-
NIMEZALIWA MSHINDI; Nje Au Ndani? Wapi Panafaa Zaidi?
Tunaishi katika dunia ambapo kila kitu kinapatikana kwa uwili. Yaani vitu vitu vingi vinaenda vikiwa na pande mbili mbili. Mfano huwezi kuzungumzia mbele bila kuzungumzia nyuma,Huwezi kuzungumzia juu bila kuzungumzia chiniHuwezi kuzungumzia kulia ukasahu kwamba kuna kushotoHuwezi kuzungumzia urefu ukasahau ufupi.Ukizungumzia juu ya suala la kukumbuka huwezi kusahau kwamba kuna kusahau,Ukizungumzia unene basi jua kwamba…
-
KONA YA SONGA MBELE; Hivi Ni Vitu Vinavyotafutwa Kwa Wanachuo Wanaotafuta Ajira
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Karibu sana katika makala hii ya siku hii ya leo tujifunze kitu kipya. Maana bila kujifunza kitu kipya tutaangamia. Maarifa siku hizi yana mwisho kikomo. Kama hutatafuta Maarifa mapya, basi jua kwamba unajifungia na kujifungia fursa njema sana ambazo zingekujia. Sasa karibuni…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Maneno Huwa.
Ni kawaida yetu kuongea maneno mengi sana kwa siku tangu tunapoamuka, mpaka jioni tunapoenda kulala. Maneno ambayo tunayaongea ni mengi sana. Kuna utafiti uliwahi kufanyika na ukagundua kwamba mwanamke kwa siku anaongea maneno 20,000 wakati mwanaume kwa siku anaongea maneno 7,000. Utafiti huu ulifanyika katika chuo kikuu cha California nchini marekani. Kuna utafiti mwingine ambao…
-
Hivi Ndivyo Watu Wanapaswa Kuhukumiwa.
Habari za siku hii ya leo rafiki yangu imani yangu siku Yako ni njema sana. Hakikisha kwamba leo unaitumia vizuri sana maana leo hii ndio siku pekee kwako. Katika maisha ya siku hizi kuhukumu watu ni jambo la kawaida sana. MTU akikuona unafanya kitu fulani basi kitu kikubwa sana ambacho anafanya, anakimbilia kukuhukumu na kutoa…
-
NIMEZALIWA MSHINDI: zaeni mkaongezeke
Mungu alipomuumba mwanadamau kuna baadhi ya vitu ambavyo alimkabidhi mwanadamu ili avitumie. Mungu alimpa manadamu uwezo wa kuzalisha zaidi na kuviongeza zaidi vile ambavyo aliumba hapo mwanzoni. Kumbe wewe haujazaliwa kubweteka na kukaa tu huku ukiwa unataka kuishi maisha mazuri. Ebu mtazame MUNGU baada ya kumuumba Adamu. Alimwambia kwamba zaeni mkaongezeke. Tafsiri ya neno hili…
-
NMEZALIWA MSHINDI; Je, Wajua Kwamba Bahari Shwali Haitoi Wanamaji Stadi?
Siafu ni viumbe wadogo sana, ambao huwa wanaonesha mfano mzuri sana katika ushirikiano na uchapaji kazi wake. Leo hii ningependa ujue kwamba kuna wakati siafu wanapokuwa wakisafiri, kuna baadhi ya siafu huwa wanalazimika kutengeneza nyumba kwa juu ili wenzao waweze kupita kwa chini. Sio kwamba wale wanaotengeneza hiyo nyumba kwa juu huwa wamekufa, hasha, bali…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Huu Ndio Ujuzi Ambao Hauuzwi Sokoni
Kuna vitu ambavyo unaweza kuvinunua sokoni, na kuna vitu huwezi hata siku moja kuvinunua sokoni. Kuna vitu ambavyo upatikanaji wake unakuwa mgumu wakati vitu vingine upatikanaji wake wake ni kawaida. Wakati vitu Vingine vinakubitaji uwe na pesa,, ili uvipate vitu vingine vinahitaji juhudi yako tu ili viweze kuwepo. Vinahitaji pia muda wako ili uvipate. Kuna…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Hii Ndiyo Sehemu Bora Unapopaswa Kuwa
Kuna MTU mmoja aliwahi kusema kwamba “kama wewe kwenye chumba chako ndio MTU pekee ambaye ana busara sana basi jua kwamba unapaswa kutoka kwenye chumba hicho na kutafuta chumba kingine, maana haupo kwenye eneo sahihi”. Kumbe kama wewe ndiwe MTU ambaye anategemewa sana kwenye eneo ulilopo na unaonekana kama MTU mwenye busara sana kuliko watu…
-
HAYA NDIO MAMBO MAWILI AMBAYO UNAHITAJI KUYAZIKA.
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yako leo ni siku njema sana na kila kitu kinaenda vizuri kama umenga. Ni jambo jema sana kwamba leo tunaenda kujifnza kitu kipya na cha tofauti kitkachotutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine katika maisha yetu. Katika maisha kuna baadhi ya…
-
Mambo Saba Unayohitaji Kuyajua Ili Kuucheza Mchezo Wa Maisha Vizuri.
