Author: Godius Rweyongeza

  • Kumbe Unajidanganya?

    Habari ya siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. ‘imani yangu kwamba umekuwa na siku njema sana leo. Hii nikutokana na ukweli kwamnba umefanya kile ambacho unapaswa kukifanya kwa wakati ambapo unapaswa kukifanya na kuhakikisha kwamba umeweza kutimiza majukumu yako. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-64

    Tatizo unataka kucheza peke yako uwanjani Wachezaji wa mpira wa miguu wanatufundisha jambo jema sana ambalo tuunapaswa kulifahamu maishani. Kila wanapoingia uwanajani kwa pamoja wanashirikiana na kucheza mpira kwa pamoja. Huwa wanahakikisha kwamba wanapasiana mpira. Hakuna mchezaji wa mpira ambaye huwa anakaa na mpira peke yake muda wote ili yeye aonekane kwamba anajua sana zaidi…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-63

    Tatizo hujajua umuhimu wa jina lako Jina la mtu ni muhimu sana. Jina lako ni muhimu zaidi. Yanapotajwa majina ya baadhi ya watu kuna kitu ambacho lazima kijnakuja katika akili yako.  Mfano likitajwa jina la MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, moja kwa moja akili yako itajua kwamba huyu ni mkombozi wa Tanzania, baba wa taifa na…

  • Haya Ndio Maneno Yanayotumiwa Na Watu Kujifariji Linapokuja Suala La Pesa

    Nimegundua kwamba mtu anapokuwa hana kitu anatafuta njia ya kuonesha kwamba yeye yupo sahihi kwa asilimia 100%. Yaani yeye kushindwa kukipata kwake ana kutumia kama nafasi yake kuonekana kwaba yeye ni mtu ambaye yuko sahihi kwa asilimia mia moja. Mfano unakuta wavulana hawajui kujieleza basi wanachukua nafasi kujionesha kwamba wako sahihi. Unakuta wanatumia maneno kama…

  • KONA YA SONGA MBELE; Hii Ndio Kauli Ambayo Inadidimiza Ubunifu Hapa Harani Afrika.

    Moja kati ya bara lenye wingi wa rasilimali ni afrika. Ila kwa kuwa watu hawajajengwa katika msingi wa kuhakikisha kwamba wanaziona rasilimali basi wanatumia muda mwingi sana kuhakikisha kwamba wanalalamika kila siku, kila wakati. Hali hii inazidi kupoteza ubunifu wa vijana wetu wa kiafrika. Kuna vitu vingi sana vinavyofanya waafrika wasiweze kuzitumia  rasilimali zao ambazo…

  • Je, kuna haja ya kuogopa hatari?

    Miongoni mwa vitu ambavyo watu huwa hawapendi ni tendo la kufanya kosa. Watu wengi sana huwa hawapendi kufanya makosa wala kusikia kwamba wao wameshiriki katika kufanya makosa hayo. Ndio maana asilimia kubwa sana ya watu wengi sana huwa hawaweki malengo katika maisha yao kwa sababu tu  kwamba wanaogopa pale ambapo hawatatayatimiza itakuwaje. Lakini pia inakuwa…

  • Hawa Watu Walipaswa Kuwa Wamefukuzwa Kazi

    Kuna watu ambao kwa matendo ambayo wameyafanya waliapaswa kuwa wamefukuzwa kazi na kukosa mshahara wa kampuni ambayo walikuwa wanaifanyia kazi.  Hii ni kutokana na ukweli kwamba katika dunia hii kuna sehemu ambayo watu wanavumilia makosa hayo na kuna sehemu ambayo watu hawawavumilii makosa hayo. Moja ya sehemu ambayo watu hawavumilii makosa ni katika ajira. Kama…

  • TATIZO SI RASILIMALII ZILIZOPOTEA-59 Tatizo hutaki kuchoma meli moto

    Kuna watu ambao wanapenda sana kufanikiwa ila bado hata vile vitu ambavyo vinawavuta kutoka kwenye mafaniko wanavipenda. Nikiona watu wa aina wanakuwa wananikumbusha juu ya hadithi ya ya fisi ambaye alichukua njia mbili mwisho wa siku akapasuka. Bila shaka na wahenga walikuwa wanafikiria mbali na walikuwa tayari wameona kitu cha maana kubwa sana pale walipokuja…

  • Vitu Viwili Vinavyozuia Watu Kuweza Kufikia Malengo Yao

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya ya SONGA MBELE. Imni ysngu kwamba umeianza siku yako vyema sana na unaeanda kufanya mambo mkubwa sana siku hii ya leo. Leo hii tunaenda kuangalia vitu ambavyo vimezuia watu walio wengi kushindwa kufikia malengo yao mwaka huu. Mwanzoni  mwa kila mwaka watu…

  • Huyu Ndiye Mtu Ambaye Unapaswa Kumwepuka

    Hab ari ya  siku hiii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana na kuhakikisha kwamba unafanya makubwa. Siku hii ya leo tusafiri kwa pamoja kwa ajili ya kujifunza kitu kipya chenye…

  • Haya Ndio Matumizi Unayopaswa Kuhakikisha Umeyafanya Kila Siku

    Mara nyingi sana tunafanya matumizi kila siku, kila kunapokucha.  Kwani matumizi ni nini? Matumizi kwa maana ya rahisi ni kiwamba, matumizi ni pesa inayotoka katika mfuko wako. Hivyo kama unafanya mabadilishano yoyote yale ambayo yanahusisha utoaji wa pesa mfukoni mwako jua kwamba unakuwa unafanya matumizi. Mara nyingi sana matumizi haya ambayo yanafanyika ni kwamba huwa…

  • KONA YA SONGA MBELE: Nani Anakujua?

