-
BADILI MAJI KUWA DIVAI: Jinsi Ya Kuona Fursa Katika Changamoto Unazokutana Nazo Masihani
Nimeona niseme hiki kitu, ili usije kusema kwamba sikusema. Usije kusema kwamba sikusema kwamba fikra zako ndizo zinazalisha matokeo unayopata. Watu wawili wanaweza kuwa wanapitia katika hali ileile, ila mmoja akawa ameiona kama fursa ya yeye kusonga mbele. Wakati mwingine akaona kwamba ni kikwazo. Mmoja akaona kwamba ni upenyo wake wa kufanya makubwa mwingine akaona…
-
Hili Ni Kundi Maalumu La Whatsapp Ambalo ulipaswa Kuwa Umejiunga Sasa Hivi
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipeke sana. Siku ya leo napenda nikwambie juu ya kundi moja la whatsapp ambalo ulipaswa kuwa umejiunga mpaka sasa hivi. Kiukweli ulipaswa kuwa umejiunga na kundi hili hapa mwaka jana, ila kama hukukufanya hivyo, muda sahihi wa kufanya hivyo ni leo hiii. Kwanza hili ni zaidi ya…
-
Vitu Saba Vya Kujifunza Na Kuchukua Hatua Kutoka Kwenye Wimbo Wa Ben Paul Wa JIKUBALI
Moja ya wimbo ambao huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara ni wa mwanamziki Ben Paul unaoitwa JIKUBALI. Huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara kwa sababu kuna mafunzo muhimu ambayo naona na wewe nikushirikishe baadhi ya hayo masomo siku ya leo. 1. UNAWEZA Ben Paul anaanza kwa kusema kwamba, unaweza kuwa doctor, unaweza kuwa star, …
-
SIku ya leo (valentine) napenda nimtambulishe kwako….. (sijawahi kufanya utambulisho mkubwa kama huu, ila leo imebidi tu nifanye hivyo)
Kheri ya sikukuu ya wapendanao, rafiki yangu. Siku kama hii hujitokeza mara moja tu kwa mwaka, hivyo huna budi kuhakikishakwamba unafurahi na kuitumia kwako. Siku ya leo binafsi kuna mtu mmoja tu ambaye ningependa nimtambulishe kwako. na mtu huyu si mwingine bali ni wewe mwenyewe. Kwa nini ninafanya hivi? Ninafanya hivi kwa sababu katika dunia…
-
Habari njema kwako Rafiki yangu.
Rafiki bila shaka uaendelea vyema kabisa.Binafsi jioni ya leo nimekuja kwako na habari njema sana. Habari hii ni kwamba unaweza kuwa wakala wa kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI mkoani kwako. Kwa hiyo popote pale ulipo (bara na visiwani) naomba uwasiliane na mimi ili tufanye utaratibu wa wewe kupata nakala za vitabu. Hii ni habari…
-
Uwekezaji Huu Utakufanya Kuwa Mtu Mkuu Kwenye Hii dunia
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku hii ya leo napenda nikwambie uwekezaji ambao kama utaufanya na utakuja kukufanya mtu mkuu kwenye hii dunia. Kwanza kabla sijakwambia ni uwekezaji gani. Nataka nikwambie kwamba kuna watu ambao unaweza kuwa unawaona wanafanya vitu vikubwa, wewe ukawa unawaona kwamba wao wamezaliwa na Baraka…
-
Ukiweka Juhudi Kubwa Sana Kuelekea Malengo Yako, Malengo Yako Pia Yataweka Juhudi Kubwa Kukuelekea Wewe
Moja ya kanuni za fizikia ni hii kanuni inayosema kwamba, to every action there is equal and opposite reaction. Ikimaanisha kwa kila kitu ambacho unafanya kuna kuwa na nguvu ya aina hiyo hiyo ambao inakujwa kwako. Kwa hiyo ukifanya kazi kwa bidii kubwa ili uweze kupata matokeo makubwa, mwisho wa siku matokeo makubwa yataanza kuja…
-
Kama Sio Wewe Nani? Kama Sasa Lini? INAWEZEKANA
Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo napenda nikwambie kwamba inawezekana, ndio kama una lengo ambalo unataka kulifanyia kazi katika maisha yako unapaswa kufahamu kwamba inawezekana kulifanikisha lengo hili hapa. Kama kuna ndoto ambayo unayo maishani mwako basi fahamu kwamba inawezekana. Watu unawaona sasa hivi wakiwa wamefanya…
-
ACHANA NA TABIA HIYO
Kuna tabia hiyo ambayo unifanya japo haikupeleki kwenye mafanikio, achana nayo. Anza kushugulika tabia ambazo zinakufanya wewe uweze kusongambele kwenye mafanikio makubwa. Kama unataka kufanikiwa na bado kuna tabia ambazo zinakuvuta ila hutaki kuziacha, utajiangusha. Yaani hapo ni sawa na wewe umekuwa baba/mama ila hutaki kuachaa na utoto. Hivyo ukitaka kufanikiwa achana na tabia zinazokukwamisha…
-
Kinachokukwamisha Ni Uoga
Ujue kuna watu ambao wewe unawazidi kwa kipaji cha kuimba ila wanazunguka dunia nzima wanaimba. Kuna watu ambao wewe unawazidi kwa viwango vya kucheza mpira, ila leo hii watu wanakaa kwenye runinga kuwatazama dakika 90. Wengine wewe unawazidi viwango vya kuchekesha, ila leo hii watu wanaingia YouTube kuwatazama ili wacheke na wewe upo hapo umejificha.…
-
