Category: Uncategorized

  • Maajabu Ya Vitu Vidogo Vidogo

    Haba na haba hujaza kibaba ni maneno ya wahenga. Sijui aliyesema maneno haya akikuwa anafikiria nini hapo mwanzo lakini haya ni maneno ambayo yanafurahisaha sana na yana ukweli mkubwa sana ndani yake. Siku zote vitu vidogo vidogo ndivyo huchangia vitu vikubwa. Mara ngingi sana watu huwa wanadharau vitu vidogo vidogo ila ni vitu hivi hivi…

  • KITABU, KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI

    Kutoka sifuri mpaka kileleni ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa wakati muafaka kikikulenga wewe ambaye una ndoto ya kufikia eneo kubwa sana maishani. Yaani kileleni. Ndani ya kurasa za kitabu hiki utapata kujifunza vitu kadha kadha ambavyo vitakufanya wewe uzidi kusonga mbele kila siku. 1. Utapata kujua kama unaishi au uko hai. Maana hivi vitu ni…

  • Hii Ndio Zawadi Pekee Ambayo Unapaswa Kuipokea Mikononi Mwako

    Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya pasaka, ikiwa ni siku ya pili. Tangu jana rafiki yangu nimeamua kukupa zawadi ya pasaka ili ufurahie vizuri pasaka yako. Siku zote huwa naamini zawadi nzuri ni ile inayokupa hamasa ya wewe kusonga mbele. Kama ambavyo mtu…

  • KHERI YA PASAKA RAFIKI YANGU

    Habari ya hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako. Nachukua nafasi hii nzuri sana kukupongeza kwa nafasi hii ya pasaka leo, rafiki yangu. Hongera sana. Kama ilivyo kawaida rafiki yangu katika kila tukio linalotokea katika maisha yetu inakuwa ni nafasi bora ya kujifunza. Leo hii pia ikiwa ni…

  • USIKUBALI KUKOSA NAMBA!

    Kila  unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…

  • Vitu Vitatu Vitakavyokufikisha Kwenye Kilele Cha Mafanikio

    Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana. Kufikia kilele cha mafaniko ni rahisi sana. ni rahisi kwa sababu kuna vitu vichache sana ambavyo unahitaji kuvifahamu na vingine kuvipuuzia. Hii ni kutokana na ukweli…

  • Huu Ni Muda Mzuri Unaoweza Kukubali Majukumu

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka songa mbele blog. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana. Hongera sana kwa siku hii rafiki yangu. Maana hii ni siku ambayo haitakuja kujtokeza katika maisha yako yote. hakikisha kwamba unaitumia vyema kabisa maana siku kama hii hapa haitakukja…

  • Ni Kweli Mbwa Mzee Hafundishwi Mbinu Mpya?

    Kuna usemi wa kiingereza unaosema kwamba huwezi kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya.  Watu wanaokubaliana na usemi huu wanaamini kwamba huwezi kujifunza mbinu mpya ukifikisha umri fulani. Watu hawa wanaamini kwamba huwezi kupiga hatua hasa ukishafikia hatua ya uzee katika maisha. Jambo kama hili hapa sio kweli. Ukweli ni kwamba wewe sio mbwa. Inawezekana ikawa ni…

  • Hiki Ni Kitu Unchoweza Kufanya Kuyaabisha Makaburi

    Kwa siku nyingi sana makaburi ya dunia hii yamekuwa yananufaika sana. makaburi haya yamekuwa yakituibia watu wa aina mbali mbali. yaani yametuibia walimu wazuri ambao hawakuwahi kuwa walimu. Yametuibia wafanyabiashara wazuri ambao hawakuwahi kuwa wafanya biashara, yametuibia maraisi wazuri ambao hawakuwahi kuthubutu hata kuongoza hata kikundi cha watu wawili. Hii ndio kusema kwamba makaburi yameiibia…

  • WANAVYOKAMATA NGEDERE NCHINI INDIA (Jifunze Kutoka Kwa Viumbe Hawa)

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako pendwa ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako una unaenda kujifunza kitu kipya. Wahindi wamebuni njia rahisi sana ya kuwakamata ngedere nchini mwao. Wao wanachofanya ni kuhakikisa kwamba wanachukua mtego na kuweka chakula akipendacho ngedere ndani ya…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Tatizo hujajua nguvu yako uliyonayo

    Kila mtu kazaliwa akiwa na nguvu kubwa sana ambayo Imo ndani yake. Kama nguvu hii itatumiwa vyema sana itaweza kumsaidia mtu kuweza kupiga hatua. Iko hivi kila kitu tunachofanya hapa duniani ni matokeo ya nguvu ambayo imo ndani yetu. kila wazo tunalotoa ni nguvu, kila mtu tunayeongea naye tunatumia nguvu. Ukiwaza hasi unatoa nguvu hasi,…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-128 Tatizo hujajua umuhimu wa kusoma vitabu

