-
Jambo La Kuomba Kila Siku
Solomon alizaliwa kwenye miaka ya 974 K.K Alikuwa mfalme wa Israel akiwa na miaka 12. Mungu alimtokea solomon na kumwuliza anaomba nini cha kumsaidia kwenye uongozi wake. Solomon alisema anataka kujaliwa busara. 1 Wafalme 3:9 1Mambo ya Nyakati 1:10 Mungu alimwambia kwa kuwa hajaomba Mali, utajiri, heshima, maisha marefu. Nitakupa vyote. Nitakupa maarifa, Mali, utajiri…
-
Kosa Kubwa Kuwahi Kufanyika Duniani
Habari za leo rafiki yangu, imani yangu unaendelea vyema katika harakati zako za kuhakikisha unatoka moja mpaka kileleni. Karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kujifunza kosa kubwa sana ambalo huwa linafanywa na watu wengi sana. Ndio. Labda hata wewe umekuwa unafanya kosa hili bila kujua lakini sasa unaenda kulijua jambo hili na kuliepuka..…
-
Hakuna Jumapili Ya Pasaka Bila Ijumaa Kuu
Ijumaa kuu ni siku ambavyo wakatoliki wote huwa wanakumbuka mateso ya Kristo.Lakini siku tatu baade ambavyo ni Jumapili wakristo hao huwa wanashangalia kufufuka kwa Kristo. Wahenga walisema mtaka cha uvunguni shafti ainame. Ili Yesu afufuke ilibidi kwanza ijumaa ya mateso ianze ateswe na afe. Hiyo pia ndiyo siri Kubwa sana ya mafanikio. Ili ufikie hatua…
-
Nianzie Wapi?
Habari za rafiki yangu na msomaji wa blogu yako ya songa mbele karibu sana katika makala leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya kwenye maisha yetu. Mara nyingi huwa tunajiuliza tuanzie wapi, tufanye nini? Tunaangalia fursa hatuzioni. Kwa leo ningependa kujibu swali hili la nitaanzia wapi na kutoa jibu na mbinu ambazo zitakusaidia kupata wazo la…
-
Acha Kulalamika
Ni rahisi sana kuwalalamikia watu wengine juu ya kile ambacho wamefanyaLakini kumbuka kwamba watu wote duniani hawawezi kufikiri na kutenda kama wewe. Lazima iwepo tofauti na Mara nyingi tofauti hizi ndizo huleta maendeleo. Ni kwa sababu ya tofauti zilizopo kati ya mataifa makubwa ambazo zimeleta maendeleo na ugunduzi mkubwa wa vitu mbali mbali hapa duniani.…
-
Kilichofanywa Na Huyu, Nami Naweza Kufanya.
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songambele karibu sana katika makala ya leo .Tunaenda kuijifunza kitu kipya chenye manufaa mamkubwa sana kwetu. Kuna mtu mmoja ambaye alikuwa ameandika kwenye ubao maneno fulani na maneno hayo aliyaonesha kwa kila mtu aliyekuja kwake ma maneno ya kukatisha tamaa. Meneno hayo yalikuwa…
-
KONA YA SONGA MBELE; Hili Ndilo Jambo Linalolipa Sana.
Habari za leo Rafiki yangu imani yangu siku ya leo umeianza vyema sana ukiwa mwenye furaha na amani. Na unaenda kufanya maku wa sana siku ya leo. Karibu sana katika makala za kona ya songa mbele ambazo huwa zinakujia mara moja kwa wiki siku kama ya leo.Leo tuangalie kwa umakini kitu ambacho kinachopatikana katika vitabu.…
-
Ifahamu Karatasi Ya Dhahabu
Habari za leo Rafiki yangu, na ndugu msomaji wa blogu yako ya songs mbele. Karibu sana katika makala yetu ya leo ili tujifunze kitu kipya kitakachotufanya tuendelee kuwa vijana hata kama tuna miaka zaidi ya 80 kama anavyosema Dharma “kusoma kunaweza kukufanya kuwa kijana hata kama una miaka 80 na kukufanyabkuwa mzee hata kama una…
-
Njia Tisa (09) Za Kuongeza Thamani Katika Kazi Zako
Katika ulimwengu wa sasa ambao unakua kwa kasi kubwa sana, mambo yanazidi kubadilika kwa kasi kubwa sana. Tupo katika ulimwengu ambao mtu analipwa kwa thamani anayoitoa kwa watu sio kwa kiwango ambacho amefanya kazi. Kama kwa sasa unalipwa laki tatu kwa mwezi, haulipwi laki tatu kwa sababu ya masaa uliyofanya kazi bali kwa thamani unayoitoa.…
-
Maeneo Mawili (02) Ambayo Hayahitaji Bajeti
Katika maisha ya kila siku mambo yetu mambo mengi sana yanakwenda kwa bajeti. Ukipata mshahara au kipato chako kikiingia kitu cha kwanza unachokifanya ni kuweka bajeti.Hii inakuhakikishia kwamba umeitumia vizuri kila senti inayoingia kwenye mfuko wako Ukinunua chakula chako unakiwekea bajeti kwa kuhakikisha kwamba chakula Fulani kitatumika siku fulani na kingine siku nyingine. Unakuwa una uhakika…
-
Acha Kulalamika, Anza Kuishi
Acha kulalamika kwamba hauna muda wa kutosha kwa ajili ya wewe kufanya mambo fulani. Acha kulalamika kwamba kuna watu wanatumia uchawi kufikia mafanikio. Acha kulalamika kwamba wewe umezaliwa kwenye familia maskini Acha kulalamika kwamba serikali haijafanya kitu kwa ajili yako. Chukua hatua hakuna kitu ambacho hakipo ndani ya uwezo wako, hakuna ambacho huwezi kukifanya wewe…
-
KONA YA SONGA MBELE; Zaeni Mkaongezeke.
