-
Kitu Muhimu Unachopaswa kupigania Mara Zote
Rafiki yangu, nakusalimia. Na leo nimeona nikukumbushe kuwa unapaswa kujenga utaratibu wa kuutafuta ukweli kwenye jambo husika. Siyo tu uwe mtu wa kumezeshwa na kukubali kila kitu, wakati wengine wanasema hivyo vitu kwa hila ili wakuhadae. Kwa hiyo basi mara zote nenda hatua ya ziada katika kuutafuta ukweli, maana pia imeandikwa kuwa ukweli utakuweka huru.…
-
Hatua Tano Za Kupata Bahati
Siku ya leo napenda kukueleza hatua tano za wewe kupata bahati kwenye maisha. Kwanza, unahitaji kujua unahitaji kupata bahati kwenye eneo gani. Pili, unahitaji kujiandaa na hata kuanza kufanya hicho kitu. Bahati hutokea pale ambapo fursa hukutana na maandalizi. Tatu, unahitaji kuwa mvumilivu. Siyo unatangatanga huku na kule na kukimbilia kila fursa inayokuja kwako.…
-
Kosa linalowakwamisha Wengi Hili Hapa
Kosa kubwa linalowakwamisha wengi ni kulimbikiza kazi ambazo wanapaswa kufanya. Hili kosa linakugharimu sana. Kama kuna kazi ambayo unapaswa kuifanya, ifanye na itekeleze kwa wakati. achana na mambo ya kulimbikiza kazi. Kila la kheri Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel…
-
Kitu Gani Hufanya Uwekezaji Kuwa Mzuri? (What Makes A Good Investment?) By Mo Dewji
Hivi ni kitu gani kinafanya uwekezaji kuwa mzuri? ni kitu gani ambacho kinapaswa kukusuma wewe kukimbilia uwekezaji fulani? Siku ya leo tunaenda kujifunza kutoka wa Mo Dewji kuhusu uwekezaji bora. Mo Dewji ni bilionea kwa thamani za fedha za kimarekani hivyo ni wazi kuwa ana busara za kutosha kuhusu uwekezaji na tunaweza kujifunza kutoka kwake…
-
Ujumbe muhimu kwa kijana anayetaka kufanikiwa (Vitu Vinne Vya Kuzingatia)
Siku ya Leo Nina ujumbe kwako kijana unayetaka kufanikiwa. Moja, jua haswa nini unahitaji maishani. Pili, chukua hatua sahihi kuelekea kile unachotaka. Haitoshi tu kujua unachotaka, bali pia unapaswa kuchukua hatua hata kama ni ndogo sana. Ikumbukwe kuwa ukihitaji kuhamisha mlima, anza kwa kuondoa jiwe moja. Tatu, wasaidie watu kupata wanachotaka. Tayari umejua unachotaka,…
-
JIHAMASIHE MWENYEWE
Kila mara jihamasishe MWENYEWE kufanya kazi au kitu fulani. Usisubiri mpaka hamasa itokee ndio ufanye kitu. Kuna siku nyingine unakuwa hauna hamasa ila bado unapaswa kukifanya HICHO kitu. Moja kati ya kazi yako kubwa kujihamasisha mwwnyewe. 1. Jihamasishe MWENYEWE kwa kuandika malengo yako kila siku na kujikumbusha kwa nini wewe unapaswa Kuyafikia. 2. Jihamasishe…
-
Nenda Viwango Vingine Wewe
Leo asubuhi nimeamka na kusikiliza wimbo wa William Yilima. Wimbo huu unaitwa Hii siyo ndoto yangu, Naupenda wimbo huu maana mtunzi anataja baadhi ya vitu ambavyo siyo ndoto yake na hivyo ameamua na kuazimia kuwa hivyo vitu siyo ndoto yake. Badala yake ameamua kwenda viwango vingine Mtunzi anaanza kwa kusema kwamba hii siyo ndoto yangu……
-
HUWEZI KUMKODISHA MTU WA KUKUPIGIA PUSH UP
Kuna vitu katika maisha huwezi kutafuta mtu wa kukusaidia wewe kuvifanya Ni LAZIMA tu uvifanye mwenyewe.Huwezi kukodisha mtu wa kuweka Malengo kwa ajili yako.Huwezi kukodisha mtu wa kula kwa niaba yakoHuwezi kukodisha mtu wa kupenda kwa niaba yakoHuwezi kukodisha mtu wa kupiga push-ups kwa noaba yako. Ni lazina tu wewe upige push-ups zako. Kwa…
-
GODIUS RWEYONGEZA Books
GODIUS RWEYONGEZA Ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali ambaye amejikita katika kuhakikisha anatimiza kusudi lake la kuwafanya watu wawe na maisha bora na kupiga hatua kubwa kimaisha kupitia kazi zake. Amekuwa akifanya hivi kupitia maandishi yake, semina na mafunzo anayotoa kwa watu na taasisi mbalimbali. Mtandao wake wa SONGA MBELE umeweza kuwasaidia wengi kubadili maisha…
-
TATIZO LAKO WEWE
Kama naona jinsi utakavyoruka andiko hili . Maana umeona pameandikwa TATIZO LAKO, basi unaona ulipite ukaendelee na mambo mengine. Hutaki kujua tatizo lako ni nini. Ndivyo ilivyo kwa wanadamu, mtu akisikia yanaongelewa matatizo ya wengine Basi ndio kwanza anatega sikio ili ayasikie vizuri wakati utakuta na mwenyewe ana matatizo Kama hayohayo. Tena unaweza kukuta…
