Author: Godius Rweyongeza

  • Kitu Hiki Kitafanya kila Mtu Apende Kukusaidia

    Najua kwamba kila mtu angependa watu maarufu, viongozi wakubwa, wanampira wenye majina, wanamziki na waigizaji nguri wawe marafiki zake. Kila mtu angependa awe nao na kupiga nao picha (selfie) muda wowote ambao yeye atajisikia. Najua wengi wangependa kukutana na DIAMOND PLATNUMZ ili kupiga naye stori. Najua wengine wangependa kukutana na raisi Magufuli. Hata kama hawataongea…

  • KUTOKA SIFURI MPAKA UBILIONEA (Mbinu Kumi Zitakazokuinua Mpaka Ubilionea)

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii.Karibu sana kwenye makala hii ya leo tujifunze ni kwa jinsi gani tunaweza kutoka sifuri mpaka ubilionea. Hivi umewahi kufikiri juu ya kuwa na maisha ambayo utakuwa huwazi juu ya pesa ya kula?Maisha  ambayo hufikirii na kuumiza kichwa ni wapi utapata ada ya…

  • Usikose Kufanya Jambo Hili Kila Iitwayo Leo

    Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya leo. Leo hii ni siku bora sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii. Rafiki yangu naomba uitumie vyema sana siku hii ya leo. Kitabu hiki kipo kwa ajili yakoTuwasiliane 0755848391 Kila iitwayo leo kuna kitu kimoja ambacho hata kama inakuwaje hupaswi kuacha kukifanya.Kitu hiki kitakufanya ukue kiakili, kiafya…

  • FaidaOja (01) Ya Kujifunza Ambayo Hujawahi Kuambiwa Popote

    Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine tena.Moja ya mambo ambayo unapaswa kuyafanya ukiwa hapa duniani, basi ni kuhakikisha unajifunza kila siku. Jambo hili nimeliongelea sana, naliongelea sasa hivi na nitazidi kuliongelea. Na nimekuwa nakushirikisha faida za kujifunza mara kwa mara ambazo utazipata kutokana na kujifunza kitu kipya. Leo hii naomba uijue faida hii…

  • JIFUNZE, JIFUNZE

    Moja ya jambo ambalo unapaswa kulifanya kila siku maishani mwako basi ni kujifunza. Hakikisha kila kunapokucha unajifunza. Kila jioni unapaswa kujiuliza je, leo nimejifunza nini? Kama bado hujajifunza kitu hakikisha unachukua hatua kujifunza. Jifunze leo, jifunze kila kukicha. Kamwe usijisikie vyema na kutulia bila ya wewe kuhakikisha umejifunza kitu kipya. Lakini pia usiishie tukujifunza. Weka…

  • UCHAMBUZI WA KITABU SCREW IT, LETS DO IT

    Mwandishi: Richard BransonMchambuzi: Godius Rweyongeza Richard Branson ni mjasiliamali na mwanzilishi wa kampuni ya Virgin. Ni moja kati ya watu wacuache sana ambao wanachukua hatua za hatari. Katika kitabu chake SCREW IT, LETS DO IT ametushirikisha mambo mengi sana. Haya hapa ni mambo 17 kutoka kwenye kitabu chake. 1. Kuanza kazi ndio sehemu muhimu sana…

  • WHEN ONE PLUS ONE DOES NOT BECOME TWO: Mambo Matano Ya Kufanya Ndoto, Malengo Na Maono Yako Yanapoenda Kinyume Na Matarajio

    Kwa kawaida moja na moja ni mbili,njiti ikigusishwa na kiberiti moto huwaka na chumvi ikiwekwa kwenye maji itayeyuka. Hayo yote niliyotaja hapo juu yanatokea kwenye hali ya kawaida.  Ila kuna nyakati moja na moja huwa haziwi mbili. Kuna nyakati njiti ikigusishwa na kiberiti, moto hauwaki. Na kuna nyakati chumvi kwenye maji haisagiki. Je, nataka kusema…

  • Vitu Viwili Vitakavyokupa Nguvu Kwenye Zama Hizi

    Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii njema ya leo. Leo hii ni siku ya kipekee sana. Moja kati ya vitu vinavyofurahisha sana, ni pale unapokamilisha kazi ambayo ulikuwa unaifanya kwa siku nyingi sana kiasi kwamba ukawa unajisikia mtupu kwa ndani. Yaani unaona umekamilisha kazi ile na haudaiwi kitu chochote. Umetoa kila kitu…

  • NIKIWA MKUBWA

    Kila mtoto huwa na ndoto fulani katika maisha yake.Ukiwasikiliza watoto wadogo utasikia wakisema maneno kama,Nikiwa mkubwa nitakuwa raisi wa nchi hiiNikikua nitakuwa daktariNikikua nitakuwa kama fulani…. Na wewe unayesoma hapa kuna siku ulikuwa mtoto. Kuna ndoto ulikuwa nazo si ndio?Je, ulikuwa na ndoto zipi? Ulitaka kuwa nani? Sasa leo hii napenda nikuulize? Ziko wapi hizo…

  • Neno Hili Litakufanya Upendwe Na Watu, Na Neno Hili Litakufanya Uchukiwe Na Watu

    Habari rafiki. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo ni siku njema sana kuwahi kutokea duniani. Miongoni mwa njia za mawasiliano anazotumia binadamu ni maneno. Kwa siku mwanaume anasemekana anatamka maneno 7,000 huku mwanamke akitamka maneno 20,000. Kati ya maneno hayo yote yanayosemwa kwa siku moja, kuna maneno mawili muhimu sana ambayo yakitamkwa…

