-
Ifahamu Nguvu Kubwa Iliyo Katika Picha/Kideo Na Jinsi Makampuni Makubwa Yanavyoitumia Kwa Manufaa
Picha au video ni muhimu sana katika matangazo. Unapokuwa unafanya matangazo yako unapaswa kutafuta namna ya kuvitumia hivi vitu viwili. Ndio maana unaona kila siku utakuta kampuni kubwa kama Cocao zinaweka matangazo ya picha njiani. Zinatumia kideo kwenye runinga na hata mtandaoni. Hawaweki maneno matupu. Wanafanya hivyo kwa sababu wanaijua na kuitumia nguvu ya…
-
Faida Za Kuwa Blogu Ambazo Hakuna Mtu Amewahi Kukwambia
Siku ya leo nitakuwa nikijibu malalamiko yaliyotewa na mmoja wa wasomajj kwenye kundi la WhatsApp Talent School. Hili ni kundi maalumu kwa ajili ya watu wenye vipaji vyao na jinsi wanavyopaswa kuviendeleza. Huyu msomaji aliiandika ujumbe uliosomeka hivi: Mwanzoni Madarasa yalikuwa yanatumwa tunasoma humu, nowadays ni Blogs tuu🤭 Kujibu malalamiko yake niliandika hivi Mpaka…
-
Maswali Manne Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Baada Ya Kusoma Kitabu
Kusikiliza Makala Hii BOFYA HAPA Kwanza napenda ufahamu kuwa kila unapochukua kitabu basi walau unapaswa kupata kitu kimoja tu ambacho utafanyia kazi. Kama umesoma kitabu ukapata hata kimoja, inatosha; kifanyie kazi kwanza hicho kitu. Haifai usome kitabu halafu utoke bila kitu. Halafu kazi yako iwe kuwambia watu kuwa umeshasoma kitabu fulani na kitabu fulani. Hilo…
-
Kanuni Muhimu Unayopaswa Kuitumia Kwenye Kugawa Utajiri Wako
Kusikiliza makala hii BONYEZA HAPA Umewahi kusikia usemi wa one mistake, onge goal? Yaani, ukiwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu ukafanya kosa moja tu, kosa hili hapa linaweza kukupeleka wewe kufungwa goli ambalo litakunyima ushindi wa siku hiyo. na kama mechi hiyo ni fainali maana yake ndio umeshakosa kombe. halafu usiombe siku hiyo mkafungwa…
-
KITABU: MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE
Hivi umewahi kuona wazungu wanavyokuja hapa nchini na kuzunguka huku na kule. Na hata kutembelea vivutio ambavyo vipo karibu yako wakati wewe ukiwa hujawahi kuvitembelea. Huwa wanawezaje kukaa hapa nchini kwa mwezi au zaidi? Je, huwa hawana kazi huko kwao? Moja ya kitu ambacho huwa wanahakikisha wanakuwanacho ni fedha inayowafanyia kazi. Ubora siyo tu…
-
MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE
Kitabu kilichoeleza mambo makubwa kuhusu uwekezaji kwenye hisa, HATIFUNGANI NA VIPANDE kwa lugha rahisi sana. Ukisoma kitabu hiki utaelewa vizuri ulichosoma na hivyo kukusaidia kuchukua hatua haraka. Ubora ni kuwa unaweza kupata kitabu hiki kwa bei ya vocha kabisa.Yaani, elfu nne tu. Najua utaanza kusema elfu nne siyo bei ya vocha. Nakubaliana na wewe…
-
Vitu Kumi Na Tatu Vya Kufanya Kipindi Hiki Ambapo Gharama Za Miamala Ya Simu Imepanda Bei
Kusikiliza makala hii kwa sauti BONYEZA HAPA Kuanzia juzi tarehe 15 julai, mitandao ya simu imepandisha gharama za kutuma na kutoa fedha ambapo kwa sasa kwa baadhi ya miamala gharama ya kutuma na kutoa fedha ni mara mbili ya ilivyokuwa hapo mwanzo. Kuna utani kuwa sasa hivi itakuwa bora kumtuma bodaboda fedha zako apeleke kwa…
-
Kama hukupata kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, FANYA HIVI SASA HIVI?