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu hii ya songa mbele. Imani yangu kwamba siku yako umeianza vyema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ys siku hii ya leo. Watu wengi sana wanachukulia maisha kama vita (mapambano), lakini sio kweli kwamba maisha ni mapambano. Maisha ni mchezo ambao…
-
Tatizo Sio Raslimali Zilizopotea
TATIZO HUTAKI KUAMUKA MAPEMA.katika kitabu changu cha kwanza cha kutoka sifuri mpaka kileleni nalikushirikisha kwamba kulala mapema na kuamka mapema, kunakufanya kuwa mtu mwenye afya njema sana, tajiri na mwenye busara. Moja kati ya imani ambazo vijana wengi wanazo ni imani kwamba kuna mambo ambayo wao hawapaswi kufanya hivyo yanafaa yafanywe na wazee. Mfano kuna…
-
Mambo 12 Niliyojifunza Ndani Ya Masaa 12
Habari ya siku ya leo Rafiki na ndugu yangu, imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako. Huwa Nina tabia ya kujifunza kila ninapoenda, kila ninPokutana na MTU, niwe nimemzoea au la! Huwa pia napenda kunifunza kwa vitu ninavyokutana navyo, sauti ninazosikia na vitendo ninavyoona. Jana ilikuwa kati ya siku ambazo nimejifunza mambo menfi…
-
Mambo Mawili (02) Yatakayokufanya Uiunge na Asilimia Tatu (3) Ya Wanamafanikio
Habari za siku ya leo rafiki yangu na ndugu yangu. Imani yangu siku ya leo ni njema sana. kama mpaka sasa unapumua basi una kila haki ya kuutumia uhai wako ambao unao kwa ajili ya kuhakikisha kwamba unaweza kufanya mambo makubwa sana. katika makala ya leo tunaenda kujifunza mambo mawili yatakayokufanya uweze kujiunga na asilimia…
-
Maisha Ndani Ya Darasa Ni Tofauti Na Maisha Nje Ya Darasa
Nampenda sana ROBERT KIYOSAKI kwa jinsi anavyodadafua maisha ya shuleni na kuyaweka katika hali ya kawaida ya maisha. Maisha ndani ya shule yana mfumo wake wa kuishi, mfumo ambao ni wa tofauti kabisa na maisha nje ya mfumo wa shule. Au kiufupi tunaweza kusema kwamba maisha ya shuleni ni digrii 180 na maisha nje ya…
-
HIZI NI KAULI MBIU MBILI AMBAZO KILA MWANAMAFANIKIO ANAZIHITAJI
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu ya SONGA MBELE. Imani yangu leo ni siku bora sana kuwahi kutokea katika maisha yako bila kujali unahali gani kiafya. Kwa kuwa wewe unapumua na umeweza kusoma makala hii, basi hapo unahitaji kumshukuru Mungu kwa sababu ya zawadi hii ya kipekee ambayo unayo siku…
-
Hii Ni Siri Iliyo Nyuma Ya Kauli Niko Updated!
Kuna kasumba ambayo inavuma kwa kasi sana siku hizi kutoka kwa watu kwamba wanataka kuwa UPDATED kila mara. Nimeamua kutumia neno upadated kama lilivyo bila kupindisha ili ujumbe sahihi uweze kuwafikia watu sahihi ambao wanahusika. Kama unaona msemo huu ni mpya kwako na hauelewi nakushauri sana uache kusoma makala hii na utafute makala nyingine ambazo…
-
Hii Ni Maana Mbaya Ya Mwanachuo Kuwahi Kutolewa
. Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za SONGAMBELE. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti na unaenda kufanya kitu cha tofauti sana leo. Leo ni siku bora sana hakikisha kwamba unafanya kitu ambacho ni bora sana. Kile ambacho kinaweza kupimwa lazima kitaongezeka ubora. Hivyo hakikisha unaongeza…
-
Aliyefunga Goli Ni Mmoja Ila Timu Nzima Hushangilia
Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songambele karibu sana, katika makala hii siku ya leo ili kwa pamoja tujifunze kitu kipya. Tujifunze kitu ambacho lazima kitatuinua na kutupeleka sehemu nzuri sana. Je, umewahi kujiuliza kitu gani huwa kinatokea katika Mpira wa miguu? Hasa pale anapofunga goli MTU…
-
NI LINI HUWA TUNASEMA MTU AMEANZA KUPATA USHINDI?
Habari za siku ya leo Rafiki na ndugu msomani wa blogu yako ya songambele. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti. Leo ni siku bora sana. Hakikisha kwamba hauipotezi kwa kufanya mabaya, Bali ipangilie vizuri na kuhakikisha kwamba kila dakika umeitumia kwa kufanya mambo ya tofauti sana. Ni muhimu kufahamu kwamba kila kitu…
-
Swali Linatakaloleta Mabadiliko Makubwa Sana Maishani Mwako.
Habari za siku ya leo Rafiki yangu. Imani yangu siku yako ya leo umeishi kwa namna ambayo ni tofauti sana. Karibu sana katika makala ya leo ili tuweze kujifunza kitu cha tofauti, sana. Kuna swali moja ambalo Steve Jobs alikuwa anajiuliza kila siku, na katika kila hatua ambayo alikuwa anapiga. Ni swali hili hili ambalo…