Category: Uncategorized

  • Hii Ni Fursa Ambayo Hupaswi kuichezea

    Habari ya siku hii njema sana rafik yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo, na hakikisha kwamba ndani ya siku hii ya leo unaweka juhudi kubwa sana. Hakikisha kwamba haukwami rafiki yangu wala kurudi nyuma kwa sababu yoyote ile. Wewe ni mshindi, ishi kiushindi ndani ya siku hii ya leo. Ndani siku yoyote ile…

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Unasahau Kupangilia

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Ni siku njema sana kwako na ni siku ya kipekee sana kwako, hiyo hakikisha kwamba hauipotezi siku hii ya leo.Mara nyingi sana huwa tunapanga maeneo ya kwenda na watu wa kukutana nao. Huwa tunapanga ni muda gani tutakutana na watu…

  • Hii Ndio Njia Nzuri Ya Kufanya Kazi Kubwa Sana

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Karibu sana tupate kujifunza kitu kipya kwenye maisha yetu. Ukikutana na watu wengi sana utawasikia wakisema, ukitaka kupata hiki au kile basi fanya hivi. Lakini watu hawa ukiwafuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba hawafanyi kile wanachokiongea. Watu wanajua kila kitu na…

  • Je, Dunia Ya Sasa Ni Kijiji Au Mabara Yameongezeka?

    “Dunia ya sasa hivi ni kama kijiji” huu ni usemi ambao unapedwa kutumiwa na watu wengi sana. Watu wanatumia usemi huu wakimaanisha kwamba sasa unaweza kuwasiliana na mtu yeyote sehemu yoyote duniani na muda wowote bila shida kubwa sana kama ilivyokuwa zamani. Tukirudi miaka ya nyuma kidogo, mpaka kwenye karne ya 15, ilichukua miezi na…

  • Hivi Ndivyo Wazo Lako Linaweza Kukubalika Dunia Nzima

    Hivi ushawahi kujiuliza au kukaa na kufikiri siku ambayo utaingia katika chumba fulani chenye watu wakakaa na kukusikiliza juu ya wazo lako bora lenye maana sana? Au ushawahi kujiuliza ni kwa jinsi gani wazo lako linaweza kukubalika duniani kote? Kiukweli jibu la swali hili hapa ni rahisi sana. Yaani ni rahisi kama ilivyo kunywa maji.…

  • Usifanye Kitu Hiki Kikiwa Cha Kwanza Unapoamka Asubuhi

    Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera kwa kupata nafasi nyingine ya kwenda kuishi. Nafasi nyingine ya wewe kwenda kuweka alama katika dunia hii. Hakika hii ni nafasi ya kipekee sana, hakikisha unaitumia vyema maana ikipita ndio hiyo imepita.  Haijirudii hata kidogo. Hivi huwa ukiamka kitu chako cha kwanza kufanya huwa…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kutengeneza Kazi Inayokonga Mioyo Ya watu

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Hivi ushawahi kuwa na wazo la kufanya kazi kubwa sana maishani mwako? Bila shaka umewahi kuwaza juu ya kuwa mwanamziki mwenye wimbo unaoitwa wimbo wa taifa. Au umewahi kufikiri juu ya kuwa mwandishi atayeandika hadithi itayosomwa na watu wengi na…

  • Vitu Vinavyokufanya Utangetange Kila Mahali

    Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka kwenye blogu yako pendwa ya songambele. Imani yangu kwamba leo ni sikku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya kazi kwa bidii, kujituma na kuhakikisha kwamba unafikia malengo yako. hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana.…

  • Huu Ni Ugonjwa Ambao Unapaswa Kuuugua

     Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo ambapo tunaenda kujifunza ugonjwa ambao unapaswa kuugua maishani mwako. Kwanza igundulike kwamba kuna magonjwa mengi sana ambayo watu wanaugua hapa duniani. Magonjwa mengine yanatibika na mengine hata hayatibiki. Lakini…

  • Hiki Ni Kipimo Kinachotumika Kupima Mafanikio Yako

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanhya kazi kwa bidii kubwa sana kuhakikisha kwamba unafikia mafanikio makubwa sana. hakika siku hii ya leo usiiache ikaenda hivi hivi tu. Itumie vilivyo…

  • Hivi Ndivyo Wewe Unapaswa Kufikiri

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo rafiki yangu. Nina hakika leo ni siku ya kipekee sana maishani mwako. Hongera sana kwa siku hii. Leo ngoja tuzungumze namna ya kufikiri ambayo unapaswa kuwa nayo. Bila shaka umewahi kusikia, kila mtu yuko alivyo kwa sababu ya jinsi anavyofikiri.…

