-
Bilionea Ni Mtu Wa Aina Gani?
Bilionea ni mtu anayemiliki rasilimali zenye thamani ya bilioni moja. Bilioni ina milioni elfu moja NDANI yake. Ubilionea hupimwa kwa thamani ya fedha ya nchi husika. Kutokana na thamani za fedha kutofautiana, kwa sasa kipimo kinachotumika kupima ubilionea ni dola ya Marekani. Kwa hiyo ukisikia wanasema fulani ni bilionea, ujue ni kwa thamani ya dola…
-
Cha Kufanya Pale Wenzako Wanapokuzidi Elimu, Kipaji, Ujuzi, Konekisheni n.k
Kama unajua Kuna wenzako wanakuzidi, elimu, kipaji, ujuzi, konekisheni n.k. unapaswa kupiga kazi kwa bidii. Yaani, wewe huna maarifa, ujuzi, kipaji halafu unabweteka. Inakuwa siyo poa hata kidogo. Moja ya kitabu ambacho nimewahi Kusoma kikanifungua sana ni kitabu cha 50CENT na cha Kobe Bryant. 50CENT anasema hivi, unaweza kumzidi akili, unaweza kumzidi konekisheni, unaweza kumzidi…
-
Kitu Kitakachobadili maisha yako leo hii na hata milele
Ninataka nikwambie kitu kitakachobadili maisha yako kuanzia leo hii na kuendelea. Nataka ufanye zoezi hili rahisi sana. Anza kwa kujiuliza vitu na shughuli zako zote unazofanya. Sasa angalia ni shughuli ipi ambayo ukiacha kuifanya na KUWEKEZA nguvu zako kwenye shughuli zinazobaki utapata matokeo makubwa sana. Kama ipo achana nayo. Kisha nguvu zako na muda wako…
-
Hii Ndio Siri Kubwa itakayokusaidia kutengeneza fedha Nyingi
Unataka kijua ni kwa namna Hani unaweza kutengeneza fedha Nyingi zaidi ya unavyotengeneza sasa hivi? Umechoka na kipato chalo cha Sasa, ungependa kutengeneza kipato kikubwa zaidi ya unavyotengeneza Sasa? Ndio Kuna njia. Na njia hii Ndio ninaenda kukueleza leo kwa umakini na kwa lugha rahisi sana. Kwanza Anza na kufuatilia hesabu za fedha zako zinazoingia…
-
Jinsi Ya Kutoa Na Kupokea Mrejesho
Mrejesho ni miongoni mwa ujuzi muhimu sana unaopaswa kuwa nao. Aidha iwe ni kutoa au kupokea mrejesho. Mrejesho ni kutoa au kupokea mapendekezo ya kumsaidia mtu kuboresha kazi yake. Kuwa mtu wa kupokea mrejesho na kuufanyia kazi na hasa pale unapokuwa na mrejesho unaoona kabisa kwamba unaenda kuwa mrejesho wenye manufaa kwako. Kwetu sisi kutoa…
-
Wanawake Watano Walioshindwa Karibia Kwenye Kila Kitu Na Bado Wakashinda Kwa Kishindo
kuna usemi wa wahenga wetu wanaosema kuwa kukatika kwa jamvi sio mwisho wa mazungumzo. Jamvi linaweza kukatika na bado mazungumzo yakaendelea, tena vizuri tu. Sasa leo, natakata niongee nawe kuhusu hili suala na hasa wewe mwanamke.Leo nimekuandalia Makala maalumu, huku nikitaka uchukue masomo makubwa kutoka kwa wanawake walioanguka na bado wakainuka na kushinda kwa kishindo…
-
Nguvu Ya Jina (jina la biashara, jina lako na Jina la brand yako)
Bidhaa mbalimbali huwa zinatambulika kwa majina. Kila mtu huwa anatambulika kwa jina lake. Hata hivyo iko wazi kuwa baadhi ya majina yakitajwa, yanakuwa na nguvu ukilinganisha na majina mengine. Kuna kampuni ikizindua bidhaa fulani, watu wataikimbilia kuinunua na kampuni nyingine inaweza kuzindua bidhaa ya aina hiyohiyo ila watu wakawa hawajaikimbilia. Na ukifuatilia kiudani zaidi unaweza…
-
Kitu Cha Kufanya Ndoto Yako Inapohusisha Watu Wa Nje
Kuna nyakati ndoto na malengo yako yanahusisha watu wa nje. Yanahusisha taasisi za serikali, makampuni fulani au hata mataifa mengine ambayo yana taratibu zake, utendaji kazi wake na kila kitu cha kwake. Watu hawa utakuta kwamba wana njia zao kutenda na kushughulika na vitu vyao katika namna ambayo inaweza isiwe rafiki kwako. Kwa mfano, unaweza…
-
Vitu Vya Kuepuka Ili Uweze Kuishi Maisha Mazuri
Kwanza kabisa, hakikisha unaepuka kulalamika. Ukilalamika unakuwa unawanufaisha wale ambao wanakusikia. Epuka kufuatilia maisha ya watu wengine Epuka kutumia fedha yako yote ulyonayo bila kuweka akiba Epuka kukopa. Tumia dfedha yako Epuka kutumia fedha zaidi ya kipato chako Epuka kumezwa na mitandao ya kijamii Epuka kuianza na kuimaliza siku yako bila ya kuwa na malengo…
-
Anza Na Kina Kile Ulichonacho
Kabla hujasema kwamba haiwezekani na wala siwez i kufanya kitu fulani, jihoji kiundani na uangalie ni kitu gani unaweza kufanya. Kuna vitu vingi unaweza vizuri tu Kabla hujasema kwamba, sina cha kuanza nacho, angalia vizuri ikwenye mazingira yako ni kipi ulicho nacho ambacho unaweza kuanza kutumia sasa hivi. Kuna vitu ulivyo navyo ambavyo unaweza kuanza…
