Category: Uncategorized

  • Hiki Ni Kioo Kitakachokuonesha Kiuhalisia Wapi Utakuwa Miaka Mitano Ijayo. KIOO HAKIDANGANYI

    Miaka mitano ijayo utakuwa jinsi ulivyo isipokuwa kwa vitu viwili tu! watu unaokutana nao pamoja na vitabu unavyosoma. Sasa swali langu kwako ni je, leo hii unasoma vitabu gani? Je, leo hii unaambatana na watu gani? vitabu unavyosoma vina uwezo wa kubadilisha maisha yako kwa kukupa aina mpya ya maarifa ambayo hukutegemea. vina uwezo wa…

  • Ukiona unavutwa nyuma zaidi basi jua kwamba ukiachiwa ndio utakimbia kam upepo

    Changamoto na vikwazo huwa havikosi kujitokez kwenye maisha. Tofauti ni ukubwa wa changamoto ambayo mtu huwa anakutana nayo.  Sasa changamoto yako inapokuwa kubwa usikate tamaa na kuacha kufanya kile kitu ambacho unapasawa kkuwa unafanya. Unapasawa kujua kwamba kadri unavyokutana na changamoto kubwa kwenye maisha yako basi ujue kwamba ukishaitatua hiyo changamoto utasongambele kwa kasi kubwa…

  • masomo matatu ya kibiashara ambayo hujawahi kufundishwa sehemu nyingine

    habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. katika maisha huwa ni rahisi sana kukutana na changamoto ya kuchekwa na kususiwa na watu, hasa pale ambapo wewe utaamua kutumia vipaji vyako na kutimiza ndoto zako. Leo nimeakuandalia video yenye masomo matatu makkubwa ya kibiashara ambayo unaweza kujifunza na kukyafanyia kazi mara moja. sikilize hapa chini.…

  • Hii Makala Ni Kwa Watu Wenye Kiu Ya Kufikia Mafanikio Makubwa Tu

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Nichukuke nafasi hii kukupongeza  kwa siku kuuu ya krismasi, jana. Nichukue tena nafasi hii kukutakia siku kuu njema sana kufungua vifurushi leo. Sasa leo hii nimekuandalia makala wewe tu mwenye kiu kubwa ya mafanikio. Rafiki yangu kama wewe ni mtu mwenye kiu kkubwa sana ya kufikia mafanikio…

  • Salamu Za Krismasi Kutoka Kwa Godius Rweyongeza

    Habari ya leo. Nichukue nafasi kukutakia kheri ya sikukuu za Krismasi na mwaka mpya. Kwa mwaka mpya 2020. Kuna Mambo haya nisingependa uyakose. 1. Kwanza kabisa nisingependa ukose kupata kitabu kimoja cha kiswahili kila mwezi kwa njia ya (PDF).Kwa sababu nathamini mafanikio yako, basi nitahakaikisha nakuandalia kimoja na kukupa kila mwezi. Wewe mwenyewe utakipenda na…

  • JAMANI NIACHENI NISEME KITU HIKI KIMOJA SIKU YA LEO. YATAKAYOBAKI TUTAONGEA KESHO

    Leo hii ni siku njema sana. Kwanza nichukue muda huu kukutakia kheri sikuu ya krismasi  na mwaka mpya. Baada ya kusema hayo naomba uniache sasa niseme kitu kimoja tu yatakayobaki tutaongea kesho.  Najua tangu asubuhi umesikia mengi kutoka kwa watu ila kitu kimoja kitabadili maisha yako kabisa. Hivyo basi niache kabisa niseme hiki kitu kimoja…

  • JE, TUJIFUNZE NINI KUTOKANA NA UZINDUZI WA CYBERTRUCK?