  • Huu Ndio Upande Unaopaswa Kuuchagua Siku Zote

    Katika historia ya dunia tunasoma kwamba mwaka 1884 kulikuwa na mkutano wa Berlin. Katika mkutano huu nchi za Ulaya zilikuwa zikipambana ili kuhakikisha kwamba zinaligawa bara la Afrika. Mmoja wa watu waliokuwepo kwenye mkutano huo ni Marekani. Lakini Marekani hakuwa mmoja wa watu waliokuwa wanapigana ili kupata sehemu Afrika, bali Marekani alikaa kama msikilizaji. Rafiki…

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Dunia Haipungukiwi

    Sio kitu cha ajabu kusikia watu wanasema kwamba kuna uhaba wa maji. Au uhaba wa chakula. Wengine utawasikia wakisema kuna uhaba wa walimu katika shule, wilaya au mkoa fulani. Cha ajabu zaidi ni kwamba kuna malalamishi ya uhaba  wa viongozi bora.  Lakini ushawahi kujiuliza ni kitu gani ambacho hakina uhaba? Yaani uapatikanaji wake upo kwa…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Muda Zaidi Wa Kazi Zako

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Kila siku una masaa  24 ya kuishi. Masaa 24 ya kufanya kile unachopaswa kufanya masaa 24 ya kufanya kila kitu.Je, unapata muda wa kufanya kazi za muhimu kwako?Unaweza kupata muda wa kufanya kazi yoyote ile ambayo unataka kama utaamua. Suala…

  • Haya Ni Mambo Manne (04) Ambayo Unapaswa Kuyafanya Asubuhi

    Kila siku mpya huwa inaanza asubuhi. Kila asubuhi huwa ni mpya. Uwezo wa kuipata na kuishi ndani ya asubuhi mpya ni jambo jema sana. Kwa hiyo kila siku kunapokucha lazima ujitahidi kuhakijisha kwamba unaitumia vyema asubuhi yako. Kuna mambo manne (04) ambayo unaweza kuyafanya kila unapoamka asubuhi.Na mambo haya ni kama ifutavyo. 1. KUSHUKURU.Neno la…

  • Swali Muhimu Unalopaswa Kujiuliza Kabla Ya Kulala?

    Binadamu yeyote amezaliwa na kupewa kazi maalum ya kuja kushughulika nayo hapa duniani. Kazi hii kama utaifanya na kuitimiza kila siku itakufanya ujisikie huru, lakini pia itawafanya watu  unaoishi nao karibu wafurahie maisha. Kiufupi ni kwamba hujaishi siku ya leo kama hujafanya tendo na kuongeza thamani kwa mtu. Usishangae, najua umezoea kila siku unapenda kufanya…

  • Yajayo Yanafurahisha, Upo Tayari?

    Je, nitawezaje kuwa na kesho bora? Nifanyeje ili niweze kuiboresha kesho kuwa bora? Nifanyeje ili niwe na maisha mazuri? Haya ni baadhi ya maswali ambayo huulizwa na watu walio wengi sana. wakitaka kujua kama wanaweza kutoboa katika maisha. Ukweli ni kwamba kila mtu anaweza kutoboa na kufikia hatua kubwa sana. Lakini je upo tayari. Kuna…

  • ACHANA NA HAWA WAJINGA.

    Kuna watu, yaani yeye asipoonesha ka ishara ka kukupinga haridhiki. Yaani hata kama utafanya mambo mazuri lazima yeye atakuwa na kinyume chako. Yeye furaha yake huja pale anapoonekana amekusema kwa watu wengine.Furaha yake ni kuona doa kwako.Furaha yake ni kwamba wewe urudi chini na yeye apande juu.Yeye anajua njia moja ya kufanikiwa. Na yenyewe ni…

  • Ukichukia Ngazi Unachukia Mafanikio

    Kati ya vitu ambavyo huwa havipendwi na watu walio wengi sana ni ngazi. Yaani kupanda ngazi hatua kwa hatua ni jambo ambalo huwa linachukiza watu walio wengi. Ndio maana unakuta mtu anadiriki kupanda ngazi tatu kwa mkupuo ili awahi kumaliza kuzipanda ngazi hizi. Watu wengine wameenda mbali zaidi kwa kuhakikisha kwamba wanaweka lift katika maeneo…

  • Hii Ni Kazi Kubwa Unayoweza Kujibebesha

    Kama kawaida kila siku huwa nasisitiza umuhimu wa kazi. Na kila mara ninapokutana na mtu kitu kikubwa ambacho huwa sifichi huwa ni umuhimu wa kazi. Na jambo hili huwa nalisema au kwa maneno au kwa vitendo. Wakati wa utendaji wa kazi unapaswa kufahamu kwamba kuna kazi za muhimu na kazi ambazo sio za muhimu. Lakini…

X