-
Kitu Hiki Kitakupa Mafanikio Mara 10 Zaidi Mwaka Huu
Napenda nikwambie kitu kimoja ambacho kitakusaidia kuinuka mwaka huu ili uweze kutengeneza mafanikio makubwa zaidi. Najua Laiti ungekuwa umeamgiwa Kitu Hiki tangu mwaka huu unaanza basi sasa hivi ungekuwa mbali kabisa. Tayari ungekuwa umefanya vitu ambavyo watu wengine hawajafanya. Ila sasa hujachelewa kujua kitu hiki, maana wanasema muda mzuri wa kupanda mti ulikuwa ni miaka…
-
Hivi ndivyo unaweza kumnasa mtu anayesema uongo
Ukiwa unaongea na mtu rahisi sana kutambua kwamba mtu huyu anasema ukweli au hasemi ukweli. japo unaweza kumwangalia mtu kupitia lugha ya mwili. maana inakuwa ni rahisi sana kwa kutumia njia hii. Niliwahi kufundisha masomo ya lugha ya mwili kupitia kwenye kundi la THINK BIG FOR AFRCA. Hata hivyo siku ya leo sio kwamba nazungumzia…
-
Mambo 20 Ya Kufanya Kwa Siku 340 Zilizobaki Kabla Mwaka Huu Kuisha
Siku ya leo sitaki niandike sana, ila hapa kuna mambo 20 ambayo unapaswa kufanya kwa siku 340 zilizobaki ili kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa mafanikio makubwa sana. 1. Hakikisha unakuwa na notebook ambapo kila siku utaangalia mwenendo wako. huku utaandika mambo yako unayofanya kila siku. Hii pia itakupa urahisi wa kujifanyia tathimini kila mwisho…
-
SHUKRANI ZANGU ZA KIPEKEE KWA MTU HUYU HAPA
Rafiki yangu, nitakuwa sio mtu mzuri sana kama sitatoa shukrani kwa watu ambao wananijali maishani mwangu. na leo hii mtu wa pekee ambaye ningependa kutoa shukrani hizi za kipekee kwake mi WEWE. Kiukweli napenda sana kukushukuru kwa sapoti yako kubwa. Bila shaka kama wewe usingekuwa unasoma makala hizi kwenye hii blogu na mitandao mingine ambayo…
-
Pesa zako zimelala hapa tu! Fanya Haraka Uzichukue Kabla Hazijachuliwa
Kwa kila sekunde inayopita, mtandao wa google unapokea maombi 40,000. Hawa ni watu mbalimbali wanaotafuta majibu ya maswali yao kwenye mtandao huu. KWA NINI WATU WANATAFUTA MAJIBU GOOGLE? Moja ni kwa sababu majibu waliyonayo hayatoshelezi hivyo wanatafuta suluhisho jipya. Pili, kwa sababu hawajawahi kupata suluhisho la swali hilo kabisa maishani mwao. Hivyo njia pekee…
-
HIVI NDIVYO UNAWEZA KUTENGENEZA BAHATI YAKO MILELE NA MILELE
(utashangaa kwa nini ulichelewa kujua hiki kitu) Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo hii naenda kukufundisha namna ya kutengeneza bahati maishani mwako. Na njia hii ya kutengeneza bahati ni kuwasaidia watu zaidi kupata bahati. Ukiwasaidia watu kupata wanachotaka utakuwa umewawezesha kupata bahati. Na kwa kuwa hili utakuwa umefanya jambo jema…
-
Hiki Ni Kioo Kitakachokuonesha Kiuhalisia Wapi Utakuwa Miaka Mitano Ijayo. KIOO HAKIDANGANYI