Sasa tuangalie leo kwenye kona ya songa mbele kuna nini?.Zaeni muongezeke mkaijaze nchi.Baada ya Mungu kumuumba mwanadamu alimwambia maneno hayo. Maneno ambayo Mungu alilenga juu ya suala zima la kuendeleza kizazi. Katika suala zima la kuzaa na kuongezeka naweza kusema binadamu amefaulu kwa maksi za juu sana mpaka sasa hivi ninapoandika makala hii. Lakini tatizo…
-
Jifunze Kutoka Matukio Ya Zamani
“experience is a best teacher“Uzoefu ni mwalimu mzuri huu ni msemo wa kiingereza ambao binafsi huwa napenda kuutumia. Huwa unanipa nguvu ya kujifunza kutoka kwenye makosa yangu ya zamani, kuyafanyia marekebisho na kuja na kitu kipya Kizuri na bora zaidi. Usiweke nguvu kubwa sana kwenye makosa yako ya zamani au matatatizo yako ya zamani na…
-
Unayofikria Hayawezekani Yanawezekana
Je, unaamini katika miujiza? Je, unaamini kwamba mambo ambavyo unafikiri au watu wengine wanafikiri hayawezekani yanawezekana?mimi naamini hivyo? Yasiyowezekana yanawezekana. Hivi ushawahi kujiuliza ni kitu gani kinafanya watu zaidi ya 1000 wanaingia kwenye ndege na kupaa? Au kwamba upo nyumbani kwako umekaa na unamtumia mtu meseji aliye mamilioni ya kilomita kutoka ulipo na inamfikia? Yasiyowezekana…
-
Hili Ni Jambo Linaloendelea kukuweka Hapo Ulipo.
Vitu vyote duniani havibaki kama vilivyo bali vinabadilika kadri ya mazingira na maeneo. Binadamu pia hajaachwa nyuma katika mabadiliko haya. Na ni mtu ambaye anabadilika kila siku katika utendaji, ukuaji na kufikiri. Hii ni sheria ya asili yaani, kama ambavyo mti unapandwa ukiwa mbegu vivyo hivyo binadamu anahitaji kubadilika hili kuendana na mazingira. Mabadiliko yana…
-
Jifunze Kuvua
Kumfundisha mtu kuvua ni njia nzuri ya kumwondoa kwenye kuomba samaki maisha yake yote.” Askofu Oyedepo Kuna mtu aliwahi kusema kwamba “Afrika ni nchi pekee duniani ambapo mtu unaweza kuokota pesa njiani wakati wananchi wake hawajaiona.” Kuonesha kwamba wingi, uzuri, ubora wa raslimali zilizopo mtu anaweza kuzitumia raslimali hizi kusonga mbele. Hakuna kitu chochote kinachotokea…
-
Kioo Hakidanganyi
Tunapoangalia kwenye kioo tunajiona sisi wenyewe. Itaonekana ajabu pale utakalalamika kwamba juu ya kile unachokiona kwenye kioo. Ni ajabu pia kubadili kioo ili upate picha ya tofauti. Kama tunataka kubadili picha ya kweye kioo lazima tujibadili sisi wenyewe. Kwa maneno mengine ni kwamba kama hutaki matokeo ya kile unachopata kwenye maisha basi unahitaji unahitaji kujibadili…
-
Usijilinganishe Na Wengine
Moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa vinaharibu maendeleo na mafanikio ya watu ni kujilinganisha. Hili suala naweza kusema ni tabia moja ambayo binadamu anayo na inamrudisha nyuma. Kujilinganisha na watu sio kubaya ila ubaya unakuja pale unapokufanya kuwa kipimo cha maisha yako. Pale kujilinganisha kunapokufanya kuwa mvivu wa kufikiri na kuacha kufanya kwa kujiona wewe…
-
Miaka 20 Iliyopita Miaka 20 Ijayo
Tupo katika dunia ambayo mambo yake yanabadilika kila siku asubuhi mchana na jioni. Kutokana na mabadiliko hayo basi sisi wenyewe tunahitaji kubadilika. Maana ni asili kwamba vitu lazima vibadilike. Miaka 20 iliyopita intaneti ilitumika kwa ajili ya kutuma na kupokea e-mail lakini leo mambo yamebadilika. Miaka 20 kujifunza ilikulazimu uende darasani ukamsikilize mwalimu, leo hii…
-
Ifahamu Tofauti Kati Ya Kupenda Na Kupata
Habari za leo na ndugu msomaji wa blogu ya songa mbele karibu sana katika makala ya leo ili tupate kujifunza kitu kipya cha kutufanya tusonge mbele Mara nyingi watu wanachanganya kati ya kupenda na kupata kitu. Kupenda kitu ni tofauti sana na kupata. Mfano mtu akisema napenda kupata gari ni tofauti kabisa na kupata gari…
