Author: Godius Rweyongeza

  • Kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “A” Wanawafanyia Kazi Wanafunzi Wanaopata ‘C’, Na kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “B” Wanaifanyia Kazi Serikali

    Kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “A” Wanawafanyia Kazi Wanafunzi Wanaopata ‘C’, Na kwa Nini  Wanafunzi Wanaopata “B” Wanaifanyia Kazi Serikali (Why A Student Work For C Students, And B students Work For Government). Ulikuwa mwezi wa tano mwaka huu 2017. Nikiwa katika viwanja vya freedom square katika chuo kikuu cha SUA. Hapo nilikiwa namsikiliza Joel Arthur…

  • Hii Ndio Kozi Inayofundishwa Katika Vyuo Vyote

    katika zama za sasa hivi dunia imebahatika kuwa na vyuo vingi sana. vyuo hivi vinazidi kuja katika mifumo mbali mbali ukiwemo mfumo wa kwenda moja kwa moja vyuoni au mfumo wa kusoma kwa njia maarufu sana ya mtandao ambayo kwa sasa imeshamiri sana katika dunia hii.ukifuatilia vyuo vyote hapa duniani vina kitu kimoja ambacho kinaviunganisha…

  • Kitu Kimoja (01) Kitakachokuinua Leo Na Hii

    Ni mara nyingi sana tumesikia juu ya sheria ya asili ya kichocheo na matokeo. Ni mara nyingi sana umeambiwa ukitaka kupata kile unachokitaka lazima utengeneze mazingira. Lakini mpaka sasa kila mtu amekuwa akilalamika huku akitoa hadithi zile zile za haya siyawezi bwana. Hivi viti sio vya viwango vyangu. Na mambo mengine kama hayo. Kwa sababu…

  • Umekufa Mwaka Gani?

    Siku bila kusoma Kitabu ni sawa na siku bila kupumua. Sasa jiulize leo hii ikiwa ni novemba 2017 umepitisha siku ngapi bila kusoma kitabu?Je, mwaka huu umesoma vitabu mara ngapi? Hii ni kuonesha ni kwa kiasi gani watu umekuwa ukijididimiza na kujiangamiza kila siku. Sote tunajua umuhimu wa kupumua, sote tunajua kwamba  dakika bila kupumua…

  • KONA YA SONGA MBELE; Jinsi Ya Kuongeza Ufanisi Kazini -2

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu mfuatiliaji wa makala haya murua kutoka katika blogu yako pendwa ya SONGA MBELE. Kama ilivyo ada siku ya jumapili huwa tunapata Makala maalum ambayo huwa yana kichwa cha kona ya SONGA MBELE. Wiki iliyopita tulipata kuanza kuangalia mfululizo wa makala maalumu ambayo yanalenga kutufanya tuongeze ufanisi…

  • Je, Umesoma Nini Leo?

    Habari ya siku hii ya leo Rafiki yangu, imani yangu leo umekuwa na siku njema sana, na unaendelea vizuri sana. Karibu sana tuendelee kujifunza. Maana hakuna kuhitimu katika kujifunza. Na hapa duniani hakuna aliyehitimu kozi ya kujifunza. Yaani kwamba kahitimu kukutana na watu wapya, kahitimu kuongea, kahitimu kula, kahitimu kufanya kazi kutaja ila machache. Kiufupi…

  • JE, MWANAMAHESABU WAKO NI NANI?

    Tukiwa watoto wadogo, huwa tunaangalia wazazi wetu wanafanya nini! Huwa tunapenda kuangalia maisha ya watu wakubwa na kutaka kuiga. Hii inaweza kuwa kwa kufahamu au kwa kutofahamu. Lakini kujifunza kutoka kwa wazazi au wakubwa wetu ni jambo ambalo mtoto hawezi kulikwepa. Sasa kadri anavyoendeleaa kukua hali hii ya kuiga kila siku huwa inaendelea. Ndio maana…

  • Haya Ndio Mambo Mawili Yanayofanya Watu Wasiwe Na Maisha Bora

    Linapokuja suala la kuwa na maisha bora sana watu wengi sana wamesema mambo mengi sana. Wapo wanaosema kwamba wameshindwa kuwa na maisha bora kwa sababu ya mazingira. Wapo wanaosema wameshindwa kuwa na maisha bora kwa sababu wazazi wao hawajawatengenezea mazingira. Wapo wanaosema wao wamezaliwa kuwa hivyo. Hata hivyo binafsi sijamwona mtu mwenye sababu za maana…

  • Hili Ni Kundi La Wasp Unalopaswa Kujiunga Nalo Leo Hii

    Habari, kwa tumshukuru Mungu sayansi ya teknolojia inazidi kukua kila siku. Yaani inakua asubuhi, mchana na jioni. Kadri sayansi ya teknolojia inavyozidi kukua ndivyo watu wanavyokua na kuzidi kufanya makubwa zaidi. Kwa sasa dunia inazidi kuunganika zaidi na makundi mbali mbali ya watu wenye mtazamo sawa sawia yanaundwa kila kucha. Ndani ya wasap kuna makundi…

  • Jifunze Mawasiliano

    Moja kati ya vitu unavyohitaji kuwa navyo hapa duniani ni mawasiliano. Unahitaji kujifunza jinsi ya kuwasiliana na watu na kuwasilisha kile kilicho katika akili yako. Kuna watu wengi ambao ukiwaangalia mwili wao huwa unaongea kitu kikubwa sana lakini kile wanachokiwasikikisha ni kidogo na pengine wanashindwa kuwasilisha kile kilicho akilini mwao. Kumbuka kwamba ni watu wachache…

