-
Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Mtaji Wa Biashara Ukiwa Bado chuo
Kila mwaka kuna idadi kubwa sana ya wanachuo wengi sana wanaohitimu kutoka vyuo vikuu mbali mbali hapa nchini. Idadi ya wanachuo wanaohitimu kila mwaka ni kubwa sana ukilinganisha na idadi ya watu wanaoajiriwa. Hivyo kufanya vijana wengi waliohitimu chuo kuzurura mitaani, wakizunguka huku na kule kutafuta ajira. Wapo wanaobahatika na kupata ajira hizi hata hivyo…
-
Wewe Ni Nani Kuacha?
Ukiona unafanya kitu ila haukifanyi kwa namna ya kueleweka. Ukiona unafanya kitu ila ukahisi kama bado unakosa kitu fulani hivi, basi hapo unapaswa kujua kwamba hauna maarifa ya kutosha. Usikimbie kitu hicho kwa sababu hujaweza kukifanya vizuri. Badala yake kimbilia kutafuta maarifa zaidi na zaidi ili uweze kukifanya kwa ubora. Moja kati ya watu wa…
-
TAFAKARI YA WIKI; Jinsi ya Kuunganisha Elimu Ya Shuleni Na Maisha Ya Kawaida
GODIUS RWEYONGEZA (Songambele)SUA, chuo kikuu0755848391 Ni takaribani wiki tatu sasa yangu niandike makala iliyokuwa na kichwa cha *mambo kumi (10) unayopaswa kuyafahamu Kabla ya kufumua nywele Zako Za graduation*. Kwa hakika, hii ilikuwa makala iliyofumbua macho ya watu wengi sana. Siku hii ya Leo, tutafakari ni kwa jinsi gani unaweza kuunganisha kile ulichojifunza darasani na…
-
IJUE NGUVU YA KIDEO NA UNAVYOWEZA KUITUMIA KUONGEZA MAUZO
Kuna njia mbali mbali unaweza kuzitumia kutangaza bidhaa zako na kuongeza mauzo.Kwa Leo napenda uijue nguvu ya kideo hasa kwenye zama hizi za taarifa, ambapo kila kitu kipo kiganjani! Yaani, kila taarifa unayo mkononi. Video ni njia ambayo unaweza kuitumia kutangaza bidhaa, kujitangaza au kuonesha kile ulichonacho.Zama za sasa hivi, zimehamia mtandaoni. Yaani kila kitu…
-
Njia Rahisi Ya Kuandika Kitabu Bila Kukiandika
Kuna usemi unaosema hivi, ukitaka kuishi milele, basi Unapaswa kufanya vitu vitatu, moja kuzaa mtotoPili kupanda miti naTatu kuandika Kitabu. andika kitabu bila kukiandika Ukiangalia viu hivi vyote ni vya kudumu sana. Yaani ukizaa mtoto, maana take umeruhusu kizazi kiendelee hapa Duniani.Ukipanda miti maana yake umeacha hazina kubwa, ambayo itadumu kwa kipindi kirefu sana.Na mwisho ukiandika…
-
Ongeza Ufanisi Wako Kwa Kufanya Vitu Vitatu Kila Siku
Kitabu hiki kipo kwa ajili yako Kwa sh.10,000/- tu. Siku moja ina masaa 24. Yakipita ndio yamepita, yaani hayarudi tena. Ndani ya masaa haya kuna vitu vingi sana unaweza kufanya. Ila kama unataka kuongeza ufanisi kazini hupaswi kufanya vitu vyote hivyo. Ufanisi hautokani na idadi kubwa ya kazi ulizonazo. Ufanisi unatoka kwenye kazi kidogo ambazo…
-
Kama Pesa Haiwezi Kununua Kitu Hiki, Umasikini Utaweza??
