-
MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA : KOSA LA KWANZA; Kutokuwa na kipaumbele cha kujifunza kuhusu fedha
Inashangaza kuona kwamba watu wanaamka kila siku kwenda kutafuta kufanya kazi kwa siku tano au sita za wiki. Na kurudia ratiba hiyo mwaka hadi hadi mwaka. Lengo lao kufanya kazi ni kutafuta fedha ila hawachukui muda wa kujifunza kuhusu kile ambacho wanakitafuta, ambacho ni FEDHA. Kitu hiki ndicho kinawafanya watu wengi wazidi kuhangaika kwenye masuala…
-
kama kuna kitu kizuri ambacho ungependa kuona kwenye maisha yako ila hukioni basi sababisha kiwepo
Ukiona kuna kitabu kizuri ambacho ungependa kusoma ila hakijaandikwa, basi kiandike wewe. Ukiona kwamba kuna igizo zuri ambalo halijaigizwa, basi liigize wewe. Kama kuna mziki ambao hujaimbwa, basi uimbe wewe. Kuns biashara ambayo haijafanywa, basi ifanye wewe. (kumbuka inapaswa kuwa inakubalika kisheria. Kitu chochote kizur ambacho ungependa kuona ila hukioni basi kitengeneze wewe. Kila la…
-
Hiki Ni Kipimo Tosha Kwamba Sasa Umekomaa Kwenye Fedha
Kama unaweza kutembea na fedha, ukakutana na vitu vya kununua ila ukaacha kuvinunua japo una fedha, basi hapo ujue umeanza kukomaa. Kama hauna uwezo huu basi anza kuujenga. Tembea na kiasi fulani cha fedha, watu wakija kwako na vitu vya kukuuzia, wewe usinunue. Kila utakapopata kishawishi hiki, kishinde kwa kutoitumia hiyo fedha. Fanya hivyo kwa…
-
Habari njema sana kwako rafiki yangu.
Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. habari niliyonayo jioni ya leo ni kwamba vitabu vyangu vyote ambavyo ni vinapatikana kwenye mfumo wa nakala tete unaweza kuvipata kwa punguzo la asilimia 10 kwa kila kitabu kwa siku hizi zilizobaki kabla ya mwezi huu kuisha. Chukua hatua leo hii ili uweze kujipatia…
-
KULIPA DENI NI LAZIMA SIO OMBI: Njia Zilizothibitishwa Zitakazokusaidia Kulipa Madeni Yako
Habari ya siku ya leo rafki yangu. Hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee. Leo nilipenda nikwambie kuwa kama umejikuta kwenye madeni na kuna watu ambao wanakudai, usiyakimbie hayo madeni. Badala yake jipange kuyalipa. Kulipa madeni ni lazima sio ombi. Ni wewe ulichukua hatua ya kukopa, unapaswa pia kuchukua hatua ya kulipa hayo…
-
Hii Ni Tabia Moja MUhimu Ya Fedha Ambayo Unapaswa Kuifahamu
Kuna tabia moja ya fedha ambayo ningependa uifahamu siku hii ya leo. Na tabiai hiii ni kwamba fedha huwa inawaendea zaidi wale wenye nazo na kuwakimbia wale ambao hawana. Kwa hiyo kama wewe una tabia ya kuwa unapokea fedha na kuitumia yote kwa mkupuo bila kubakiza kitu, unapaswa kufahamu kwamba fedha zitakuwa zinakukimbia mara kwa…
-
Kama Unataka Kuongeza Kiwango Chako Cha Fedha Zinazoingia Fanya Hivi
Rafiki yangu hongera kwa nafasi ya siku hii ya kipekee. Karibu sana kwenye makala ya leo ambapo tunaenda kuona jinsi ambavyo unaweza kuongeza kiwango chako ch fedha. Na njia hii ni KUWA MAKINI NA KIWANGO KIDOGO AMBACHO UNAPATA SASA HIVI. Yaani, hiki kiwango kidogo ambacho unakipokea sasa hivi unaweza kukitumia kwa manufaa makubwa ili kuongeza…
-
Hiki Ndicho Kitu Kinachofanya Watu Wakuombe Fedha
Rafiki yangu bila shka umekuwa na siku bora sana. hivi umewahi kujiiuliza ni kwa nini ukiwa na fedh ndio watu wanajitokeza kukuomba fedha? Ila pale zikiisha tu watu wanaondoka mpaka pale utakapokuwa na fedha? Kuna kitu kimoja tu ambacho kinawafanya watu wakuombe fedha. Na kitu hiki ni kuwa wewe ukipokea fedha hautulii. Badala yake unakuwa…
-
Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani
Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…
-
Haya Ndio Maajabu Ya Zama Tunazoishi
Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu. Karibu sana kwenye makala hii ya kipekee sana. Leo hii tunaenda kujifunza maajabu ya zama hizi ambazo tunaishi. Na maajabu haya ni kuwa mteja anaweza kukuacha wewe hapo kwa kubonyeza mara moja tu na kwenda sehemu nyingine. Ni wazi kuwa tupo kwenye zama ambazo biashara niyingi…
-
Hiki Ni Kitu Kimoja Ambacho Ninakijua Kuhusu Wewe
