Category: Uncategorized

  • SABABU 2 kwa Nini kila ukipata fedha unasahau mipango yako yote

      Kuna watu wengi ambao wasipokuwa na fedha wanakuwa na mipango lukuki, ila siku wakipara hiyo fedha, mipango yao inayeyuka kwanza, halafu ndipo wanakuja kuikumbuka baadaye sana baada ya kuwa wametumia fedha zikaisha. Sasa zifuatazo happy chini ni sababu 2 za kwa nini kila ukipara fedha mipango yako inateyuka kwanza 1. Hauna malengo madhubutiKinachokupelekea wewe…

  • Kanuni kuu ya mafanikio iliyojificha

    Kwenye mafanikio kuna kanuni moja ambayo imejificha ambayo watu wengi hawaonekani kuijua wala kuitumia. Kanuni hii inaitwa kanuni ya 80/20. Hii ni kanuni muhimu inayoweza kukupa mafanikio makubwa wewe na mtu yeyote atakayeitumia. Ebu ifuatilie hapa

  • 4. THE FOUR AGREEMENTS book review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA

    Karibu sana kwenye uchambuzi wa kitabu cha Four Agreements kilichoandikwa na Don Miguel Ruiz. Hiki ni kitabu bora kinachoeleza maagano manne ambayo huwa yanafanyika maishani.  Watu wengi hufanya maagano haya bila kujua na huwa yanawaumiza sana. Mwandishi anaanza kitabu hiki hapa kwa kueleza domestication kubwa ambayo imewahi kufanyika hapa duniani. Itakushangaza sana, siyo ya wanyama…

  • 2. MAKE YOUR BED review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA

    Ni wazi kuwa watu wengi wnapenda kufanya mambo mengi kwenye hii dunia. wanataka kuleta mabadiliko na wengine wana ndoto kubwa sana. ila kitu ambacho watu wengi wamekuwa hawajui ni jinsi gani unaweza kufanya mabadiliko kenye maisha yako. kwenye uchambuzi wa kitabu cha leo tunaenda kuona vitu tisa kutoka kwenye kitabu hiki cha MAKE YOUR BED.…

  • Nguvu kubwa iliyonyuma ya kupanga

      Kupanga  ni kitu muhimu sana kwa ajili ya mafanikio yako na kesho yako bora. Kupanga ni kuileta kesho yako hapa ili uweze kufanya kitu leo keo cha kukupeleka kwenye kesho yako.  Kitu muhimu unachopaswa kufanya siku ya leo ni kuhakikisha una mpango mwaka, mwezi na wa wiki hii. Halafu mipango yako ya kila siku…

  • Nguvu ya lengo moja kuelekea mafanikio makubwa

     Kama unataka kuwa na maisha bora na yenye maana, anza kwa kuwa na lengo ambalo unaenda kufanyia kazi maishani mwako. Kuwa na lengo tu kunaweza kukufanya ubadili tabia zako na mambo mengine yote.  Kutakufanya upangilie ratiba zako upya. Kutakufanya ubadili namna ya unavyonunua vitu na kutumia fedha zako n.k. Kitu hiki kitalaamu kinaitwa  Diderot effect.…

  • Ujumbe Muhimu Watu Ambao Wanahitaji Kutoka Kwako

      Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Kuna kitu kimoja ambacho watu wanahitaji kutoka kwako rafiki yangu. Na kitu hiki hapa ni ujumbe wa matumaini. Watu wanahitaji sana ujumbe wa matumaini kutoka kwako. Ujue tunaishi kwenye ulimwengu ambapo watu wanakatishwa tamaa sana, taarifa za habari nyingi zinaoneshwa katika namna ya kukatisha…

  • Kitu muhimu kitakachokutofautisha wewe na watu wa kawaida

      Kuna vitu ambavyo watu waliofanikiwa na watu waliobobea huwa wanafanya ila watu wa kawaida huwa hawavifanyi. Mojawapo ya kitu hicho ni kufanya kazi kila siku bila kujali kitu gani ambacho kinatokea. Ujue kila mtu anaweza kufanya kitu chochotge kwa kujiskikia kisha akaacha, ila watu waliofanikiwa hawafanyi vitu kwa kujisikia au kutojisikia. Bali wanafanya kwa…

  • Hii Ni Zawadi Ambayo Inadumu Milele

    Siku ya leo napenda tu kukwambia zawadi moja ya kipekee ambayo najua unayo ila  pengine umekuwa hauitumii vyema. ni zawadi ya familia. familia ni zawadi ambayo unayo na inadumu milele.  hivyo, ni jukumu lako kuhakikisha kwamba unaitumia vyema zawadi hii. Hakikisha kwamba unapokuwa na wanafamilia wako mmnafurahia kuwa pamoja waambie wanafamilia wako kwamba unawapenda. kama…

  • Kuwa Mtu Wa Kusema Ukweli

     Imepita 9 hivi tangu niliposoma riwaya ya S. N. Ndunguru inayoitwa The Divine Providence.  Kiufupi ukiniambia nikuueleze riwaya hiyo hata kwa ufupi, siwezi kusema chochote kuhusu hiyo riwaya. Sikumbuki hata ilikuwa inahusu nini.  Isipokuwa nakumbuka kitu kimoja tu kutoka kwenye ile riwaya. Kitu hiki sijawahi kukisahau na wala sitakuja kukisahau. Na kitu hiki kinakutwa kwenye…