Kumekuwepo na semi mbali mbali zinasemwa juu ya pesa. Wengine wanasema, pesa sio kila kitu. Wengine wanasema pesa ni chanzo cha maovu yote, (japo Biblia inasema, upendo wa pesa ni chanzo cha maovu) Soma Zaidi; Aliyeandika Pesa Ni Chanzo Cha Maovu Yote, Hakuwa Na Senti Haya Moja Ukiingia google utakutana na makala zenye vichwa kama…
-
TAFAKARI YA WIKI: Unatumia Mabadiliko Mitandao Ya Kijamii Na Intaneti Au Inakutumia?
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya maisha ndani ya wiki nyingine mpya kabisa. Wakati tunaendelea kupumua na kufurahia maisha, mambo pia yanazidi kubadilika. Kwa sasa tumekuwa kwenye zama za mabadiliko makubwa sana, ambapo ukilala na kuamka unasikia au kuona mabadiliko mapya ambayo yametokea.Kwa hiyo mabadiliko ni makubwa sana kila iitwayo leo. Na sisi pia…
-
Unahitaji Hiki Kabla Ya Kufanya Hicho Hapo
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii ya leo. Kwa hakika leo ni siku njema sana ambayo unapaswa kuitumia. Kumbuka kwamba utakumbukwa kwa yale uliyoyafanya na kuyamaliza sio kwa yale uliyojaribu kufanya. Hivyo hakikisha leo. Unafanya kweli kweli ulichopanga kufanya. Kuna siri moja ambayo imejificha na ninaona watu wengi bado hawajaijua siri hii.…
-
Huwezi Kuwa Daudi Bila Jonathan Na Goliati
Hongera sana rafiki yangu kwa kupata nafasi hii ya kipekee sana.Leo ni ijumaa ya tarehe 23 2018.Tumebakiza siku 38 kuumaliza mwaka huu. Bado tunao muda wa kukamilisha malengo yetu. Moja kati ya hadithi ambazo zinapedwa sana na watu kutoka kwenye Biblia ni hadithi ya Daudi na Goliati. Hadithi inatuonesha jinsi mtu mdogo ambaye ni Daudi…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-11
Kitabu cha utajiri wa mataifa, kimeandikwa miaka ya 1700. Na ndani ya kipindi hiki suala zima la kuajiriwa lilikuwa linapewa sana kipaumbele. Yaani ajira zilikuwa walau nyingi sana ukilinganisha na leo hii. sasa leo nimekuwa najiuliza hivi ni kitu gani kikifanya ajira zikapotea? Ilikuwaje miaka hiyo idadi ya watu wanaotafuta ajira ilikuwa ni ndogo ukilinganisha…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA LAWS OF HUMAN NATURE🔥🔥
Mwezi uliopita rafiki yangu Magambo alinipa taarifa kwamba kitabu cha kipya Cha Robert Greene kitakuwa kinatoka mwezi huu. Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawapendi kupitwa na kitabu chochote cha mwandishi huyu. Hivyo niliamua kufuatilia ili nijue kitabu hiki kitatoka lini na baada ya hapo nianze kukisoma bila kuchelewa. Niligundua kwamba kitabu hiki kitatoka tarehe…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-10
Ili taifa liweze kukidhi mahitaji ya wafanyakazi wake basi halipaswi kubaki sehemu moja kwa muda mrefu. Taifa linapaswa kuonesha ali ya kuendelea kiuchumi kila mwaka ili liweze kufikia hatua kuongeza mshahara wa wafanyakazi na kuajiri wafanyakazi wapya. Bila ya kuwa taifa linalokua kila iitwayo leo, itafikia hatua litashindwa hata kuwahudumia wafanyakazi wake wa sasa. Na…
-
UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-9 (MALIPO KWA WAFANYAKAZI )
Tunaendelea na kitabu che wealth of nations. Kitabu hiki kinazidi kunifungua zaidi na zaidi. Kuna vitu vimekuwa vknaongelewa kwenye zama za sasa kama vile ni vigeni, kumbe vimekuwepo tangu zamani sana. Ebu, ona mambo haya:1. Tangu zamani mwajiri anamlipa mwajiriwa kiasi kidogo sana cha pesa kiasi ambacho hakiwezi kumtosha mwajiriwa kukidhi mahitaji yake. Jambo hili…
-
Huu Ndio Ukweli Ambao Watu Hawakuambii (Mlinganyo wa Maisha)
Hivi umewahi kuwa unaenda sehemu kumtembelea rafiki yako au ndugu ila bila kuwa na uhakika wa nyumba yake ilipo. Ukakaribia na sehemu ambayo ulikuwa unahisi kwamba hapa ndipo penyewe ila ukaja kushangaa kwamba mtu anayetokeza ni wa tofauti baada ya kugonga? Ukaamua kuuliza kwamba kwa John ni hapa? ukaambiwa ni nyumbe ileee, huku ukioneshwa kwa…
-
UCHAMBUZI WA KITABU; WEALTH OF NATIONS-8
utajiri Wa Mataifa Ukurasa 42-61 1. Mgawanyiko wa kazi unazuiwa na uchache wa soko. Kadri soko linavyokuwa dogo ndivyo watu hufikiria juu ya kufanya kitu kingine kwenye jamii ili kuongeza kipato, na hivyo kuanza kusababisha ushindani. Kwa sababu unakuta mtu anachoenda kufanya kimeshafanywa na mtu mwingine kabla, au anachoanza kufanya baadae kinaigwa na mwingine. 2. …
-
Unapaswa Kuwa Na kitu Hiki Hapa Ili Kupata Mafanikio Makubwa Sana
Hongera sana rafiki yangu kwa nafasi ya leo ambayo ni ya kipekee sana. Hakikisha unaitumia vyema ili uweze kusonga mbele na kupiga hatua kubwa. Kwa kawaida ili uweze kupiga hatua fulani na kufika sehemu kuna vitu unapaswa kuwa navyo.Ili uweze kusafiri kutoka eneo moja mpaka jingine unahitaji kuwa na tiketiIli upate chakula kwenye hoteli, basi…
-
UCHAMBUZI WA KITABU: WEALTH OF NATIONS -7 (Upatikanaji wa bei)
Utajiri Wa Mataifa Ukurasa wa 50-58 Upatikanaji wa bei Jana tuliona vitu viwili vinavyotumika kupanga bei ya kitu.Moja tulisema muda uliotumika kupata kile kitu.Lakini pia tukamalizia kwa kusema kwamba ujuzi wa mtu aliyehusika katika kupata kile kitu.Kama bado hujasoma makala ya jana, basi hakikisha unaisoma kwanza ili twende sawa. Sasa leo, tunaenda kuzungumzia uhitaji wa…
-
Maswali Matatu (03) Unayopaswa Kujiuliza Kabla Ya Kuanza Safari
Kati ya vitu ambavyo watu hawapendi ni maswali.Ukiwa darasani wanafunzi hawapendi kuuliza maswali lakini pia walimu hawapendi kuulizwa maswali na kinyume chake ni sahihi! Lakini maswali kwa kawaida ndio huja uvumbuzi, ubunifu na mambo mapya. Ona mtu kama Newton, baada ya kuona tunda linaanguka chini alijiuliza swali kwa nini lianguke chini badala ya kwenda juu.…
-
UCHAMBUZI WA KITABU: WEALTH OF NATIONS.-6 (hivi ndivyo bei zilikuwa zinapatikana)
Utajiri Wa Mataifa Ukurasa wa 50-53 Soma Zaidi; UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-5 (Mwanzo Wa Hisa) Kama mpaka sasa tupo wote, utagundua kwamba uchambuzi wa siku ya jana na leo umetoka kurasa za 50-53Lengo la mimi kurudia hapa ni kukazia pointi maana hapa nimeona kuna nondo nyingi zimewekwa sehemu moja. Mfano unaweza kuona…
