-
Hiki Kitu Ndicho Chanzo Cha Mafanikio Yote
Mwaka 1937 ni mwaka muhimu sana kwenye ulimwengu wa mafanikio. Ni mwaka ambao kitabu cha THINK AND GROW RICH kilichapwa baada ya miaka mingi ya utafiti. Kwenye kitabu hiki mwandishi ameeleza mbinu za mafanikio ambazo ziliwapa utajiri mkubwa sana matajiri wa wakati huo. Hapa wanaongelewa watu kama kama akina Rockefeller ambaye mpaka leo hii amebaki…
-
Hatua muhimu ambazo wazo lako litapitia kabla ya kuonekana kwenye uhalisia
Niseme, nisiseme! Wazo linazaliwa, linakua na muda mwingine kuzeeka mpaka kufa! Kwa hiyo wazo ni kama mtoto, linabebwa kama mimba. Hiki ni kipindi ambacho linakuwa kichwani mwa mtu. Linazaliwa hapa ni pale ambapo linaanza kufanyiwa kazi, linakua, hapa ni pale linapozidi kufanyiwa kazi na kuzidi kuleta matokeo kwa aliyekuwa na wazo na jamii, wazo linazeeka…
-
Kitu Gani Haswa Kinahitajika Ili Kufanikisha Wazo Lako
Mwaka 1908 ni mwaka wa kihistoria maana ndio mwaka ambao gari la kwanza lilitengenezwa na kampuni ya Ford ambayo ilianzishwa mwaka 1903, Gari hilo liliipa jina kampuni ya Ford na kuifanya itengeneze fedha za kutosha, kiasi kwamba watu wengi wakawa wanatamani kuanzisha biashara kampuni nyingine ambazo zingezalisha magari. Ukiangalia kwenye mtandao wa google, kampuni zilizoanzishwa…
-
Hizi Hapa Ni Sababu Za Kwa Nini Unapaswa Kufanyia Wazo Lako Mwaka Huu Na Sio Kusubiri
Natumai kwamba unaendelea vyema. Ni takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikiandika makala kuhusu wazo la biashara. Kila siku tumekuwa tunapata makala moja iliyojishosheleza na yenye ujumbe uliokamilika. Sasa leo nimerudi tena kwa lengo la kukueleza kwa nini unapaswa kufanyia wazo lako la biashara mwaka huu na sio mwaka mwingine. Najua kwamba ninachoenda kuandika hapa ni…
-
WAZO LA BIASHARA AINA HII LAHUWEZI KULIPATA
Kuna mtu unaweza kumkuta anatafuta wazo la biashara ambalo halijawahi kufanyika, kitu ambacho hakijawahi kuonekana
-
Kwani wewe unasemaje?
Habari ya leo, Mwezi wa tisa mwaka 2016, nilianza kuandika makala kwenye blog ya songambele na baada ya hapo niliendelea mbele zaidi na kuandika vitabu, nikaandika magazetini, nikatoa mada kwenye redio na runinga na hata kuandaa mafunzo kwenye YouTube. Kwangu hizi zote zimekuwa ni tuzo za hatua ya kwanza niliyochukua na kuanza kuandika mwaka 2016.…
-
UNAPASWA KUACHANA NACHO

Kuna wakati unapaswa kuachana na vitu hata kama watu wanasema ni fursa nzuri.Au hata kama kilikuwa ni kitu unapenda kufanya kwa siku nyingi.
-
Njia 7 Za Kutumia Ili Kupata Wazo Bora La Biashara
Wazo bora la biashara halishuki kutoka mbinguni~ Godius Rweyongeza Moja ya kitu ambacho kimekuwa kinawakwamisha watu wengi na kuwafanya washindwe kuanzisha biashara ni wazo la biashara. Watu wamekuwa wanashindwa kupata wazo la biashara, sasa kwenye kipengele hiki ninaenda kukuonesha ni kwa jinsi gani ambavyo unaweza kupata wazo bora la biashara.
