Author: Godius Rweyongeza

  • Maswali Mawili Ya Kujiuliza Kabla Ya Kuacha Kufanya Unachofanya

    . Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songambele, imani yangu kwamba siku mpya ya leo umeianza vyema sana ukiwa na nguvu na unakwenda kufanya mambo makubwa sana siku ya leo. Mara nyingi unaweza kuwa unafanya kitu ukagundua kama vile unataka kuacha kufabya Kile ambacho unafanya. Unaweza kuona kama vile kinakuchosha,…

  • Watu Wawili Ambao Huhitaji Kambatana Nao

    HAWA NDIO WATU WA KUOGOPA Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu ni kwamba  unaendelea vyema katika kuhakikisha kwamba unaweza kupiga hatua na kutoka hapo ulipo kwenda mpaka kileleni.  Kumbuka kwamba wewe ni kiongozi wa nafsi yako na maisha yako hivyo unahitaji kuipangilia siku yako ili…

  • Hili Ni Jambo Moja Ambalo Unahitaji Kulitunza Sana

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songambele. Imani yangu unaendelea vyema katika kuhakikisha kwamba unapiga hatua na kutoka hapo ulipo kwenda kileleni. Siku ya leo leo tunaenda kujifunza jambo moja ambalo unahitaji kulitunza sana, na kuhakikisha kwamba liko salama kila siku hasa katika safari yako hii ya kuhakikisha kwamba unatoka…

  • Hatua Tatu Muhimu Zitakazokutoa Sifuri Mpaka Kileleni

    . Habari za asubuhi ya ya leo mpendwa msomaji wa makala kutoka katika blogu yako ya songa mbele. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti sana huku ukiwa unaenda kufanya kitu kingine kikubwa sana. Kumbuka kwamba hapa duniani hutakuja kukutana siku nyingine ambayo itakuwa kama ya leo. Yaani kiufupi ni kwamba hakuna siku…

  • Hili Ndilo Jambo La Muhimu Sana Ambalo Kila Mtu Anapaswa Kulizingatia

    . Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele, imani yangu umeianza siku yako vyema kabisa na unaenda kufanya kitu ambacho ni bora kabisa. Kuthubutu ni jambo moja la msingi sana ambalo unalihitaji ili kuweza kufikia hatua kubwa sana. Kumbe kitu cha kwanza kabisa leo hakikisha kwamba unathubutu…

  • Kosa Ambalo Watu Wengi Hufanya

    Habari za leo Rafiki yangu, karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya, kitu ambacho ni cha tofauti sana. Moja kati ya vitu ambavyo huwa nasisitiza kila siku kwa kuwaambia watu wengi sana ni kwamba wewe ni kiongozi. Huu ni ukweli ambao huwa napenda kuuongea kila siku. Wapo watu ambao huwa…

  • Sikati Tamaa, Kila Kosa Nifanyalo Ni Hatua Moja Mbele

    *Sikati tamaa kwa sababu kila kosa ambalo Mimi nafanya, ni hatua ya kunipeleka Mimi mbele* alisema Thomas Edison. Asubuhi ya leo maneno haya ya mgunduzi mkubwa sana wa dunia yameninijia katika tafakari yangu. Nikagundua kwamba ili kuuona ukweli ambao THOMAS EDISON ameuongelea unahitaji kuwa umevaa miwani chanya. Au miwani ambayo Fr. Faustine Kamugisha anasema *ni…

  • Sababu Nane Za Kwa Nini Unahitaji Kuwa Na Malengo

    Habari za leo Rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya SONGA MBELE. Karibu sana katika makala ya leo tunapoenda kujifunza kitu kipya ambacho hatujawahi kujifunza. Kwanza kabisa tutambue umuhimu wa leo. Leo ni siku muhimu sana kwenye maisha yako. Ni siku ambayo jana ulisema kwamba kesho nitafanya. Na hatimaye imefika. Hivyo ni wajibu wako…

  • Tumia Muda Na Watu Uwapendao

    Habari za leo Rafiki yangu imani yangu umeamka salama na unaendelea vyema sana na kazi zako ambazo umekusudia kufanya siku ya leo. Leo ni siku njema sana, kwetu kwenda kuweka juhudi na kufanya mambo makubwa sana. Kutokana na kwamba unapangilia ratiba yako kila siku asubuhi, najua wazi kwamba sasa hivi huna muda wa kupoteza hata…

  • Maamuzi Matatu Ambayo Unapaswa Kuyafanya Leo

    Habar za leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele, imani yangu umeuanza siku yako vyema kabusa huku ukiwa unaenda kufanya mambo makubwa sana siku ya leo. Leo  hii tunaenda kujifunza kitu chenye umuhimu mkubwa sana kwetu, kitu ambacho kitatubadilisha kwa kututoa hapa tulipo na kutupeleka kileleni. Ndio haya ni maamuzi…

  • Endelea Kupiga Hatua

    Habari za leo rafiki yangu na ngugu msomaji wa makala za songa mbele. karibuni sana katika makala ya siku ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho hatujawahi kujifunza kwa namna yoyote ile. hata kama utakuwa umekiona mahali basi leo unaenda kujifunza kwa namna ya tofauti kabisa, hivyo naomba tuweze kusafiri kwa pamoja mpaka mwisho…

  • Falsafa Muhimu Ambayo Kila Mtu Anapaswa Kuiishi.