Rafiki kuna kitu kimoja nakijua kuhusu wewe hapo. unaweza kujiuiliza kuwa ni mtu gani huyu alikwambia siri zangu. naomba tu, utulie kwanza nikwambie kitu hiki. Kitu hiki ni kuwa wewe walau una kitu ambacho unaweza kutoa kwa watu ili kuwafanya watu wengine wawe na maisha bora zaidi. Inawezekana kitu hiki sio kikubwa lakini unacho.…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutumia Muda Wako Na Fedha Kwa Manufaa
Moja ya kitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ni muda na fedha. Ipo misemo kadha wa kadha ambayo imesemwa ikiwa ni pamoja na watu kusema kuwa muda ni mali. Muda haumsubiri mtu. Na misemo mingine kama vile poteza fedha utaipata ila ukipoteza muda hautaupata. Kwenye makala ya leo sitaki nikuelekeze jinsi kupoteza fedha na…
-
JINSI YA KUPANGILIA MAISHA YAKO KWENYE ZAMA ZA TAARIFA
Tupo kwenye zamaambapo ni rahisi kufuatili maisha ya watuwengine, huku wewe mwenyewe ukajisahau kabisaa. Sasa leo hii nimekuletea somola JINSI YA KUPANGILIA MAISHA YAKO KWENYE ZAMA HIZI ZA TAARIFA. Bonyeza kiunzi hapo chini kuliangalia.Usisahau KUSUBSCRIBE
-
Hiki Kitu Ndicho Kinafanya Biashara Yako Ishindwe Kukua
Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Karibu sana kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukueleza, kitu kimoja ambacho kinafanya biashara yako ishindwe kukua. Kitu hiki sio kingine bali ni kwa sababu ya kukosa maono. Unaweza kuwa unashangaa kuwa biashara yangu inakosaje maonio. Pengine ulianzisha biashara yako ukiwa na mtazamo fulani wa…
-
FAIDA ZA KUANDIKA AMBAZO UNAENDA KUZIPATA MARA MOJA
#GodiusRweyongeza#kuandika #faidazakuandika #songambele Moja ya yabia muhimuambayo unapaswa kuwa nayo ni tabia ya kuandika na kutunza kumbukumbu. Kila unapoamka asubuhiandika malengo yako ya siku husika Kila jioni andika jinsisiku yako ilivyokwenda na mambo muhimu ambayo umejifunza ndani ya siku husika. Hikini kitu ambacho unaweza kufanya hata kama sio mwandishi wa vitabu. Pamoja nafaida nyingi za…
-
Mmepata Bure, Toeni Bure; Vitu Vitatu Ambavyo Kama Utavitumia Kwa Umakini Wa Hali Ya Juu Vitaweza Kukufanikisha Kwa Viwango Vya Juu Sana
Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya keipkee. Siku ya leo napenda nikushirikishe vitu vitatu ambavyo wewe hapo umepata bure na unapaswa kuvitumia sana. Ubora wa vitu hivi vitatu ambavyo nitakushirikisha hapa sio kwamba unaweza kuvitumia vikaisha. Ubora wake ni kuwa kadri unavyovitumia ndivyo vinazidi kuimarika zaidi. Hivyo usiogope kuvitumia Vitu…
-
Jinsi Ya Kuanza Upya Baada Ya Kuwa Umekosea
rafiki yangu siku ya leo nimekuandalia video nzuri kkkuhusu jinsi ambavyo unaweza kuanza upya hata baada ya kuwa umekosea. karibu sana uweze kujifunza. usisahau KUSUBSCRIBE
-
Aina Mbili Za Hamasa Na Jinsi Ya Kuzitumia Kwa Manufaa
Hivi unaposikia watu wanazugumzia juu ya hamasa unaelewa nini? je, ni kitu gani ambacho kinakuja kwenye akili yako? Leo ningependa nikwambie aina mbili za hamasa na jinsi ambavyo unaweza kuzitumia zote. Aina ya kwanza ni HAMASA YA KUEPUKA KITU. Hii ni ile nguvu ambayo inamuskuma mtu kufanya kitu ili aepukane na kitu fulani. Mfano mwajiriwa…
-
Tafadhal Usifanye Kosa Hili Kwenye Biashara Yako Pale Watu Wanapokuja Kununua (mbinu zilizothibishwa za kumvuta mteja kwako bila kuficha chenji yake)
kitabu hiki ni nakala tete (soft copy) na gharama yake ni 5,000/- tu. tuwasiliane kwa 0755848391 ili uweze kupata nakala yako. Rafiki yangu karibu sana kwenye makala ya siku hii ya leo. Siku ya leo napenda nikwambie uepuke kosa hili hapa. kosa hili hapa ni pale kukataa kutoa chenji kwa mteja huku ukimwambia aondoke, wakati…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kumiliki Kampuni Kubwa Kama CRDB, VODACOM, TBL Na Nyinginezo Kwa Mtaji Wa Elfu Kumi Tu
Pata nakala ya kitabu hiki kwa shilingi elfu 10 tu popote ulipo nchini. tuwasiliane kwa 0755848391 Hivi umewahi kujiuliza kuwa kwa mtaji wangu huu mdogo naweza kutoboa kweli na kufanya mambo makubwa. au umekuwa unakwama katika kukuza mtaji wako kwa siku sasa na unapenda kukuza mtaji wako. Au kwa mfano umewahi kuwa na wazo…
