Category: Uncategorized

  • KUTANA NA KAULI AMBAYO IMEUA UBUNIFU WA WAAFRIKA WENGI NA JINSI YA KUIEPUKA.

    Afrika yetu ina mambo mengi ambayo yanachukuliwa kawaida na watu ila ukiyaangalia kwa jicho la kusongambele, unaona wazi kwamba watu wanalazimisha kujweka  vikwazo kwenye safari ya kutoka sifuri mpaka kileleni. Moja ya vitu huvyo  ni kauli ambazo zinazuia ubunifu na watu kusongambele. Kauli hizo ni pamoja na1. Hakuna haraka barani Afrika2. Ukitaka kumficha mwafrika kitu…

  • Hivi Ndivyo Nilivyopata Bahati Ya Kukutana Na Donald Trump Na Mambo Matano Aliyoniambia

    (kama unataka kuchomoka kwenye maisha basi utapaswa kuzingatia haya aliyosema) Siku chache zilizopita nilikaa meza moja na raisi wa marekani katika maongezi mazito sana. Na katika maongezi haya alinishauri vitu vitano ambavyo ninaenda kuvidadavua hapa chini. Labda utakuwa unajiuliza huyu jamaa aliwezaje kukutana na raisi mkubwa hivyo. Ni rahisi sana na connection hii nimeitengeneza mwenyewe.…

  • KITENDO KIMOJA, KIDOGO NA CHA UHAKIKA KITAKACHOKUWEKEZESHA KUWEKA AKIBA KWA VIWANGO VYA JUU SANA

    Kuna utafiti nimewahi kusoma kwamba mwajiriwa mmoja kwa nchi za ulaya akiachishwa kazi siku hii ya leo anaweza kuendelea kuishi kwa siku nyingine zijazo 18 tu. yaani kwamba akiba yake aliyonayo kwa siku hii ya leo inaweza kumfanya aendelee kuishi kwa siku 18. Huu  ni utafiti unaonesha hali ya nchi za ulaya, sasa sijui hali…

  • Kama Unashindwa Kutendea Madogo haki, Makubwa Yatakushinda

    Kama unashindwa kutendea madogo  haki. Hata makubwa yatakushinda (jifunze kitu hiki hapa ambacho ulikuwa hukijui) Kunaa watu wanasema kwamba watakapokuwa na mamilioni ya pesa ndipo wataanza kuweka akiba, na ndipo wataanza kutumia pesa zao vizuri. Ukweli ni kwamba kama unaweza kutumia vizuri kile kidogo ulichonacho leo hii na kukifanya kiweze kuongezeka zaidi basi hata kikubwa…

  • Inalipa kutumia muda wako vizuri

    Muda wako haupaswi kuutumia katika kufanya mambo ambayo haya kufai kabisa. Utumie muda wako kufanya kazi ambazo zinakuinua wewe na kuweza kukufikisha kwenye kilele cha mafanikio. Pia jiwekee utaratibu wa kujikamata kila siku kuona kama leo umetumia muda wako vizuri zaidi. Unaweza kufanya hivyo kwa kupata muda wa kuitafakari siku yako kila siku  kabla ya…

  • KANUNI ZA KUWEKEZA HAZIJABADILIKA

    “For me, nothing has really changed in terms of those basic principles:you start with what you have, you do what you can, you invest what youget, so that you can do bigger and bigger things japo kumekuwa kunatokea mapinduzi makubwa sana kwenye sekta za teknolojia na sekta nyinginezo. Ila linapokuja kwenye suala zima la kuwekeza…

  • JE, WAJUA KWAMBA DAKIKA KUMI NA TANO ZINAWEZA KUKUFUNDISHA LUGHA MPYA? DAKIKA 15 MTANDAO NI ZINAKUPA NINI?

