Category: Uncategorized

  • KITABU: TOFAUTI 50 KATI YA MATAJIRI NA MASIKNI

      Hivi ni kitu gani ambacho huwa kinawatofautisha matajiri na masikini? Kwa nini matajiri huwa wanaendelea kuwa matajiri na masikini kuendelea kuwa masikini? Kuna kitu gani ambacho matajiri wanakijua ambacho masikini hawajui?  Kutokana na kuwepo kwa maoni mbalimbali kuhusu matajiri. nimekuandalia kitabu chenye lengo la kukueleza kitu ambacho kinawatofautisha matajiri na kuwafanya wazidi kuwa matajiri…

  • Hakuna Kitu Cha Bure

    Hakuna kitu cha bure. Ukiona mtu anakualika alika ili akupe cha bure basi jua kuna sehemu unaenda kuliwa. Amia sasa kuwa unaenda kulipa gharama kupata unachotaka. Vitu vizuri vyote sharti vilipiwe. Shauri yako!! Unadhani waliosema Vya bure vinaua hawakuuona ukweli? Imeandaliwa na Godius Rweyongeza Tangu nimezindua kitabu cha AKILI YA DIAMOND, watu wamekuwa wakiniuliza maswali…

  • Hivi ndivyo unaweza kumfundisha mwanao Kuhusu fedha (Njia 6 zisizoshindwa)

     Hivi ndivyo unaweza kumfundisha mwanao Kuhusu fedha (Njia 5 zisizoshindwa) Rafiki yangu, karibu leo naenda kukushirikisha vitu vichache unavyopaswa kutumia kama sehemu ya kumfundisha mwanao masuala ya fedha. 1. Mpe fedha zake mwenyewe azishike na kukaa nazo.  2. Kama unaenda kuwekeza, badala ya wewe kuwekeza na kumpa taarifa. Nenda naye ili muwekeze kwa pamoja. 3.…

  • WIKI HII KWA UFUPI: Mambo Muhimu Tuliyojifunza Ndani Ya Juma la 34

     WIKI HII KWA UFUPI: Mambo Muhimu Tuliyojifunza Ndani Ya Wiki Hii  Ni siku ya 236 sasa, tangu mwaka huu uanze. Huku zikiwa zimebaki siku 130 tu. Hiki Kitu kinapaswa kukufanya ujitume Zaidi kuhakikisha unafikia malengo yako mwaka huu. Ni vizuri pia ukafanya tafakari ya kina juu ya malengo ya mwaka huu. Uko wapi mpaka sasa…

  • Aina Tatu Za Wateja Ambao Utakutana Nao Kwenye Biashara Yako

      kupata kitabu hiki hapa bonyeza maandishi haya hapa https://www.getvalue.co/home/product_details/akili_ya_diamond  Kwenye biashara yoyote ile ambayo utaamua kufanya, kuna aina tatu za wateja ambao unaenda kukutana nao. Kwanza, ni wale wateja warioridhika na wapo tayari kumwambia mtu yeyote kuhusu biashara yako ili aje kununua kwako. aina hii ya wateja ni wale ambao wataendelea kuja kununua kwako mara…

  • Kama Hukupata Kitabu Cha Akili Ya Diamond Fanya Hivi Sasa Hivi

        Habari ya siku hii rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Tarehe 17/8/2020 ilikuwa ni siku ambayo kitabu cha akili ya diamond kilizinduliwa rasmi. Kitabu hiki hapa ni kitabu cha kipekee kimeeleza vitu 50 ambavyo wewe hujui kuhusu akili ya Diamond Platnumz. Na vitu hivi hamsini kwa pamoja tunaweza kuviweka…

  • Jack Ma Afunguka: Ushauri Wake Kwa Vijana Huu Hapa

      Vijana ndio suluhisho la kesho. Vijana wadogo ndio suluhisho kwa hofu zote. Ukikaa na vijana utakuwa mwenye nguvu muda wote. Ushauri ninaotoa kwa vijana ndio ambao naufanyia kazi mwenyewe. Ushauri huu ni kwamba, hakuna kitu rahisi, hakuna kitu ambacho kinapatikana bure. Kama unataka kufanikiwa, unapaswa kulipa ghrama. Alibaba imetumia miaka 18 kufikia ukubwa wa…

  • KITU MUHIMU KUHUSU UWEKEZAJI

      Unaendeleaje Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii kipekee sana. Leo ninaenda kuzungumzia Kitu muhimu Kuhusu uwekezaji. Na Kitu hiki ni kuwa usiangalie kiasi cha fedha ambacho unawekeza sasa hivi. Hata kama kiasi unachowezekeza sasa hivi ni kidogo, wewe usihofu. Endelea kuwekeza hicho kiasi kidogo. Kikubwa Kuhusu uwekezaji ni mwendelezo. Ukiendelea kuweka kiasi kidogo…

  • Chanzo cha umasikini wako

     Chanzo Cha Umasikini Wako Chanzo kikubwa cha umasikini ambao unawakumba watu walio wengi ni kutojulikana. Yaani, hawajulikani wao ni akina nani? Hawajulikani wanatoa huduma gani au wana suluhisho gani kwa jamii? Hawajulikani wana upekee gani, yaani wapo wapo tu. Epuka mtego huu kwa kuhakikisha unajulikana kwa kazi unayofanya kuanzia leo hii. Kitabu Cha KUTOKA SIFURI…

