-
Yafahamu Mambo Manne (04) Ambayo Huwezi Kujifunza Shuleni.
Habari za leo ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unazidi kupiga hatua katika kutafuta na kufikia mafanikio. Leo tunaenda kuona mambo ambayo huwezi kujifunza shuleni. Haijalishi umesoma hadi chuo kikuu au hujafika. Kuna utofauti mkubwa kati ya masomo yanayofundishwa shuleni na vyuoni, Na yale unayonifunza kutokana na maisha. Haya hapa ndo mambo…
-
Kama Hawa Wameweza Kwa Nini Wewe Usiweze;Usikate Tamaa Songa Mbele.
Habari za leo ndugu msomaji wa songambeleblog.blogspot.com Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kuimarisha maisha yako na kufikia mafanikio. Leo tunaenda kuangalia jambo muhimu sana katika maisha yako ambalo linaweza kuwa limekutokea au unaweza kukutana nalo ktika safari ya kutafuta mafanikio Jambo lenyewe ni kukata tamaa. Hili huweza kutokea baada ya kujaribu jambo flani na…
-
Faida 6 za Kusoma Vitabu na Makala za Kuelimisha.
Habari za leo msomaji wa songambeleadress.blogspot.com ni imani yangu kuwa unaendelea vyema katika hatua za kuweza kufikia malengo uliyojiwekea Leo ningependa tujue umuhimu wa kusona vitabu na makala za kuelimisha, lakini pia tujifunze na kuanza kujisomea vitabu. 1.Unapata kujua mambo mapya.Kupitia kusoma unapata kujua vitu vipya,taarifa mpya na mbinu mpya za kutatua matatizo Ili uweze kupata yote…
-
Wafanyabiashara Waliofanikiwa Wanavyotunza Muda
Ili ufanikiwe katika biashara unahitaji kutunza mda.Kama hutatunza mda sio tu kwamba utapoteza malengo lakini pia utapoteza wateja,hela,na pia unaweza kupoteza na biashara. Hapa kuna mambo matatu ambayo unaweza kuchukua ili kutunza mda wako.1.kuwa na mpango. Unahitaji kujua kile ambacho unataka kufikia na mda ambao unataka kiwe kimekamilika. Kuwa na mpango kutasaidia sana wewe kufikia…
-
Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Wakati wa Kuanzisha Biashara
Wakati hali mbaya kiuchumi na mshahara kidogo kwa walioajiriwa vikipamba moto, wazo la kuanzisha biashara na kuwa bosi wako mwenyewe linaweza kuwa bora zaidi.Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara 1.WazoKatika kila wazo zuri la biashara ulilo nalo kuna mamia ya watu wana wazo hilohilo. Jambo muhimu la kuzingatia ni kama wazo…
-
Jinsi Ya Kuepuka Kujiua Mwenyewe Kiakili
Kujiua mwenyewe kiakili ni pale ubongo unapojirarua mwenyewe. Mwili unataka kufanya jambo fulani lakini ubongo ushakata tamaa na unaamua kujiua. Kila kitu tunachofikiria kinaweza kukujenga au kukubomoa.Kina uwezo wa kukutoa sehemu ya chini kimaendeleo na kukupeleka sehemu ya juu.Uko ulivyo kwa sababu ya jinsi unavyofikria,ukijisemea mimi ni maskini Au hiki sikiwezi Au mimi ni mvivu…
-
Ijue Siri Ya Babiloni Kuwa Mji Tajiri Kuliko Yote Duniani
Babiloni ulikuwa mji katika sehemu ya Mesopotamia. Mji huu ulikuwa sehemu ambayo ni kame na hivyo haukuwa na mvua za kutosha ili kuweza kuendesha shughuli yoyote ya kilimo. Chanzo pekee cha maji kilikuwa ni mto Euphrates. Watu wa Babiloni waliweza kuchimba mifereji kuingia mjini mwao na hivyo kuendesha shughuli zao za kuwaingizia kipato. Jambo kubwa…
-
Mbinu Muhimu Ya Kujenga Mafanikio Katika Biashara
Wajasiriamali wana mchango katika maendeleo ya uchumi wa nchi yetu. Wajasiriamali ni chimbuko la vipato ambavyo husaidia kujenga uchumi wa watu kupitia biashara zao. Wajasiriamali wanatoa ajira kwa vijana wengi na hivyo kuwasaidia kupata kipato chao na kupata kitu cha kuweka mkono kinywani. Kuna mbinu mbalimbali ambazo wajasiliamali wanaweza kuzitumia ili kujenga mafanikio katika biashara…
-
Sheria Muhimu Katika Kutengeneza Pesa Na Kuwa Tajiri
Watu wengi wamekuwa na ndoto kubwa sana ya kuwa matajiri.Lakini hawajapata kujua jambo muhimu katika kutengeneza pesa na hivyo kufikia ndoto yao ya kuwa tajiri. Jambo muhimu unalohitaji kulifahamu katika kutengeneza pesa ni kufahamu tofauti kati ya RASLIMALI (asset) na DHIMA (liability). Swali Rasilimali ni nini? Rasilimali ni kitu kinachoingiza pesa kwenye mfuko wako Swali…