Category: Uncategorized

  • Salaam Zangu Kwako. Nimekuwa Kimya Kwa Muda Sasa Haya Hapa Ndio Niliyogundua

    Unaedeleaje rafiki yangu, ni takribani wiki sasa nikiwa sijakutumia ujumbe wa moja kwa moja  na wala nikiwa sijaandika na kuweka makala kwenye blogu ya SONGA MBELE. Pole sana rafiki yangu kwa mimi kupotea ghafla bila kutoa taarifa. Ila nipende tu kukwambia kuwa kama wahenga wanavyosema. Kimya kikuu kina mshindo mkuu. Kwa upane wangu mambo yako…

  • KANYAGA MAPIGO YOTE YA KUITWA MTU WA KAWAIDA

    Moja ya kitu ambacho jamii imekuwa inakutega wewe hapo, ni kukuweka kwenye kundi la WATU WA KAWAIDA. Utasikia watu wanasema, sasa mtuangalie na sisi watu wa kawaida. mwingine atasema, sasa sisi watu wa kawaida hii itatusaidiaje. Leo hii nataka nikwambie hivi, kanyaga mapigo yote ya kuwa mtu wa kawaida. Ukiendelea kujiita mtu wa kawaida maana…

  • The Mamba Mentality

    Huwezi kupenda kuufikia ukuu wakati bado unaendelea kutembea kwenye mstari mnyoofu.  Kama unapemda kufikia mafanikio basi ni wazi kwamba utapaswa kunyanyuka hapo ulipo. kuchukua hatua za ziada na kusongambele. Kuwa tayati kuchukua hatua amabazo hujawahi kuchukua.Kuwa tayari kujaribu vitu hata kama wengine wataona havifai.kuwa tayari kuipigania ndoto yako. Ukuu hauji kizembe kizembe. Ni mchakato. Nakutakia…

  • Kama Huwezi Kuwa Kichaa Wa Ndoto Yako, Basi Isahau

    Moja ya kitu kinachowafanya watu wengi washindwe kutimiza ndoto zao ni kwa sababu tu ya hawataki kuonekana vichaa miongoni mwa watu. kwa nini? Kwa sababu siku zote ndoto huwa ni kubwa kiasi kwamba mtu akianza kuisema mbele za watu basi ataonekana kama kichaa vile. Una ndoto yako kubwa kwa jamii unakuwa kama muasi. Maana jamii…

  • KITABU NI LENZI

    Siku zote kuwa unasona kitabu, maana kitabu ni lenzi ya kuiona dunia vizuri. Kama kuna kitu ambacho hukielewi, chukua kitabu usome.Ukikwama, chukua kitabu usome.ukiwa hauna cha kufanya, chukua kitabu usome.ukiwa na fikra hasi, chukua kitabu usome. ila ukweli ubaki kuwa siku zote kuwa unasona kitabu  Maana kitabu ni lenzi ya kuona dunia vizuri. kazi ya…

  • Ebu Jionee Jinsi Tone La Wino Linavyoweza Kubadili maisha Yako

    Moja kati ya usemi maarufu sana wa Lord Bryon ni ule aliosema kuwa tone la wino, linaweza kuwafnya mamilioni ya watu kufikiri. Na hii ni kweli kwa asilimia zote. Ukitaka kunielewa kwenye hili napenda nikupe mfano wa karatasi nyeupe ambayo imewekwa nukta moja tu katikati. ukiwaita watu wakuambie wanaona nini kwenye hiyo karatasi wapo watakaokwambia, …

  • Kama Unataka Kuhamisha Mlima Basi Anza Kutoa Jiwe Moja Leo

    Rafiki yangu, ni wazi kuwa kila mtu ana ndoto ya kufikia mambo makubwa sana maishani mwake. Kila mtu angependa kile kilicho kwenye akili yake kinatimia. Lakini sasa tatizo la watu wengi ni kutochukua hatua ya kwanza. Siku ya leo nimeona waziwazi kwamba niongee na wewe moja kwa moja kuwa kama una ndoto ya kuhamisha mlima…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kufanya Makubwa Mpaka Kumzidi Mwenye Kipaji

    Rafiki yangu kuna vitu sita ambavyo unaweza kuvitumia kumpita mwenye kipaji na wewe ukaweza kufanya makubwa hata zaidi ya yeye. Kitu cha kwanza ni kuchagua eneo ambalo unaweza kuwekeza nguvu zako. pili ni kuamua kuwa hapa kufa na kupona mpaka kieleweke. Siachi kufanya hiki kitu mpaka nipate mafanikio. Tatu, ni kufanya kazi kwa bidii. Ukifanya…

  • Maisha Yangekuwa Rahisi Kama Kungekuwa Na Kitu Hiki

    maisha yangekuwa rahisi sana, kama kungekuwa na kibao cha mabadiliko kwenye safari ya maisha. Yaani kwamba ukikifikia kibao hicho unajua kwamba kuna mabadiliko mbele yatatokea baada ya mita mia, hivyo na wewe utapaswa kubadilika. Lakini ukweli ni kwamba mabadiliko hayatokei kwa kelele kubwa. Ndio maana baadhi ya watu huyapokea na wengine huyapuuza. kama kila mtu…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Kitu Cha Kuandika

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Bila shaka siku ya leo imeanza vyema kabisa rafiki yangu. Siku ya leo, nataka nikwambie kitu kimoja muhimu sana  kuhusu uandishi. Ujue rafiki yangu moja ya  swali ambalo watu huwa wanauliza mara nyingi sana linapokuja suala la unandishi ni swali la je, mimi ninandike kitu gani. Ukweli…

