Category: Uncategorized

  • Ukipambana Na Nguruwe Utachafuka Mwenyewe Lakini Yeye Atafurahia

    kila siku kuna mambo mapya ambayo yanatokea kila siku. unahitaji kupambana kila siku katika safari yako yako ya kuhakikisaha kwamba unataka kufikia kileleni. unahitaji upambane kwa kwa ujasiri wa hali ya juu sana. kuapambana ni sifa moja kubwa sana ambayo wajasiriamali wanayao. hii ni sifa, ambayo inawatofautisha wao na watu wengine, ambao wana maisha ya…

  • Ifahamu Sheria Ya Kuruhusu

    Ruhusu kitu chochote kinachotokea kwako kitokee lakini pia ruhusu mambo yanayotokea kwa watu wengine yatokee.Kama kuna kitu ambacho kinataka kutokea kwako usianze kukizuia ili kisitokee. Kama utapigana kwa nguvu yako kutaka kisitokee basi kitu hicho kitaendelea kitaendelea kuwepo.Maana sheria ya asili ya uvutano ( _law of attraction_) inasema kwamba unavuta kwako Kile ambacho umewekeza nguvu…

  • KUWA– FANYA— PATA

    (Thoughts lead to feelings which lead to actions then results.) Watu wengi sana wamejengewa msingi wa kwamba kama ningekuwa na kitu fulani ningefanya hiki ili kupata lile. Hii sio kweli.Mfano mtu anayesema kwamba kama ningekuwa na pesa ningenunua gari hivyo ningekuwa na furaha. Sio kweli maana asili ya dunia ni kwamba nguvu ndiyo inavutia vitu…

  • Huu Ndio Wakati wako Kufanya Mabadiliko

    kila kitu kina wakati wake.Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.Wakati wa kubomoa wakati wa kujenga (Mhubiri 3:3-8) Kumbe kila wakati tunapofanya kitu kipya tunakuwa tunapiga hatua kutoka sifuri kwenda moja. ( From zero to one). Kila unapoazisha kitu kipya umebadilisha mambo kutoka sifuri kwenda moja. Kutokana na mabadiliko haya yanayotokea kila siku hatutegemei…

  • Zijue Aina Mbili Za Mbadiliko

    Ili kutoka sifuri kwenda moja mabadiliko ni kitu ambacho hakiepukiki. Maana asili ya dunia ni kubadilika. Hakuna sehemu ambayo inabaki bila kubadilika au kuotesha kitu chochote. Mfano mzuri ni ardhi.  ukiilima ukaweka mazao yanaota na kutoa kile ulichopanda. Ukiiacha bila kuipanda basi jua kwamba bado kuna vitu ambavyo vitaota ambavyo ni magugu ingawa hukuvipanda. Kumbe…

  • Ibua Kipaji Chako Sasa

    watu wakisema hapana sio kwamba unakuwa umefika mwisho. Watu wakisema huwezi haimaanishi kabisa kwamba huwezi. Ebu tujifunze kutoka kwa visa vya watu hawa wachache. Soichiro Honda aliomba kazi kwenye kampuni ya TOYOTA lakini baada usaili hakupewa kazi.Kukataliwa kwa Honda hakikuwa kikwazo bali chanzo cha kutoka sifuri kwenda moja. Alichokifanya Honda alianzisha kampuni ya kutengeneza baiskeli…

  • Nani anaweza kuniambia kichwa cha makala hii- 2

    Uzuri unapofahamaika kwa dunia kama kitu Kizuri, kinakuwa kitu kibaya. Busara zinapofahamikka kwa dunia kama kitu Kizuri, huwa uovu. Kwa hiyo kuwa na kutokuwa huzaliana. Ugumu na urahisi hukamilishana Urefu na ufupi hutengenezana Juu na chini hutofautishana Mbele na nyuma hufuatana  Kwa kulifahamu hili basi utafanya kazi zako bila kuangalia watu wengine wanasemaje kwa kufuata…

  • Liwezekanalo Leo Lisingoje Kesho

    Kama ungekuwa siku moja ya kuishi duniani ambayo ni leo ungefanya nini?Ni kitu gani ungefanya kumalizia muda wako wa mwisho wa kuishi hapa duniani? Bila shaka kama ungekutana na watu ungeongea nao vizuri.Kama  kuna mtu umemkosea basi ungemwomba msamaha lakini pia kusamehe waliokukosea.Kama ni kazi basi ungehakikisha unaifanya vizuri.Yaani kiujumla kila kitu kingefanyika vizuru sana.…

  • Tembea na notebook

    Note book ni kitu muhimu ambacho unahitaji kutbea nacho kila mahali uendapo.Hii itakusaidia1. Kusoma na kurudia malengo yako Mara kwa mara.Muda mwibgine unaweza kuanza kufanya vitu lakini kumbe vitu hivyo vipo nje ya malengo kwa kurudia kusoma malengo yako kutakufanya ubaki umeiweka akili yako kwenye lengo lako kuu. 2. Itakusaidia kuandika mawazo. Wakati unafanya kazi…

  • NIMEZALIWA MSHINDI; MAWAZO—–>HISIA—>MTENDO—–>MATOKEO

    Habari za leo Rafiki yangu. Imani yangu umeianza wiki hii vyema ukiwa unaenda kufanya makubwa sana wiki hii.karibu sana Leo hii tutafakari hiki kitu Thoughts ➡feelings ➡actions➡results Kila kitu ambacho unacho katika maisha yako umekivuta kwako kwa mawazo yako ambayo unafikiria. Kiwe Kizuri au kibaya. Mawazo ndiyo hupelekea hisia zako unazopata. Kumbe hisia zozote utakazopata…