Miaka mitano ijayo utakuwa jinsi ulivyo isipokuwa kwa vitu viwili tu! watu unaokutana nao pamoja na vitabu unavyosoma. Sasa swali langu kwako ni je, leo hii unasoma vitabu gani? Je, leo hii unaambatana na watu gani? vitabu unavyosoma vina uwezo wa kubadilisha maisha yako kwa kukupa aina mpya ya maarifa ambayo hukutegemea. vina uwezo wa…
-
Ukiona unavutwa nyuma zaidi basi jua kwamba ukiachiwa ndio utakimbia kam upepo
Changamoto na vikwazo huwa havikosi kujitokez kwenye maisha. Tofauti ni ukubwa wa changamoto ambayo mtu huwa anakutana nayo. Sasa changamoto yako inapokuwa kubwa usikate tamaa na kuacha kufanya kile kitu ambacho unapasawa kkuwa unafanya. Unapasawa kujua kwamba kadri unavyokutana na changamoto kubwa kwenye maisha yako basi ujue kwamba ukishaitatua hiyo changamoto utasongambele kwa kasi kubwa…
-
masomo matatu ya kibiashara ambayo hujawahi kufundishwa sehemu nyingine
habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. katika maisha huwa ni rahisi sana kukutana na changamoto ya kuchekwa na kususiwa na watu, hasa pale ambapo wewe utaamua kutumia vipaji vyako na kutimiza ndoto zako. Leo nimeakuandalia video yenye masomo matatu makkubwa ya kibiashara ambayo unaweza kujifunza na kukyafanyia kazi mara moja. sikilize hapa chini.…
-
Hii Makala Ni Kwa Watu Wenye Kiu Ya Kufikia Mafanikio Makubwa Tu
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Nichukuke nafasi hii kukupongeza kwa siku kuuu ya krismasi, jana. Nichukue tena nafasi hii kukutakia siku kuu njema sana kufungua vifurushi leo. Sasa leo hii nimekuandalia makala wewe tu mwenye kiu kubwa ya mafanikio. Rafiki yangu kama wewe ni mtu mwenye kiu kkubwa sana ya kufikia mafanikio…
-
Salamu Za Krismasi Kutoka Kwa Godius Rweyongeza
Habari ya leo. Nichukue nafasi kukutakia kheri ya sikukuu za Krismasi na mwaka mpya. Kwa mwaka mpya 2020. Kuna Mambo haya nisingependa uyakose. 1. Kwanza kabisa nisingependa ukose kupata kitabu kimoja cha kiswahili kila mwezi kwa njia ya (PDF).Kwa sababu nathamini mafanikio yako, basi nitahakaikisha nakuandalia kimoja na kukupa kila mwezi. Wewe mwenyewe utakipenda na…
-
JAMANI NIACHENI NISEME KITU HIKI KIMOJA SIKU YA LEO. YATAKAYOBAKI TUTAONGEA KESHO
Leo hii ni siku njema sana. Kwanza nichukue muda huu kukutakia kheri sikuu ya krismasi na mwaka mpya. Baada ya kusema hayo naomba uniache sasa niseme kitu kimoja tu yatakayobaki tutaongea kesho. Najua tangu asubuhi umesikia mengi kutoka kwa watu ila kitu kimoja kitabadili maisha yako kabisa. Hivyo basi niache kabisa niseme hiki kitu kimoja…
-
JE, TUJIFUNZE NINI KUTOKANA NA UZINDUZI WA CYBERTRUCK?
