Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Hakuna mwenye kipaji cha kila kitu

    Hakuna mwenye kipaji cha kila kitu na wala hakuna anayeweza kila kitu. Usitake kujihangaisha na kuonesha kuwa wewe ndiye wewe kwenye kila kitu. Kuna vitu vichache unaweza kuvifanya vizuri Weka juhudi zako hapo. Vingine waachie wengine. kupata ebook ya KIPAJI NI DHAHABU tuma elfu tano kwenda 0755848391 ili utumiwe ndani ya dakika tano bila kuchelewa.

  • Jinsi ya kupata chochote unachotaka

    Rafiki yangu habari ya leo. Bila shaka unaendelea vyema kabisa. Zig Ziglar aliwahi kunukuliwa akisema kuwa unaweza kupata chochote unachotaka kama utawasaidia watu kupata kile wanachotaka. Yaani, kauli hii fupi laiti ingefahamika kwa watu vizuri basi kila mtu alipaswa kufurahi maana kauli hii imebeba siri kubwa. Kama hujajua siri iliyobebwa kwenye kauli hii naomba utulie…

  • Kipaji ni dhahabu-4: Kipaji Hakifanyiwi Kazi Kwa Siku Moja

    Najua kuna wengi wangependa wagundue kipaji chao Leo hii na kesho yake wawe tayari wamekuwa mabingwa. Hapana. Inachukua muda. Unahitaji muda kukinoa kipaji chako. Kifanyie kazi kipaji chako kila siku. Wewe wa leo hapaswi kuwa sawa na wewe wa jana na wiki ijayo. Kila wiki iwe wiki ya tofauti kidogo. JIFUNZE kuitumia kanuni ya asilimia…

  • Jinsi Ya Kutengeneza Fedha Mtandaoni

    Moja ya swali ambalo niliwahi kujiuliza miaka mingi iliyopita, lilikuwa ni namna gani naweza kutengenwza fedha mtandaoni? Kiukweli swali hili lilipa shauku ya kutaka kujua mengi. Kipindi hicho nilikuwa nasikia habari kuwa akina Millard Ayo wanalipwa kupitia mtandao.Sasa swali langu lilibaki, na mimi nawezaje kulipwa mtandaoni. Swali hili lilinifanya niianze kujifunza kupitia kusoma maandiko mengi…

  • Vyeti Vya Hisa Vinaenda Kusitishwa Kutolewa

    Unaendeleaje rafiki yangu. Leo nina taarifa muhimu kwako ambayo unapaswa kuifahamu kama mwekezaji. Kama umesoma kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE na umeanza uwekezaji, basi utakuwa unajua kuwa kila ukiwekeza fedha yako huwa unatumiwa Cheri. Hata hivyo, utaratibu mpya unaenda kuanza tarehe 1 mwezi ujao (April) Ni kwamba utakuwa hutumiwi cheti…

  • Mafanikio yanachukua njia ndefu

    Ndio inachukua muda, lakini sasa hakuna jinsi. Hii ndio njia nzuri ya kufika kule tunapotaka. Njia nyingine fupi zipo ila sasa siyo za kuaminika na wala hazikupi matokeo ya kudumu. Kwa hiyo njia pekee ya kufika mbali ni kuhakikisha unachagua njia sahihi na kuifuata hata kama inachukua muda. Njia fupi zina matokeo ya haraka yasiyodumu.…

  • Kipaji ni dhahabu-3 njia ya kuwa gwiji

    Njia pekee ya wewe kuwa gwiji kwenye kufanyia kazi kipaji chako ni kufanya mazoezi mara kwa mara bila kuacha. Kadiri unavyofabya mazoezi ndivyo unavyozidi kuwa imara zaidi na kubobea. Usichoke kukifanyia kazi kipaji chako.

  • Kafanyaje nini huyu?-2

    Mwaka wa tatu jamaa yupo mtaani Hana ajira Ebu fikiria hili. Unaenda shule, unasoma kwa bidii huku ukiwa unategemea upate ajira ya maana, mara unamaliza chuo na ajira haipo! Unasubiri mwaka wa kwanza unapita huku ukiwa umetuma maombi ya kutosha. Unataka kuanzisha biashara, unakuta kwamba mtaji huna! Hiki kitu tu, lazima kitakupa pressure. Usiwaze. Mtaji…

  • Kafanyaje huyu?

    Kapata pressure baada ya biashara yake kutofanya vizuri! Tafiti zinaonesha kuwa Kati ya biashara 10  zinazoanzishwa biashara tano hufa ndani ya mwaka mmoja na nyingine ambazo hubaki huwa hazifikishi miaka 10. Hili wewe mwenyewe lifuatilie mtaani kwako. Utakuta kwamba kuna biashara nyingi zinazoanzishwa  baada ya muda kidogo zinapotea. Hii ndio kusema kwamba usipokuwa makini wakati…

  • Kinachokwamisha wewe kufika mbali.

