-
UKIAMBATANA NA MASIKINI WATANO, WEWE NI MASIKINI WA SITA
UKIAMBATANA NA MASIKINI WATANO, WEWE NI MASIKINI WA SITA Ukiambatana na masikini watano, wewe ni masikini wa sita. Ukiambatana na matajiri watano, wewe ni tajiri wa sita. Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu waliokuzunguka wanakuwa na mchango mkubwa kwa kile unachokuwa. Jim Rohn aliwahi kusema kuwa wale watu waliokuzunguka wanakuwa na mchango mkubwa sana…
-
PESA YAKO WEWE IKO HAPA (Na wala sio sehemu nyingine)
Kama kwa siku sasa umekuwa unatafuta pesa ila huipati. Kama umekuwa unajiuliza hivi nitapataje pesa na kutengeneza utajiri. Leo hii napenda nikwambie pesa yako haiko mbali sana. Pesa yako iko kwenye biashara unayoogopa kufanya. Kama utaamua leo hii kuanza kuanza biashara hiyo unayoogopa kuanza basi pesa yako itakuja na wewe utaanza kuikusanya. Kwa hiyo kazi…
-
Vitabu Vitano Ambavyo Kila Muhitimu Wa Chuo Kikuu Anapaswa Kuanza Kusoma Mara Moja
Siku sio nyingi Sana, NILIANDIKA makala yenye kichwa cha WANAOSHEREHEKEA KUHITIMU CHUO TUWAAMBIE UKWELI? AU TUWAACHE KWANZA WAFUMUE NYWELE ZAO ZA GRADUATION?Moja kati ya vitu ambavyo nilieleza kwenye makala hii ni wahitimu wa chuo kujenga tabia ya kusoma vitabu na kuwa tayari kujifunza. Kwenye maisha ya mtaani huwezi kuja na ile hali ya kusema kwamba…
-
Kutana na mtu mwenye kumbukumbu kali kuliko wote
Kuna kipindi nilikuwa nasoma vitabu vya namna bora ya kuwa kumbukumbu ambavyo vimeandikwa na mwandishi Harry Lorrayne na waandishi wengine. Nilichojifunza kwenye vitabu hivi Ni kuwa unaweza kuwa mtu mwenye kumbukumbu kadri unavyotaka.Una uwezo wa kukumbuka namba za simu za watu, una uwezo wa kukumbuka namba yenye urefu mpaka namba 21 na zaidi.Una uwezo wa…
-
WALE MNAOSEMA KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA, EBU NIAMBIE FAIDA ZA KUWA MASIKINI!!!
Imezoeleka miongoni mwa watu kwamba kila kitu huwa kina pande mbili. Ukizungumzia kulia huwezi kusahau kushoto. Ukizungumzia mbele basi lazima kutakuwa na nyuma. Ukisikia mtu anasema juu Basi lazima kuna chini. Moja ya kitu ambacho watu wamezoea kusambaza ni kwamba kila chenye faida basi lazima kitakuwa na hasara. Japo kitu hiki kinafanya kazi katika baadhi…
-
WANAOSHEREKEHEA KUHITIMU CHUO TUWAAMBIE UKWELI? AU TUWAACHE KWANZA WAFUMUE NYWELE ZAO ZA GRADUATION?
Siku zinaenda kweli. Mwaka jana kipindi kama hiki hapa kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa na picha fulani iliyokuwa inasambaa sana. Picha hii ilikuwa na maneno yafuatayo. Wanaosherehekea kuhitimu chuo tuwaambie ukweli, au tuwaache kwanza wafumue nywele zao za graduation? Kisha lilikuwa linafuata cheko ka mtu anayeonekana kuujua ukweli wanaoenda kukutana nao wahitimu kwenye mtaa. Mwanzoni…
-
KUTANA NA KAULI AMBAYO IMEUA UBUNIFU WA WAAFRIKA WENGI NA JINSI YA KUIEPUKA.
