-
Hiki Ni Kitabu Pekee Ambacho Nitasoma Mwaka Huu Mzima
Kwa mwaka huu 2021 kuna kitabu kimoja ambacho nitasoma kuanzia Januari mpaka Disemba. Sio kawaida kwangu kusoma kitabu kwa muda mrefu kihivyo, ukizingatia kuwa huwa nasoma walau kitabu kila wiki. Ila kwa mwaka huu kitabu cha Peter Drucker kinachoitwa The Daily Drucker nitakisoma mwanzo wa mwaka mpaka mwisho. Kukielewa kitabu hiki inabidi kwanza tumwelewe Peter…
-
Kamwe Usichoke Kufanya Kitu Hiki
Kamwe, Usichoke kujifunza kila siku. Siku utakayosema umechoka kujifunza ndiyo siku utakayoamua kufa. Kujifunza Kuna manufaa mengi hasa kwenye ulimwengu wa Sasa ambapo akili za watu wengi zimewekwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa hiyo, badala ya kuweka nguvu kubwa kwenye kufuatilia mambo ambayo si ya maana, weka nguvu kwenye mambo yenye maana na hasa kujifunza. …
-
Edius Katamugora Afunguka Mazito Kuhusu Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO
Asema Ni kitabu Bora Kuwahi Kuandikwa Kwenye Eneo Lake Edius Katamugora ni mwandishi mbobevu akiwa ameandika vitabu kadhaa kwenye maendeleo binafsi. Amepata nafasi ya kusoma kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO na haya hapa ndiyo anayosema; “Wakati ujao unamilikiwa na wale wanaoamini katika uzuri wa ndoto zao,” alisema Eleanor Rososevelt mke wa aliyewahi…
-
Madhara ya kuwa mzembe
Rafiki yangu, hongera kwa kupata nafasi ya kuiishi leo. Hakikisha unaiishi leo kwa kufanya kazi kwa bidii, maana uzembe hauna faida yoyote ile maishani. Kufanya kazi kwa bidii kunalipa, tena kunalipa sana. Kwa leo sitaongelea faida za kufanya kazi ambazo najua ni nyingi sana na ninajua unazijua tu. Ila ninataka nikwambie hasara moja kubwa…
-
Kitu Kimoja Kitakachokukwamisha 2021
Rafiki yangu unaendeleaje. Watu wengi huwa wanaanza mwaka mpya kwa mbwembwe nyingi kwelikweli. Mwaka unapoanza watu wanaweka malengo makubwa na kuanza kuchukua hatua. Hata hivyo, huwa haichukui muda mrefu, watu hao huwa wanaanza kusahau malengo yao na kuanza kufanya kazi na vitu vyao kama walivyozoea. Na hata wale ambao huwa wanaendelea kufanyia kazi malengo…
-
Jinsi ya Kupata Fedha Nyingi Ndani Ya Mwaka Kuliko Ambavyo Umewahi Kupata Maisha Yako Yote
Jana niliandika makala iliyokuwa inaonesha ni jinsi gani unaweza kuibadili dunia. Kwenye makala hiyo nilikuwa namwongelea Elon Musk kama mfano. Kiufupi, ukiangalia jinsi Elon Musk alivyoweza kuwa bilionea nambari moja duniani, unagundua kuwa ametengeneza fedha nyingi sana ndani ya mwaka mmoja uliopita kuliko miaka yote ambayo amewahi kuishi hapa duniani. Sasa ni kitu gani kimemwezesha…
-
JINSI YA KUIBADILI DUNIA: Vitu Saba Vya Kufanya Kama Unataka Kuibadili Dunia
Jana karibia kwenye kila mtandao yote ya kijamii, habari iliyoshika vichwa ilikuwa ni bilionea mpya kwenye nafasi ya kwanza, Elon Musk. Video na makala nyingi ziliandikwa kuhusu bilionea huyu. Ila ukiangalia haya yote yaliyoandikwa, unapata kitu Kimoja kikubwa kutoka kwa bilionea huyu. Na kitu hiki ni kuwa ANAIBADILI DUNIA. Anaibadili kwa vitu anavyofanya na kuifanya…
-
Historia Ambayo Hupaswi kuiacha Hapa Duniani Ndiyo Hii Hapa
Ndiyo. Kuna historia ambayo Hupaswi kuiacha hapa duniani. Ile historia ya kuwa ulizaliwa jumatatu, ukaenda shule jumanne, ukahitimu jumatano, alhamisi ukaoa/kuolewa, ijumaa ukaumwa, jumamosi ukapelekwa hospitali na jumapili ukafa na kuzikwa. Asilimia kubwa ya watu wa kawaida wamekuwa wakiacha historia ya aina hii. Historia ambayo haina kitu chochote cha thamani ambacho kimefanyika. Maisha ni…
-
Maswali Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Kabla Ya Kuachana Na Ndoto Yako
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Jana nilikuwa naongea na rafiki yangu ambaye amekuwa na ndoto kubwa ya kuandika tamthiliya, hata hivyo, amekuwa akihairisha zoezi kwa miaka mingi ni jana tu baada ya kusoma kitabu changu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO alimua kuchukua hatua, akanunua daftari na kuanza moja kwa…
-
USIPOIOA NDOTO YAKO MUDA WA KUTOSHA SIKU 1: Usipoipa ndoto yako muda wa kutosha, utatumia asilimia kubwa ya muda wako Kufanikisha ndoto za watu wengine. Hivyo ni muhimu sana kuanzia leo uhakikishe unaipa ndoto yako muda. Ukiipa muda wako utakuwa na uwezo wa Kufanikisha. Usipoipa muda kuifanikisha itakuwa ni vigumu.
