-
Hii Makala Ni Kwa Watu Wenye Kiu Ya Kufikia Mafanikio Makubwa Tu
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Nichukuke nafasi hii kukupongeza kwa siku kuuu ya krismasi, jana. Nichukue tena nafasi hii kukutakia siku kuu njema sana kufungua vifurushi leo. Sasa leo hii nimekuandalia makala wewe tu mwenye kiu kubwa ya mafanikio. Rafiki yangu kama wewe ni mtu mwenye kiu kkubwa sana ya kufikia mafanikio…
-
Salamu Za Krismasi Kutoka Kwa Godius Rweyongeza
Habari ya leo. Nichukue nafasi kukutakia kheri ya sikukuu za Krismasi na mwaka mpya. Kwa mwaka mpya 2020. Kuna Mambo haya nisingependa uyakose. 1. Kwanza kabisa nisingependa ukose kupata kitabu kimoja cha kiswahili kila mwezi kwa njia ya (PDF).Kwa sababu nathamini mafanikio yako, basi nitahakaikisha nakuandalia kimoja na kukupa kila mwezi. Wewe mwenyewe utakipenda na…
-
JAMANI NIACHENI NISEME KITU HIKI KIMOJA SIKU YA LEO. YATAKAYOBAKI TUTAONGEA KESHO
Leo hii ni siku njema sana. Kwanza nichukue muda huu kukutakia kheri sikuu ya krismasi na mwaka mpya. Baada ya kusema hayo naomba uniache sasa niseme kitu kimoja tu yatakayobaki tutaongea kesho. Najua tangu asubuhi umesikia mengi kutoka kwa watu ila kitu kimoja kitabadili maisha yako kabisa. Hivyo basi niache kabisa niseme hiki kitu kimoja…
-
JE, TUJIFUNZE NINI KUTOKANA NA UZINDUZI WA CYBERTRUCK?
Masomo matano ya kibiashara kutoka kwa Elon Musk na Kampuni yake ya Tesla Ni mwezi sasa umepita tangu Elon amezindua gari aina ya Cbyertruck ambayo imetegenezwa na kampuni yake ya Tesla. Cbertruck ni truck (pick up) ya kipekee tofauti na pickup za magari mengine ambazo umezoea kwa siku zote. Yaani Tesla wamekaa chini na…
-
Kama Hauna Hata Mia Mbovu Jua Unakosea Hapa
Kuna misemo ambayo imezoeleka kutolewa na watu siku hizi kiasi kwamba imekuwa ni sehemu ya pili ya maisha ya hawa watu. Unakuta mtu anasema โusawa huu wa Magufuri pesa imekuwa ngumu sana”. Utasikia mwingine anasema โvyuma vimekaza” wakati mwingine akitaka kukwambia kuwa hana pesa basi utasikia akisema, โsina hata mia mbovu”. Yaani kumaanisha kuwa hana…
-
Hivi Ndivyo Utaweza Kujifunza Lugha Mpya 2020 (Ukiamua kuitumia vizuri njia hii, mwakani watakusikia ukinena kwa lugha nyingine)
Inawezekana umekuwa na mpango wa kujifunza lugha mpya kwa siku sasa, ila Kuna vitu vinakuzuia. 1). Pengine unaona gharama za kuingia darasani ni kubwa.2). Majukumu yako ni mengi kiasi kwamba unaona huwezi kuyaacha kuanza kuhudhuria darasa jipya.3). Hujui wapi unapaswa kwenda kujifunza lugha mpya. Sasa leo hii napenda nikwambie wapi utaweza kujifunza lugha mpya 2020. …
-
Nakukumbusha Jukumu Lako Hiki Usije Ukasahau
Kwenye dunia hii kila mmoja ana jukurmu lake. Kuna watu ambao jukumu lao ni kukosoa, kukatisha tamaa, na kukukwamisha. Hawa watu utakutana nao katika safari yako. Ila kumbuka kwamba wao kazi yao waliyoichagua ni kukosoa. Ukiona mtu anakukosoa na kusema vibaya juu ya kile unachofanya, Jua kwamba yeye amechagua hiyo kazi. Hivyo wewe endelea na…
-
NDUGU MZAZI; barua ya wazi kwa wazazi na walezi wote
Ndugu mzazi: barua ya wazi kwa wazazi na walezi wote Unaweza kumpenda mtoto anayepata A darasani na kumchukia anayepata C au F. Lakini anayepata A darasani inawezekana asipate A maishani. Tujifunze kupenda watoto wote na kuwajali watoto wote kwa usawa. Ndugu wazazi A ya darasani haimaanishi maisha yatakuwa mazuri. Na maisha mtaani yalivyo hayapimwi kwa…
-
WHO MOVED MY CHEESE?
