumia vyema zawadi hii. Hakikisha kwamba unapokuwa na wanafamilia wako mmnafurahia kuwa pamoja waambie wanafamilia wako kwamba unawapenda. kama…
-
Kuwa Mtu Wa Kusema Ukweli
Imepita 9 hivi tangu niliposoma riwaya ya S. N. Ndunguru inayoitwa The Divine Providence. Kiufupi ukiniambia nikuueleze riwaya hiyo hata kwa ufupi, siwezi kusema chochote kuhusu hiyo riwaya. Sikumbuki hata ilikuwa inahusu nini. Isipokuwa nakumbuka kitu kimoja tu kutoka kwenye ile riwaya. Kitu hiki sijawahi kukisahau na wala sitakuja kukisahau. Na kitu hiki kinakutwa kwenye…
-
Kosa Kubwa Linalogharimu Wengi Kwenye Fedha
Njia rahisi ya wewe kupoteza fedha ni pale unapoanza kutumia fedha yako ili kuwaonesha watu kuwa una fedha. Pale unaponunua vitu ili watu wajue kuwa una fedha. Hapo unakuwa umeingia kwenye mtengo mbaya ambao unakufanya usiishi maisha yako, badala yake unaanza kuishi maisha kwa kuangalia wengine watakuonaje. Ni mtego mbaya maana mwisho wa siku…