  • Ifahamu Kanuni Ya Tatu Mara Dakika Kumi

    Habari ya siku ya  leo rafiki yangu. Leo hii ni siku bora sana ambapo tunaenda kujifunza kitu bora sana kuwahi kufundishwa hapa duniani.Na leo tutajifunza kanuni ya 3*10. Yaani kanuni ya Tatu mara dakika kumi. Soma Zaidi;  Mambo Saba (07) Unayohutaji Kuyajua Ili Kuucheza Mchezo Wa Maisha Vizuri Kanuni hii ndio wanayoitumia watu wengi sana…

  • KONA YA SONGA MBELE; Jinsi Ya Kuongeza Ufanisi Kazini

    Habari ya siku ya leo Rafiki na ndugu msomaji wa Makala haya ya kona ya songa mbele ambayo hukujia mara moja kwa wiki siku ya jumapili. Wiki hii katika Makala ya kona ya SONGA MBELE tunaenda kuangalia ni kwa jinsi gani tunaweza kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi. Ikumbukwe kwamba tunapokuwa kazini tunapata fursa ya…

  • Huu Ndio Muda Sahihi Unaopaswa Kuendeleza Kipaji Chako

    Habari ya siku hii ya leo Rafiki na ndugu msomaji wa makala za blogu ya SONGA MBELE. Imani yangu leo ndio siku njema sana kwako kwenda kuweka juhudi na kufanya mambo makubwa. Endelea kufanya makubwa mpaka kieleweke. Kuna watu wamekuwa wakianza kuendeleza vipaji vyao, lakini inafikia hatua vipaji hivyo wanavizima na kuhisi kwamba wamefika. Jambo…

  • Umuhimu Wa Kilimo Cha Bustani

    Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu. Kama ilivyo ada kila ijumaa tunapata makala za kilimo ambazo zinajikita katika kutuelimisha juu kilimo bora. Leo hii tunaenda kuangalia umuhimu wa kilimo cha bustani.Kilimo cha bustani ni kilimo kinachohusisha kulima eneo dogo sana kwa weredi wa hali ya juu sana. Kilimo cha bustani kinahusisha kulima mboga,…

  • Huu Ndio Mchezo Ubaopaswa Kuufahami Katika Biashara

    Habari ya siku ya leo rafiki yangu, imani yangu siku ya leo umeianza vyema sana. Hakikisha umejisemema maneno chanya juu yako aaubuhi ya leo. Maisha ni mchezo ambao kila mtu anahitaji kuujua kuucheza vizuri ili mwisho wa siku kila mtu atayeucheza afurahie mchezo huo. Biashara pia ni mchezo mzuri sana. Ukicheza vibaya unajiangusha mwenyewe na…

  • Kitu Kimoja Kitakachokufanya Uonekane Wa Tofauti Katika Kazi Yako

    habari ya siku ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala haya. Imani yangu sasa kwamba unazidi kubadilika na kusongambele zaidi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kile unachozidi kushibishwa hapa kila siku ni kitu ambacho kinakufanya uzidi kusogea MBELE zaidi. Siku hii ya leo tutaangalia kitu kimoja ambacho kutakufanya wewe uonekane ni wa…

  • Sheria Tatu Muhimu Za Pesa

    Habari za siku ya leo rafiki yangu. Leo ni siku njema sana katika dunia hii kuwahi kutokea, Siku hii ya  leo tutaangalia sheria kuu tatu za pesa. Baada ya kuzifahamu sheria hizi zitatusaidia sana sisi kutengeneza utajiri na kuwa watu wakubwa sana hapa duniani. Yaani ikiwa ni pamoja  na kufikia Uhuru wa kiuchumi. Ikumbukwe kwamba…

  • KONA YA SONGA MBELE; Falsafa Mpya Juu Ya Utumiaji Wa Pesa

    Habari ya siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya SONGA MBELE. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo tubapoenda kujifunza kitu kizuri sana juu ya pesa. Kuna watu ambao kila siku wamekuwa wakisema kwamba wao wakishika pesa mkononi mwao basi haikai. Wengine wanasema kwamba hawatulii mpaka pale watakapokuwa…

  • Habari Njema Kwa Watu Wote; Hawa Ndio Watu Unaowahutaji Ili Uweze Kuanza

    Kila siku tumekuwa tukitaka kuanza kufanya kazi lakini tumekuwa tukiwasubiri watu kutoka maeneo mbali mbali waje ili na sisi tuweze kuendelea na kazi. Kwa bahati nzuri tumekuwa hatujui ni mtu gani na mtu gani haswa tunapaswa kumsubiria. Ndio maana tumekuwa tukisubiri kila siku na mpaka sasa ninapoandika makala haya upo sehemu umewasubiri watu waje wakwambie…

  • Hizi Ni Sababu Kumi Na Tatu (13) Zitakazokufanya Uingie Kwenye Kilimo Cha Bustani Leo

    Habari ya siku hii ya leo Rafiki na ndugu mfuatiliaji wa makala za SONGA MBELE. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo ambapo tunakwenda kujifunza sababu saba zitakazokufanya uingie katika kikimo cha bustani siku hii ya leo. Kwa siku sasa nimekuwa nikipokea jumbe mbali mbali kutoka kwa watu mbali mbali kutoka kona…

X