    Umekuwa unakwama kufika mbali kwenye maisha na kushindwa kufikia ndoto zako kwa sababu tu hujawa na ndoto  kubwa kiasi cha kutosha. Maneno ya busara yanasema hivi, unapaswa kulenga kuifikia nyota kiasi kwamba hata ukishindwa uufikie mwezi. Sasa ebu fikiria hili, wewe ndoto yako siyo kubwa kiasi cha kulenga kuifikia nyota badala yake umelenga kufika kileleni…

  • Usidharau fedha hata kama ni kidogo

    Leo nataka ni kwambie kwamba fedha siyo kitu ambacho unapaswa kudharau. Unaweza kukuta mtu ana fedha kiasi fulani ila akawa anakidharau. Na hata akakitumia hovyo, ila unachopaswa kufahamu ni kuwa usidharau fedha. Hivi hujawahi kujiuliza kwa nini Mo Dewji na utajiri wake wote kwa nini bado anaendelea kutengeneza hadi viberiti? Kiberiti kimoja huku mtaani tunakinunua…

  • KIPAJI NI DHAHABU-2: wekeza kwenye uwezo wako na siyo kwenye udhaifu wako

    Kila mtu kuna eneo ambalo yuko vizuri.  Ukishaligundua hilo eneo ndilo sasa unapaswa kulipa nguvu na kuachana na udhaifu wako. Ukikazana kuboreaha udhaifu wako huwezi kufika mbali hata kidogo kwenye maisha. Ukiwekeza kwenye uwezo wako zaidi na kuufanyia kazi, utakuwa bora zaidi. Hakikisha unapata Ebook ya KIPAJI NI DHAHABU pamoja ebook ya MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA…

  • Kutoka Kwenye Ajira Mpaka Kujiajiri: HATUA 09 Za Kufuata Kutoka Kwenye Ajira Mpaka Kujiajiri

    Leo nataka nikupe mwongozo muhimu ambao unaweza kuutumia katika kuanzisha biashara hasa ukiwa umeajiriwa. Ebu fikiria kwamba umeajiriwa leo hii na unataka uanzishe biashara yako ili ujiajiri. Huu mwongozo ninaoenda kukupa hauna mfanano wake, kiufupi hakuna mtu mwingine ambaye amewahi kukwambia kitu Kama hiki, na wala hata hamna kitabu wala ebook ya kununua ambayo imefunguka…

  • Jinsi Ya Kupima Thamani Ya Utajiri Ulionao

    Kama una ndoto kubwa na za kufika mbali basi ni muhimu kwako kujua utajiri ulionao kwa sasa. Hii itakupa nguvu ya wewe kuendelea kupambana zaidi ili uweze kufika mbali. Muda wa wewe kupima Utajiri wako. Kutokana na shughuli kuwa nyingi, huwezi kuwa unapima Utajiri wako kila siku. Ila unaweza kuwa unapima Utajiri wako walau mara…

  • UWEKEZAJI NI NINI?

    Moja ya eneo ambalo limekuwa halieleweki miongoni kwa watu wengi basi ni UWEKEZAJI. Kumekuwepo na dhana mbalimbali kuhusu UWEKEZAJI na WAWEKEZAJI. Hizi dhana zimewafanya watu wengi washindwe KUWEKEZA huku wachache wanaoilewa dhana hii wakiwa wanawekeza kwenye maeneo ya muhimu kwa manufaa makubwa. Dhana potofu kuhusu UWEKEZAJI. Kumekuwepo na dhana mbalimbali kuhusu UWEKEZAJI. Na moja ya…

  • Mafanikio ni nini?

    Mafanikio ni kitu ambacho kinakuwa na maana tofauti tofauti kwa watu. Kwa mwanafunzi mafanikio yake ni kufaulu mtihani.Kwa mwanachuo mafanikio yake yanaweza kuwa kupata kazi baada ya kuhitimu.Kwa aliyepata ajira mafanikio kwake yanaweza kuwa ni  kupandishwa cheo au kuoa/ kuolewa au kuanzisha biashara au kujiajiri. Hivyo, hakuna maana moja ya mafanikio ambayo inaweza kuwekwa kama…

  • Cha Kufanya Pale Wenzako Wanapokuzidi Elimu, Kipaji, Ujuzi, Konekisheni n.k

    Kama unajua Kuna wenzako wanakuzidi, elimu, kipaji, ujuzi, konekisheni n.k. unapaswa kupiga kazi kwa bidii. Yaani, wewe huna maarifa, ujuzi, kipaji halafu unabweteka. Inakuwa siyo poa hata kidogo. Moja ya kitabu ambacho nimewahi Kusoma kikanifungua sana ni kitabu cha 50CENT na cha Kobe Bryant. 50CENT anasema hivi, unaweza kumzidi akili, unaweza kumzidi konekisheni, unaweza kumzidi…

  • Kitu Kitakachobadili maisha yako leo hii na hata milele

    Ninataka nikwambie kitu kitakachobadili maisha yako kuanzia leo hii na kuendelea. Nataka ufanye zoezi hili rahisi sana. Anza kwa kujiuliza vitu na shughuli zako zote unazofanya. Sasa angalia ni shughuli ipi ambayo ukiacha kuifanya na KUWEKEZA nguvu zako kwenye shughuli zinazobaki utapata matokeo makubwa sana. Kama ipo achana nayo. Kisha nguvu zako na muda wako…

  • Hii Ndio Siri Kubwa itakayokusaidia kutengeneza fedha Nyingi

    Unataka kijua ni kwa namna Hani unaweza kutengeneza fedha Nyingi zaidi ya unavyotengeneza sasa hivi? Umechoka na kipato chalo cha Sasa, ungependa kutengeneza kipato kikubwa zaidi ya unavyotengeneza Sasa? Ndio Kuna njia. Na njia hii Ndio ninaenda kukueleza leo kwa umakini na kwa lugha rahisi sana. Kwanza Anza na kufuatilia hesabu za fedha zako zinazoingia…

  • Jinsi Ya Kutoa Na Kupokea Mrejesho

    Mrejesho ni miongoni mwa ujuzi muhimu sana unaopaswa kuwa nao.  Aidha iwe ni kutoa au kupokea mrejesho. Mrejesho ni kutoa au kupokea mapendekezo ya kumsaidia mtu kuboresha kazi yake. Kuwa mtu wa kupokea mrejesho na kuufanyia kazi na hasa pale unapokuwa na mrejesho unaoona kabisa kwamba unaenda kuwa mrejesho wenye manufaa kwako. Kwetu sisi kutoa…

X