Ebu fanya kitu hiki hapa siku ya leo kuongeza mtadao wako
Siku ya leo ningependa iwe siku yako kuongeza mtandao wako wa watu ambao unawafahamu. Na hapa tunaenda kutumia tu mbinu za kawaida ambazo wewe mwenyewe unaweza kuzitumia kukongeza idadi ya mtandao wako. Siku ya leo nataka umpgie mtu ambaye hujawahi kumpgia maishani mwako. Anaweza akawa mtu ambaye umekuwa unamfuatilia kwa kazi anazofanya kila siku. Au…
-
Shukrani Zangu Na Taarifa Rasmi Ya Upatikanaji Wa Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni
Jana tarehe 02.02.2020 ilikuwa ndio siku rasmi ya uzinduzi wa kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni. Kitabu hiki ambacho kwa sasa kinapatikana katika mfumo wa nakala ngumu (hard copy) kilizinduliwa jana kwenye ukumbi wa Morogoro Hotel hapa Morogoro. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza sana watu waliohudhuria huu uzinduzi wa kipekee sana. Kiukweli nimefurahi sana…
-
JIFUNZE MATUMIZI SAHIHI YA NOTEBOOK: Ufanye Mwaka Huu Uwe Wa Mafanikio Kwa kutumia Maajabu Ya Notebook Tu
Habari siku hii njema sana rafiki yangu. Bila shaka siku hii njema sana ya leo umeianza vyema kabisa bila shida yoyote ile. Kama utakuwa makini, utagundua kwamba kuna kitu ambacho tayari kimeshatokea kwenye mwaka huu wa kipekee 2020. Unajua kitu hicho ni kitu gani? Kitu hiki sio kingine, bali ni kuwa, mwezi mmoja wa mwaka…
-
YAH: MABADILIKO YA JALADA LA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana.Ni siku sasa zimepita tangu uzinduzi wa kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nakumbuka ilikuwa ni tarehe 25 mwezi wa 9 2017, mtu wa kwanza aliposoma hicho kitabu. mmoja wa watu waliosoma hicho kitabu alikuwa ni Octavian, yeye alikuwa na haya ya kusema siku chache baada…
-
Tabia Saba (07) Zinazoleta Umasikini Na Jinsi Ya Kuziepuka Ili Kutengeneza Utajiri
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo ikiwa ni februari 29 2020. siku zinazidi kusogea kwelikweli. Mwezi wa pili wa mwaka uliokuwa mpya, sasa unaelekea ukingoni. Siku chache zijazo tu utashangaa mwezi wa tatu huo umefika. Nina hakika moja ya lengo lako kubwa maishani ni kutokomeza umasikini na kujenga utajiri…
-
Maswali sahihi yatakupa matokeo sahihi
Moja ya ujuzi ambao unauhitaji maishani mwako ni ujuzi wa kuuliza maswali sahihi. Watu wengi huwa wanaogopa kuuliza maswali maishani mwao kwa kuogopa kwamba wataonekana kwamba hawajui. Hata hivyo kama wahenga walivyosema, ni kwamba kuuliza sio ujinga. Lakini kikubwa zaidi ni kwamba kuuliza kunakufanya unakuwa mjanja zaidi. Yaani kunakufanya ujue kile kitu ambacho ulikuwa hujawahi…
-
Jiepushe Na Vitu Hivi Viwili Ili Uweze Kupata Matokeo Mazuri Maishani Mwako
Kuna makosa mawili ambayo umekuwa unafanya kwenye maisha yako ya kila siku ambayo kiukweli unapaswa kuyaepuka mara moja. La sivyo kama utaendelea kuyafanya makosa haya yatakufanya upoteze rasilimali hizi mbili muhimu. Utapoteza rasilimali muda lakini pia utapoteza rasilimali nguvu. Ukiyaepuka utaweza kukutumia muda wako vizuri kufanya mambo ya maana, lakini pia uwekeza nguvu hiyo kwenye…
-
Hili hapa ndio wazo bora la Kibiashara Kwa Mwaka 2020. Fanyia Kazi Wazo Hili Hapa Tu, Utakuwa Na Mwaka Wenye Mafanikio Makubwa Sana
Kama mpaka sasa hivi umekuwa unajiuliza ni wazo gani bora la mwaka 2020 ambalo unaweza kufanyia kazi na kupata mafanikio makubwa basi leo nimekuja na suluhisho. Na suluhisho iko wazi kabisa. yaani hadi mwenyewe utashanga kwa nini hukujua suluhisho hili mapema. Ila uhakika ni kwamba ukilifanyia kazi wazo hili ndani ya mwaka huu mmohja tu,…
-
AKILI NENE vs MWILI MNENE
Kuna kitu ambacho watu wamekuwa wanakiona kama sifa. Na pengine kama ishara ya kuwa ya pesa. Kitu hiki ni mtu kunenepa. Kwa hiyo watu wanawekeza pesa kwenye kunenepa mwili ila wanasahau kitu muhimu zaidi ambacho kinapaswa kunenepa kwa mtu sio mwili. ila akili. Yaani hata iweje, fanya ufanyavyo ila hakikisha kwamba kila siku unanenepesha akili…
-
Kitu Hiki Kimoja Huwezi Kujifunza Kwenye Vitabu
Rafiki yangu kwa siku sasa nimekuwa nakusisitiza juu ya usomaji wa vitabu. Na kitu hiki ni muhimu sana kwako ili uweze kusoga mbele kimaisha. Hata hivyo kwenye kusoma vitabu kuna kitu kimoja ambacho inaonekana kabisa bado hujakifahamu. Kitu hiki ni kwamba hutakikuta kwenye vitabu. Na kitu hiki ni KUCHUKUA HATUA. Ujue unaweza kuwa unasoma vitabu…