  • NIMEZALIWA MSHINDI; Kauli Muhimu Ambazo Unapaswa Kuzitumia

    Wahenga walisema kwamba meneno huumba. Hii ni kauli muhimu sana ambayo unahitaji kuifahamu na kuitumia kwenye maisha yako kwa ajili ya kupata kilichobora. Kila kauli unayoitoa huwa inaleta madhara yake, kwako. Ukisema kwamba kwa hakika hili siliwezi, basi umemaliza. huliwezi kweli! Ukisema mimi ni mjinga, ni kweli wewe utakuwa mjinga. Kumbe kama maneno yanaumba basi…

  • NIMEZALIWA MSHINDI; AMUA➡AMINI➡PATA

    “napoamua kwamba nitafanya kitu fulani, inatosha, maana uamuzi huwa unafanya Mara moja tu’ alisema Tonny Robbins mwandishi na mjasiliamali wa kimarekani. Kwa kitu chochote Kile unachotaka uamuzi huwa unafanyika Mara moja. Ndio maana ukienda dukani kununua kitu hurudii rudii kitu kilekile Mara kwa Mara. Bali ukisema niletee nguo fulani basi unakuwa umemaliza. Au ukifanya muamara…

  • Huwezi Kumkodisha Mtu Wa Kukupigia Push Up

    Habari za leo rafiki yangu. Imani yangu kuwa umeamka vizuri asubuhi ya leo na unaenda kufanya makubwa. Leo tuangalie jinsi ambavyo huwezi kumkodisha mtu kukupugia push up Najua huwa unasoma vitabu na makala nyingi sana za kuelimisha na kukuhamamisha kila siku. Kama ulikuwa hujaanza kufanya hivyo anza leo. Mambo yote ambayo unayasoma na kuhamasika hayatafanya…

  • Nani Anaweza Kuniambia Kichwa Cha Makala Hii?_

    1.Safari ya maili mia moja huanza na maili moja.Ghorofa kubwa imejengwa kwa matofali hvyo chochote kikubwa unachohitaji kinaanza na hatua ndogo usikate tamaa 2.Kuna hazna tatu muhimu  unazoweza kuzitumia kwenye maisha yako.  (@)ya kwanza ni huruma,kuwa na huruma.  (@)hazina nyngne ni kutokutumia zaidi ya unachopata(ubahiri)  (@)kutokwenda kinyume na sheria za asili. 3.Maneno ya kweli sio…

  • NIMEZALIWA MSHINDI: IJUE KANUNI YA PASI NA HAKIKISHA UNAITUMIA

    Habari za siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele blog. Leo ni siku njema sana kwetu na tunaenda kuweka juhudi kubwa sana kuhakikisha kwamba tunaweza kufikia mafanikio makubwa sana.Kumbuka kwamba leo ni siku ya tofauti na siku nyingine ambazo umewahi kukutana nazo maishani mwako. Weka juhudi kubwa sana…

  • HII NI BARABARA AMBAYO UNAWEZA KUICHUKUA MAISHANI

    Kuna mwanamziki mmoja aliwahi kusema kwamba “maisha ni safari, na ya kwangu ishanoa nanga”.Bila shaka safari ambayo anaizungumzia hapa sio safari nyingine bali safari ya kutoka sehemu moja ya chini na kwenda sehemu nyingine ya juu kabisa. Na hii inaweza kudhibitishwa na ukweli kwamba mwanadamu ni mtu ambaye siku zote anakua. Yaani tangu siku ya…

  • NIMEZALIWA MSHINDI; NI BORA KUOMBA SAMAHANI KULIKO KUOMBA RUHUSA..

    Moja kati ya vitu ambavyo unavihitaji katika dunia hii ni ubunifu. Nimegundua kitu ambacho kinawatofautisha waliofanikiwa na wale ambao  bado wako chini ni ubunifu. Mara nyingi ubunifu huwa unatokana na mambo mawili Moja, kile ambacho wewe unaona kwamba ni shida kwako ila ukikitatua unaona ni msaada kwako na kwa watu wengine. Pili, shida ambazo zinawakuta…

  • Makosa Mawili (02) Ambayo Vijana Wanaoomba Kazi Wanafanya

    Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele, Imani yangu kwamba leo ni siku bora na njema sana kwako. Unaenda kuweka juhudi na kuhakikisha kwamba umeweza kupiga hatua kubwa sana. Hakikisha kwamba unaweka juhudi na unafanya kazi zako kwa weredi wa hali ya juu sana ili uweze kufikia…

  • NIMEZALIWA MSHINDI; Mambo Manne (04) Yatakayokufanya Ung’ae

    Kama Unataka kuwa millionea lazima ufanye ambavyo mamilionea wanafanya. Kama unataka kuwa mwanamziki lazima ufanye kama ambavyo wanamziki wanafanya. Watafute watu ambao unaona kwamba wao wamefanikiwa katika sekta ambayo na wewe unataka kung’aa ili na upate sehemu nzuri ya kuanzia. Angalia wanafanya nini ila hakikisha kwamba unajitofautisha wewe mwenyewe na kufanya kwa namna ya tofauti.…

  • NIMEZALIWA MSHINDI; Huyu Ni Mtu Ambaye Hashikiki Kwenye Karne Hii Ya 21.

    Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele vitu navyo vinazidi kushuka na pengine vingine vinazeeka. Vipo vingine vinavyotoweka kabisa katika ulimwengu huu na kutoonekana. Mfano kuna wanayama ambao wanaitwa dinosaurs wanyama hawa wametoweka kabisa kwenye uso wa dunia na hawaonekani kabisa. Leo imebaki kuwa historia kwamba walikuwepo basi hauna mingine cha ziada. Labda tu pengine kuonekana kwenye…

X