    Ni katika vitabu pekee unaweza kuongea na watu maarufu, unaaweza kuongea na viongozi wakubwa, unaweza kuongea na wafanya biashara, unaweza kuongea na wajasiliamali, unaweza pia kuongea na wajasiliapesa….Aliandika mtu mmoja. Kama ambavyo tumeona kwenye kidokezo hicho hapo. Vitabu vinakufanya wewe uweze kuungana na kuongea na watu wengi sana. unaongea na watu walio ndani nchi pamoja…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-127 Tatizo hujajua kwa nini umeshindwa

    Kupenda mafanikio ni jambo moja lakini kuwa tayari kulipa gharama ya kuyafikia mafanikio ni jambo jingine ambalo liko upandea wa pili wa shililngi. Ukiingia katika chumba na kuwauliza watu  ni wangapi wanapenda mafanikio? Basi utashangaa kuona mikono mingi sana ya watu ambao wanapenda kupata mafanikio. Lakini ukitoka kwenye kile chumba na kuanza kuwafuatiliwa wale watu…

  • WATANZANIA ACHENI UTANI, TAMTHILIYA HAZIJENGI

    Habari ya siku hii njema ya leo. Leo ni siku njema sana maishani mwangu, ikiwa ni wiki ya sita tangu mwaka huu umeanza. Hongera sana rafiki yangu kwa hatua unazozidi kupiga Moja kati ya vitu vinavyopendwa na watu walio wengi sana ni kuangalia tamthiliya. Vijana, watu wazima, na hata wazee. Yaani unakuta watu wanakesha usiku…

  • ONA FURSA, USITAFUTE MAKOSA

    .Ukipita kwenye  jengo la kinyozi anachoona cha kwanza kutoka kwako ni nywele na jinsi anavyoweza kukuchonga vizuri. SOMA ZAID; Fursa Tano Ambazo Unaweza Kuzifanyia Kazi Kwenye Kilimo Cha Bustani Leo Ukienda sokoni ukapita kwa mama anayeuza mchicha na nyanya cha kwanza kukwambia itakuwa ni kukukaribisha. Utasikia, karibu sana mwanagu. Ni kwa sababu ameshaona fursa ya…

  • Application Nne Unazopaswa Kuwa Nazo Kwenye Simu Yako

    Habari ya siku hii ya leo rafiki tangu, imani tangu kwamba leo ni siku njema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana sasa. Hongera sana kwa kuipata siku hii ya leo rafiki tangu. Kwa hakika leo hii ni siku njema sana hakikisha haipotei.Kwa Sasa hivi tupo katika zama ambazo ni za tofauti kabisa na siku…

  • Viashiria Vitano (05) Vitakavyokufanya Uendelee Kuwa Maskini Maisha Yako Yote

    Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa  makala kutoka blogu yako pendwa ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unaenda kufanya mambo makkubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Karibu sana tuweze kujifunza kwa pamoja jambo ambalo litatupa…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-118 Tatizo unakamuliwa na muda

    Haijalishi unaishi katika sehemu gani hapa ulimwenguni, kitu kikubwa ambacho kinakuunganisha wewe hapo na watu wengine wote ambao umewahi kukutana nao na wale ambao hujawahi kukutana nao maishani mwako ni kwamba nyote mnakuwa na masaa 24. Basi! Hiki ni kiunganishi kikubwa sana ambacho kinakuunganisha wewe hapo na watu wengine wote. Hakuna mtu mwenye muda zaidi…

  • Sauti Tano Ambazo Hupaswi Kuzisikiliza Kamwe

    Habari, baada ya jana kuzungumzia na kudadafua kwa undani juu ya watu watano ambao unapaswa kuwasikiliza. Leo hii ninaenda  kudadafua watu watano ambao kamwe hupaswi kuwasikiliza. Najua unajiuliza, inakuwaje anasema nisiwasikilize baadhi ya watu wakati jana alisisitiza sana juu ya Mimi kusikiliza?Usihofu, ni kweli ni muhimu sana kusikiliza ila kuna sauti zinazoweza kukupoteza kama utaendelea…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-107 tatizo hutaki kujifunza

    Moja kati ya jambo ambalo linaaminiwa sana na watanzania ni ule msemo wa ukitaka kumficha mwafrika kitu, basi kiandike katika kitabu. Binafsi msemo huu ninaenda kinyume chake kila siku. Ila kuna watu wengi sana ambao wanaukumbatia kila mara na kila ninappongea nao basi kisingizio chao ni kwamba waafrika huwa hatusomi vitabu. Waafrika huwa hamsomi vitabu?…

X