Afrika yetu ina mambo mengi ambayo yanachukuliwa kawaida na watu ila ukiyaangalia kwa jicho la kusongambele, unaona wazi kwamba watu wanalazimisha kujweka vikwazo kwenye safari ya kutoka sifuri mpaka kileleni. Moja ya vitu huvyo ni kauli ambazo zinazuia ubunifu na watu kusongambele. Kauli hizo ni pamoja na1. Hakuna haraka barani Afrika2. Ukitaka kumficha mwafrika kitu…
-
Hivi Ndivyo Nilivyopata Bahati Ya Kukutana Na Donald Trump Na Mambo Matano Aliyoniambia
(kama unataka kuchomoka kwenye maisha basi utapaswa kuzingatia haya aliyosema) Siku chache zilizopita nilikaa meza moja na raisi wa marekani katika maongezi mazito sana. Na katika maongezi haya alinishauri vitu vitano ambavyo ninaenda kuvidadavua hapa chini. Labda utakuwa unajiuliza huyu jamaa aliwezaje kukutana na raisi mkubwa hivyo. Ni rahisi sana na connection hii nimeitengeneza mwenyewe.…
-
KITENDO KIMOJA, KIDOGO NA CHA UHAKIKA KITAKACHOKUWEKEZESHA KUWEKA AKIBA KWA VIWANGO VYA JUU SANA
Kuna utafiti nimewahi kusoma kwamba mwajiriwa mmoja kwa nchi za ulaya akiachishwa kazi siku hii ya leo anaweza kuendelea kuishi kwa siku nyingine zijazo 18 tu. yaani kwamba akiba yake aliyonayo kwa siku hii ya leo inaweza kumfanya aendelee kuishi kwa siku 18. Huu ni utafiti unaonesha hali ya nchi za ulaya, sasa sijui hali…
-
Kama Unashindwa Kutendea Madogo haki, Makubwa Yatakushinda
Kama unashindwa kutendea madogo haki. Hata makubwa yatakushinda (jifunze kitu hiki hapa ambacho ulikuwa hukijui) Kunaa watu wanasema kwamba watakapokuwa na mamilioni ya pesa ndipo wataanza kuweka akiba, na ndipo wataanza kutumia pesa zao vizuri. Ukweli ni kwamba kama unaweza kutumia vizuri kile kidogo ulichonacho leo hii na kukifanya kiweze kuongezeka zaidi basi hata kikubwa…
-
Inalipa kutumia muda wako vizuri
Muda wako haupaswi kuutumia katika kufanya mambo ambayo haya kufai kabisa. Utumie muda wako kufanya kazi ambazo zinakuinua wewe na kuweza kukufikisha kwenye kilele cha mafanikio. Pia jiwekee utaratibu wa kujikamata kila siku kuona kama leo umetumia muda wako vizuri zaidi. Unaweza kufanya hivyo kwa kupata muda wa kuitafakari siku yako kila siku kabla ya…
-
KANUNI ZA KUWEKEZA HAZIJABADILIKA
“For me, nothing has really changed in terms of those basic principles:you start with what you have, you do what you can, you invest what youget, so that you can do bigger and bigger things japo kumekuwa kunatokea mapinduzi makubwa sana kwenye sekta za teknolojia na sekta nyinginezo. Ila linapokuja kwenye suala zima la kuwekeza…
-
JE, WAJUA KWAMBA DAKIKA KUMI NA TANO ZINAWEZA KUKUFUNDISHA LUGHA MPYA? DAKIKA 15 MTANDAO NI ZINAKUPA NINI?