  • KITABU; AKILI YA DIAMOND

     KITABU: AKILI YA DIAMOND Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki. Hongera kwa kupata nafasi ya siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo ninakuletea kitabu cha AKILI YA DIAMOND. Mambo 50 usiyoyajua Kuhusu Akili Ya Diamond Platnumz. Unaweza kujiuliza kiufupi hiki ni kitabu cha aina gani. Kiufupi hiki ni kitabu ambacho kimebeba vitu vikubwa…

  • WIKI HII KWA UFUPI

     *WIKI HII KWA UFUPI*  Habari ya jumapili ya leo rafiki yangu.  Karibu tena kwenye makala hii ya wiki hii kwa ufupi. Ikiwa ni siku ya 229. Zimebaki siku 137 mwaka huu uishe.  Leo tutapata nafasi ya kuangalia mafunzo ya wiki hii nzima, kiufupi.   7. *Aina Nne Za Uhuru Unaopaswa Kuwa Nao* 6.SIKILIZA AUDIO HII KWA…

  • Hii Ndio Sifa Kuu Ya Kitabu Bora

    Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee. Leo napenda tu nikushirikishe kuhusu sifa moja kuu ya kitabu bora. Sifa hii ni kuwa, kitabu bora unapaswa kukirudia kukisoma mara kwa mara bila kuchoka, huku ukijifunza mambo mapya na mazuri ambayo utafanyia kazi. Hiyo ndio sifa ya kitabu bora. Ukipata ya kitabu kama hiki hapa,…

  • Usiende Kukutana Na Mtu Yeyote Bila Ya Kuwa Na Uhakika Wa Hili Hapa

      Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo ningependa nikushirikishe kitu kimoja ambacho unapaswa kukiepuka pale unapokuwa na muadi wa kukutana na mtu. Na Kitu hiki hapa, ni kwenda kukutana na huyo mtu bila ya kujua vitu anavyopendelea huyo mtu.  Ukipata nafasi ya kukutana na mtu, basi hakikisha kuwa…

  • Hujaishi Leo Kama Hujafanya Kitu Hiki Hapa

    Kheri ya siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo napenda tu nikushirikishe kitu muhimu kwenye kuishi kwako hapa duniani. Na kitu hiki ni kuwasaidia watu. Kiufupi ni Kuwa ukiona umepitisha siku nzima bila kufanya kitu chochote kile ambacho kinamsaidia mtu, basi ujue kuwa hujaishi ndani ya siku hiyo. Kila siku inapaswa kuwa siku ambayo…

  • Hivi ndivyo unaweza kuwa bora zaidi kwenye kazi unayofanya

      Rafiki yangu karibu sana kwenye andiko letu la leo. Katika andiko hili hapa tunaenda kuona njia nuri ya wewe kuzidi kuwa bora zaidi kwenye maisha ni kuhakikisha kwamba haurudii makosa ya uliyoyafanya jana au mwaka jana. Ukiendelea kurudia makosa yaleyale kila siku, ni wazi kuwa utaendelea kupata matokeo yaleyale. Ila ukiepuka makosa ya jana…

  • WIKI HII KWA UFUPI: Mafunzo muhimu ndani ya wiki hii unayopaswa kuyafuatilia

     Habari ya leo Rafiki yangu. Leo ni siku ya 122 tangu mwaka huu uanze. Zimebaki siku 144 tu.  Bado una nafasi ya kufanya makubwa ndani ya mwaka huu. Leo hii nimeona nikupitishe tu kwa ufupi kwenye masomo tuliyoona ndani ya wiki hii kupitia mtandao wa YouTube. Kama kuna somo ulilikosa basi chukua hatua ya kuliangalia…

  • OFA YA VITABU, SIKU YA KUZALIWA KWANGU (vitabu vyote ni nakala laini, isipokuwa…)

    Leo tarehe tano ni siku yangu ya kuzaliwa. Kwenye hii siku nimeona nikupe punguzo kwenye vitabu vyangu. Na hapa chini kuna orodha ya vitabu vyangu vyote pamoja na bei zake. Halisi kabla ya punguzo.   Kila kitabu kinaenda kupunguzwa kwa asilimia 20 tu. Na hii ofa ni kwa vitabu ambavyo vipo hapa tu.   Tatizo…

  • Jinsi Ya Kusoma Vitabu Vya Nakala Laini Kwa Haraka Zaidi

    Tupo kwenye ulimwengu ambao umebadilika sana. kwa ssa hivi ni rahisi kumiliki maktaba kubwa kuliko maktaba ambayo aliwahi kumiliki mfalme wa karne ya 16 au 17. Hii ni kutokana na ukweli kuwa asilimia kubwa ya vitabu vinapatikana mtandaoni bure au kwa gharama ndogo. Kutokana na mapinduzi ya kiteknlojia, basi mpaka sasa hivi tumefikia hatua ambapo…

  • Vitabu Nane 08 Nilivyosom Mwezi Wa Saba

  • KRIBU KWENYE YOUTUBE CHANNEL YA GODIUS RWEYONGEZA

      Karibu sana kwenye channel ya Godius RWEYONGEZA AMBAPO huwa naandaa mafuno mbali mbali kwa njia za video, makala za sauti na mfunzo mengine mengi. Kwenye channel hii kuna funzo moja kila siku ambalo linaaweka hewani. Hakikisha leo hiii umeitembelea na KUSUBSCRIBE. Waaalike pia na rafiki zako ili waweze kuitembelea YOU TUBE CHANNEL hii kwa…

X