Category: Uncategorized

  • Vitu Vitano Unavyopaswa Kufanya Kama Umeajiriwa

      Hapo zamani za kale mfumo wa ajira haukuwepo kabisa. Hata hivyo, zilipoanza zama za viwanda, ndipo na mfumo rasmi wa elimu ukawekwa ili kuzalsisha watu wa aina fulani waliokuw wanahitajika kwenye viwanda lakini wakati huohuo mfumo wa ajira nao ukazaliwa. Kipindi hicho, watu walikuwa wanaandaliwa shuleni ili kukidhi mahitaji yaliyokuwepo kwenye viwanda. na kutokana…

  • Mwisho wa kupata kitabu cha JINSI YA KUWA MWAMDISHI MBOBEVU KWA SHILINGI ELFU TANO TU NI TAREHE 31 MWEZI HUU

      Rafiki yangu, tangu tarehe 19 nilipotoa kitabu cha Jinsi ya kuwa mwandishi mbobevu ndani ya siku 30, nimekuwa nikikusisitiza kuwa unaweza kupata kitbu hiki kwa bei ya ofa ambayo ni elfu tano tu badala ya 6,500/-. Ila ofa hii haitadumu kwa muda mrefu. Hivyo, itafikia ukomo wake tarehe 31 mwezi huu. Ni muhimu sana…

  • Vitu Vitano Vitakavyokufanya Upate Mafanikio Yasiyo Ya Kawaida

      Ni wazi kuwa kila mtu angependa kupata mafanikio makubwa na mafanikio ambayo watu wengine hawawezi kupata. Hata hivyo, si watu wote wanafanya vile vitu ambavyo vinapelekea kwao kupata mafanikio makubwa. ukweli ni kwamba ukifanya vitu ambavyo kila mtu anafanya, utaishia tu kupata matokeo ambayo kila mtu anapata. Ila ukifanya vitu kwa namna ya tofauti,…

  • Sheria Tano Za Nguvu Zitazokusaidia Kushinda Mengi Kwenye Maisha Ya Mtaani. Zifuate Kwa Faida Yako, Zivunje Kwa Hasara Yako

          Pengine utakuwa umesoma 48 Laws of power kitabu kilichoandikwq na Robert Greene. Kama hujawahi kukisoma, basi baada ya kumaliza Kusoma andiko hili utapaswa kukitafuta na kukisoma. 50 CENT ni  mmoja wa wasomaji wazuri na watu waliotumia kitabu hiki kwa mafanikio makubwa sana. Hata hivyo, leo hatutaongelea kitabu hiki 48 Laws Of Power…

  • Viashiria Vitano kuwa utashindwa kutimiza malengo yako

      Kama kuna kitu muhimu ambacho unapaswa kuwa nacho ili ufanikiwe zaidi basi ni malengo. Ukikutana na mtu mwenye malengo Basi unapata picha halisi ya mtu atakayefanya makubwa maishani. Ila ambaye hana malengo ni wazi kuwa atakuwa anayumba kama bendera. Wakati mwingine unaweza kuwa na malengo Ila ukawa kama ambaye hana malengo. Na vifuatavyo Ni…

  • USIJILINGANISHE NA WATU WENGINE

     Kama kuna dhambi kubwa ambayo unaweza kufanya ni dhambi ya kujilinganisha na watu wengine.  Ujue huwezi kufanya kitu original kama wewe ni mtu wa kujilinganisha na watu wengine.  Maana wewe muda wote tu, utakuwa unaangalia nani, amefanya nini? Na nani hajafanya nini?  Na wewe utakuwa unaiga walivyofanya ili uweze kuendana nao! Kila wakifanya kitu fulani…

  • FANYIA KAZI UNACHOJUA

      Ujue unaweza kuwa unajua mambo mengi. Ukawa unajua hatua muhimu unazopaswa kuchukua, Ila kama hutachukua na kufanyia kazi kile unachojua, basi ni wazi kuwa usitegemee kupata matokeo yanayoendana na maarifa uliyonayo. Kitu kikubwa unachoweza kufanya ni kuweka kwenye MATENDO ulichojifunza. Ukijifunza kuhusu kuweka AKIBA, weka. Ukijifunza kuhusu kulala  kuamka mapema fanya hivyo. Hakuna njia…

