-
Kitu Chochote Ambacho Hakikuumizi, Kinakuimarisha
Hongera sana rafiki kwa siku hii ya leo.Kama kuna kitu kikubwa sana ambacho unapaswa kufanya ndani ya siku hii ya leo basi ni kukua. Kwenda ambapo ulikuwa hujawahi kwenda. kuuza kitu katika biashara yako kwa mtu ambaye ulikuwa hujawahi kumuuzia. Kuongeza kipato chako leo ili kiwe tofauti na kilivyokuwa jana. Kuongea na mtu mmoja ambaye…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-95 tatizo unasubiri mwaka mpya
! Habari ya siku ya leo rafiki yangu! Leo ni tarehe mosi januari 2018! Hongera sana kwa siku hii njema sana ya leo! Lakini swali langu kwako kitu gani kimebadilika leo!Nikiangalia nje ya nyumba sasa hivi naona mwanga wa jua kama ilivyokuwa jana. Ninaona ndege wakiruka, lakini hata jana walifanya hivyo. Miti naiona ikimeremeta, ingawa…
-
Huyu Ndiye Mtu Ambaye Unapaswa Kumwepuka
Hab ari ya siku hiii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana na kuhakikisha kwamba unafanya makubwa. Siku hii ya leo tusafiri kwa pamoja kwa ajili ya kujifunza kitu kipya chenye…
-
Je, Ni Kweli Watanzania Hawajui Kupanga
Unapanga nini? Watu wengi sana wamekuwa wakiwalalamikia watanzania kwamba watanzania hwàjaui kupanga na kuweka malengo.Basi baada ya kusikia hili ilinipasa nianze kufuatilia kwa umakini kuona kama ukweli nyuma ya kauli hii. Kupata kitabu hiki wasiliana na mimi kupitia 0755848391 sasa Swali la msingi nikilokuwa nikijiukiza je, ni kweli watanzania hawajui kupanga? Jibu la swali hili…
-
Tatizo Sio Raslimali Zilizopotea
TATIZO HUTAKI KUAMUKA MAPEMA.katika kitabu changu cha kwanza cha kutoka sifuri mpaka kileleni nalikushirikisha kwamba kulala mapema na kuamka mapema, kunakufanya kuwa mtu mwenye afya njema sana, tajiri na mwenye busara. Moja kati ya imani ambazo vijana wengi wanazo ni imani kwamba kuna mambo ambayo wao hawapaswi kufanya hivyo yanafaa yafanywe na wazee. Mfano kuna…
-
HIZI NI KAULI MBIU MBILI AMBAZO KILA MWANAMAFANIKIO ANAZIHITAJI
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu ya SONGA MBELE. Imani yangu leo ni siku bora sana kuwahi kutokea katika maisha yako bila kujali unahali gani kiafya. Kwa kuwa wewe unapumua na umeweza kusoma makala hii, basi hapo unahitaji kumshukuru Mungu kwa sababu ya zawadi hii ya kipekee ambayo unayo siku…
-
Hii Ni Siri Iliyo Nyuma Ya Kauli Niko Updated!
Kuna kasumba ambayo inavuma kwa kasi sana siku hizi kutoka kwa watu kwamba wanataka kuwa UPDATED kila mara. Nimeamua kutumia neno upadated kama lilivyo bila kupindisha ili ujumbe sahihi uweze kuwafikia watu sahihi ambao wanahusika. Kama unaona msemo huu ni mpya kwako na hauelewi nakushauri sana uache kusoma makala hii na utafute makala nyingine ambazo…
-
Aliyefunga Goli Ni Mmoja Ila Timu Nzima Hushangilia
Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songambele karibu sana, katika makala hii siku ya leo ili kwa pamoja tujifunze kitu kipya. Tujifunze kitu ambacho lazima kitatuinua na kutupeleka sehemu nzuri sana. Je, umewahi kujiuliza kitu gani huwa kinatokea katika Mpira wa miguu? Hasa pale anapofunga goli MTU…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Huwezi Kukinunua Sokoni
Habari za leo rafiki na ndugu masomaji wa makala za SONGA MBELE BLOG, imani yangu leo ni siku bora sana kwako na tayari umefanya mambo makubwa sana ndani ya siku yako ya leo. Ikiwa ni tarehe 15 June 2017. Siku kama ya leo hatutakuja kukutana nayo tena maishani mwako. Hivyo ni bora sana kujua umuhimu…
-
Mambo Mawili (02) Ya Kufanya Ili Kuepuka Kuhairisha.