Masomo matano ya kibiashara kutoka kwa Elon Musk na Kampuni yake ya Tesla Ni mwezi sasa umepita tangu Elon amezindua gari aina ya Cbyertruck ambayo imetegenezwa na kampuni yake ya Tesla. Cbertruck ni truck (pick up) ya kipekee tofauti na pickup za magari mengine ambazo umezoea kwa siku zote. Yaani Tesla wamekaa chini na…
-
Kama Hauna Hata Mia Mbovu Jua Unakosea Hapa
Kuna misemo ambayo imezoeleka kutolewa na watu siku hizi kiasi kwamba imekuwa ni sehemu ya pili ya maisha ya hawa watu. Unakuta mtu anasema โusawa huu wa Magufuri pesa imekuwa ngumu sana”. Utasikia mwingine anasema โvyuma vimekaza” wakati mwingine akitaka kukwambia kuwa hana pesa basi utasikia akisema, โsina hata mia mbovu”. Yaani kumaanisha kuwa hana…
-
Hivi Ndivyo Utaweza Kujifunza Lugha Mpya 2020 (Ukiamua kuitumia vizuri njia hii, mwakani watakusikia ukinena kwa lugha nyingine)
Inawezekana umekuwa na mpango wa kujifunza lugha mpya kwa siku sasa, ila Kuna vitu vinakuzuia. 1). Pengine unaona gharama za kuingia darasani ni kubwa.2). Majukumu yako ni mengi kiasi kwamba unaona huwezi kuyaacha kuanza kuhudhuria darasa jipya.3). Hujui wapi unapaswa kwenda kujifunza lugha mpya. Sasa leo hii napenda nikwambie wapi utaweza kujifunza lugha mpya 2020. …
-
Nakukumbusha Jukumu Lako Hiki Usije Ukasahau
Kwenye dunia hii kila mmoja ana jukurmu lake. Kuna watu ambao jukumu lao ni kukosoa, kukatisha tamaa, na kukukwamisha. Hawa watu utakutana nao katika safari yako. Ila kumbuka kwamba wao kazi yao waliyoichagua ni kukosoa. Ukiona mtu anakukosoa na kusema vibaya juu ya kile unachofanya, Jua kwamba yeye amechagua hiyo kazi. Hivyo wewe endelea na…
-
NDUGU MZAZI; barua ya wazi kwa wazazi na walezi wote
Ndugu mzazi: barua ya wazi kwa wazazi na walezi wote Unaweza kumpenda mtoto anayepata A darasani na kumchukia anayepata C au F. Lakini anayepata A darasani inawezekana asipate A maishani. Tujifunze kupenda watoto wote na kuwajali watoto wote kwa usawa. Ndugu wazazi A ya darasani haimaanishi maisha yatakuwa mazuri. Na maisha mtaani yalivyo hayapimwi kwa…
-
WHO MOVED MY CHEESE?
๐๐๐๐๐ Huwa inatokea mara nyingi maishani kwamba watu wanashabikia na kupenda mabadiliko yatokee maishani Ila wao huwa kusababisha mabadiliko hayo ni vuta nikuvute Huwa inaonekana vizuri kumshangilia KIONGOZI wa siasa ambaye anahaidi kuwa mara tu baada ya kuingia madarakani atafanya mabadiliko moja, mbili na tatu Kitabu Cha WHO MOVED MY CHEESE kimezungumzia sana kuhusu mabadiliko…
-
Huu Ndio Upekee Wa Vitabu Hivi Viwili
Siku chache zilizopita Kuna mtu alikuwa anaangalia kava za vitabu vyangu viwili vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA. Alipomaliza kuziangalia alisema maneno yafuatayo. Kiukweli unajitahidi sana kuhakikisha unatengeneza kava nzuri za vitabu. Bila kuchelewa ilibidi nimwambie ukweli huu ambao niliona alikuwa haujui. Nilisema, โkama unavyoona kava za vitabu vyangu zilivyo vizuri,…
-
Habari Njema Sana Kwa Wapenzi Wa Kusoma Vitabu
Habari ya muda huu rafiki yangu. Kama ulikuwa hujui basi leo naomba nikupe habari njema. Kuna idadi kubwa ya watu ambao huwa wananiomba vitabu mbalimbali vya kusoma mara kwa mara.Ambacho huwa nafanya mtu akiniomba vitabu ninamtumia. Kwa hali ilivyo unaweza kukuta siku moja unatumia watu 3-5 na idadi hii inajirudia kwa nyakati tofauti na unakuta…