-
Kama Hujui Ni Kitu Gani Unapaswa Kufanya Maishani, Anzia Hapa
Inatokea kwamba watu wengine kwenye maisha wapo kwenye hali ambayo hawaelewi wanapaswa kufanya nini wala ni wapi wanapaswa kuelekea. Sasa kwenye makala ya leo naenda kuongea na watu wa aina hii na kuona ni kwa jinsi gani ambavyo wanaweza kutumia fursa zilizopo kwenye maisha kuhakikisha kwamba wanasonga mbele. Hivyo, kama wewe haupo kwenye hali hii…
-
UBUNIFU UNABORESHA BIASHARA YAKO
UBUNIFU UNABORESHA BIASHARA YAKO Kama wewe umekuwa mtumiaji wa muda mrefu kidogo wa mtandao wa WhatsApp utagundua kuwa mtandao huu umekuwa unafanyiwa marekebisho ya hapa na pale kila mara.Kuna kipindi haya mambo ya status au WhatsApp business hayakuwepo. Nakumbuka suala zima la kubold, italicize, underline na strikethrough na yenyewe hayakuwepo. Ila kadiri siku zilivyoendelea yamewekwa.…
-
Mambo MATATU USIYOYAFAHAMU KUHUSU KIPAJI
Kwanza ni kwamba, KIPAJI hakiazimwi kama nguo. Ni kitu ambacho unazaliwa nacho. Pili, kwa kuwa kipaji tunazaliwa nacho hivyo hukilipii gharama yoyote kuwa nacho. Kitu hicho kinafanya kipaji kuwa na bei rahisi sana kuliko chumvi, pengine ndio maana watu wengine hata hawakithamini wala kukipa kipaumbele maishani mwao. Tatu, kipaji huwezi kukitumia ukakimaliza. Kadiri unavyokitumia…
-
Kitu Kimoja Cha Kufahamu Kuhusu Umaskini Na Utajiri
Kuna kitu kimoja ambacho leo ninataka ukifahamu kuhusu utajiri na umasikini. Kitu hiki ni kwamba maskini wapo siku zote, ila kazana usiwe mmoja wao. Kwenye kila jamii unakuta kuna watu wachache wenye utajiri mkubwa ukilinganisha na wengine wengi. Sasa lengo lako linapaswa kuwa ni wewe kuingia kwenye wale wachache ambao wana utajiri mkubwa. Utajiri ni…
-
Sababu 03 Kwa Nini Mwezi Januari Unakuwa Mgumu Kwako
Januari ni mwezi wa kwanza wa kila mwaka. Mwezi unaofuata mara tu baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Mwezi wenyewe wa januari unaanza kwa shamrashamra za kuushangilia mwaka. Ni mwezi ambapo watu wanakuwa wamejichana na kula bata siku chache kabla, huku wakiwa wametumia hata fedha ambazo hawakupaswa kutumia, kitu kinachowafanya waanze mwaka wakiwa wamefuria.…
-
Mwaka Mpya Mambo Mapya: Kauli Inayopoteza Watu Wengi Na Kuwafanya Washindwe Kupiga Hatua Kila Mwaka
Kauli ya mwak mpya na mambo mapya si kauli ngeni masikioni mwa watu. kila mwaka mpya unapoanza huwa unasikia watu wakiisema kauli hii tena kwa kujidai. Binafsi naiipenda pia kuauli hii, japo kuna watu ambao wanaitafsiri vibaya na hivyo kuitumia ndivyo sivyo. Unakuta mtu kila mwaka mpya unapoanza yeye anakazana kuhakikisha kwamba anaanza…
-
Ni Vigumu Sana Kupata Mafanikio Makubwa Bila Ya Kuwa Na Sifa Hii Moja Muhimu
Kwenye vitabu vitakatifu wanaeleza wazi kuwa mlango wa kuingia mbinguni ni mwembamba. Muda mwingine watakuambia kwamba wanaoitwa ni wengi ila wanaochaguliwa ni wachache. Sasa kitu hiki pia huwa kinajitokeza kwenye maisha ya kawaida ya mafanikio. Ni vigumu sana kupata mafanikio makubwa kirahisi, wengi wanapenda mafanikio makubwa ila wachache ambao wanaweza kufanikiwa na kufika mbali.…
-
Huu Ni Upande Ambao Ni Marufuku Kwako Kuuchagua
Rafiki yangu, najua unafahamu kuwa una uhuru wa kuchagua chochote kile unachotaka kuwa. Unaweza kuchagua kuwa mwalimu, mchekeshaji, mshereheshaji, dereva, mkulima, mwanamichezo, mwanasiasa, mwanaharakati au chochote kile. Huo uhuru unao na wala hakuna mwenye uwezo wa kukuzuia wewe kwenye hilo. Hata hivyo, kuna kitu kimoja tu ambacho ningependa kukutahadharisha, na kitu hiki siyo kingine…
-
Hiki Kitu Tu,Kitakufanya Uwe Na Maisha Ya Kawaida
Imewahi kukutokea ukaangalia labda igizo au ukasoma kitabu na kuona ni cha kawaida sana na wewe ungeweza kabisa kuigiza hilo igizo au ungeweza pia kuandika kitabu husika? Unajua kitu gani kinakutofautisha wewe na huyo aliyeigiza hilo igizo au aliyeandika kitabu husika? Kinachokutofautisha ni kuchukua hatua. Mwenzako anachukua hatua na kuigiza igizo alilo nalo ndani yake,…
-
Kwa Nini watu wengi husahau malengo ya mwaka mpya Mapema Sana
Juzi tarehe 19 ilikuwa ni siku rasmi ambapo watu wengi huwa wanaacha kufanyia kazi malengo yao na kuanza kuishi maisha ya kawaida. Hii siyo siku ambayo nimeibuni bali ni kutokana na tafiti kuntu zilizofanywa na watafiti wanaoaminika duniani. Na siyo kwamba zimefanywa kwa watu kumi au ishirini, bali zimefanyika kwa watu zaidi ya milioni…
-
Usidharau vitu vidogo vina uwezo wa kukufikisha mbali Sana
Mwaka 1969 binadamu kwa mara ya kwanza aliingia mwezini. Unaambiwa kompyuta iliyotumika kipindi hicho kumwingiza mtu mwezini ilikuwa na uwezo mdogo sana, uwezo wake ulikuwa mdogo mno kiasi cha kuzidiwa na simu janja tunazotumia sasa. Ila iliweza kutumika kutufikisha mwezini. Ndiyo maana nimekuwa nakushauri kuwa makini na vitu vidogo, kutokana na madhara au matokeo yatokanayo…
-
Leo ndiyo Siku Ambayo Watu Wengi Husahau Malengo Yao Ya Mwaka Na Kuanza Kuishi Kwa Mazoea
Leo ni tarehe 19 jnuari 2022. Ukiangalia tangu tuuanze mwaka huu, hata hatuna siku nyingi. Ila cha kushangaza ni kwamba kuna watu ambao tayari wameshasau malengo yao. Zimefanyika tafiti na imethibitishwa kuwa tarehe 19 ya kila mwaka mpya, ni tarehe ambayo watu wengi huwa wanasahau malengo yao na hivyo kuendelea kuishi kimazoea. Swali langu…