๐๐๐๐๐ Huwa inatokea mara nyingi maishani kwamba watu wanashabikia na kupenda mabadiliko yatokee maishani Ila wao huwa kusababisha mabadiliko hayo ni vuta nikuvute Huwa inaonekana vizuri kumshangilia KIONGOZI wa siasa ambaye anahaidi kuwa mara tu baada ya kuingia madarakani atafanya mabadiliko moja, mbili na tatu Kitabu Cha WHO MOVED MY CHEESE kimezungumzia sana kuhusu mabadiliko…
-
Huu Ndio Upekee Wa Vitabu Hivi Viwili
Siku chache zilizopita Kuna mtu alikuwa anaangalia kava za vitabu vyangu viwili vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA. Alipomaliza kuziangalia alisema maneno yafuatayo. Kiukweli unajitahidi sana kuhakikisha unatengeneza kava nzuri za vitabu. Bila kuchelewa ilibidi nimwambie ukweli huu ambao niliona alikuwa haujui. Nilisema, โkama unavyoona kava za vitabu vyangu zilivyo vizuri,…
-
Habari Njema Sana Kwa Wapenzi Wa Kusoma Vitabu
Habari ya muda huu rafiki yangu. Kama ulikuwa hujui basi leo naomba nikupe habari njema. Kuna idadi kubwa ya watu ambao huwa wananiomba vitabu mbalimbali vya kusoma mara kwa mara.Ambacho huwa nafanya mtu akiniomba vitabu ninamtumia. Kwa hali ilivyo unaweza kukuta siku moja unatumia watu 3-5 na idadi hii inajirudia kwa nyakati tofauti na unakuta…
-
UKIAMBATANA NA MASIKINI WATANO, WEWE NI MASIKINI WA SITA
UKIAMBATANA NA MASIKINI WATANO, WEWE NI MASIKINI WA SITA Ukiambatana na masikini watano, wewe ni masikini wa sita. Ukiambatana na matajiri watano, wewe ni tajiri wa sita. Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu waliokuzunguka wanakuwa na mchango mkubwa kwa kile unachokuwa. Jim Rohn aliwahi kusema kuwa wale watu waliokuzunguka wanakuwa na mchango mkubwa sana…
-
PESA YAKO WEWE IKO HAPA (Na wala sio sehemu nyingine)
Kama kwa siku sasa umekuwa unatafuta pesa ila huipati. Kama umekuwa unajiuliza hivi nitapataje pesa na kutengeneza utajiri. Leo hii napenda nikwambie pesa yako haiko mbali sana. Pesa yako iko kwenye biashara unayoogopa kufanya. Kama utaamua leo hii kuanza kuanza biashara hiyo unayoogopa kuanza basi pesa yako itakuja na wewe utaanza kuikusanya. Kwa hiyo kazi…
-
Vitabu Vitano Ambavyo Kila Muhitimu Wa Chuo Kikuu Anapaswa Kuanza Kusoma Mara Moja
Siku sio nyingi Sana, NILIANDIKA makala yenye kichwa cha WANAOSHEREHEKEA KUHITIMU CHUO TUWAAMBIE UKWELI? AU TUWAACHE KWANZA WAFUMUE NYWELE ZAO ZA GRADUATION?Moja kati ya vitu ambavyo nilieleza kwenye makala hii ni wahitimu wa chuo kujenga tabia ya kusoma vitabu na kuwa tayari kujifunza. Kwenye maisha ya mtaani huwezi kuja na ile hali ya kusema kwamba…
-
Kutana na mtu mwenye kumbukumbu kali kuliko wote
Kuna kipindi nilikuwa nasoma vitabu vya namna bora ya kuwa kumbukumbu ambavyo vimeandikwa na mwandishi Harry Lorrayne na waandishi wengine. Nilichojifunza kwenye vitabu hivi Ni kuwa unaweza kuwa mtu mwenye kumbukumbu kadri unavyotaka.Una uwezo wa kukumbuka namba za simu za watu, una uwezo wa kukumbuka namba yenye urefu mpaka namba 21 na zaidi.Una uwezo wa…
-
WALE MNAOSEMA KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA, EBU NIAMBIE FAIDA ZA KUWA MASIKINI!!!