-
Vitu Vitano Vya Kuepuka Unapoamka Asubuhi
Moja, epuka kusikiliza taarifa ya habari. Asubuhi ni muda ambao akili inakuwa inafanya kazi kwa viwango vya juu, utumie muda huu kusoma na kujifunza mambo ya maana badala ya kusikiliza taarifa ya habari ambayo ni hasi. Soma Zaidi: Sababu Tano Kwa Nini Unashindwa Kuamka Asubuhi Na Mapema Na Kitu Gani Unaweza Kufanya Sasa Hivi Pili, epuka…
-
Kuanzia Chini Ni Tiketi Ya Kufika Juu
Kuanzia chini kusikuzuie wewe kuendelea kuiona picha kubwa. Endelea kuiona picha kubwa hata kama umeanzia chini.Kuanzia chini kuwe Ni tiketi ya wewe kuzidi kupanuka kila Mara. Usikubali kubaki nyuma Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA…
-
RIPOTI MAALUMU: HATUA 15 ZA KUFUATA ILI KUANDIKA MAGAZETINI
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza Hivi na mimi naweza kuandika kwenye magazeti? Napataje namba za wahariri? Hili swali au mengine ya aina hii yamekuwa yakija kwangu mara mara. Sasa kutokana na uzoefu wa takribani miaka mitatu wa kuandika magazetini nimeandika ripoti maalumu kueleza kiundani kuhusu uandishi wa magazetini. 1. Hatua muhimu za kufuata ili kupata nafasi…
-
Ninawezaje kununua hisa na ninatakiwa kuwa na shilingi ngapi?
Inategemea unanunua hisa za kampuni gani. Kuna hisa ziko juu kwa bei na nyingine ziko chini. Hivyo kiwango kitatofautiana ila ukiwa na fedha ya hisa kumi, unaweza kununua. Iko hivi. Tuseme wewe unapenda kununua hisa za kampuni SMB (SONGA MBELE BLOG). Hahah! Halafu, hisa za kampuni hii zinazuzwa kwa shilingi 500 kila hisa. Hii…
-
Kitu muhimu unachopaswa kukifurahia
Wafuatiliaji wa mpira huwa wanapenda sana kufuatilia ligi kuu na kuona jinsi ambavyo timu yao inazidi kupanda juu kwenye viwango. Kitu hiki hufanya wajue kwa hakika nini kinaendelea na nini kinaweza kufanyika ili timu yao iendelee kuwa kileleni. Sasa na wewe kuna mchezo ambao unaweza kuufurahia. na mchezo huu ni mchezo wa kukuza utajiri wako.…
-
Kama huoni pa kuanzia kabisa ili kupata fedha Basi Anza
1. Kwa kutumia nguvu zako (fanya kazi kutumia nguvu zako ulipwe) 2. Kwa kutumia muda wako (Kuna watu wako bize na wewe una muda wa kutosha tu. Utumie kuwasaidia hao watu ili wakulipe) 3. Tumia ujuzi wako (Sasa sijui wewe una ujuzi gani, kama hauna ujuzi wowote futa app ya facebook kwa mwezi mzima Kisha…
-
MAKOSA Matano Yanayokurudisha Nyuma Kiuchumi
Kuna makosa matano ambayo watu wanafanya, kitu kinachosababisha watu hao warudi nyuma. Yaepuke makosa haya kama ukoma Moja ni kosa la kununua bando la kuchati, kufuatilia maisha ya watu wengine. USHAURI: KAMA hauna kitu cha maana cha kuongea na watu wala kufanya mtandaoni bora usinunue bando. Itumie hiyo fedha kuweka akiba au kuwekeza. Pili, kuwekeza…
-
JINSI ya kunufaika na blogu kwa kazi yako unayoifanya.
Jana juna mtu alinifuata inbox na kuniuliza swali hili hapa. Kaka , salama ? Mimi nawezaje kunufaika na blog kazi yangu ni mhubiri neno la Mungu Ujimbe niliomjibu naamini utakuwa wa msaada kwako pia nilimjibu hivi. 1. Mahubiri yako yatakuwa hewani na kutuzwa. Kitu ambacho kitawasaidia wasomaji wako hata ambao hawakujui kuweza kuyasoma kwa wakati…
-
Chagua kitu kimoja hapa
Mwezi wa sita ndio huu umefika, nikusaidie nini? 1. Kuanzisha tabia ya kusoma vitabu itakayodumu 2. Nikusaidie uanze kuandika kitabu chako 3. Kujijengea tabia ya kuweka akiba hata kwa kuanza kidogo. 4. Kuachana na uraibu wa mitandao ya kijamii 5. Kuachana na uraibu mwingine. 6. Nikusaidie ujenge tabia ya kufanya mazoezi 7. Kuanza kutengeneza fedha…
-
Vitu Vitano Vinavyokuzuia Kufanikiwa
Hufanikiwi kwa sababu unavunja Sana sheria za mafanikio. Na kama utaendelea kuvunja hizi sheria ujue utaendelea kukwama. Sasa zifuatazo ni sheria tano unazovunja. Zifuate kwa manufaa yako. Moja, Ni kile unachoingiza kichwani mwako. Ujue unachoingiza kichwani ndicho utatoa nje. Hivyo kuwa makini kuingiza kitu kizuri kichwani. Soma vitabu na kaa na watu chanya. Kumbuka,…
