Author: Godius Rweyongeza

  • TATIZO SI RASLIMALI ZILIZOPOTEA -7

    Thamani ya yako si kama thamani ya nguo. Thamani yako si kama thamani ya nyumba au gari lolote unalolifahamu. Wewe unayo thamani kubwa, kubwa, kubwa sana. Thamani yako imo ndani yako tangu siku ulipozaliwa. Ni thamani kubwa sana. Tofauti ya thamani kubwa iliyo ndani yako na thamani za vitu vingine ni kwamba thamani yako haipimwi…

  • Hizi Ndizo Njia 31 Za Kutangaza Biashara Yako

    Dunia ya sasa inazidi  kukua kwa kasi kubwa  sana. Kadri dunia inavyozidi kukua kutangaza Biashara kunakuwa rahisi lakini pia kunakuwa kugumu. Wale wanaobadilika na wakati wanaweza kutangaza boashara zao na kuwafikia wateja wengi. Wale wanaokomaa na njia zile zile za jana basi wanazidi kupitwa. Ili kukurahisia njia za kuitangaza Biashara yako basi hapa nimekurahisishia. Kiufupi…

  • Nchi Za Ulimwengu Wa Tatu? Au Watu Wa Ulimwengu Wa Tatu? Ipi Sahihi?

    Kumekuwa na hali ya watu kuambiwa kwamba wao ni wazembe. Kwamba hawawezi na wao wanakubali. Hakuna aliyezaliwa akiwa wa kawaida sana kama ambavyo jamii yako inakuona. Wewe ni zaidi ya hapo. Jamii inamuona mtu aliye gerezani kama mfugwa lakini. Kama na yeye atajiona mfugwa basi maisha yake yote atakuwa mfugwa tu. Lakini kama atajiona  kama…

  • Unaona au Unaangalia?

    Binadamu ni watu ambao muda mwingine tunashangaza sana. Tumepewa macho mawili lakini utumiaji wa macho haya ni mdogo sana. Hii si kwa macho tu, Bali hata kwa viungo vingine. Viungo kama ubongo, pua, masikio kutaja ila vichache havijatumika haswa kama ambavyo vinastahili kuwa vimetumika. Ukitaka kugundua hili. Mtafute rafiki yako mmoja nenda naye sehemu ambapo…

  • Iko Wapi Sehemu Tajiri Duniani Ili Nikatengeneze Pesa?

    Kumekuwa na wimbi la vijana kuhama kutoka vijijini kwenda mijini ili wakatafute pesa. Wanatafuta sehemu ambayo itakuwa njema sana kwa ajili ya mafanikio yao. Je, wakifika mjini wanafanikiwa?Wapo ambao wanafanikiwa, mara tu baada ya kufika mjini na wapo ambao bado maisha yanazidi kuwa magumu. Sasa zile ndoto za twende mjini kuna maisha mazuri zinaaanza kupungua…

  • Mambo Ya kuzingatia Ili kuchagua Fursa Sahihi

    Habari wiki iliyopita, tulianza kuzungumzia juu ya mada inayohusu mambo ya kuzingatia ili kichagua fursa sahihi. Leo hii tunaendelea na mada hii ikiwa ni sehmu ya pili na hapa tunaenda kumalizia mambo mengine matano ya kuzingatia ili kuchagua fursa sahihi. Hakikisha kwamba umesoma kwanza makala ya wiki iliyopita kwa kubonyeza hapa; baada ya hapo unaqeza…

  • Nafasi Muhimu za Watu Katika Biashara.

    Ili biashara yoyote iweze kukua inahitaji timu ya watu ambao wataungana kuhakikisha kwamba wanaikuza. Mtu mmoja hawezi kuikuza Biashara na kuifanya iwe yenye manufaa makubwa. Kumbe ndio maaana suala zima la mahusiano mazuri kati ya mmiliki wa biashara na wafanyakazi wake ni muhimu.Huhitaji kuanzisha Biashara ukiwa unajua kila kitu. Unahitaji kuwa kiongozi mzuri ili uweze…

  • Sababu nne Zitakazokufanya Ukumbatie Matatizo

    Hivi umewahi kujiuliza kitu gani kitatokea kama tutaishi duniani bila vikwazo. Hivi ushawahi kujiuliza kama tungeishi katika dunia ambayo haina matatizo? Watu wengi sana huwa wanasema kwamba ingekuwa ni dunia bora sana na njema sana kwa ajili yetu kuishi maisha mazuri na yanayopendeza. Labda! lakini usemi wako si wa kweli. Ukweli ni kwamba Dunia bila…

  • KITU HIKI KITAKUNYIMA KAZI KAMA KWA SASA UNATEMBEA NA CHETI

    Habari za siku ya leo rafiki yangu, imani yangu kwamba siku ya leo ni njema sana na mambo yako yanaenda vizuri sana.   kama kuna kitu ambacho unataka kufanya leo hakikisha kwamba unakifanya kwa ajili ya baadae.  Hakikisha kwamba kile ambacho unataka kukifanya ndani ya siku hii ya leo unakifanya tena uhakifanya kwa juhudi kubwa sana.…

  • Mambo Ya Kuzingatia Ili Kuchagua Fursa Sahihi.