    Masomo matano ya kibiashara kutoka kwa Elon Musk na Kampuni yake ya Tesla   Ni mwezi sasa umepita tangu Elon amezindua gari aina ya Cbyertruck ambayo imetegenezwa na kampuni yake ya Tesla. Cbertruck ni truck (pick up) ya kipekee tofauti na pickup za magari mengine ambazo umezoea kwa siku zote. Yaani Tesla wamekaa chini na…

  • Kama Hauna Hata Mia Mbovu Jua Unakosea Hapa

    Kuna misemo ambayo imezoeleka kutolewa na watu siku hizi kiasi kwamba imekuwa ni sehemu ya pili ya maisha ya hawa watu. Unakuta mtu anasema โ€œusawa huu wa Magufuri pesa imekuwa ngumu sana”. Utasikia mwingine anasema โ€œvyuma vimekaza” wakati mwingine akitaka kukwambia kuwa hana pesa basi utasikia akisema, โ€œsina hata mia mbovu”. Yaani kumaanisha kuwa hana…

  • Hivi Ndivyo Utaweza Kujifunza Lugha Mpya 2020 (Ukiamua kuitumia vizuri njia hii, mwakani watakusikia ukinena kwa lugha nyingine)

    Inawezekana umekuwa na mpango wa kujifunza lugha mpya kwa siku sasa, ila Kuna vitu vinakuzuia. 1). Pengine unaona gharama za kuingia darasani ni kubwa.2). Majukumu yako ni mengi kiasi kwamba unaona huwezi kuyaacha kuanza kuhudhuria darasa jipya.3). Hujui wapi unapaswa kwenda kujifunza lugha mpya. Sasa leo hii napenda nikwambie wapi utaweza kujifunza lugha mpya 2020. …

  • Nakukumbusha Jukumu Lako Hiki Usije Ukasahau

    Kwenye dunia hii kila mmoja ana jukurmu lake. Kuna watu ambao jukumu lao ni kukosoa, kukatisha tamaa, na kukukwamisha.  Hawa watu utakutana nao katika safari yako. Ila kumbuka kwamba wao kazi yao waliyoichagua ni kukosoa. Ukiona mtu anakukosoa na kusema vibaya juu ya kile unachofanya, Jua kwamba yeye amechagua hiyo kazi. Hivyo wewe endelea na…

  • NDUGU MZAZI; barua ya wazi kwa wazazi na walezi wote

    Ndugu mzazi: barua ya wazi kwa wazazi na walezi wote Unaweza kumpenda mtoto anayepata A darasani na kumchukia anayepata C au F. Lakini anayepata A darasani inawezekana asipate A maishani. Tujifunze kupenda watoto wote na kuwajali watoto wote kwa usawa. Ndugu wazazi A ya darasani haimaanishi maisha yatakuwa mazuri. Na maisha mtaani yalivyo hayapimwi kwa…

  • WHO MOVED MY CHEESE?

    ๐Ÿ•๐Ÿ•๐Ÿ•๐Ÿ•๐Ÿ• Huwa inatokea mara nyingi maishani kwamba watu wanashabikia na kupenda mabadiliko yatokee maishani Ila wao huwa  kusababisha mabadiliko hayo ni vuta nikuvute Huwa inaonekana vizuri kumshangilia KIONGOZI wa siasa ambaye  anahaidi kuwa mara tu baada ya kuingia madarakani atafanya mabadiliko moja, mbili na tatu Kitabu Cha WHO MOVED MY CHEESE kimezungumzia sana kuhusu mabadiliko…

  • Huu Ndio Upekee Wa Vitabu Hivi Viwili

    Siku chache zilizopita Kuna mtu alikuwa anaangalia kava za vitabu vyangu viwili vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA. Alipomaliza kuziangalia alisema maneno yafuatayo. Kiukweli unajitahidi sana kuhakikisha unatengeneza kava nzuri za vitabu. Bila kuchelewa ilibidi nimwambie ukweli huu ambao niliona alikuwa haujui. Nilisema, โ€œkama unavyoona kava za vitabu vyangu zilivyo vizuri,…

  • Habari Njema Sana Kwa Wapenzi Wa Kusoma Vitabu

    Habari ya muda huu rafiki yangu. Kama ulikuwa hujui basi leo naomba nikupe habari njema. Kuna idadi kubwa ya watu ambao huwa wananiomba vitabu mbalimbali vya kusoma mara kwa mara.Ambacho huwa nafanya mtu akiniomba vitabu ninamtumia. Kwa hali ilivyo unaweza kukuta siku moja unatumia watu 3-5 na idadi hii inajirudia kwa nyakati tofauti na unakuta…