  • Mambo Matano Ya Kufanya Unapopata Fedha Nyingi Ambazo Hukutarajia

        Karibu sana rafiki yangu kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukuonesha mambo matano ambayo unapaswa kufanya pale unpopokea fedha nyingi kwa wakati mmoja na hasa kama fedha hii hukuitarajia.   1. Usikikimbilie kutumia fedha hii. Ni wazi kuwa fedha hii haikuwa kwenye bajeti yako. Hivyo, kitu kikubwa ambacho unapaswa kufanya na…

  • Vitu Vitano Usivyojua Kuhusu Biashara Kubwa

    Leo mimeyakumbuka maneno ya Jack Ma Mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba.  Baada ya kampuni yake kuwa imefanikiwa sana, siku moja alinukuliwa akisema, “unapofanikiwa kila kosa lako linaonekana ni ushujaa, ila ukishindwa kila kosa lako linakuwa takataka”. Kitu hiki ndicho kimenisukuma Leo nukuandikie vitu vitano usivyovijua kuhusu biashara kubwa na kampuni kubwa. 1. Nyuma ya ushindi…

  • KABLA HUJALAMIKIA MAMBO 100 AMBAYO HAUNA SHUKURU KWA MAMBO 10 ULIYONAYO

    Unaweza kuwa mtu mzuri kwa kulalamika kwa vile vitu ambavyo hauna. Unalalamika hauna ajira.  Unalalamika watu wako wa karibu hawakujali. Unalamila hauna konekisheni. Lakini kabla ya kulalamikia hivyo vitu vyote, umeshakaa chini na kujiuliza ni vitu gani vichache ulivyonavyo? Ni vitu gani vichache unaweza kushukuru kwa kuwa navyo? Ujue leo hii unapumua. Kuna watu walitamani…

  • Amsha Uandishi Ulio Ndani Yako

      Kila mtu huwa anapenda kuonesha kuwa ana kitu ndani yake. Ila njia za kuonesha huwa zinatofautiana. Wapo ambao huchagua kufikisha ujumbe huo kwa kutumia tattoos, wengine michoro, wengine kwa kutumia nguo, na wengine unyoaji wao huwa  unaongea au huwa umebeba ujumbe. Japo njia zote hizo na zaidi zinaweza kufikisha ujumbe kwa watu, ila maandishi…

  • ACHA MAIGIZO WEWE

      Kwa asilimia kubwa picha na maonesho ambayo watu wanafanya kwenye mitandao ya kijamii yanakuwa sio uhalisia. Vivyo hivyo, kwa vile unavyoviona kwenye runinga. Kamwe usiwe kuwa mtumwa na kuigiza kila unachokiona. Chagua aina ya maisha yako, yaishi hayo. Usiigize. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anyeishi maisha halisi na anayeigiza.Kuna tofauti kati ya mtu…

  • Kama umeshindwa kuhudhuria darasa la uandishi litakaloanza tarehe 20 mwezi huu basi fanya hivi sasa hivi

    Tarehe 20 mwezi huu wa kumi tutaanza darasa maalumu la kujifunza uandishi. Darasa hili linaenda kufanyika kwa watu watano tu ndani ya siku 33. Kama unasoma hapa na ungependa kushiriki, pole sana. maana nafasi hizo tano zimeisha Labda kuna kitu kimoja tu ambacho unaweza kufanya ili kujifunza uandishi.a na kitu hiki kinaenda kuwa na manufaa…

  • Vitabu Vitano Vifupi Ambavyo Mtu Anayeanza Usomaji Wa Vitabu Anaweza Kuanza Navyo

