Author: Godius Rweyongeza

  • HAYA NDIO MAMBO MAWILI AMBAYO UNAHITAJI KUYAZIKA.

    Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yako leo ni siku njema sana na kila kitu kinaenda vizuri kama umenga. Ni jambo jema sana kwamba leo tunaenda kujifnza  kitu kipya na cha tofauti kitkachotutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine katika maisha yetu. Katika maisha kuna baadhi ya…

  • Mambo Saba Unayohitaji Kuyajua Ili Kuucheza Mchezo Wa Maisha Vizuri.

    Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu hii ya songa mbele. Imani yangu kwamba siku yako umeianza vyema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ys siku hii ya leo.   Watu wengi sana wanachukulia maisha kama vita (mapambano), lakini sio kweli kwamba maisha ni mapambano. Maisha ni mchezo ambao…

  • Tatizo Sio Raslimali Zilizopotea

    TATIZO HUTAKI KUAMUKA MAPEMA.katika kitabu changu cha kwanza cha kutoka sifuri mpaka kileleni nalikushirikisha kwamba kulala mapema na kuamka mapema, kunakufanya kuwa mtu mwenye afya njema sana, tajiri na mwenye busara. Moja kati ya imani ambazo vijana wengi wanazo ni imani kwamba kuna mambo ambayo wao hawapaswi kufanya hivyo yanafaa yafanywe na wazee. Mfano kuna…

  • Mambo 12 Niliyojifunza Ndani Ya Masaa 12

    Habari ya siku ya leo Rafiki na ndugu yangu, imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako. Huwa Nina tabia ya kujifunza kila ninapoenda, kila ninPokutana na MTU, niwe nimemzoea au la! Huwa pia napenda kunifunza kwa vitu ninavyokutana navyo, sauti ninazosikia na vitendo ninavyoona. Jana ilikuwa kati ya siku ambazo nimejifunza mambo menfi…

  • Mambo Mawili (02) Yatakayokufanya Uiunge na Asilimia Tatu (3) Ya Wanamafanikio

    Habari za siku ya leo rafiki yangu na ndugu yangu. Imani yangu siku ya leo ni njema sana. kama mpaka sasa unapumua basi una kila haki ya kuutumia uhai wako ambao unao kwa ajili ya kuhakikisha kwamba unaweza kufanya mambo makubwa sana. katika makala ya leo tunaenda kujifunza mambo mawili yatakayokufanya uweze kujiunga na asilimia…

  • Maisha Ndani Ya Darasa Ni Tofauti Na Maisha Nje Ya Darasa

    Nampenda sana ROBERT KIYOSAKI kwa jinsi anavyodadafua maisha ya shuleni na kuyaweka katika hali ya kawaida ya maisha. Maisha ndani ya shule yana mfumo wake wa kuishi, mfumo ambao ni wa tofauti kabisa na maisha nje ya mfumo wa shule. Au kiufupi tunaweza kusema kwamba maisha ya shuleni ni digrii 180 na maisha nje ya…

  • HIZI NI KAULI MBIU MBILI AMBAZO KILA MWANAMAFANIKIO ANAZIHITAJI

    Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu ya SONGA MBELE. Imani yangu leo ni siku bora sana kuwahi kutokea katika maisha yako bila kujali unahali gani kiafya. Kwa kuwa wewe unapumua na umeweza kusoma makala hii, basi hapo unahitaji kumshukuru Mungu kwa sababu ya zawadi hii ya kipekee ambayo unayo siku…

  • Hii Ni Siri Iliyo Nyuma Ya Kauli Niko Updated!

    Kuna kasumba ambayo inavuma kwa kasi sana siku hizi kutoka kwa watu kwamba wanataka kuwa UPDATED kila mara. Nimeamua kutumia neno upadated kama lilivyo bila kupindisha ili ujumbe sahihi uweze kuwafikia watu sahihi ambao wanahusika. Kama unaona msemo huu ni mpya kwako na hauelewi nakushauri sana uache kusoma makala hii na utafute makala nyingine ambazo…

  • Hii Ni Maana Mbaya Ya Mwanachuo Kuwahi Kutolewa

    . Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za SONGAMBELE. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti na unaenda kufanya kitu cha tofauti sana leo. Leo ni siku bora sana hakikisha kwamba unafanya kitu ambacho ni bora sana. Kile ambacho kinaweza kupimwa lazima kitaongezeka ubora. Hivyo hakikisha unaongeza…

  • Aliyefunga Goli Ni Mmoja Ila Timu Nzima Hushangilia

    Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songambele karibu sana, katika makala hii siku ya leo ili kwa pamoja tujifunze kitu kipya. Tujifunze kitu ambacho lazima kitatuinua na kutupeleka sehemu nzuri sana. Je, umewahi kujiuliza kitu gani huwa kinatokea katika Mpira wa miguu? Hasa pale anapofunga goli MTU…

  • NI LINI HUWA TUNASEMA MTU AMEANZA KUPATA USHINDI?