    Kwa sasa hivi imekuwa kama kawida kwa watu kutumia muda mwingi mtandaoni wakiwa wanazurura huku na kule bila hata mwelekeao wa maana. Hata hivyo muda huu ambao wewe umekuwa unautumia mtandaoni unaweza kuanza kuutumia vizuri kuanzia leo hii ukajikuta kwamba umejifunza lugha mpya kwenye mtandao. Ni rahisi sana. Chagua lugha mpya ambayo  ambayo ungependa kujifunza.…

  • Hasara Tano zitakazojitokeza endapo wewe utaacha kutimiza ndoto zako

    Tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia moja tu ya watu duniani ndio wanaofurahia mazuri na kumiliki asilimia kubwa sana ya uchumi. Ni asilimia moja tu ya watu ambao huwa wanafikia ndoto zao maishani huku wengine wakiishia njiani. Watu huacha kufuatilia ndoto zao kwa sababu wakatikufuatilia ndoto zako ni sawa na kuamua kujitupa kwenye maji ili kuogelea.…

  • Huyu Ndiye ARNOLD SHWARZENEGER Na Mambo Matano Ya Kujifunza Kutoka Kwake

    Moja kati ya watu ambao dunia inawafahamu kwa kufanya makubwa basi ni mwigizaji wa mjengaji wa viungo vya mwili (body builder) Arnold Schwarzenegger. Huyu akiwa mtoto, wazazi wake walimpeleka ili akajifunze mpira wa miguu. Alikuwa anaenda kila siku na kufanya mazoezi kama wengine wanavyofanya ila kwake hicho hakikuwahi kuwa kitu ambacho kinamsukuma zaidi. Kila mara…

  • TOA USO WAKO FACEBOOK NA UWEKE KWENYE KITABU

    “Get your face out of Facebook and get it into the book”Unknown Kama bado hujajiunga na mfumo wetu maalumu wa kutokea makala, bonyeza HAPA Wiki Chache zilizopita nilikutana na usemi ambao nakubaliana nao kwa asilimia 100. Usemi huu mzuri“unasema toa uso wako kwenye mtandao wa Facebook na uweke kwenye kitabu”. Kiukweli huu ni usemi ambao…

  • Vitu Viwili Kuhusu Ndoto Ambavyo Watu Wa Kawaida Hawana (Kama Utakosa Vitu Hivi, Utaishia Kusikia Mafanikio Kwenye Vyombo Vya Habari).

    Kama Utakosa Vitu Hivi, Utaishia Kusikia Mafanikio Kwenye Vyombo Vya Habari Mwaka juzi wakati nasoma kitabu cha Who Will Cry When You Die nilikutana na kitu cha kushangaza kidogo ila ikabidi nikifanyie kazi. Mwandishi wa kitabu Robin Sharma alisahuri kwamba unapaswa kuwa na kitabu cha ndoto chenye orodha ya vitu 101 ambavyo utavifanyia kazi kabla…

  • Vitu vitano vinavyofanya watu waue ndoto zao na hivyo kushindwa kuzifikia

    Katika hatua fulani maisha watu huwa na ndoto za kufikia vitu au kuwa aina fulani ya maisha. Ndoto hizi huwa ni nyingi hasa kwa watoto maana huwa wanazisema kwa kujiamini kuliko watu wazima. Ndio maana ukiongea na mtoto mdogo na kumwuliza kwamba unataka kuwa nani basi bila ya shaka na bila kukwama sehemu atakuambia anataka…

  • Mambo Muhimu Unayopaswa kuyafanya Unapoamka Asubuhii

    Moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa havielekezwi kwa umakini sana basi ni namna ya kuianza siku yako. Unapoamka asubuhi unakuwa na mambo mengi sana ya kufanya.Wengi huutumia muda huu kufungulia redio na kusikiliza taarifa ya habari. Hata hivyo hapa napenda nikushirikishe namna sahihi ya kuianza siku yako. Haupaswi kuianza siku yako kama mnyama au ndege.…

  • Kitu cha kufanya pale unapokuwa na ndoto kubwa inayohitaji pesa na wewe hauna pesa.