      Kama kuna tabia moja muhimu ambayo unpaswa kuijenga, basi ni tabia ya kusoma vitabu. Hata hivyo, usomaji wa vitabu unaweza kuonekana ni mgumu hasa kwa mtu ambaye anaanza kutokana na vitabu vingi kuwa vikubwa. kama unaanza kujenga tabia ya kusoma vitabu ni vizuri kuanza kusoma vitabu vifupi ila vyenye ujumbe mzito huku wakati huohuo…

  • TENGENEZA NJIA

      Kama njia iliyopo Sasa hivi huipendi, chukua hatua. Tengeneza njia ya kwako mpya. Ujue kulalamika ni rahisi sana, ila hakutakuletea matokeo unayotaka na njia nzuri ya wewe kupata matokeo mazuri Ni kuyatengeneza. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA Jiunge na mfumo wa kupokea…

  • Kuamka Asubuhi Na Mapema Ni Tabia (Njia Sita Za Uhakika, Zilizothibitishwa Na Zisizoshindwa Zitakazokuwezesha Kujenga Tabia Ya Kuamka Asubuhi Na Mapema)

        Benjamin Franklin ambaye anafahamika kama mwananchi wa kwanza Marekani alikwahi kuandika kwamba kulala mapema na kuamka asubuhi na mapema kunamfanya mtu awe na afya njema, tajiri na mwenye busara. Haya maneno aliyaandika zaidi ya miaka 200 iliyopita kwenye moja ya barua aliyokuwa anaandika kwa mwanae. Pengine Franklin angekuwa anarudi leo hii angeshangaa kwa…

  • Habari Njema Kwako Na Habari Mbaya Kwako Na Hatua Moja Unayoweza Kuchukua Sasa Ili Ujifunze Uandishi

    Rafiki yangu siku sio nyingi nilikupa taarifa kuwa walikuwa wanahitajika watu watano ambao ningewafundisha kuhusu uandishi. Na kwenye taarifa hii nilikwambia kwamba watu hawa watano  nitawafanya kuwa waandishi wabobezi ndani ya siku 33 tu. Kiukweli nafasi hizi tano zimeshambuliwa kiasi kwamba tangu juzi nafasi hizi zimeisha na hivyo kama bado wewe ulikuwa unajipanga kwamba uweze kuhudhuria…

  • Usishindane Kwa Bei Labda Kama Wewe Ni Rockefeller. Vitu Sita Ambavyo Vinaweza Kukufanya Uwe Wa Kipekee Kwenye Soko Bila Kupunguza Bei

      Kwa sasa hivi dunia ina mabilionea zaidi ya elfu 2. Hata hivyo,h haikuwa hivo mwanzoni mwa karne ya 19 ambapo mamilionea tu walikuwa wanahesabika, sasa mabilionea ndio walikuwa wachache kabisa kulinganisha na zama hizi hapa ambapo mabilionea wanaongezeka kila mwaka. Kipindi hicho Rockefeller aliibuka kuwa mtu mwenye fedha nyingi sana kuliko mtu yeyote aliyekuwa…

  • Kutana Na Watu Watano Walioshindwa Karibia Kwenye Kila Kitu Na Bado Wakashinda Kwa Kishindo

        Matatizo, vikwazo na changamoto humtokea karibia kila mtu kwenye maisha. Watu pekee ambao matatizo na vikwazo haviwezi kuwatokea ni wale waliolala kwenye makaburi. Ila kwa yeyote yule ambaye bado anapumua, basi matatizo na vikwazo ni kama sehemu ya maisha. Kitu kimoja cha kushangaza kuhusu matatizo, vikwazo na changamoto ni kwamba huwa vinawaimarisha baadhi…

  • Jinsi Kufanya Kazi Kwa Bidii Kunavyoweza Kukukutanisha Na Wafalme

    Wiki naendelea kusoma kitabu cha 50Cent cha Hustle Hard Hustle Smart. Hik ni kitabu cha kipekee sana na kina mafunzo mengi kutoka kwa nguli huyu wa mziki. Moja ya somo kubwa ambalo tunaenda kujifunza siku ya leo ni kufanya kazi kwa bidii. 50Cent anasema kwamba, kama kuna kitu ambacho utapaswa kufanya ni kujituma na kufanya…

X