  • Ushauri muhimu kwa mtu anayetaka Kubobea kwenye Uandishi

    Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo, nimekuja na ushauri kwako wewe ambaye ungependa kubobea kwenye uandishi. Kuna namna mbili za wewe kuweza kuwa mwandisho bora. Kwanza ni kuhakikisha kamba unaandika mara kwa mara. Kitu hiki kitakufanya uwe unaboresha uandishi wako kila unapoandika na hivyo kukufanya uwe mbobezi baada…

  • Hawa Hapa Ndio Mawakala Wa Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni

    Rafiki yangu kama umekuwa unajiuliza ni wapi unaweza kupata kitabu cha sifuri mpaka kileleni, siku ya leo ningependa ni kwambie kwamba kuna mawakala ambao wanaweza kuwa karibu yako kabisa na hivyo wakakusaidia kukupatia kitabu popote pale ulipo hapa  nchini. Hivyo nimeona wazi kwamba nikuwekee orodha ya hawa watu ili kama kuna mtu ambaye yuko karibu…

  • Maendeleo Yetu Kama Taifa Yatatokea Hivi. Tofauti Na hapo Ni Uongo

    Maendeleo yetu kama taifa yanaanza na maendeleo ya mtu mmoja mmoja. Kama kila mtu atajitoa kuhakikisha anaongeza kipato chake. Kila mtu atajitoa kuhakikisha kwamba anakuwa bora kwenye kile anachofanya basi ni wazi kwamba taifa hili litaendelea kwa kasi sana. Binafsi naona kuna vikwazo vitatu vinazuia hili. Na tabia hizi zipo zaidi kwa vijana ambao ndio…

  • UNATAKA KULA MEMA YA NCHI, BASI SOMA HAPA

    Rafiki yangu, habari ya jioni. Leo nimeona nikwambie aina tatu za ujuzi ambao ukiwa nao wewe hapo utakula mema ya dunia hii. Nadhani umewahi kusikia watu wanaosemekana kula mema ya nchi. Leo hii kuna vitu vitatu ambavyo ni uhakika ukiwa navyo basi utakuwa njiani kula mema ya nchi. Kwanza, ni ujuzi wa kuandika andiko lililotukuka.…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kufanya Mishale Inayolenga KukuangamizaKuwa Baraka

    Maisha hayatakuja kuwa rahisi kwako hata kidogo. Maisha yataendelea kukurushia mawe na mishale. Na kadri utakavyokuwa  na ndoto kubwa sana, ndivyo mishale itakavyokuwa mingi zaidi. habari njema ni kwamba ukiwa mgumu, mishale hii itakuumiza kwa muda tu lakini bado utaendelea. Kuna usemi mzuri wa kiingereza ambao unasema kuwa safari inapokuwa ngumu, wagumu ndio huwa wanaendelea…

  • Epuka Haya Makosa Matano (05) Wakati Unaanzisha Biashara

    kitabu hiki kipo kwa ajili yako. kinapatikana kwa shilingi elfu tano tutuwasiliane kwa 0755848391 Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Karibu sana kwenye makala ya leo ambapo ninaenda kukuonesha makosa matano ambayo unapaswa kuepuka kama kweli una mpango wa kuanzisha biashara, yenye mafanikio makubwa. ni vizuri uyafahamu haya makosa mapema, ili…

  • BADILI MAJI KUWA DIVAI: Jinsi Ya Kuona Fursa Katika Changamoto Unazokutana Nazo Masihani

    Nimeona niseme hiki kitu, ili usije kusema kwamba sikusema. Usije kusema kwamba sikusema kwamba fikra zako ndizo zinazalisha matokeo unayopata. Watu wawili wanaweza kuwa wanapitia katika hali  ileile, ila mmoja akawa ameiona kama fursa ya yeye kusonga mbele. Wakati mwingine akaona kwamba ni kikwazo. Mmoja akaona kwamba ni upenyo wake wa kufanya makubwa mwingine akaona…

  • Hili Ni Kundi Maalumu La Whatsapp Ambalo ulipaswa Kuwa Umejiunga Sasa Hivi

    Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipeke sana. Siku ya leo napenda nikwambie juu ya kundi moja la whatsapp ambalo ulipaswa kuwa umejiunga mpaka sasa hivi. Kiukweli ulipaswa kuwa umejiunga na kundi hili hapa mwaka jana, ila kama hukukufanya hivyo, muda sahihi wa kufanya hivyo ni leo hiii. Kwanza hili  ni zaidi ya…

  • Vitu Saba Vya Kujifunza Na Kuchukua Hatua Kutoka Kwenye Wimbo Wa Ben Paul Wa JIKUBALI

    Moja ya wimbo ambao huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara ni wa mwanamziki Ben Paul unaoitwa JIKUBALI. Huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara kwa sababu kuna mafunzo muhimu ambayo naona na wewe nikushirikishe baadhi ya hayo masomo siku ya leo. 1. UNAWEZA Ben Paul anaanza kwa kusema kwamba, unaweza kuwa doctor, unaweza kuwa star,  …

  • SIku ya leo (valentine) napenda nimtambulishe kwako….. (sijawahi kufanya utambulisho mkubwa kama huu, ila leo imebidi tu nifanye hivyo)

    Kheri ya sikukuu ya wapendanao, rafiki yangu. Siku kama hii hujitokeza mara moja tu kwa mwaka, hivyo huna budi kuhakikishakwamba unafurahi na kuitumia kwako. Siku ya leo binafsi kuna mtu mmoja tu ambaye ningependa nimtambulishe kwako. na mtu huyu si mwingine bali ni wewe mwenyewe. Kwa nini ninafanya hivi? Ninafanya hivi kwa sababu katika dunia…

X