-
ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako
Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara. Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka. Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili…
-
Vitu Nane (08) Vidogo Ambavyo Unaweza Kuanza Kufanya Leo, Vikaongeza Thamani Yako Na Ya Watu Wengine
HONGERA sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. leo hii nimeona nikultee vitu vitano ambavyo ukianza kufanya leo hii vitaongeza thamani yako na thamani ya maisha ya watu wengine pia 1. Kutabasamu 2. kusema maneno chanya kuhusu watu 3. kusoma kurasa kumi za kitabu kila siku 4. kuvuta hewa kwa nguvu unapoamka asubuhi.…
-
Hii Ndio Maana Halisi Ya Kusamehe Saba Mara Sabini Na Jinsi Ya Kuitumia Kupata Mafanikio Zaidi
PATA KITABU HIKI KWA SHILINGI ELFU KUMI TU Rafiki yangu hongera tena kwa siku nyingine tena. Leo hii nimeona niongee kitu muhimu ambacho kinaweza kukufanya ufikie utajiri wako wa kifedha, kiroho na KIAFYA. Kama utakitumia vyema au kama utakitumia vibaya, kitakuzuia kuufikia huu utajiri. Na kitu hiki ni kusamehe. Unaweza kushangaa hivi kusamehe…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Kinapaswa Kukusukuma Wewe Kuitafuta Fedha Zaidi
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana, karibu sana kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukushirikisha kitu ambacho kinapaswa kukusukuma wewe kutafuta fedha zaidi. Rafiki yangu kumekuwepo na watu ambao wana imani mbalimbali kuhusiana na fedha kiasi kwamba wengine wamekuwa wanaona aibu kuitafuta fedha. Wengine wamekuwa wanafikiri kwamba…
-
PATA ZAWADI YA KITABU HAPA
Hivi mwezi huu wa sita umepanga kusoma kitabu gani? kuna kitabu hiki hapa naona kitakufaa sana ndani ya mwezi huu hapa. kinaitwa 50 THINGS YOU SHOULD NEVER TAKE FOR GRANTED. unaweza kuendelea kwa BONYEZA HAPA ILI KUKIPATA kama wewe hupendi kusoma vitabu vya kiingereza basi nimeandaa uchambuzi wake ambao unajitosheleza vizuri tu. unaweza kuusoma huu uchambuzi…
-
Kitu Hiki Hapa Ndicho Watu Wamekuwa Hawajui Kuhusu Fedha
Hongera sana kwa siku hii ya leo rafiki yangu. Leo ningependa kuongelea kuhusu fedha. Maana, ni kitu ambacho watu wengi wanaogopa kukiongelea. Mtu akionekana anaongelea sana kuhusu fedha jamii inamchukulia kuwa ni mnafiki, na mtu ambaye haweki maslahi ya watu wengine mbele. Hata hivyo ni wazi kuwa mtu ambaye anaongelea fedha LAZIMA tu atakuwa…
-
Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa
Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni. Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…
-
INALIPA KUKUMBUKA MAJINA YA WATU
Rafiki yangu kuna vitu ambavyo vinalipa ukvifanya kwenye hiii dunia. Moja ya kitu ambacho kinalipa kufanya ni kukumbuka majina ya watu. Majina ya watu usiyachukulie poa hata kidogo. watu wanapenda kukumbukwa kwa majina yao. Nadhani wewe ni shahidi wa hil hapa. kila mara unapokutana na mtu ambaye ulishamwambia jina lako ila sasa anaonesha…
-
Haya Ni Maajabu Yaliyojificha Kwenye Kutoa
Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…
-
Jinsi Ya Kujiimarisha Kifedha Katika Hali Zote Unazopitia
ni haki yako kuwa na fedha kwa kiwango chochote unachotaka Kuna mchezaji mmoja ambaye alikuwa anajifunza vizuri sana kuhusu mbinu za mchezo wa masumbwi ila alipokuwa anaingia uwanjani na kupigwa ngumi moja, alikuwa anapteza ule uwezo wake wote na hivyo kuanza kucheza kwa hisia kama vile hajawahi kujifunza mpira maishani mwake. Kitu kama hiki…
-
Hii Ndiyo Sifa Ya Biashara Ambayo Watu Wengi Hawajui
Rafiki yangu bila shaka umekuwa na siku bora kabisa. karibu kwenye makala ya leo ili tuzungumzie sifa ya biashara ambayo ulikuwa hujui. Na sifa hii hapa inakuangusha kwenye biashara yako. Sifa hii ni kwamba biashara huwa inachukua tabia za mwanzislihi au mmiliki wa biashara hiyo. Unaweza kushangaa kuwa biashara na yenyewe inachukuaje tabia za…
