Category: Uncategorized

  • Ungekuwa Wewe Ungefanyaje?

    Hivi kama wewe ndio mteja na hiyo biashara unayofanya Sasa hivi inamilikiwa na mtu mwingine ungeenda kweli kununua hapo? Je, kitu gani kingekufanya ukanunue. Je, kama wewe ungekuwa mwajiri na na kazi unaoifanya inafanywa na mtu mwingine. Je, ungeendelea kumbakiza kwa utendaji huo? Kwa nini? Hivi kama wewe ungekuwa tayari umefikia ndoto zako zoote za…

  • Kiu Muhimu Unachopaswa Kujifunza Na Kuvifahamu Kiundani

    Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana. Leo imekuwa siku bora sana kwetu, ni siku ya kipekee sana ambayo unapaswa kuitumia kufanya kitu ambacho kitabadili maisha yako na kukufanya usonge mbele. Kuna kitu kimoja tu ambacho unapaswa kukifahamu haswa na unapaswa kukifahamu kiundani. Na kitu hiki ni MAUZO.Kila mtu katika maisha huuza. Iwe…

  • Watanzania Tujenge Utaratibu Wa Kukubali Vitu Vyetu.

    Juzi nilikuwa kwenye daladala nasoma Kitabu cha  JINSI YA KUTOKA UMASIKINI MPAKA MAFANIKIO cha Erick Shigongo. Mara alijitokeza jamaa ambaye alikuja kukaa pembeni mwangu. Baada ya kuwa amekaa na kutulia, jamaa akawa ameona Kitabu nilichokuwa nasoma. Akaniomba akione. Sikuwa mchoyo, nikampa. Baada ya muda akanirudishia Kitabu changu.  Nikakawa nasikiliza kwa umakini ili nisikie atakachosema. Ila…

  • Kitu Hiki kitatokea Pale Utakaposema Haiwezekani

    Hivi umewahi kufanya jambo na kuona haiwezekani. Au umewahi kufanya jambo na kuishia njiani? Shida ilikuwa nini? Inawezekana ulisema haiwezekani na ukaamua kuishia njiani. Ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho hakiwezekani ukiamua. Kila kitu kinawezekana. Ila pale unaposema kwamba haiwezekani unakuwa unajiwekea kizuizi cha kusongambele na kufikia viwango vikubwa. Sasa kinachotokea ni kwamba utakwama na…

  • Mambo Matano (05) Usiyoyajua Kuhusu Fursa

    Mara kwa mara ukiskiliza vyombo vya habari utagundua kwamba waafrika walio wengi wanahama na kusafiri kwenda nje ya bara la afrika na haswa ulaya ili kutafuta fursa. Wakati huohuo watu ambao sisi tunawaita wawekezaji wanatoka ulaya kuja Afrika kutafuta fursa pia. Sasa labda swali linabaki fursa zipo wapi? Zipo ulaya au Afrika?Je, wote tuhame twende…

  • Huyu Ni Mtu Ambaye Unapaswa Kumfahamu Nje Ndani

    Mara nyingi sana huwa tunajihusisha na vitu vingi sana. Unakuta mtu anafuatilia vitu vingi, kuanzia taarifa ya habari, kuangalia tamthiliya kufuatilia maisha ya watu mtandaoni na mambo mengine kadha wa kadha. Ila kuna mtu ambaye huwa unamsahau kumfuatilia kila siku. Na mtu huyu siye mwingine Bali wewe hapo. Yaani kabla hujafuatilia habari zilizotokea Darfur, au…

  • Hakuna Mafanikio Bila Kujitoa Sadaka

    Hakuwezi kuwepo naafanikio makubwa bila ya mtu kujitoa sadaka nankuachana na vile vitu ambavyo anavipenda kwa muda ili aweze kupata mafanikio makubwa baadae. Unapaswa kujitoa sadaka kwa kuachana na mawazo hasi na kuweka nguvu zako na muda wako kayika kufanya mambo ya maana. kama utawekabngugu zako na muda wako katika kufanya mambo ya maana, hamna…

  • Moyo wako Uko wapi?

    “Fanya unachopenda” ni usemi ambao umekuwa unatumiwa kuwashauri watu  ili waweze kufanya kitu cha kitofauti na kipekee sana.Jambo hili ni la kweli ndio maana siku ya leo ningependa kutilia mkazo na kusisitiza kitu hiki kwa herufi kubwa. Watu wengi waliofanya makubwa katika sekta zao ni wale ambao walikuwa wanapenda kile wanachofanya. Na walikifanya kwa moyo…

  • Mambo 25 Niliyojifunza Ndani Ya Miaka 25 Ya Kuishi Kwangu Hapa Duniani

    Mwaka 1994, tarehe 5/8 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza nilizaliwa na kuvuta pumzi ya kwanza ya dunia hii. Na leo hii ndipo naadhimisha miaka 25 ya kuzaliwa kwangu. Niseme kwamba hii ni siku muhimu ambayo imenifanya niweze kuona mengi, kukutana na watu wengi na kuzunguka maeneneo mengi. Miaka yangu ishirini na tano…

  • Namna Watu Wa Kawaida Wanavyofanya Mambo Yasiyo Ya Kawaida

    Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana ya leo. Kila siku inayokuja kwako imebeba baraka, hivyo hakikisha kwamba unaitumia vyema kufanya makubwa. Siku hii ya leo napenda tuongee laa undani na kuona ni kwa namna gani watu wa kawaida wanaweza kufanya mambo ambayo sio ya kawaida.Watu wote ambao tunawaona wameweza kufanya mambo ambayo…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kuwa Gwiji Kwenye Mchezo Maisha