  • UKIAMBATANA NA MASIKINI WATANO, WEWE NI MASIKINI WA SITA

    UKIAMBATANA NA MASIKINI WATANO, WEWE NI MASIKINI WA SITA Ukiambatana na masikini watano, wewe ni masikini wa sita. Ukiambatana na matajiri watano, wewe ni tajiri wa sita.  Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu waliokuzunguka wanakuwa na mchango mkubwa kwa kile unachokuwa. Jim Rohn aliwahi kusema kuwa wale watu waliokuzunguka  wanakuwa na mchango mkubwa sana…

  • PESA YAKO WEWE IKO HAPA (Na wala sio sehemu nyingine)

    Kama kwa siku sasa umekuwa unatafuta pesa ila huipati. Kama umekuwa unajiuliza hivi nitapataje pesa na  kutengeneza utajiri. Leo hii napenda nikwambie pesa yako haiko mbali sana. Pesa yako iko kwenye biashara unayoogopa kufanya. Kama utaamua leo hii kuanza kuanza biashara hiyo unayoogopa kuanza basi pesa yako itakuja na wewe  utaanza kuikusanya. Kwa hiyo kazi…

  • Vitabu Vitano Ambavyo Kila Muhitimu Wa Chuo Kikuu Anapaswa Kuanza Kusoma Mara Moja

    Siku sio nyingi Sana, NILIANDIKA makala yenye kichwa cha WANAOSHEREHEKEA KUHITIMU CHUO TUWAAMBIE UKWELI? AU TUWAACHE KWANZA WAFUMUE NYWELE ZAO ZA GRADUATION?Moja kati ya vitu ambavyo nilieleza kwenye makala hii ni wahitimu wa chuo kujenga tabia ya kusoma vitabu na kuwa tayari kujifunza. Kwenye maisha ya mtaani huwezi kuja na ile hali ya kusema kwamba…

  • Kutana na mtu mwenye kumbukumbu kali kuliko wote

    Kuna kipindi nilikuwa nasoma vitabu vya namna bora ya kuwa kumbukumbu ambavyo vimeandikwa na mwandishi Harry Lorrayne na waandishi wengine. Nilichojifunza kwenye vitabu hivi Ni kuwa unaweza kuwa mtu mwenye kumbukumbu kadri unavyotaka.Una uwezo wa kukumbuka namba za simu za watu, una uwezo wa kukumbuka namba yenye urefu mpaka namba 21 na zaidi.Una uwezo wa…

  • WALE MNAOSEMA KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA, EBU NIAMBIE FAIDA ZA KUWA MASIKINI!!!

    Imezoeleka miongoni mwa watu kwamba kila kitu huwa kina pande mbili. Ukizungumzia kulia huwezi kusahau kushoto. Ukizungumzia mbele basi lazima kutakuwa na nyuma.  Ukisikia mtu anasema juu Basi lazima kuna chini. Moja ya kitu ambacho watu wamezoea kusambaza ni kwamba kila chenye faida basi lazima kitakuwa na hasara. Japo kitu hiki kinafanya kazi katika baadhi…

  • WANAOSHEREKEHEA KUHITIMU CHUO TUWAAMBIE UKWELI? AU TUWAACHE KWANZA WAFUMUE NYWELE ZAO ZA GRADUATION?

    Siku zinaenda kweli. Mwaka jana kipindi kama hiki hapa kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa na picha fulani iliyokuwa inasambaa sana. Picha hii ilikuwa na maneno yafuatayo. Wanaosherehekea kuhitimu chuo tuwaambie ukweli, au tuwaache kwanza wafumue nywele zao za graduation? Kisha lilikuwa linafuata cheko ka mtu anayeonekana kuujua ukweli wanaoenda kukutana nao wahitimu kwenye mtaa. Mwanzoni…

X