-
Hatua Muhimu Katika Kuweka Malengo
Kila unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…
-
Vitu Viwili Vinavyozuia Watu Kuweza Kufikia Malengo Yao
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya ya SONGA MBELE. Imni ysngu kwamba umeianza siku yako vyema sana na unaeanda kufanya mambo mkubwa sana siku hii ya leo. Leo hii tunaenda kuangalia vitu ambavyo vimezuia watu walio wengi kushindwa kufikia malengo yao mwaka huu. Mwanzoni mwa kila mwaka watu…
-
Maswali na Majibu kuhusu Semina Ya Timiza Malengo Ya Mwaka Ndani Miezi Sita
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu, siku yako ni njema sana na unazidi kufanya makubwa sana. Siku moja inaweza kukufanya kuwa mtu mkubwa sana, kama utaitumia kwa umakini mkubwa sana. Baada ya kutangaza uwepo wa semina ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao mwezi wa saba…
-
SEMINA; TIMIZA MALENGO YA MWAKA NDANI YA MIEZI SITA
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za SONGA MBELE. imani yangu umeianza siku yako vyema sana kwa namna ya tofauti na unaenda kufanya kitu cha tofauti sana. Karibu sana katika makala ya leo. Ambapo ninaenda kukuelezea juu ya semina ya KUTIMIZA MALENGO NDANI YA MIEZI SITA. Nina mpango wa kuendesha semina…
-
Mbinu Za Kukusaidia Kufikia Ndoto Yako Kabla Mwaka Haujaisha
Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu. Leo ni siku nyingine mpya ambapo kama kawaida yetu tunaenda kuitumia siku ya leo vizuri katika kuongeza maarifa na kufanya kazi zetu vizuri ili kuweza kufikia mafanikio. Leo pia ni siku ambayo tumeuanza mwezi mpya na mwaka wetu unakaribia ukingoni. Swali la kujiuliza Je, mipango yako uliyoiweka…
-
Iga Ufe
Kuna baadhi ya vitu huhitaji kuiga kwa watu wengine. Badala yake unapaswa kuvifanya kulingana na wewe mwenyewe. Siyo kila kitu wanachofanya wengine kinaweza kukufaa na wewe pia. VIngine vinaweza kuwa sahihi kwao, lakini siyo sahihi kwako. Ni muhimu kwako kufahamu kipi ni sahihi kwako, na kuwekeza nguvu yako kubwa hapo. Kuna watu wanakopa na mshahara…
-
Vita Ya Maisha Anashinda Mtu Anayefikiri Anaweza
Tarehe 25/9/2016 niliandika makala hii inayoeleza Jinsi Ya Kuepuka Kujiua Mwenyewe Kiakili Mwishoni nikahitimisha Kwa kusema kwamba vita vya maisha anashinda mtu ANAYEFIKIRI ANAWEZA. Leo hii nimerudia kuisoma hii makala, nilichogundua ni kwamba hii makala Bado Ina nguvu Leo hii sawa na nilivyoandika takribani miaka 7 iliyopita. Ukweli ni kuwa kile unachojaza kwenye akili Yako…
-
Uchambuzi Wa Kitabu: The Monk Who Sold His Ferrari
Kitabu: The Monk Who Sold His FerrariMwandishi: Robin SharmaMchambuzi: Hillary MrossoSimu: +255 683 862 481 Utangulizi Habari ndugu msomaji wa uchambuzi wa kitabu hiki maarufu cha The Monk who sold his Ferarri, hiki ni moja ya kitabu maarufu sana duniani, umaarufu wake umefanya kitabu hiki kuuzwa na kusomwa na watu wengi, hii ni kutokana na…
-
Uchambuzi wa Kitabu: Atomic Habits; Tiny Changes, Remarkable Results
Mwandishi: James Clear Mchambuzi: Hillary Mrosso Simu: +255 683 862 481 UTANGULIZI Tabia hujenga maisha tuliyonayo, tabia huamua mafanikio kwenye maisha yetu. Ubora wa maisha yetu ya sasa na ya baadaye yanategemea sana tabia tunazoziishi kila siku. Mara zote tumejikuta kwenye jamii ambayo inaishi na kuamini kwenye tabia fulani ambazo kwa kiasi kikubwa ndio tabia…
-
Kitu kingine kimoja cha ziada kuhusu Masoud Kipanya
Jana niliandika makala ndeeefu kuzungumzia gari la Masoud Kipanya.Nilifanya hivyo maksudi tu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mtanzania mwenzetu, maana tumezoea kupromote vitu vya akina Jack Ma na wengine, Sasa anapotokea mtanzania akafanya vitu vya tofauti, kwa Nini tusiseme.. Au wewe hukupenda…. Nashukuru wengi waliipokea vizuri mkala ya Jana, hata hivyo leo nimeona nitaongeza…
-
Majadala Mzito Kuhusu Kitabu Cha Kutoka SIFURI MPAKA KILELENI//GODIUS RWEYONGEZA
Siku moja nilishiriki kwenye mjadala kwenye kundi la KITABU CHAT. ambapo mada kubwa ilikuwa ni KILICHOMO NDANI KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nilianza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki hapa cha kipekee sana. baada ya utangulizi na mae lezo machache, yalianza kuulizwa maswali. swali la kwanza kuulizwa lilikuwa ni hili hapa chini. “…mtu akifanya kazi…