Kwa sasa hivi imekuwa kama kawida kwa watu kutumia muda mwingi mtandaoni wakiwa wanazurura huku na kule bila hata mwelekeao wa maana. Hata hivyo muda huu ambao wewe umekuwa unautumia mtandaoni unaweza kuanza kuutumia vizuri kuanzia leo hii ukajikuta kwamba umejifunza lugha mpya kwenye mtandao. Ni rahisi sana. Chagua lugha mpya ambayo ambayo ungependa kujifunza.…
-
Hasara Tano zitakazojitokeza endapo wewe utaacha kutimiza ndoto zako
Tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia moja tu ya watu duniani ndio wanaofurahia mazuri na kumiliki asilimia kubwa sana ya uchumi. Ni asilimia moja tu ya watu ambao huwa wanafikia ndoto zao maishani huku wengine wakiishia njiani. Watu huacha kufuatilia ndoto zao kwa sababu wakatikufuatilia ndoto zako ni sawa na kuamua kujitupa kwenye maji ili kuogelea.…
-
Huyu Ndiye ARNOLD SHWARZENEGER Na Mambo Matano Ya Kujifunza Kutoka Kwake
Moja kati ya watu ambao dunia inawafahamu kwa kufanya makubwa basi ni mwigizaji wa mjengaji wa viungo vya mwili (body builder) Arnold Schwarzenegger. Huyu akiwa mtoto, wazazi wake walimpeleka ili akajifunze mpira wa miguu. Alikuwa anaenda kila siku na kufanya mazoezi kama wengine wanavyofanya ila kwake hicho hakikuwahi kuwa kitu ambacho kinamsukuma zaidi. Kila mara…
-
Kubali Kulipa Gharama Ili Uzifikie Ndoto zako
LIPA GHARAMA Ili kweza kufikia mafanikio makubwa kwenye kutimiza ndoto zako basi moja ya kitu ambacho utapaswa kufanya ni kulipa gharama. Hii haijalishi kwamba wewe ni ndoto yako ni kuwa baba bora au mama bora, au iwe ni kufikia viwango vya juu katika mchezo fulani. Kwa vyovyote vile gharama bado haitaepukiki Na hapa ninapozungumzia gharama…
-
TOA USO WAKO FACEBOOK NA UWEKE KWENYE KITABU
“Get your face out of Facebook and get it into the book”Unknown Kama bado hujajiunga na mfumo wetu maalumu wa kutokea makala, bonyeza HAPA Wiki Chache zilizopita nilikutana na usemi ambao nakubaliana nao kwa asilimia 100. Usemi huu mzuri“unasema toa uso wako kwenye mtandao wa Facebook na uweke kwenye kitabu”. Kiukweli huu ni usemi ambao…
-
Vitu Viwili Kuhusu Ndoto Ambavyo Watu Wa Kawaida Hawana (Kama Utakosa Vitu Hivi, Utaishia Kusikia Mafanikio Kwenye Vyombo Vya Habari).
Kama Utakosa Vitu Hivi, Utaishia Kusikia Mafanikio Kwenye Vyombo Vya Habari Mwaka juzi wakati nasoma kitabu cha Who Will Cry When You Die nilikutana na kitu cha kushangaza kidogo ila ikabidi nikifanyie kazi. Mwandishi wa kitabu Robin Sharma alisahuri kwamba unapaswa kuwa na kitabu cha ndoto chenye orodha ya vitu 101 ambavyo utavifanyia kazi kabla…
-
Vitu vitano vinavyofanya watu waue ndoto zao na hivyo kushindwa kuzifikia
Katika hatua fulani maisha watu huwa na ndoto za kufikia vitu au kuwa aina fulani ya maisha. Ndoto hizi huwa ni nyingi hasa kwa watoto maana huwa wanazisema kwa kujiamini kuliko watu wazima. Ndio maana ukiongea na mtoto mdogo na kumwuliza kwamba unataka kuwa nani basi bila ya shaka na bila kukwama sehemu atakuambia anataka…
-
Mambo Muhimu Unayopaswa kuyafanya Unapoamka Asubuhii
Moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa havielekezwi kwa umakini sana basi ni namna ya kuianza siku yako. Unapoamka asubuhi unakuwa na mambo mengi sana ya kufanya.Wengi huutumia muda huu kufungulia redio na kusikiliza taarifa ya habari. Hata hivyo hapa napenda nikushirikishe namna sahihi ya kuianza siku yako. Haupaswi kuianza siku yako kama mnyama au ndege.…