-
Hatua Sita (06)Za Kuufikia Ukuu Kwenye Kazi Yako
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee sana. Watu wengi huwa wanaanza kufanya kitu mwanzoni kwa juhudi kubwa sana. Kuna ambao huwa wanaweza kuendelea kufanya kile kitu kwa muda na baadae kuacha hasa baada ya kukutana na changamoto za hapa na pale. Na kuna wale ambao huwa wanaendelea kwa kusuasua na kufikia hatua…
-
Maana Ya Mafanikio Unaitoa Wewe Mwenyewe. Na Hivi Hapa Ndivyo Unavyoitoa
Kufanikiwa kwako kupo mikononi mwako. Na maana halisi ya mafanikio yako unaitoa wewe mwenyewe. Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo bora unapaswa kutoa maana bora ya mafanikio na jinsi ambavyo utayapata. Ili unielewe vizuri hapa naomba nitolee mfano wa mtu ambaye kwake kufanikiwa ni mpaka pale unapokuwa na elimu ya chuo. Kwake bila ya elimu…
-
Kila Biasahara Inapaswa Kuhakikisha Ina kumbukumbu Hii Hapa
[Enter Post Title Here] Kila biashara inapasawa kuhakiisha kwamba inatunza kumbukummbu za mawasiliano na wateja wake, ili iweze kuwasiliana naye muda wowote ule hata pale ambapo hauonani na mteja wako. Kwa hiyo kwa kila mteja anayekuja kwako basi hakikisha kwamba unatunza namba zake za simu au mawasiliano mengine ambayo mteja anatumia Kama…
-
Fedha Inaondoa Matatizo? Au Matatizo Yanaondoa Fedha?
“ Tengua kauli, fedha inaondoa matatizo?, matatizo yanaondoa fedha”. Ilikuwa ni kauli ambayo ilisikika kutoka kutoka kwenye kikundi cha watu watano waliokuwa wakiongea na mtu mmoja aliyekuwa ng’ambo ya barabara. Ilikuwa jana jioni wakati nikienda kutuma vitabu pale stendi ya msamvu kuelekea Dodoma. Muda huo nilikuwa na mtu mmoja ambaye nilikutana naye barabarani tukiongea.…
-
MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA: kKOSA LA #5; KUPITA FURSA MARA KWA MARA
Kitu kingine ambacho kinawafanya watu wawe masikini ni kukosa jicho la kuziangalia fursa. Yaani, kila fursa zinapojitokeza basi wao wanazipita na hata kutoziangalia kwa jicho la fursa. Hata hivyo, halil ni tofauti kwa matajiri. Kila inapojitokekza fursa wao wanahakikisha kwamba wanaitumia vizuri. Na fursa huwa zinakuja katika namna tofautitoauti. Fursa kuptIia matatizo ambayo unakumbana nayo…
-
Watu wanasukumwa na uroho wa kutajirika haraka linapokuja suala la fedha. Hivyo kwa sababu ya uroho huo wanajikuta kwamba wamewekeza fedha zao ambazo wamezitafuta kwa jasho kwenye mambo ambayo hata wao hawaelewi. Lengo lao likiwa ni kupata fedha nyingi kwa hara sana. rafki yangu u nakosea sana, tupo katika ulimwengu ambao paarifa mengi yanapatikana na…
-
MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA: KOSA LA #3 KUDHARAU UTARATIBU WA KUWEKA AKIBA
Asilimia kubwa ya watu wamekuwa wanaamini kwamba ukipokea fedha inakuwa ni ya kwako yote. Hivyo wanatumia kadiri watakavyo. Hata hivyo ukweli ni kuwa fedha unayopokea leo sio ya kwako yote. Wewe unakuwa kama umeshikilia fedha ya watu wengine kwa muda. Maana baada ya hapo utaenda kununua chakula, nguo, vinywaji, na matumizi mengine. Kwa…
-
MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA: Kosa La #2 Kukataa Kuchukua Hatua Kwa Kile Ambacho Unajua
Siku zote ni matendo yana nguvu kubwa kuliko maneno. unaweza kuwa na elimu na unajua vitu vingi lakini kama hutumii hiyo elilmu katika kuhakikisha kwamba unasonga mbele, basi ni wazi kuwa hiyo elimu haitakuwa na msaada wowote kwako. hivyo moja ya kosa ambalo watu wanafanya ni kujifunza kuhusu fedha na kutoafnyia kazi kile ambacho wao…
-
Vitu 50 Ambavyo Hupaswi Kuchukulia Poa
Kuna vitu katika maisha ya kila siku ambavyo watu huwa wanachukulia poa, ila japo vina uzito mkubwa sana. wapo wanaofanya hivi kwa kujua. Eubu chukulia vitu kama kuvuta hewa ya oksijeni. Ni kitu cha kawaida ambacho pengine unaweza kupitisha wiki bila kuona umuhimu wake au hata kujua kama unapumua, ila pale ambapo mtu anaumwa na…