Habari za siku ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blog wa songambele, imani yangu siku ya leo ni siku njema sana. Na umeianza tayari kwa kufanya mambo makubwa sana, ambayo yanakutoa katika sehemu ya chini na kukupeleka kileleni.Kumbuka kwamba kesho bora inatengenezwa siku ya leo. Kesho bora haiji mpaka pale utakapokuwa umeitengeneza wewe…
-
Hii Ndio Sifa Ambayo Kila Mtu Anayo
Asubuhi ya siku hii ya leo ni njema sana na ni ya kumshukuru Mungu. Leo ikiwa ni tarehe 9 juni 2017. Huku siku za mwaka huu zikizidi kusonga mbele. Hapo ndipo ninapokumbuka maneno yanayosema kwamba “poteza sekunde moja leo hii, utaililia maisha yako yote”.Lakini hapo hapo nakumbuka msemo mmoja wa China unaosema kwamba “ukipoteza pesa…
-
Huu Ndio MudaMzuri kwako Kwenda Kufanya Kazi
Habari za siku ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti kabisa kwa kufanya kitu ambacho kinakutofautisha wewe na watu wengine. Kuna mambo mengi ambayo yanakutofautisha wewe na watu wengine, ila mambo mawili ambayo naamini asubuhi ya leo utakuwa umeanza nayo…
-
Mambo Matatu Unayohitaji Ili Kufikia Ushindi
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako pendwa ya songa mbele karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya amabacho kitatufanya kuwa watu wa ushindi na kuweza kufanya kazi zetu kwa ubora zaidi. Ushindi ni kitu ambacho kila mtu huwa anapenda katika kuhakikisha kwamba anatoka sifuri na…
-
Miezi Sita Imepita! Umefanya Nini?
Habari za asubuhi Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yangu umeianza siku yako vyema sana huku ukiwa unaenda kuweka juhudi Ku wa sana kuhakikisha kwamba kazi yako ambayo umeianza, au au unatarajia kuianza inaendelea vyema na hatimaye unaikamilisha. Hakikisha kwamba kitu chochote Kile ambacho umekianza unakikamilisha, usije ukaishia njiani hata…
-
Njia Tatu Za Uhakika Zitakazokusaidia Wewe Kuweka Akiba Bila Ya Kutoa (Namba 3 Ndiyo Yenyewe Haswa!)
Wahenga wanasema kwamba ukiona vyaelea, basi ujue vimeundwa, hivyohivyo ndivyo ilivyokuwa kwa mji wa Babilon (Babeli) ambao kwa nyakati zake ulikuwa mji tajiri na wenye watu wenye utajiri. Simulizi zake na busara za nyakati hizo zimebaki vitabuni kwa ajli yetu sisi vijana wa miaka yetu kuzitumia kwa manufaa. Lakini moja ya kitu kimoja na kitu…
-
Mambo 15 ambayo Godius Rweyongeza anashauri Uanze Kuyafanyia kazi Mara Moja
Habari ya Leo. Hongera sana Kwa siku hii nyingine njema sana 1. Tuitumie Leo kufanya makubwa. Kila mmoja Kwa jukumu lake analopaswa kufanya, alifanye Kwa weredi mkubwa 2. Mabadiliko Unayotaka kuyaona Anza kuyasababisha mwenyewe siku ya Leo Kwa kufanya jambo lolote hata kama ni Dogo. 3. Ukitimiza wajibu wako na Kila mmoja akatimiza wajibu wake,…
-
Kwa Nini tunahitaji HAMASA Kila siku
Siku Moja Zig Ziglar alikuwa anaongea mbele ya umati, ndipo kijana. Mmoja akasimama na kumuuliza swali gumu Kwa kusema, Kwa Nini hizi HAMASA Huwa hazidumu? ZigZiglar alimjibu Kwa kusema kwamba HAMASA ni kama kuoga. Hauogo TU mara Moja na kuacha, Bali unaoga Kila siku, kwako Kila siku, inakuwa ni sehemu ya kuoga. HAMASA ni kama…
-
Sababu 100 kwa nini unapaswa kuweka akiba ya pesa
Pata kitabu hiki cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA leo hii utanishukuru. Ni kitabu kizuri sana. Kukipata BONYEZA HAPA. Au wasiliana nami kwa kubonyeza HAPA ili uweze kupata nakala yako. Pata kitabu hiki cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA leo hii utanishukuru. Ni kitabu kizuri sana. Kukipata BONYEZA HAPA. Au wasiliana nami kwa kubonyeza HAPA ili uweze…
-
Asilimia 57 ya watu wanaosikiliza vitabu vya sauti wanasema kuwa vinawasaidia kukamilisha vitabu zaidi.
Sikiliza tu! Kuna uwezo mkubwa katika sauti. Kwa wale wanaopenda kusoma vitabu lakini wanakabiliwa na changamoto ya muda, vitabu vya sauti ni suluhisho la kukamilisha vitabu zaidi na kupata maarifa mengi zaidi. Kulingana na utafiti, asilimia 57 ya watu wanaosikiliza vitabu vya sauti wanasema kuwa inawasaidia kukamilisha vitabu zaidi. Ni sawa na kuwa na mshirika…
-
Hivi Ndivyo Kitabu Sauti (Audiobook) kinavyoweza kukuongoza ili uweze kufikia mafanikio unayotaka
Kitabu cha “Jinsi ya Kufikia Ndoto Zako” kinakuongoza kwenye safari, Kupitia mistari iliyobeba hekima na mwanga, ukufikie malengo yako kwa njia thabiti. Kama nyota zinavyong’ara angani, ndoto zako zina mwangaza wa pekee, Kitabu hiki kinakusaidia kugundua uwezo wako, bila kikwazo chepesi. Kwanza, unaanza na kuweka malengo imara kama msingi, Kisha hatua kwa hatua, unajenga ufanisi…