  • Vikwazo Viwili (02) Vikubwa Cha Ukuaji

    Habari ya siku hii njema sana rafiki.Mara nyingi mtu akiwa anaanza kitu huwa anaanza kwa motisha kubwa sana. Utakuta mtu anakuwa na moto wa kufanya kitu kiasi kwamba humwambii kitu. Utasikia mtu anakuambia yaani fursa fulani inalipa sana na mimi ngoja niifanye. Hapo mtu anakuwa anajua mazuri mengi ya jambo husika. Kadri siku zinavyozidi kusogea…

  • Kijana Huu Ndio Muda Kupangilia Ratiba Zako Vizuri

    Habari ya siku hii njema sana ya leo. Hongera sana kwa aiku hii ya kipekee sana. Kwa hakika hii ni siku ambayo  unapaswa kuitumia vyema sana. Siku zinazidi kukimbia kila kukicha. Na kila siku inayopita basi hiyo hairudi. Wakati huu unabaki kuwa wakati pekee wa wewe kupangilia ratiba zako na kufanya mambo makubwa. Kama leo…

  • Unapaswa Kuwa Na Ndoto Kubwa

    Unapaswa kuwa na ndoto kubwa sana za maisha ambazo unazifanyia kazi. Usiishi tu ilimradi unaishi. Usifanye tu ilimradi unafanya. Bali hakikisha unafanya kweli kazi ukiwa unajua unaelekea wapi. Na sehemu nzuri unapoweza kuelekea ni kwenye ndoto yako kuu ya maisha. Je, unayo ndoto?Je, unataka  kufikia nini baada ya miaka mitatu mpaka mitano?Unataka kuwa unamiliki nini…

  • TAFAKARI YA WIKI: Kipaji Ni Bei Rahisi Sana Kuliko Chumvi

    Kila mtu kazaliwa na kipaji ndani yake. Yaani mtu anapozaliwa anakuwa na vipaji kati ya 500 mpaka 700. Ila kadri mtu anavyokua kulingana na mazingira, elimu, maarifa, n.k kuna baadhi ya vipaji vinaachwa pembeni na kile kitu ambacho mtu anaweka nguvu yake zaidi ndicho ambacho mwisho wa siku kinaibuka na kukua zaidi. Kipaji ni kitu…

  • CHUMA KINANOA CHUMA

    via https://youtu.be/LrBROehGr64

  • Haribu kilichopo Ili Upate Kitu Bora Zaidi

    Wahenga walisema kwamba mtaka cha uvunguni sharti ainame.  Ukifuatilia usemi huu kwa undani utagundua kwamba pale unapohitaji kitu kizuri basi kuna gharama ambayo unapaswa kuilipa kabla hujapata kitu. Na gharama hii muda mwingine inaweza kukutaka kuharibu kitu kwanza kabla kitu kizuri hakijaonekana. Kwa hiyo pale utakapotakiwa kuharibu kitu kwanza usishangae wala usisite kama kuharibu ndio…

  • Vitu Tisa (09) Vinavyopaswa Kuwa Sababu Ya Wewe Kuingia Ajirani Na kitu kimoja Cha Ziada Ambacho Hakipaswi Kukusuma Wewe Kuingia Ajirani

    Je, una mpango wa kuingia ajirani? Je, upo kwenye ajira sasa hivi? Kwa nini?Kawaida kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu. Vivyo hivyo unapoingia kwenye ajira basi unapaswa kuwa na sababu inayokusuma. Najua utashangaa kuona nakuandikia kitu kama hiki. Katika akili yako unajua kwamba mtu unaingia ajirani ili upate pesa. Lakini kitu hakipaswi kuwa kitu kinachokusuma…

  • Jambo Moja Unalopaswa Kuliendeleza Kila Siku

    Hongera sana kwa siku hii ya leo. Ni siku ya kipekee, ni siku ambayo hujawahi kukutana nayo, ni siku ambayo unapaswa kuiishi. Ndani ya siku hii ya leo hakikisha unafanya vitu bora zaidi ya jana. Ongeza thamani zaidi ya zaidi ya jana. Kuwa mtu bora zaidi ya ulivyokuwa jana. Usikubali leo kuiona jana kama siku…

  • Kila Kitu Kipo Cha Kutosha

    Dunia tunamoishi kuna kila aina ya utajiri. Hakuna kitu kinachopatikana kwa udogo. Ukiona unatafuta kitu na hukioni sio kwamba hakipo ila wewe haujajiweka katika mkao wa kukiona, iko hivyo. Leo hii ukiamua Kutoka nje na kuangalia magari ya yenye rangi nyekundu utayaona mengi sana. Ukiamua kufuatilia juu ya viatu vya aina fulani utahshagaa sana, utakuatana…

  • Aliyeandika Pesa Ni Chanzo Cha Maovu Yote, Hakuwa Hata Na senti Moja

    Ukienda katika mazingira ya watu ambao hawana pesa, utawasikia wakisema kila aina ya ubaya juu ya pesa. Utawasikia wakisema wenye pesa hawalali, utawasikia wakisema wenye pesa hawali kama sisi ambao hawana. Utawasikikia wakijifariji kwamba hautazikwa na pesa kwenye jeneza moja…Na mengine mengi kweli…orodha inaendelea na kuendelea. Soma Zaidi: HII NI HAZINA ILIYOLALA KWENYE KITABU HIKI…

X