-
Huu Ndio Ukombozi Muhimu Ambao Wewe Hapo Unauhitaji
Neno ukombozi kwenye kamusi ya kiswahili sanifu linamaanisha, UOKOAJI WA WA WATU KUTOKA KWENYE HALI MBAYA AU DUNI. Kumbe makala ya leo imejikita katika kuhakikisha unaelewa nini unapaswa kufanya ili kutoka kwenye hali mbaya.Je, ni aina gani ya ukombozi unaihitaji?Kitu kikubwa ambacho kinahitajika ni wewe kukombolewa kifikra. Ndio fikra zako ni kitu cha kwanza kabisa…
-
Kitabu Muhimu Unachopaswa Kusoma Kuhusu Ubunifu
Ubunifu ni mbegu ambayo kila mtu anayo ndani yake. Mbegu hii inahitaji kuwekewa mazingira mazuri sana ili ikue na kutoa matunda. Mbegu ya kawaida ambayo hupandwa shambani huhitaji maji, hewa, jotoridi na virutubisho ili kuota. Ila maji, hewa, jotoridi na virutubisho vya ubunifu ulio ndani yako ni tofauti na hivi vinavyohitajika na mbegu za kawaida.…
-
Usitafute Kiki Kwa Kutengeneza Matatizo
Kama unataka kufanya mambo makubwa na kujulikana basi usitengeneze matatizo ili upate nafasi ya kujulikana.Namna nzuri na inayodumu na ambayo imetumiwa na watu wote wa mfano kwenye dunia hii ni kutatua matatizo. Kwa hiyo wewe siku zote tafuta matatizo ambayo yanawakumba watu kwenye jamii. Tatua haya matatizo vizuri kabisa. Kumbuka kwamba matatizo ya jamii sio…
-
NI MATATIZO YANAYOTANYA TUKUE, BILA MATATIZO TUSINGEKUA
Kama kuna misingi umeamua kuifuata kwenye maisha hakikisha unaifuata bila kujali upo katika hali gani. Uwe umekutana na changamoto au mambo yanaenda vizuri. Misingi ni misingi tu ifuate. Kumbuka kwamba “ni matatizo yanayotufanya tukue, bila matatizo hakuna ukuaji”. Tatizo la Steve Jobs kufukuzwa Apple ndilo lilimfanya aje kugundua zaidi na kuwa baba wa digitali.Ila…
-
Chagua Kutoumizwa Na Kitu chochote
Choose not to be harmed and you won’t be harmed.Don’t feel harmed and you haven’t been harmed MARCUS AURELIUS Katika maisha huwa nyakati ambazo huwa zinaambatana na changamoto kubwa sana. Ni katika nyakati hizi watu wengi huwa wanakata tamaa ya maisha, kupoteza mwelekeo na kujihusisha na vitu vibaya. Ila ukweli nyakati kama hizi zipo kutuimarisha.…
-
Hii Ndio Idadi Kamili ya Vitabu Unavyopaswa Kuwa Umesoma Kuhusu Pesa Tu
Moja kati ya somo ambalo wengi huwa hawapendi kuliongelea sana ni pesa. Hata wale ambao huwa wanaiongelea basi huwa wanaiongelea kwa namna ambayo si sahihi. Leo hii katika suala zima la pesa napenda ujue idadi ya vitabu unavyopaswa kuwa umesoma mpaka Sasa hivi. Maana kiwango cha pesa ulichonacho kinaendana na maarifa uliyonayo. Huwezi kupata pesa…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA tatizo unamwibia Petro Kumlipa Paulo
Kuna misemo mingi sana ya wahenga na kila usemi huwa unakuta umebeba ujumbe fulani. Sasa leo hii tunakutana na usemi unaosema, “unamwibia Petro kumlipa Paulo”.Katika maisha kuna vitu unafanya ambavyo kwa hakika ni vya kumwibia Petro ili Kumlipa Paulo.Mfano umeishiwa na hela na unachokimbilia kufanya ni kukopa. Hapa unakuwa unakimbilia kuzima moto kwa haraka haraka…
-
Tafakari ya Kufikirisha Kutoka Kwa Waziri Mkuu Wa Ufaransa
“Tone la wino linaweza kufanya mamilioni ya watu kufikiri”, alisema Gordon Bryon Noel (1788-1824) ambaye alikuwa mtunga mashairi wa uingereza. Na matone haya ya wino ambayo yanafikirisha yamejaa sana kwenye vitabu. Matokeo yake ni kwamba matone haya huweza kumfanya mtu kufikiri kwa kuweka mipango mikubwa, au matone haya pia huweza kumfanya mtu achukue hatua kubwa.…
-
Badili Fikra zako Ili Ubadili Maisha Yako
Mwandishi nguli wa vitabu anayejulikana kama Napoleon Hill, alikiita kitabu chake THINK AND GROW RICH. Ikiwa na maana kwamba fikiri na uwe tajiri. Najiuliza “hivi kwa nini mwandishi huyu hakuiita kitabu hiki, FANYA KAZI KWA BIDII ILI UWE TAJIRI.au kwa nini hakukiita, jitume sana ili uwe tajiri.Au pengine kukiita pambana uwe tajiri. Alitumia tu neno…
-
Makala Maalum Kwa Watu Wenye Mpango Wa Kuomba Kazi Au Wanaoomba Kazi Sasa Hivi
Moja ya mbinu ambayo imezoeleka kwenye kuomba ni kuandika CV na kuituma kwa mwajiri mtarajiwa huku ukisubiri majibu. Kadri siku zinavyozidi kusogea njia hii inazidi kuwa ya kizamani kidogo na hivyo lazima kuwe na njia bora kabisa ya kuomba kazi tofauti na wengi walivyozoea lakini yenye uhakika. Njia hii mpya ni kuomba kukutana na mwajiri…