-
Vikwazo vitano vitakavyokuzuia KUFIKIA NDOTO ZAKO ndani ya 2021
Mwaka 2020 unaelekea kuisha. Umekuwa ni mwaka wenye matukio mengi sana ndani yake. Kuna watu waliweka malengo mwanzoni mwa mwaka ila hawakuanza kuyafanyia kazi, wakisubiri mpaka katikati mwa mwaka. Baadaye ulitokea mlipuko wa ugonjwa wa Corona. Watu waliendelea kuhairisha zaidi malengo mpaka Corona iishe. Baadaye ulifuata uchaguzi mkuu. Nao uliwafanya watu wengi wamezwe kwenye…
-
Hivi Ndivyo Nilivyojibu Swali Nililoulizwa Kuhusu Kitabu Cha Kutoka Mpaka Kileleni
Jana nilishiriki kwenye mjadala kwenye kundi la KITABU CHAT. ambapo mada kubwa ilikuwa ni KILICHOMO NDANI KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nilianza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki hapa cha kipekee sana. baada ya utangulizi na maelezo machache, yalianza kuulizwa maswali. swali la kwanza kuulizwa lilikuwa ni hili hapa chini. “…mtu akifanya kazi huyaelekea malengo…
-
Hili Ni Kosa Ambalo Linagharimu Maisha Ya Watu Walio Wengi
Ukitaka kutuma ujumbe mfupi kwa rafiki yako, huwezi kuandika herufi zote za kishwahili kuanzia A mpaka Z na kumwacha rafiki yako ajitugie ujumbe mwenyewe. Au huwezi kuandika maneno tu kutoka kwenye kamusi bila mpangilio maalumu na kutuma kama ujumbe. Ni lazima utatengeneza sentensi inayoeleweka na kuituma ili aisome na kukupa jibu kulingana na sentensi uliyotuma.…
-
Mambo Saba (07) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Hauna Cha Kufanya
Huwa inatokea kwa watu wengi mara nyingi, ambapo wanajikuta kwamba hawana kitu cha kufanya. Kitu hiki huwa kinawafanya watu wengi kuanza kuzunguka huku na kule wakisema kwamba wanapoteza muda. Sasa siku ya leo napenda nikwambie vitu vitano ambavyo utapaswa kufaya pale ambapo utakuwa unaona kwamba hauna kitu cha kufanya. KWANZA, SOMA KITABU Ukijikkuta katika mazingira…
-
Vitabu Hivi Vitakusaidia Kugundua Kipaji Chako Na Kukiendeleza
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii njema sana ya leo. Ikiwa ni tarehe 06 ya mwezi wa wa januari mwaka 2019. Siku zinazidi kusongambele. Na kama bado hujaanza kutimiza malengo yako basi kuna sehemu unakosea sana. Rafiki yangu mwaka 2019 Unapaswa kuambatana na wewe kutumia kipaji chako kwa viwango vya juu, kama…
-
Hivi Mbwembwe Za Mwaka Mpya Maana Yake Nini?
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya leo. Ikiwa ni tarehe 03 ya mwaka mpya 2019.Leo kwa pamoja napenda tutafakari swali libalosema, hivi mbwembwe za mwaka mpya maana yake nini? Siku ya mwisho ya mwaka watu huwa wanakaa kusubiri mwaka mpya. Wapo ambao huwa wanaenda kwenye mikusanyiko mbalimbali kama kanisani au viwanja maalumu. Wengine…
-
Ndoto Haziwi Ukweli Ukiwa Umelala
Kila mtu ambaye anaishi kwenye dunia hii ana ndoto kubwa. Iwe ameiandika sehemu au hajaiandika.ndio maana utasikia watu wanasema wangependa kuoa mke mzuri kuolewa na mme mzuri (hii ni ndoto)Utasikia wengine wanakwambia wanataka kuwa mamilionea (hii nayo ni ndoto)Wengine wanapenda kuwa wanamziki, waigizaji, wafanyabiashara maarufu (hizi pia ni ndoto) Kitabu hiki kipo kwa ajili yako.…
-
SEMINA YA KUFUNGUA MWAKA; 2019 Mwaka Wangu Wa Kung’aa
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Leo ni siku ya kipekee sana kuliko siku yoyote ile ambayo umewahi kuiona.Zikiwa zimebaki siku chache sana kuumaliza mwaka huu. Naomba sasa uanze kujiuliza malengo yako uliyoyaweka mwanzoni Mwa mwaka huu yamefikia wapi? Je, umetimiza mangapi? Je, malengo gani hujatimiza? Kwa nini? Katika kitabu Chake cha From…
-
Kitu Kimoja Ambacho Utakipata Endapo Itasoma Kitabu Kimoja Kati Ya hivi Hapa
Habari ya leo rafiki yangu. Hongera kabisa kwa nafasi hii ya kipekee sana ya leo. Leo ni tarehe 23 oktoba 2018 mpaka sasa ninapoandika makala haya, zimebaki siku 69 mwaka huu kuisha. Kama mwaka huu uliweka malengo ya kufanya kitu, basi sasa umefika wakati wa kujiuliza umefikia wapi kwenye kuyatimiza malengo yako?? Sasa leo naomba…