-
Njia Tano Rahisi Za Kukuza Biashara Kwenye Zama Hizi Za Mtandao
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine na ya kipekee sana. Siku ya leo ningependa nikuelekeze njia tano tu ambazo zitakusaidia wewe kukuza biashara yako kwenye zama hizi za intaneti. Njia hizi ni rahisi kufanyika na unaweza kuzifanyia kazi popote pale ulipo Kwanza hakikisha kwamba biashara yako ipo kwenye mtandao. Kwenye zama hizi hapa…
-
Jinsi Ya Kutatua Changamoto Unazokutana Nazo
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu wa ukweli. Leo ni siku nyingine ya kipekee sana na leo nataka nikwambie kwamba usikubali kamwe kwenye maisha yako changamoto zikuzuidi wewe kukufanya ushindwe kufanikisha malengo yako. Siku zote changamoto huwa zinatokea. Changamoto ni kama zinatokea kukuonesha kwamba je, uko siriazi kweli na kile kitu ambacho unataka.…
-
NGUVU YA NENO: MANENO HUUMBA NA KAULI 101 UNAZOPASWA KUZIEPUKA ILI KUFANIKIWA
UTANGULIZI Maneno huumba. Ni usemi mfupi wa wahenga ila wenye maana kubwa sana. ni ukweli kuwa maneno yana uwezo wa kuumba kitu chochote. Ukitaka maneno yakuumbie kitu kizuri, basi unaongea maneno chanya. Ukitaka maneno yakuumbie kitu kibaya basi unaongea unaongea maneno hasi. Ni hivyo tu. Sasa kwenye kitabu hiki nimeona nikuletee kauli 101 ambazo unapaswa…
-
Kama Huna Fedha Basi Kuna Maeneo Haya Matano Unayakosea
2. Sina fedha/sina hela Hii ni kauli ambayo moja kwa moja inakufunga na kukufanya usione upenyo wa kutoka. Ukisema sina hela maana yake unakuwa unainyima akili uwezo wa kufikiri nje ya boksi na kuona fursa gani zaidi unazoweza kupata. Badala ya kusema sina fedha, unaweza kujiuliza hivi hapa nawezaje kupata fedha? Au ni mbinu gani…
-
Ifahamu Kanuni Ya Asilimia Moja Na Jinsi Ya Kuitumia
Hii ni kanuni ambayo ukiifahamu utaishi maisha mazuri na utafanya makubwa kwa nguvu kidogo sana. Yaani, itakuwa kama unagusa tu na mambo yanajipanga. Kulingana na kanuni hii ni kwamba, Kila siku kwako inapaswa kuwa ni siku ya kukua kwa asilimia moja tu. Kama umeweka malengo basi siku ya leo yafanyie kazi kwa asilimia moja, na…
-
Mitandao Ya Kijamii Kama Dozi
Siku hizi mitandao ya kijamii imekuwa ni aina mpya ya dozi. Na dozi hii haitumiki mara mbili kwa siku au mara tatu.mtu anatumia dozi hii kadri anavyojisikia. Na kuna mwingine aina hii ya dozi anaitumia ikiwa ya kwanza anapoamuka na bado anaendelea kuitumia siku nzima mpaka kulala.Je, hayo ni matumizi sahihi ya mitandao? 1. Jiwekee…
-
Jinsi Ya Kulipwa Kwa Kufanya Kile Unachopenda
Unaendeleaje rafiki yangu. Leo ni siku ya kipekee sana. binafsi nimeona nije kwako kwa lengo la kukueleza kitu kidogo tu, namna ambavyo wewe unawezakulipwa kwa kufaya kitu unachopenda. Zamani mambo yalikuwa shaghalabaghala. Ulikuwa unatakiwa kusoma kozi fulani na baadaye kwenda kufanya kufanya kazi hata kama kozi au sekta husika ulikuwa huipendi. Ila leo hii mambo…
-
Jipatie zawadi ya kitabu cha BURE hapa
Unaendeleaje rafiki yangu, Bila shaka siku ya leo imeanza vyema kabisa. Siku ya leo nimeona nikupe zawadi ya kitabu. Hiki hapa Sitaki nitoe maelezo mengi kuhusu hiki kitabu, Ila nataka wewe ukisome kisha urudi hapa kutupa mrejesho. PATA KITABU CHAKO HAPA
-
Inawezekana Kuvunja Rekodi
Kabla ya mwaka 1954 watu waliamini kuwa mtu hawezi kukimbia maili moja (1500m) chini ya dakika. Waliamini mtu akifanye hivyo anaweza kufa. Hata hivyo, mwaka 1954 Roger Bannister alivunja rekodi kwa kukimbia mita 1500 kwa dakika 3:59:4.Kwa Mara ya kwanza kitu kilichotokea kinaonekana hakiwezekani, kiliwezekana. Kutokea hapo maelfu kwa maelfu wamevunja rekodi hiyo.Hali kama hii…
-
Vitabu Viwili Vya Kusoma Mwezi Machi 2022
Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. mwaka 2022 unaendelea kusogea mbele. na ninajua tangu mwaka huu unaanza moja ya lengo lako kubwa lilikuwa ni kuhakikisha kwamba unasonga mbele na unafanya makubwa. Leo nataka nikueleze kuhusu vitabu viwili ambavyo vitakusaidia wewe kufanya makubwa, vitabu hivi ni THE PYSCHOLOGY OF MONEY NA KIPAJI NI DHAHABU Hivi ni vitabu…