    Habari, Namshukuru Mungu kwa siku hii njema sana ya leo. Watu wengi sana wamekuwa wakiuliza ipi biashara bora wao kufanya. Na mara nyingi sana watu wamekuwa wakishabikia fursa mbali mbali ambazo zinajitokeza. Mwaka unapitia katika vipindi vingi sana. Ambapo ndani ya mwaka husika huwa zinajitokeza fursa mbali mbali. Zipo fursa ambazo huwa zinajitokeza kwa muda…

  • Unajaribu Au Unafanya

    Kila siku kuna watu wanajaribu fursa mpya. Endapo fursa hiyo haijafanya kazi, mtu anaachana nayo na kwenda kuchukua fursa nyingine. Isipofanya kazi unaacha. Yaani unaweza kutumia miaka Mingi sana ukijaribu huku na kuacha na kwenda kujaribu sehemu nyingine. Binafsi huwa naipenda sana asili, maana huwa haijaribu. Bali huwa inafanya haswa. Majani huwa hayajaribu kukua ila…

  • KONA YAA SONGA MBELE; IKO WAPI MOTISHA YA JANUARI MOSI?.🤷🏽‍♂🤷🏽‍♂

    🤷 Ikifika mwishoni mwa mwaka wowote, huwa napenda sana mchaka mchaka ambao huwa unakuwepo. Watu wengi huwa wanauzungumzia mwaka mpya kutokea kila kona. Mitandao ote ya kijamii huwa inajaa jumbe mbali mbali za kuuaga na kuupokea mwaka Mpya. Nyimbo mbali mbali huwa zinaimbwa kuashiria mwisho wa mwaka na ujio wa mwaka Mpya. Maandalizi mbali mbali…

  • Maswali Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Kila Unapoamka Asubuhi

    Je, kitu gani unafanya unapoamka asubuhi? Je, unasoma Malengo yako? Je, unasoma Kitabu? Je, Unakimbilia kushika simu ili uangalie kitu gani kinaendelea mtandaoni? Unawahi kuangalia picha yako uliyopost Jana ina likes ngapi? Unawahi kuangalia comment yako kwenye picha ya Rafiki, kuangalia amekujibu nini? Unafanya nini kikiwa cha kwanza asubuhi? Je, unaanza kufikiri Kile ambacho hukufanya…

  • Maisha Unayaonaje? -2

    Hodi hodi tena hapa safuni. Narudi tena uwanjani kujimwaga na kuendelea na mada yetu ambayo siku ya jana tumeigusa kidogo. Jana tumezungumzia na kuangalia ni kwa jinsi gani tunapaswa kuayaangalia maisha kama majaribio. Kwa mifano niliyotoa jana Nina hakika utakuwa umeangalia ni vipengele gani vya kimaisha ambavyo vitakuwa vumekutokea huku vikiwa kama majaribio kwako. Kama…

  • Maisha Unayaonaje -1

    Hili ni swali la muhimu sana ambalo endapo utwauliza watu mbali mbali basi tegemea majibu tofauti tofauti kama ambavyo unakuwa umewauliza watu tofauti tofauti. Yaani kila mtu ana mtazamo wake na ana jambo lake la kusema juu ya maisha. Wapo wanaosema kwamba maisha ni majaribio, wengine wanasema maisha ni somo, wengine wanasema maisha ni mchezo…

  • VITU AMBAVYO WAHITIMU WA CHUO HAWAPENDI KUFANYA INGAWA VINALIPA SANA.

      Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba siku yako ya leo ni njema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ya siku ya leo hii.   Kila siku ni mpya hakikisha kwmba unaishi kwa namna ya upya na kufanya kazi kwa namna…

  • HUU NI MUDA AMBAO UNAWEZA KUFANYA KILA KITU.

     Habari za siku ya leo rafiki yangu, imani yangu umeianza siku kwa namna ya tofauti na unaenda kufanya kitu cha tofauti. Leo hii ikiwa ni siku ya tarehe 17 June 2017. Tunaenda kujiufunza kitu kizuri sana. hakikisha kwamba unafanya kitu  na kukimaliza kile ambacho utakuwa umeanza kufanya siku ya leo hata kama ni kwa udogo.…

  • Usidanganyike Maisha Bado Yanaendelea

    habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. imani yangu siku ya leo umeianza kwa namna ya tofauti kabisa. karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho hatujawahi kujifunza maishani mwetu.  bila shaka jana uliweza kufanya kitu kikubwa sana jana ambacho mpaka leo hii unashangilia ushindi wake.…

  • Fanya Haya Ili Uishi Milele.

    Habari za leo rafiki yangu. Imani yangu siku yako umeianza kwa namna ya tofauti kabisa. Ikiwa ni siku njema sana kwako kwenda kufanya kitu ambacho ni bora sana kwenye maisha yako. Leo hii tunaenda kuzungumzia kitu kingine ambacho watu huwa hawapendi kusikia kwenye masikio yao. Kitu ambacho watu wengi huwa kinawaumiza kichwa muda mwingi wakikifikiria.…

  • Hutaki Kupiga Hatua

    Kuna watu ambao wanapenda sana kufanikiwa lakini hawachukui hatua, hata kidogo kuhakikisha kwamba wanatoka hapo walipo ili kwenda pale ambapoo wanatak kufika, kuna watu wana ndoto za kuanzisha biashara mpya lakini bado hawachukui hatua kila siku kuhakikish kwamba wanainuka. kuna watu ambao wao wanapenda kuwa viongozi wakubwa sana lakini hata hawachukui hatua za awali kkuhakikisha…

X