Kwa miaka iliyopita nilikuwa nimezoea kuwaambia marafiki zangu mara kwa mara kwamba, unawezaje kuishi kwenye nchi yako bila kuwa na umiliki wa kipande kidogo cha ardhi? Nikawa nawaambia kwamba mtanzania yeyote ambaye hamiliki kipande chochote cha ardhi kisheria anakuwa ni mgeni kwenye nchi yake. Ni ujumbe ambaobaadhi wameufanyia kazi na wengine wameupuuza pia. Sasa…
-
Aina Tano Za Ujuzi Unaouhitaji Ili Uweze Kufikia Malengo Yako
Watu wengi wanadhani kuwa ukiweka malengo tu basi kinachofuata inakuwa ni tiketi ya wewe kuyafanikisha. Siyo hivyo. Kuna vitu vinahitajika ili kukusaidia wewe kufanikisha malengo yako. Na kwa leo nitakushirikisha aina tano za ujuzi unaouhitaji ili uweze kufikia malengo yako. 1. Unahitaji ujuzi wa kuweka malengo sahihi. Siyo kila lengo ni sahihi kwako. Na siyo…
-
Tabia Tano Unazopaswa Kujijengea Ili Ufanikiwe Mara Kumi Zaidi
Siku ya leo ninakuletea tabia Tano muhimu ambazo unapaswa kujenga ili uweze kufanikiwa mara kumi zaidi kwenye maisha. 1. Kujiamini Kuna watu wengi wasiojiamini. Unakuta mtu hata anashindwa kutoa hoja yake mbele ya watu kwa sababu ya kutojiamimi. Wewe jiamini. Unapoongea na watu jiamini. Unapoongea na watu kwenye simu, jiamini. Unapokuwa unatembea njiani, jiamini. 2.…
-
Kitu Muhimu Ambacho Hupaswi Kukosa Kufanya
Kuna kitu muhimu ambacho hupaswi Kukosa Kufanya kila siku. Kitu hiki ni kujipa muda wa kuwa na wewe. Yaani, kuwa peke yako. Ujue mara nyingi huwa tunatoa muda wetu kwa wengi ila sisi tunajisahau. Tunatoa muda kwa familia, kazi, biashara, mitandao n.k. ila unakuta kuwa sisi wenyewe tunajisahau. Hivyo basi kuanzia leo usijisahau. Tenga muda…
-
Jinsi Vitu Vidogo Vinavyoweza Kukupa Vikubwa (Mfano Kutoka KWENYE Biblia) Sehemu ya kwanza
Hapa tunaenda kuona mifano ya nguvu ya vitu vidogo katika kufanya mambo makubwa kutoka kwenye Biblia. Kwenye Biblia kuna mifano mingi ya watu ambao walitumia vitu vidogo katika kufanya makubwana kwa kuanzia kabisa ni Mungu mwenyewe. Katika uumbaji tunaona Mungu anatumia kitu kidogo na kisichokuwana tahamani; ila yeye anakipa thamani kubwa sana. anatumia mavumbi…
-
Tabia Muhimu Ya Kimafanikio Unayopaswa Kuijenga wakati unatimiza majukumu ya siku
Siku ya leo, nimeona nikudokeze tabia muhimu ambayo unapaswa kuijenga kadiri unavyokuwa unaiendea siku yako. Na tabia hii siyo nyingine, bali ni tabia ya kufanya na kukamilisha majukumu yenye umuhimu mkubwa zaidi kwanza kabla ya kufanyia kazi majukumu mengineyo. Ukianza kufanyia kazi majukumu yenye umuhimu mkubwa zaidi, hata luda wako ukiisha bila ya kufanya kazi…
-
Nguvu Ya Hatua Ndogondogo Kuelekea Mafanikio Makubwa
Hatua ndogo ndogo unazochukua kila siku ndizo zitakupa mafanikio makubwa. Usidharau hatua hizi hapa, kadiri utakavtoendelea kupiga hatua hizi ndivyo utajikuta kwamba unazidi kusonga mbele na kufanya makubwa zaidi. Kila la kheri.