  • Kosa Kubwa Linalogharimu Wengi Kwenye Fedha

      Njia rahisi ya wewe kupoteza fedha ni pale unapoanza kutumia fedha yako ili kuwaonesha watu kuwa una fedha. Pale unaponunua vitu ili watu wajue kuwa una fedha. Hapo unakuwa umeingia kwenye mtengo mbaya ambao unakufanya usiishi maisha yako, badala yake unaanza kuishi maisha kwa kuangalia wengine watakuonaje. Ni mtego mbaya maana mwisho wa siku…

  • Tafuta kitu cha kusifia kwa mtu

      Mara nyingi huwa tunatafuta ubaya au kitu kibaya kinachoonekana kwa wengine. Ndiyo maana wengi wanapenda umbea kwa sababu unakutanisha watu ili kuwasema wengine. Kitu kimoja kikubwa tunachojifunza leo ni kuwa mbali na mapungufu ya watu, mabali na makosa yao. Bado kuna vitu ambavyo wanaweza kufanya vizuri. Kuna vitu vizuri kutoka kwa kwa hao watu…

  • Ijali sana fedha yako

     Ijali sana fedha yako, usiwe mwepesi wa kuitumia baada ya kuipata.  Na hata unapoamua kuitumia, usiitu ie kwenye mambo ambayo si ya msingi. Jitahidi kuiwekeza fedha yako ili kukupa fedha zaidi hapo baadaye. Kamwe, usikimbilie kuitumia hovyo fedha yako kwa sababu tu, ipo.  Ukiitumia hovyo, unaweza kulia hapo baafhapo baadaye kwa sababu tu ya kuitumia…

  • USIFANYE UWEKEZAJI WOWOTE ULE BILA KUJUA KITU HIKI

      Kama una mpango wa kuanza uwekezaji sehemu yoyote ile, hakikisha kwamba hauanzi kufanya uwekezaji bila kuwa na elimu na maarifa ya kutosha kuhusu uwekezaji ambao umeamua kuufanya. Ni bora uendelee kukaa na fedha zako kwa kipindi hiki ambacho hauna maarifa kuliko kuzitoa sadaka na kuwekeza bila ya maarifa sahihi kwenye kile unachoweza. Au la…

  • Inawezekana Wewe Kuwa Mwekezaji

    Zamani nilipokuwa nikisikia neno mwekezaji basi nilikuwa najua lazima tu mwekezaji awe ametoka nje ya nchi. Lakini sasa hivi naujua ukweli.  Na ukweli huu ni kuwa wewe na Mimi tunaweza kuwa wawekezaji pia.  Unapoanza kuzungumzia uwekezaji wengi hufikiri kuhusu gharama za uwekezaji kuwa kubwa. Wengi wanadhani ili uwe mwekezaji basi unapaswa kuwa na kiwango kikubwa…

  • Muda Mzuri wa WEWE kuanza KUjifunza UWEKEZAJI

     hivi umewahi kujiuliza ni muda gani mzuri wa wewe kujifunza kuhusu uwekezaji. je, pale unapokuwa mdogo au pale unapokuwa mkubwa. je, ni pale unapokuwa na fedha au pale unapokuwa huna fedha. kukna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba muda mzuri wa kupanda mti ulikuwa ni miaka kumi iliyopita, ila muda mzuri zaidi wa wewe kupanda miti…

  • Unapata kile unachorudia kufanya.

       Kama wewe una mpango wa kuwa huru kiuchumi. Anza kuweka akiba kidogo kidogo hata kama utakuwa unaenda taratibu kuliko ambavyo ungetamani, ila kwa kuwa hiyo akiba unaiweka, Basi jua kuwa upo kwenye njia nzuri ya KUELEKEA mafanikio makubwa. Kinyume chake pia Ni sawa. Kama wewe Ni tajiri na kila siku unatumia kiwango kikubwa cha…

  • Karibu kwenye songambele blog

      Karibu kwenye songambele blog. Blogu yenye makala zaidi ya elfu moja 1000+ na mafunzo mengine mengi kwa njia ya picha na sauti. Kila siku nitaendelea kukuletea masomo na mafunzo zaidi mpaka uweze kufikia kiwango kikubwa Cha mafanikio. Kufanikiwa Ni haki yako, hivyo usikubali kuipoteza. Kuna mafunzo huwa natuma kwa niunge barua prpe jiunge na…

  • Inawezekana Kama Utaamua Kujitoa MzimaMzima

    Si unajua kila mtu huwa ana vipaji vyake vya kipekee. Kuna watu ambao huwa wanaamua kuvitumia vipaji hivi. Huku wengine wakivizika vipaji hivi. Kitu kikubwa kwako, unapaswa kutumia vipaji vyako kiasi kwamba siku ukiaga dunia uwe unashangilia kuwa ulitumia kila kitu ulichokuwa nacho bila kubakiza kitu. Soma Zaidi: KONA YA SONGA MBELE; Zaeni Mkaongezeke. Subscribe…

  • Inawezekana Kama Hautangalia Nyuma

      Mhispania Hernán Cortés aliweka rekodi ya kipekee Sana alipoenda kupigana Mexico (Aztec)  Kwanzaalienda kupigana na jeshi dogo (watu 600 tu).  Pili, alipofika vitani alichoma meli zake moto na kuwaambia wanajeshi wake wote kuna uamuzi mmoja mkubwa uliobaki. Kushinda vita au kufa. Kwa hiyo, hakukuwa na njia nyingine ya kurudi nyuma maana alishachoma meli zake…

X