    Mara nyingj unapokiwa unaanza maisha, lazima ndoto zako zitakuwa kubwa. Ni kubwa kiasi kwamba ukimwambia mtu atabaki kushangaa na kukakaa mdomo wazi hadi nzi wakaingia. Bila shaka unekutana na hali hii kama bado utakutana nayo. Wewe unayejua wapi unaenda na kwa nini huwezi kushangaa. Mwingine akisikia ndoto yako atakuuliza pesa utaitoa wapi ya kufanya hayo…

  • Kitu kibaya zaidi ya kutokuwa na macho ya kuona (utashangaa kusoma kitu hiki cha kipekee).

    Hellen Keller (1880-1968)  alikuwa mwandishi, mwanasiasa na Mwalimu wa chuo. Kwa miaka hiyo alikuwa ni kipofu wa kwanza kupata shahada ya Chuo kikuu. Siku moja alitoa hotuba moja ambayo iligusa maisha ya watu. Baada ya hotuba hiyo waandishi walikusanyika ili kumuuliza maswali ya hapa na pale. Wakati maswali yanaendelea kuulizwa alijitoleza kijana mmoja ambaye alisafisha…

  • Imethibitishwa. Mbinu Za Kitabibu Zinafaa Kutumika Katika Maisha Ya Kawaida Ya Kila Siku

    Hongera sana rafiki kwa kuiona siku hii ya leo. Ikiwa ni tarehe 29 August Ukienda hospitali unaumwa utataja tatizo lako kwa mtaalamu wa Afya. Mtaalamu huyu wa Afya kwa kutumia ubobezi wake atakupima au atakusikiliza tu na kisha kutoa dawa.  Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wa afya wa hospitalini ila kwa leo…

  • Hili Ni Jina Ambalo Unapaswa Kuacha Kulazimisha Kujiita

    Siku hizi kumekuwepo na watu wengi ambao wanajiita wajasiliamali. Uwepo wa mitandao ya kijamii pia umerahisisha hili kwa kufanya watu wengi waandike kwenye akaunti zao kwamba wao ni wajasiliamali. Pengine utakuta mtu anajitambulisha kwa watu kwamba yeye ni mjasiliamali. Yaani ujasiliamali umekuwa kama cheo vile. Kama vile watu wanavyoitwa daktari, mwalimu, waziri n.k Sasa pia…

  • Kitu Muhimu Unachopaswa Kurekebisha Kwenye Biashara Yako

    Ni siku nyingine bora sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Katika biashara kuna mambo mengi sana ambayo unaweza kufanya. Kutunza kumbukumbu, kutafuta wateja wapya, kuuza, kutafuta watu wa kuajiri na mengine mengi. Leo hii napenda nikwambie kitu kimoja muhimu sana ambacho unapaswa kukijua kuhusu biashara yako. Na kitu hiki sio kingine…

  • Haya Ni Mambo Mawili Ambayo Nategema Kutoka Kwako

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa zawadi ya siku hii njema ya leo. Kwa siku Sasa nimekuwa nakushirkisha maarifa ya kukuinua ili ufikie kwenye viwango vya juu kupitia kwenye blogu hii hapa. Leo hii ningependa uyajue mambo mawili ambayo nayategemea kutoka kwako. 1. Kufanyia kazi kile ambacho unajifunza  kwenye blogu…

  • Hii Ni Kauli Ya Kishujaa Ambayo Unaweza Kuisema Unapokuwa Umekwama Na Watu Wanaonekana Kwenda Kinyume Chako

    Watu wenye ndoto kubwa sana huwa wanafika sehemu ambapo wanakwama kabisa na hali huwa inaonekana kwenda kunyume na matarajio yao. Hapo ndipo watu waliokuwa wakiwaamini tangu mwanzo huanza kuonesha mashaka na pengine kutaka kuwakimbia.  Kiukweli ni kipindi kigumu ambacho watu hawa hupitia ila kwa sababu wana ndoto kubwa wanavumilia na hatimaye kwenda wanapotaka. Hiki ndicho…

X