-
Kitu Muhimu Kinachokwamisha Wafanyabiashara na watu binafsi katika kufikia malengo yao
Katika harakati za kukuza biashara na uchumi binafsi kuna kitu ambacho kinawakwamisha wafanyiashara na watu binafsi kufikia malengo yao. Kitu hiki ni kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja kwa matarajio ya kufanikiwa haraka. Mambo mengi kwa wakati mmoja yanakupoteza. Ndio maana wahenga walishasema kuwa, miluzi mingi ilimpoteza mbwa. Kama unataka kufanikiwa basi chagua kitu…
-
Watu wawili unaopaswa kujenga nao urafiki
Kuna watu wawili ambao ukijenga nao urafiki hawatakuangusha. Moja ni VITABUJenga urafiki na vitabu. Ukiwa na shida ukiongea na kitabu (unaongea na kitabu kwa kukisoma) utapata wazo jipya la kukusaidia. Utaondoa msongo n.k.Kama hauna wazo lolote le kufanyia kazi na kuboresha kazi, biashara au mahusiano, kitabu kina uwezo wa kukusaidia.Kitabu ni rafiki ambaye hswezi…
-
Raha Kubwa Ya Kutatua CHANGAMOTO Ni Hii Hapa
Kadiri unavyotatua CHANGAMOTO moja na kusonga mbele ndivyo unavyozidi kuwa imara zaidi na zaidi. Washindi wanalijua hili ndio maana wakikutana na CHANGAMOTO hawazikwepi badala yake wanatumia hizo hizo CHANGAMOTO kusonga mbele zaidi. CHANGAMOTO, VIKWAZO au matatizo huwaimarisha baadhi ya watu, huku WENGINE vikiwabomoa. Jifunze namna bora ya kukabiliana na kila CHANGAMOTO inayokuja kwako kupitia kitabu…
-
HIKI NDIO KIPIMO KIZURI CHA UKOMAVU, NA KIASHIRIA KUWA UTAFANIKIWA SANA
Moja ya kipimo Cha ukomavu ni uwezo wa wewe kushughulika na matatizo, CHANGAMOTO na vikwazo unavyokumbana navyo. Hiki ni kitu muhimu sana kwenye maisha. Maana siku zote, ushindi mkubwa hutanguliwa na vikwazo. Hata hivyo, washindi wanajua siku zote kuwa kushindwa au kuanguka siyo kitu ambacho KINAPASWA kuwakwamisha badala yake kikitokea ndio inakuwa chachu yao…
-
Mwandishi Anapaswa kutumia Muda Gani Kuandika Kitabu Na Kukikamilisha?
Muda unategemea na topic unayoandikia. Inategemea pia unaandika hiyo topic kama nani? 👉mtafiti 👉MBOBEVU 👉mtaalamu 👉mwanafunzi 👉au unashirikisha UZOEFU wako. Ila kwa vyovyote vile kitu muhimu ambacho mwandishi yeyote yule atapaswa kufanya ni utafiti juu ya kile anachoandikia. Hii haijalishi wewe Ni mbobevu au una uzoefu mkubwa. Utapaswa kufanya utafiti juu ya mada yako. Na…
-
Weka Kazi
Unapokuwa na fikra za kufanyia kazi kitu, kifanye. Usisubiri mpaka mambo mengine yote eti yakae sawa. Usisubiri eti uwe na kompyuta ili uandike. Usisubiri ununue gitaa ili uanze kuimba. Wala usisubiri uwe bilionea ili uweke akiba. Weka kazi, anza na kidogo, Kisha hicho kidogo endelea kukikuza ili kiwe kikubwa zaidi. Nakushukuru sana kwa kuweza…