Imezoeleka miongoni mwa watu kwamba kila kitu huwa kina pande mbili. Ukizungumzia kulia huwezi kusahau kushoto. Ukizungumzia mbele basi lazima kutakuwa na nyuma. Ukisikia mtu anasema juu Basi lazima kuna chini. Moja ya kitu ambacho watu wamezoea kusambaza ni kwamba kila chenye faida basi lazima kitakuwa na hasara. Japo kitu hiki kinafanya kazi katika baadhi…
-
WANAOSHEREKEHEA KUHITIMU CHUO TUWAAMBIE UKWELI? AU TUWAACHE KWANZA WAFUMUE NYWELE ZAO ZA GRADUATION?
Siku zinaenda kweli. Mwaka jana kipindi kama hiki hapa kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa na picha fulani iliyokuwa inasambaa sana. Picha hii ilikuwa na maneno yafuatayo. Wanaosherehekea kuhitimu chuo tuwaambie ukweli, au tuwaache kwanza wafumue nywele zao za graduation? Kisha lilikuwa linafuata cheko ka mtu anayeonekana kuujua ukweli wanaoenda kukutana nao wahitimu kwenye mtaa. Mwanzoni…
-
KUTANA NA KAULI AMBAYO IMEUA UBUNIFU WA WAAFRIKA WENGI NA JINSI YA KUIEPUKA.
Afrika yetu ina mambo mengi ambayo yanachukuliwa kawaida na watu ila ukiyaangalia kwa jicho la kusongambele, unaona wazi kwamba watu wanalazimisha kujweka vikwazo kwenye safari ya kutoka sifuri mpaka kileleni. Moja ya vitu huvyo ni kauli ambazo zinazuia ubunifu na watu kusongambele. Kauli hizo ni pamoja na1. Hakuna haraka barani Afrika2. Ukitaka kumficha mwafrika kitu…
-
Hivi Ndivyo Nilivyopata Bahati Ya Kukutana Na Donald Trump Na Mambo Matano Aliyoniambia
(kama unataka kuchomoka kwenye maisha basi utapaswa kuzingatia haya aliyosema) Siku chache zilizopita nilikaa meza moja na raisi wa marekani katika maongezi mazito sana. Na katika maongezi haya alinishauri vitu vitano ambavyo ninaenda kuvidadavua hapa chini. Labda utakuwa unajiuliza huyu jamaa aliwezaje kukutana na raisi mkubwa hivyo. Ni rahisi sana na connection hii nimeitengeneza mwenyewe.…
-
KITENDO KIMOJA, KIDOGO NA CHA UHAKIKA KITAKACHOKUWEKEZESHA KUWEKA AKIBA KWA VIWANGO VYA JUU SANA
Kuna utafiti nimewahi kusoma kwamba mwajiriwa mmoja kwa nchi za ulaya akiachishwa kazi siku hii ya leo anaweza kuendelea kuishi kwa siku nyingine zijazo 18 tu. yaani kwamba akiba yake aliyonayo kwa siku hii ya leo inaweza kumfanya aendelee kuishi kwa siku 18. Huu ni utafiti unaonesha hali ya nchi za ulaya, sasa sijui hali…