-
Hivi Ndivyo Huwa Napata Mawazo Kuandika Ya Makala Kila Siku
Moja kati ya swali ambalo ninakutana nalo kila siku, ni swali la “Je, ninapata wapi vitu vya kuandika kila siku”? Huwa napenda kujibu swali kirahisi sana kama swali lenyewe lilivyo rahisi? Huwa nauliza watu unapata wapi cha kuongea kila siku? Wengine huwa wanasema, unajua kuongea sio sawa na kuandika. Sasa hapa nataka kukuonesha wapi huwa…
-
Hii Ndio Hali Ambayo Huwa Naipata Nikiwa Naandika Makala Za Blogu Au Magazetini
Moja kati ya muda ambapo huwa ninakaa na kufikiria sana ni pale ninapoanza kuandika. Kinachonifanya nifikiria sana ni pale ambapo huwa nafikiria makala hii itasomwa naRaisi wa nchi lakini pia itasomwa na mtu wa kawaida kijijni.Makala itasomwa na wasomi wa vyuo vikuu (wenye Phd) pamoja na watu walioishia darasa la kwanza au ambao hawajasoma darasa…
-
Makala ya 600: Shukrani Kwa Wasomaji wa Songa Mbele Blog. Pongezi Kwa Godius Rweyongeza, Zawadi Kubwa Sana Kwako, Na Yajayo Yanafurahisha
Makala ya 600: Shukrani Kwa Wasomaji wa Songa Mbele Blog.Pongezi Kwa Godius Rweyongeza, Zawadi Kubwa Sana Kwako, Na Yajayo Yanafurahisha Leo ni siku ambapo zimefika makala 600 kwenye blogu hii. Hili ni jambo la furaha kwangu na kwa wote ambao tumekuwa kwa pamoja kwa siku zote hizi. Tarehe 21, septemba 2016 ilikuwa siku ambapo niliandika…
-
MAKALA YA 599: KUTOKA MAKTABA YA SONGAMBELE; ITAMBUE KAZI YAKO.
makala hii iliandikwa kwa mara ya kwanza machi 23 2017 Kazi kubwa sana ya vyombo vya habari ni kuyoa habariKazi ya jembe ni kulimaKazi ya kalamu ni kuandikaKazi ya gari ni kusafirisha watuKazi ya maji kukata kiuKazi ya chakula ni kusjibisha wenye njaa na kutoa virutubishoKazi ya Je wewe kazi yako ni ipi? Itafute kazi…
-
HII NI NJIA BORA YA KUPOTEA
Katika maisha kama unataka kupotea, basi anza kuwaiga wengine. Anza kuishi kama wengine na fanya kama ambavyo watu wengine wanafanya. Hii ni njia bora sana ya kupotea. Kuna wewe mmoja tu. Na unapaswa kujisikiliza kwa umakini sana. Usifanye kitu kutaka kuwaridhisha wengine, tafuta kujiridhisha mwenyewe Usitafute kuonekana na wewe umo, jiridhishe wewe kwanza. Mtu mmoja…
-
NI MARUFUKU KUKATA TAMAA
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba hapa duniani kila mtu ana kazi yake. Kuna watu kazi yao ni kukatisha tamaa. Kwa hiyo ukiona mtu anakukatisha tamaa, jua yupo kazini. Na wewe endelea na kazi yako.Ila cha msingi ni kwamba, kazi za watu wengine zisikukwamishe wala kukuzuia kusonga mbele. Nakumbuka siku ya kwanza nilipoandika makala na kuiweka…
-
NI MARUFUKU KUKATA TAMAA
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba hapa duniani kila mtu ana kazi yake. Kuna watu kazi yao ni kukatisha tamaa. Kwa hiyo ukiona mtu anakukatisha tamaa, jua yupo kazini. Na wewe endelea na kazi yako.Ila cha msingi ni kwamba, kazi za watu wengine zisikukwamishe wala kukuzuia kusonga mbele. Nakumbuka siku ya kwanza nilipoandika makala na kuiweka…
-
Usiogope Kushindwa, Ni Sehemu Ya Kujifunza
Thomas Edison anafahamika kwa ubunifu wake wa vitu vingi sana. Moja kati ya kauli yake ambayo amewahi kuisema ni hii hapa, “siku zote naogopa vitu ambavyo huwa nagusa mara ya kwanza na vinafanya kazi pale pale”. Maana yake, nini? Maana yake vitu hivyo havijakupa nafasi ya kujifunza. Na havijakupa nafasi ya kukua zaidi. Sio kwamba…
-
NI KOSA KUJUA KITU, UKAJIFICHA NA KITU HICHO
Kwenye kitabu chake cha think big, Ben Carson anaelezea kisa kilichomkuta siku moja. Ipo hivi kuna jamaa alimfuata Ben Carson na kumwambia, “yaani wewe Ben, ukijua kitu hutulii. Unataka kila mtu ajue kwamba unajua”. Sikumbuki vizuri Carson alimjibu nini huyu jamaa, ila leo napenda kusema kwamba kama kuna kitu unajua na unajificha hutaki kukionesha ni…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutoa Hotuba Yako Kwa Watu Kama Vile Uko Mbele Ya Mkutano Wa Umoja Wa Mataifa.
Mikutano ya umoja wa mataifa ni mikutano yenye watu kutoka kila nchi. Hivi kwa mfano leo hii ukiambiwa umepewa nafasi ya kwenda kuongea mbele ya mkutano mmojawapo wa umoja huu wa mataifa, utafanyaje? Je, unaweza kwenda au kukataa? Je, kama utaamua kwenda nini unapaswa kuzingatia? Na Je, badala ya umoja wa mataifa ukiambiwa kuna kikundi…