    Habari za siku ya leo Rafiki na ndugu msomani wa blogu yako ya songambele. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti. Leo ni siku bora sana. Hakikisha kwamba hauipotezi kwa kufanya mabaya, Bali ipangilie vizuri na kuhakikisha kwamba kila dakika umeitumia kwa kufanya mambo ya tofauti sana. Ni muhimu kufahamu kwamba  kila kitu…

  • Swali Linatakaloleta Mabadiliko Makubwa Sana Maishani Mwako.

    Habari za siku ya leo Rafiki yangu. Imani yangu siku yako ya leo umeishi kwa namna ambayo ni tofauti sana. Karibu sana katika makala ya leo ili tuweze kujifunza kitu cha tofauti, sana. Kuna swali moja ambalo Steve Jobs alikuwa anajiuliza kila siku, na katika kila hatua ambayo alikuwa anapiga. Ni swali hili hili ambalo…

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Huwezi Kukinunua Sokoni

    Habari za leo rafiki na ndugu masomaji wa makala za SONGA MBELE BLOG, imani yangu leo ni siku bora sana kwako na tayari umefanya mambo makubwa sana ndani ya siku yako ya leo. Ikiwa ni tarehe  15 June 2017. Siku kama ya leo hatutakuja kukutana nayo tena maishani mwako. Hivyo ni bora sana kujua umuhimu…

  • Maswali na Majibu kuhusu Semina Ya Timiza Malengo Ya Mwaka Ndani Miezi Sita

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu, siku yako ni njema sana na unazidi kufanya makubwa sana. Siku moja inaweza kukufanya kuwa mtu mkubwa sana, kama utaitumia kwa umakini mkubwa sana. Baada ya kutangaza uwepo wa semina ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao mwezi wa saba…

  • Mambo Mawili (02) Ya Kufanya Ili Kuepuka Kuhairisha.

    Habari za siku ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blog wa songambele, imani yangu siku ya leo ni siku njema sana. Na umeianza tayari kwa kufanya mambo makubwa sana, ambayo yanakutoa katika sehemu ya chini na kukupeleka kileleni.Kumbuka kwamba kesho bora inatengenezwa siku ya leo. Kesho bora haiji mpaka pale utakapokuwa umeitengeneza wewe…

  • Jambo Ambalo Unapaswa Kuliepuka.

    Habari za leo Rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. imani yangu, jumapili ya leo imekaa vyema sana, na umeshaanza kufanya mambo makubwa sana..Ndani ya siku hii ya leo, kati ya yale ambayo umepanga kufanya, hakikisha kwamba unayafanya siku ya leo bila kuacha. Ukiacha kufanya utakuwa umehairisha kazi ambayo ni ya muhimu sana. Ukiacha…

  • Hii Ndio Sifa Ambayo Kila Mtu Anayo

    Asubuhi ya siku hii ya leo ni njema sana na ni ya kumshukuru Mungu. Leo ikiwa ni tarehe 9 juni 2017. Huku siku za mwaka huu zikizidi kusonga mbele. Hapo ndipo ninapokumbuka maneno yanayosema kwamba “poteza sekunde moja leo hii, utaililia maisha yako yote”.Lakini hapo hapo nakumbuka msemo mmoja wa China unaosema kwamba “ukipoteza pesa…

  • Jambo Moja Ambalo Litakufanya Uzidi Kung’aa

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yangu kuwa umeianza siku yako kwa namna ya tofauti kubwa sana. leo hii ikiwa ni siku npya ambayo haijawahi kutokea katika dunia hii ambayo tunaishi.  Leo hii ni siku bora sana ni vizuri sana ukahakikisha kwamba unaitumia vizuri sana siku yako kwa…

  • Huu Ndio MudaMzuri kwako Kwenda Kufanya Kazi

      Habari za siku ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti kabisa kwa kufanya kitu ambacho kinakutofautisha wewe na watu wengine. Kuna mambo mengi ambayo yanakutofautisha wewe na watu wengine, ila mambo mawili ambayo naamini asubuhi ya leo utakuwa umeanza nayo…

  • Mambo Matatu Unayohitaji Ili Kufikia Ushindi

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako pendwa ya songa mbele karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya amabacho kitatufanya kuwa watu wa ushindi na kuweza kufanya kazi zetu kwa ubora zaidi. Ushindi ni kitu ambacho kila mtu huwa anapenda katika kuhakikisha kwamba anatoka sifuri na…

X