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala zako pedwa ambazo hukujia kila siku ya jumapili. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo, ambapo tunaeanda kuangalia ni nani anakujua katika biashara yako? Mara nyingi mtu anapokuwa na wazo la biashara, ana kuwa tayari anaona kwamba wazo lake litamfanya…

  • Huu Ndio Uhuni Hatari Unaofanyika Duniani

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala ya SONGA MBELE BLOG. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi ili kuhakikisha unaongeza ufanisi katika kazi zako. Katika dunia hii kuna uhuni mkubwa sana ambao huwa unafanyika kila siku. Uhuni huu umekuwa ukifanywa na watu bila…

  • Kanuni Tatu Ambazo Unahitaji Kuzifahamu Ili Uweze Kufanya Makubwa Mishani Mwako

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana kuhakikishakwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana. Kanuni za mafanikio sio kwamba zimebadilika. Bado ziko vile vile kama ambavyo zimekuwa kwa miaka mingi sana ambayo…

  • Haya Ndio Maji Safi Ya Kumumwagia Mtu Siku Ya Kuzaliwa

    Habari ya leo Rafiki yangu.Kwa siku sasa nimekuwa nashuhudia watu mbalimbali wakishiriki katika kushangilia siku za kuzaliwa.Watu wamekuwa na utaratibu wa kumumwagia maji mtu ambaye anasheherekea siku yake ya kuzaliwa kwake.Sijajua utaratibu huu umetokea wapi ila walau ninachojua ni kwamba watu wameupokea na wameukumbatia sana utaratibu huu.Utaratibu mpaka sasa umekuwa sehemu ya pili ya maisha…

  • Hatua Tatu Za Ubunifu

    Ubunifu hupitia katika hatua mbalimbali mpaka kitu kinapokuja kuonekana.Sio tu suala la kulala na kuamka ukisema mimi ni mbunifu. Ukizipitia hatua hizi utakuwa mbunifu mzuri sana katika dujinia hii. 1. Hatua ya kwanza ni kutambua.Hii inaweza kuwa ni>>>kujitambua wewe mwenyewe.Wewe ni nani?Kitu gani ambacho unaweza kukibuni?Ujuzi gani ulio nao unaweza kukuogezea ubunifu ukawa bora zaidi!>>>kutambua…

  • Maswali Muhimu Ya Kujiuliza Kabla Kuingia Katika Uasiliamali

    Ujasiliamali sio tu suala la lelemama kwamba unalala usiku na kuamka asubuhi ukisema mimi ni mjasiliamali. Ujasiliamali unapitia hatua. Ukiingia katika ujasiliamali kichwa kichwa unaweza kukata tamaa sana na pengine kuamua kuacha kabisa suala  huku ukisema kwamba mimi siwezi kuwa mjasiliamali. Kuna watu wengi wameingia katika ujasiliamali wakitegemea kwamba uujasiliamali uwe wenye manufaa makubwa sana…

  • KONA YA SONGA MBELE; Jinsi Ya Kuongeza Ufanisi Kazini-3

    Habari ya siku hii ya leo Rafiki na ndugu msomaji wa makala haya ya SONGA MBELE. Imani yangu siku ya leo imekaa vizuri sana, na unaendelea kujifunza zaidi na zaidi kuhakikisha kwamba unaongeza ufanisi kazini kwako. Makala za kila jumapili ambazo zinakuja katika kichwa cha kona songambele zimelenga jambo hilo. Leo hii tunaenda kuangalia SHERIA…

  • Hivi Ndivyo Watu Walio Wengi Wanavyopotea

    Kila siku ni siku mpya kwetu sisi kwenda kuweka juhudi na kuhakikisha kwamba tunafanya makubwa. Kila siku ni nzuri na ni siku ambayo wewe unapaswa kuhakikisha unakuwa zaidi ya jana. Kama jana yako ilikuwa bora zaidi ya siku hii ya leo, basi jua kwamba kuna kitu hapa kati kati kati ambacho umepoteza. Au kuna kitu…

  • Fursa Tano (05) Ambazo Unaweza Kuzifanyia Kazi Katika Kilimo Cha Bustani Leo

    Kilimo Cha bustani ni sekta ambayo inakua na kuongezeka wigo wake kila kukicha. Watu wengi sana kwa sasa wamekuwa wakijihusisha na kilimo hiki. Mazao yake sasa yamepata soko kubwa sio tu kwa ndani ya nchi yetu, lakini pia nje ya nchi yetu Kutokana na hizo fursa zinazozidi kujitokeza, na kutokana na ukweli kwamba watu bado…

X