-
Vitu Vitano Unavyopaswa Kufanya Ili Kufanikiwa 2021
Rafiki yangu kheri ya mwaka mpya kwako. Siku ya leo nimeona nikushirikishe vitu vitano ambavyo vitaufanya mwaka wako mpya uweze kuwa wa mafanikio makubwa sana Kitu cha kwanza ni kuhakikisha kwamba unakuwa mvumilivu. Kuna usemi wa Warren Buffet naupenda sana. anasema kwamba kuna baadhi ya vitu kwenye maisha havihitaji haraka, huwezi kuwapa wanawake…
-
Mambo Muhimu Ambayo 2020 Imenifunza
Mwka 2020 umekuwa mwaka wenye mabo mengi ndani yake. yafuatayo ni machache niliyojifunza ndani ya mwaka huu. 1. anza kuwekeza mapenda na endelea kuwekeza. 2. ukianguka chini na kupoteza kila kitu. huo ndio muda mzuri wa wewe kuanza kwa sababu hauna cha kupoteza tena maana umeshapoteza kila kitu. anza kwa nguvu na kasi mpya 3.…
-
Vitu Vitano Unavyopaswa Kuzingatia Kabla Hujaingia Ndani Ya Mwaka Mpya 2021
mwaka mpya 2021 Jana nilikuwa nasikiliza wimbo wa Ben Paul unaoitwa Sikukuu. Hii ni kava ya wimbo zamani kidogo ulioimbwa na bendi ya Jobiso. Kwenye wimbo Kuna mstari unaosema miaka inaenda mbio.. Ndio ni ukweli kuwa miaka inazidi kusogea na kila siku inayopita ndiyo inazidi kupita. Na mwaka huu hatimaye na sasa umefika mwishoni. Nakumbuka…
-
Vitu Vitano Vya Kufanya Kabla Ya Mwaka Mpya 2021
Mwaka Mpya 2021 1. Weka malengo matano makubwa ambayo utayafanyia kazi 2021. 2. Azimia kujijengea utaratibu wa kutunza kumbukumbu za mambo yote utakayojifunza ndani ya 2020. Na ili kuwezesha hili hakikisha unanunua diary. 3. Anzisha blogu ambapo utawashirikisha vitu mbalimbali. Ubora was blogu ni kwamba ukiweka kitu leo, kitaweza kudumu kwa muda mrefu sana.…
-
Jinsi Ya Kuchagua Fungu Lililobora
Katika kuongea na watu wengi, wapo ambao huwa wananiambia kuwa wanapenda kusoma ila kutokana na bei za vitabu kuwa juu, basi wanashindwa kununua vitabu hivyo. Ila upande wa pili umekuwa ni tofauti. Ukikutana na watu waliofanikiwa na watu wanaosoma vitabu huwa wanalipia vitabu hata vya gharama kubwa, na wao ukiwauliza kwa nini wanafanya hivyo, utasikia…
-
USIWE MJINGA
Mtu wa kukubaliana na kila kitu ambacho umesikia kinasemwa na mtu fulani. Badala yake, jijengee utaratibu wa kupembua kila kitu unachosikia ili mwisho wa siku ufikie maamuzi yako ambayo ni sahihi. Ile ofa ya kupata kitabu Cha AKILI YA DIAMOND kwa shilingi elfu 1 badala ya elfu sita inaendelea. Wasiliana nami Sasa kwa 0755848391…
-
Kitabu Cha AKILI YA DIAMOND kinazungumzia nini kwa ufupi?
Hili ni swali nimeulizwa leo, ambalo pengine na wewe unaweza kuwa unajiuliza swali hilo. Kiufupi, Hiki ni kitabu cha mafanikio. Kimezungumzia mambo 50 ya kimafanikio ila mtu wa mfano mwanzo mpaka mwisho wa kitabu ni DIAMOND PLATINUMZ. Vitu vyote vilivyoongelewa kwenye kitabu vinaweza kugawanywa kwenye vipengele vikuu vitatu. Kwanza ni KIPAJI (Utajifunza kuhusu jinsi…
-
SHUGHULIKA NA MAMBO YAKO
Juzi asubuhi nilikuwa namwagilia kwenye bustani yangu. Nyuma yangu kulikuwa ndege aina ya yangeyange kama kumi hivi. Sikuwa na muda nao maana wao walikuwa wanaendelea na biashara zao na mimi nashughulika na yangu. Nikiwa naendelea walitokea yangeyange wengine ambao walikuwa kama ishirini hivi. Wale waliokuwa nyuma yangu nao waliruka na kuungana na wenzao wakielekea mashariki…
-
KUWA TAYARI KULIPA GHARAMA
Jipatie nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391 Asilimia KUBWA ya watu wanaandika kwa kutumia mkono wa kulia. Ukimwuliza anayetumia mkono was kulia kuandika, kwa nini hajatumia mkono wa kushoto? Atakwambia, siwezi. Ila ukweli sio kwamba hawezi Bali hajachukua hatua KUJIFUNZA kutumia mkono wa kushoto kuandika. Ila ukichukua hatua na kufanya mazoezi…
-
WEKEZA KIDOGO, PATA ZAIDI
Jipatie nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391 Warren Buffet aliwahi kunukuliwa akisema kuwa uwekezaji mkubwa ambao mtu unaweza kuufanya no kuwekeza katika yeye. Kumbe kabla hujafikiria kuwekeza maeneo mengine, Anza kuwekeza katika wewe mwenyewe. Na moja ya njia bora zitakazokuwezesha kuwekeza katika wewe ni kwanza kujiongezea maarifa mara kwa mara. Tunaishi…