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele blog, imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti sana leo na unaenda kufanya kitu cha tofauti sana kadri ya falsafa ambazo umechagua kuishi. Falsafa ni kitu ambacho watu wengi sana wanakiogopa kwenye maisha yao. Ila kwa namna yoyote ile jinsi unavyoendesha…

  • Mambo Manne Kuhusu Pesa Ambayo Unahitaji Kuyazingatia

    Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa blogu yako ya songa mbele karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kuzungumzia somo ambalo watu wengi sana huwa hawapendi kuliongelea, watu wengi huwa wanaogopa kulitaja lakini wanatumia muda mwingi sana kufikiri juu yake. Leo tunaenda kuzungunuzia kuhusu pesa. Robert Kiyosaki anakwambia kwamba huwezi kusema kwamba…

  • Ujumbe Muhimu Kwa Wahitimu Wa Kidato Cha Sita

    Habari za leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Karibu sana katika makala yetu ya leo. Makala ya leo imebeba ujumbe muhimu sana kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka huu. Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza kwa kupiga hatua kubwa sana ya kimasomo mpaka hapo mlipofikia. Ni hatua kubwa ambayo watu…

  • Mambo Ya Kuzingatia Ili Kutengeneza Mwelekeo Bora Wa Maisha Yako.

    Zitoe ndoto zako ambazo umeficha na uzilete katika uwazi ili tuweze kuziona. Ndoto lazima tuwe tayari kuzifanyia kazi. Kuna mtu mmoja ambaye alikuwa anadaiwa na Rafiki yake. Rafiki yake alimuuluza, utanilipa lini deni langu?Yule MTU alisema. Nitakulipa nitakapouza kitabu changu.Rafiki yake akamjibu aya poa haina shida.Yule mtu akaendelea! Kitabu chenyewe sijakiandika, nikikiandika, nikakichapisha nikauza nitakulipa…

  • Kitu Kimoja Ambacho Unapaswa Kukitafuta Kila Siku

    Mithali 3, 13/14 Heri mtu yule aonaye hekima. Na mtu yule apataye ufahamu, Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi. Katika mistari hii nimeilinganisha na umuhimu wa mtu kusoma vitabu. Maana amaenndika hivi Na mtu yule apataye ufahamu. Kumbe kupata ufahamu ni kitu cha muhimu…

  • Sheria Muhimu Ambayo Unahitaji Kuiehshimu.

    habari za leo rafiki na dugu msomaji wa makala za songa mbele blog karibuni sana katika makala za siku ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya kitakachobadilisha mwelekeo wa maisha yetu ya kila siku na kuhakikisha kwamba tunasonga mbele. tupo katika dunia ambayo imejaa sheria za kila aina. zipo sheria za serikali kuu, sheria za…

  • Maisha ya mafanikio ni kama kupanda ngazi

    Maisha ya kuelekea mafanikio ni kama kupanda ngazi. Kama unapaswa kupanda ngazi kutoka chini kwenda ghorofa ya juu kabisa, basi hakuna jinsi utapaswa kuzipanda ngazi moja baada ya nyingine. Ukitaka kuruka ngazi hizi unaweza kujikuta ukiumia mwenyewe au huwezi kabisa kufika unapotaka. Chukulia mwanafuzi ambaye amekwepa mahesabu ya awali kabisa ambayo yanahusisha kujumulisha, kutoa, na…

  • Kitakachokutoa Sifuri Mpaka Moja

    Habari za leo rafiki yangu, imani yangu siku ya leo  umeianza vyema sana. Karibu sana katika makala yetu ya leo tunapoenda  kujifunza kitu kipya ambacho kitabadilisha maisha yetu na kutuinua kututoa sifuri mpaka kileleni. Ndio namaanisha kutoka sifuri mwaka kileleni. Kitu hiki kimo ndani yako na hiki ni kitu ambacho umezaliwa kufanya hapa duniani yaani…

  • Jambo La Kuomba Kila Siku

    Solomon alizaliwa kwenye miaka ya 974 K.K Alikuwa mfalme wa Israel akiwa na miaka 12. Mungu alimtokea solomon na kumwuliza anaomba nini cha kumsaidia kwenye uongozi wake. Solomon  alisema anataka kujaliwa busara. 1 Wafalme 3:9 1Mambo ya Nyakati 1:10 Mungu alimwambia kwa kuwa hajaomba Mali, utajiri, heshima, maisha marefu. Nitakupa vyote. Nitakupa maarifa, Mali, utajiri…

X