    Maisha ni mchezo ambao unapaswa kujua namna ya kuucheza. Hata hivyo mchezo huu una Sheria zake ambazo ni za kipekee sana. Hivyo unahitaji kuzifahamu Sheria hizi. Kama ilivyo kwenye mchezo wa mpira wa miguu, sio kila mtu ni gwiji kwenye mchezo huyo. Vivyohivyo kwenye mchezo wa maisha.  Sio kila mtu ni gwiji. Ila wewe unaweza…

  • Mambo Matatu (03) Ambayo Vijana Wa Kitanzania Wanakosea ila Wanayafanya Kuwa Uhalisia

    . “Watanzania siku hizi mmeanza kuamka kidogo, kidogo. Ila bado itawachukua muda kidogo kuweza kufikia viwango vya watu kujituma bila kushurutishwa”Alisema baba mmoja wa makamo ambaye ni mgeni hapa nchini. Hongera sana rafiki yangu na leo hii napenda nikwambie mambo ambayo watanzania wengi wamekuwa wanayafanya kimakosa na kuendelea kurudiarudia makosa haya haya kila siku. Ma…

  • Viashiria Saba Vinavyoonesha Kwamba Umaskini Utakuandama Maisha Yako Yote

    Kila mtu anapenda kufanikiwa. Hata mtoto ana uwezo wa kutambua na kujua kwamba kitu fulani ni bora zaidi ya kingine. Ndio maana utasikia mtoto mdogo anawaombea wazazi wake wapate gari, wanunue ghorofa na vitu vingine kama hivyo. Hii ni ishara ya waziwazi kwamba utajiri unapendwa na kila mtu. Na ni ukweli usiopingika kwamba utajiri ni…

  • Huu Ndio Ukombozi Muhimu Ambao Wewe Hapo Unauhitaji

    Neno ukombozi kwenye kamusi ya kiswahili sanifu linamaanisha, UOKOAJI WA WA WATU KUTOKA KWENYE HALI MBAYA AU DUNI. Kumbe makala ya leo imejikita katika kuhakikisha unaelewa nini unapaswa kufanya ili kutoka kwenye hali mbaya.Je, ni aina gani ya ukombozi unaihitaji?Kitu  kikubwa ambacho kinahitajika ni wewe kukombolewa kifikra. Ndio fikra zako ni kitu cha kwanza kabisa…

  • Kitabu Muhimu Unachopaswa Kusoma Kuhusu Ubunifu

    Ubunifu ni mbegu ambayo kila mtu anayo ndani yake. Mbegu hii inahitaji kuwekewa mazingira mazuri sana ili ikue na kutoa matunda. Mbegu ya kawaida ambayo hupandwa shambani huhitaji maji, hewa, jotoridi na virutubisho ili kuota. Ila maji, hewa, jotoridi  na virutubisho vya ubunifu ulio ndani yako ni tofauti na hivi vinavyohitajika na mbegu za kawaida.…

  • Usitafute Kiki Kwa Kutengeneza Matatizo

    Kama unataka kufanya mambo makubwa na kujulikana basi usitengeneze matatizo ili upate nafasi ya kujulikana.Namna nzuri na inayodumu na ambayo imetumiwa na watu wote wa mfano kwenye dunia hii ni kutatua matatizo. Kwa hiyo wewe siku zote tafuta matatizo ambayo yanawakumba watu kwenye jamii. Tatua haya matatizo vizuri kabisa. Kumbuka kwamba matatizo ya jamii sio…

  • NI MATATIZO YANAYOTANYA TUKUE, BILA MATATIZO TUSINGEKUA

    Kama kuna misingi umeamua kuifuata kwenye maisha hakikisha unaifuata bila kujali upo katika hali gani. Uwe umekutana na changamoto au mambo yanaenda vizuri. Misingi ni misingi tu ifuate. Kumbuka kwamba “ni matatizo yanayotufanya tukue, bila matatizo hakuna ukuaji”. Tatizo la Steve Jobs kufukuzwa Apple ndilo lilimfanya   aje kugundua zaidi na kuwa baba wa digitali.Ila…

  • Chagua Kutoumizwa Na Kitu chochote

    Choose not to be harmed and you won’t be harmed.Don’t feel harmed and you haven’t been harmed MARCUS AURELIUS Katika maisha huwa nyakati ambazo huwa zinaambatana na changamoto kubwa sana. Ni katika nyakati hizi watu wengi huwa wanakata tamaa ya maisha, kupoteza mwelekeo na kujihusisha na vitu vibaya. Ila ukweli nyakati kama hizi zipo kutuimarisha.…

  • Hii Ndio Idadi Kamili ya Vitabu Unavyopaswa Kuwa Umesoma Kuhusu Pesa Tu

    Moja kati ya somo ambalo wengi huwa hawapendi kuliongelea sana ni pesa. Hata wale ambao huwa wanaiongelea basi huwa wanaiongelea kwa namna ambayo si sahihi. Leo hii katika suala zima la pesa napenda ujue idadi ya vitabu unavyopaswa kuwa umesoma mpaka Sasa hivi. Maana kiwango cha pesa ulichonacho kinaendana na maarifa uliyonayo. Huwezi kupata pesa…

  • Tafakari ya Kufikirisha Kutoka Kwa Waziri Mkuu Wa Ufaransa

    “Tone la wino linaweza kufanya mamilioni ya watu kufikiri”, alisema Gordon Bryon Noel (1788-1824) ambaye alikuwa mtunga mashairi wa uingereza. Na matone haya ya wino ambayo yanafikirisha yamejaa sana kwenye vitabu. Matokeo yake ni kwamba matone haya huweza kumfanya mtu kufikiri kwa kuweka mipango mikubwa, au matone haya pia huweza kumfanya mtu achukue hatua kubwa.…

X